×

Habari

Mshindi wa “Ndinga la Kishua” Kutoka Kahama, Akabidhiwa Gari Lake

Dar es Salaam, 26 Januari 2023:  Kampeni ya Ndinga la Kishua iliyoendeshwa na kuratibiwa na kampuni ya mawasiliano Tigo, leo imekabidhi...

READ MORE

Mamia Wampokea Tundu Lissu Uwanja wa Ndege Dar, Polisi Waweka Ulinzi Mkali – Video

MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu amewasili leo Januari 25, 2023 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya 37 Wapya, Wengine Awahamisha

Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya kazi wakuu wa wilaya 48...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Awakabidhi Tuzo Washindi Wa Kiswahili Safal-Cornell Ya Fasihi Ya Afrika

Washindi wa Tuzo ya Kiswahili ya Safal-Cornell ya Fasihi ya Afrika kwa mwaka 2022 walituzwa na Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa,...

READ MORE

Waziri Dkt. Dorothy Gwajima Atembelea Benki ya Nmb, Ateta na Uongozi

  Benki ya NMB imepata nafasi ya kutembelewa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum...

READ MORE

Rais Samia Atengua Uteuzi wa Viongozi Watano kwa Mpigo

Taarifa iliyotolewa leo Januari 24, 2023 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus, imewataja waliotenguliwa kuwa ni Reuben...

READ MORE

Vita vya Ukraine: Poland Yaiomba Ujerumani Ruhusa Kusafirisha vifaru hadi Ukraine

Poland imeiomba rasmi Ujerumani ruhusa ya kusafirisha vifaru vingi vya vita aina ya Leopard 2 kwenda Ukraine hatua ambayo inaibua...

READ MORE

Bima Ya Afya Kwa Wote, Waziri Ummy Afunguka Watanzania Watakavyonufaika-Video

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema lengo la Bima ya Afya kwa Wote ni kuchangiana kwa gharama za matibabu kwa...

READ MORE

Waziri Ahukumiwa Kifungo cha Miaka Mitano kwa Ufisadi, Wakili wake Afunguka

Mahakama kuu mjini Kigali imemhukumu aliyekuwa waziri wa utamaduni wa Rwanda kifungo cha miaka mitano jela kwa madai ya rushwa....

READ MORE

Utafiti Stadi za Maisha Na Maadili Kwa Vijana Kuzinduliwa Januari 26, Dar

  UTAFITI uliofanywa na Mradi wa ALiVE-Tanzania kupima stadi za maisha na maadili kwa vijana nchini Tanzania umebaini kuwa vijana wengi...

READ MORE

Afisa wa FBI Akamatwa kwa Kumfanyia Kazi kwa Siri tajiri wa Russia

AFISA mstaafu wa Idara ya uchunguzi ya Marekani (FBI) amekamatwa na kufunguliwa mashtaka mjini New York na Washington kwa tuhuma...

READ MORE

Kenya: Odinga Aendelea Kudai yeye Ndiye Mshindi halali wa Uchaguzi wa rais wa Agosti mwaka jana

Kinara wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga Jumatatu alisisitiza kuwa yeye ndiye mshindi halali wa uchaguzi wa mwaka jana, na...

READ MORE

Waziri wa Mambo ya nje wa Urusi Kuanza Ziara yake Afrika Kusini leo

Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov anafanya ziara ya kwanza nje ya nchi tangu Urusi ilipoivamia Ukraine...

READ MORE

Nilikuja Jijini Dar es Salaam Kama Kibarua, Sasa Hivi Namiliki Hoteli Nzuri

  Jina langu ni Bakari Bekason, naishi jijini Dar es Salaam, ila nimezaliwa Kigoma. Baada ya kufikisha umri wa miaka...

READ MORE

Juhudi za Serikali Zazidi Kuungwa Mkono, Nmb Yatoa Msaada Vifaa Tiba Wilaya ya Arusha

  Sekta ya afya ni sekta muhimu kwa maendeleo ya jamii zetu na kwa kulitambua hilio, Benki ya NMB imeshirikiana...

READ MORE

NMB Yaingia Makubaliano Na Serikali ya Zanzibar Uhifadhi wa Bustani ya Forodhani

Benki ya NMB imeingia makubaliano na Mamlaka ya Hifadhi Mji Mkongwe, chini ya usimamizi wa Wizara ya Utalii na Mambo...

READ MORE

Makamu Wa Rais Dkt. Mpango; Waelimisheni Wananchi Umuhimu Wa Usuluhishi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ametoa rai kwa