×

Habari

Makamu wa Rais Nchimbi Akutana na Pope Leo XIV Vatican – Picha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi, amekutana na kusalimiana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki...

READ MORE

Trump Atangaza Kuishambulia Iran Kwa Nguvu Kubwa Kabla ya Kumaliza Vita Ndani ya Wiki 2–3

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa vita kati ya Marekani na Iran vinatarajiwa kumalizika hivi karibuni, licha ya kuonya...

READ MORE

Japan Yazindua Makombora Mapya Yatangaza Mkakati Mpya wa Ulinzi

TOKYO, Tokyo — Japan imeanza rasmi kutumia mfumo wake wa kwanza wa makombora ya masafa marefu katika kambi ya kijeshi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 2, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Wagombea Urais Uchaguzi Mkuu 2025 – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na wagombea wa nafasi ya urais...

READ MORE

Waziri Mkuu Awasilisha Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge 2026/27- Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, leo amewasilisha rasmi Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi...

READ MORE

Namibia Yapunguza Ushuru wa Mafuta kwa Asilimia 50 Kudhibiti Bei

Katika kukabiliana na wimbi la kupanda kwa bei za mafuta duniani, Serikali mbalimbali barani Afrika zinaanza kuchukua hatua za moja...

READ MORE

Iran Yatangaza Kulenga Kampuni za Teknolojia za Marekani Mashariki ya Kati

Wakati mvutano wa vita ukiendelea, Iran kupitia Jeshi lake la Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) limetangaza mpango wa kulenga makampuni...

READ MORE

Trump Kutoa Taarifa Muhimu Kuhusu Mustakabali wa Vita Iran leo

Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kulihutubia taifa leo usiku akiwa na kile Ikulu ya White House imeeleza kuwa ni...

READ MORE

EWURA Yapandisha Bei ya Mafuta, Petroli Dar Sasa Sh3,820 kwa Lita

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza ongezeko kubwa la bei za mafuta nchini, ambapo kwa...

READ MORE

Airtel Yatoa Mazda CX-5 kwa Mshindi wa Kampeni ya “Mwaka Umenyooka” Arusha

Arusha, Aprili 1, 2026 – Airtel Tanzania imemkabidhi rasmi gari jipya aina ya Mazda CX-5 Bw. Razak, mshindi wa pili...

READ MORE

Prof.. Shemdoe Awasilisha Randama Ya Makadirio ya Mapato Na Matumizi Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amewasilisha...

READ MORE

Msimamo wa Marekani NATO Watia Mashaka, Hegseth Asema Ni Uamuzi wa Rais

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, amekataa kuthibitisha tena dhamira ya Marekani...

READ MORE

Fahamu Mambo Muhimu Yasiyotakiwa Kupuuzwa Katika Gari Lako

Kila mmiliki wa gari anapaswa kuwa makini na alama ndogo ndogo zinazoweza kuashiria matatizo makubwa yanayoweza kusababisha ajali au gharama...

READ MORE

Video: Mwili wa Lukuvi Wazikwa Iringa, Waziri Mkuu Afunguka Mazito

WAZIRI MKUU, Mwigulu Nchemba, amesema aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na...

READ MORE

Watu 6 Wafariki, 14 Wajeruhiwa Ajali ya Basi la Green Line Singida

Watu sita wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa kufuatia ajali ya barabarani, iliyotokea katika eneo la Injiri, Wilaya ya Ikungi...

READ MORE

Marekani Yathibitisha Ongezeko la Meli Kupita Hormuz, Afichua Harakati Mpya

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, amesema kuwa idadi ya meli zinazopita katika Strait of Hormuz imeongezeka, akisisitiza kuwa...

READ MORE

Mwanamke Atoroka Kwenye Gari la Polisi Kupitia Dirisha Akiwa na Pingu

Tukio la kushangaza limewaacha wengi midomo wazi baada ya mwanamke mmoja aliyekuwa amefungwa pingu kufanikiwa kutoroka ndani ya gari la...

READ MORE

Mwanamke Afungwa Mwaka Mmoja Jela kwa Kuiba Mtoto wa Miezi Mitatu – Video

Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu mwanamke mmoja, Novina Yoel Kuboja (23), kifungo cha mwaka mmoja jela baada...

READ MORE

Mtanzania Afariki Uturuki Baada ya Kudondoka Ghorofa ya 14, Utata Wazuka – Video

Kufuatia kusambaa kwa video mitandaoni ikimuonesha Mtanzania aliyefariki dunia baada ya kudondoka kutoka ghorofa ya 14 nchini Uturuki, umeibuka mjadala...

READ MORE

Zelensky Aishutumu Russia Kushirikiana na Iran Kushambulia Marekani

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ametoa madai mazito akidai Russia imekuwa ikishirikiana kwa karibu na Iran katika kutoa taarifa za...

READ MORE

Chris Brown Azua Gumzo Baada ya Kumbusu Shabiki Jukwaani

Msanii maarufu wa muziki kutoka Marekani, Chris Brown, amezua gumzo kubwa mitandaoni kufuatia tukio lililotokea katika moja ya maonyesho yake...

READ MORE

CAG Dkt. Kichere Aibua Kasoro Kwenye Mradi wa Uwanja wa Arusha – Video

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, Machi 30, 2026 amewasilisha ripoti kuu ya mwaka wa...

READ MORE

Rais Samia Ampongeza CAG, Aahidi Mapungufu Kushughulikiwa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itachukua hatua madhubuti kushughulikia mapungufu yote yaliyobainishwa katika...

READ MORE

CAG: Deni la Serikali lafikia Trilioni 110.05, Lakini Bado Salama – Video

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Charles Kichere, leo Machi 30, 2026 amewasilisha Ripoti Kuu ya mwaka wa...

READ MORE

Rais Samia Apokea Ripoti ya CAG, TAKUKURU na PPRA (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Machi 30, 2026 amepokea ripoti mbalimbali kutoka taasisi za...

READ MORE

‘Bwege’ Afariki Dunia Akiwa Hospitalini Kigamboni

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini, Seleman Bungara maarufu kwa jina la ‘Bwege’ amefariki dunia mchana wa leo, Machi...

READ MORE

Kikwete Awasilisha Ripoti ya Migogoro kwa Rais wa Malawi

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jopo la Wazee la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...

READ MORE

Trump Atishia Kuchukua Mafuta Iran na Kuteka Kisiwa cha Kharg – Video

Rais wa Marekani Donald Trump amesema anatafakari mpango tata na hatari wa kijeshi unaolenga kuingia ndani ya Iran kwa muda...

READ MORE

Mwili wa William Lukuvi Waagwa Iringa Kabla ya Mazishi Idodi Kesho (Picha +Video)

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), na Mbunge wa Jimbo...

READ MORE

Waingereza Wakamatwa UAE Kwa Kupiga Picha Mashambulizi ya Makombora

Waingereza watano wanashikiliwa na mamlaka za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), huku wengine zaidi ya 70 wakidaiwa kukumbwa na...

READ MORE

Donald Trump Atoa Kauli Tata Kuhusu Mafanikio na Uongozi

Rais wa Marekani, Donald Trump, amezua mjadala baada ya kueleza kuwa wakati mwingine hupenda kuwa karibu na watu anaowaona kama...

READ MORE

Iran Yatoa Onyo Kwa Marekani Wanajeshi Zaidi Wakipelekwa Mashariki ya Kati

Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, ametoa onyo kali kwa Marekani akisema majeshi ya nchi yake yako tayari...

READ MORE

Mwili wa Lukuvi Ulivyowasili Nyumbani Gangilonga Iringa kwa Heshima za Mwisho

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Lukuvi, umefikishwa nyumbani...

READ MORE

Wanawake 200 Wakutana jijini Dar Kujenga Utajiri na Kudai Nguvu Yao ya Kifedha

DAR ES SALAAM, 28 Machi 2026 — Hyatt Regency Dar es Salaam, Studiored Communications imeandaa toleo la pili la kongamano...

READ MORE

Mwigulu Aweka Wazi Hatma ya Coco Beach “Haiuzwi Ni Kwa Wananchi” (Picha +Video)

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa ufafanuzi rasmi kuhusu hatma ya eneo la Coco Beach, akisisitiza kuwa halitauzwa kwa mwekezaji...

READ MORE

Mixx Yazindua Wakala App Kubadili Mfumo wa Mawakala

  Dar es Salaam, Tanzania – 27 Machi 2026 – Mixx by Yas leo imezindua Wakala App, jukwaa la kisasa...

READ MORE

Papa Leo XIV Atoa Ujumbe Mzito kwa Matajiri, Aisisitiza Haki Kwa Wengine

Papa Pope Leo XIV ametoa ujumbe mzito kwa matajiri wakati wa ziara yake ya kihistoria nchini Monaco, akiwataka kutumia utajiri...

READ MORE

Vyakula 8 vya Baharini Vinavyoweza Kukuletea Madhara Makubwa Bila Kujua

Ingawa vyakula vya baharini vinajulikana kuwa na faida kubwa kiafya, si kila samaki au sahani ya seafood ni salama au...

READ MORE

Mwili wa Lukuvi Ulivyowasili Iringa kwa Shughuli za Mwisho – Picha

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Lukuvi, umefikishwa katika...

READ MORE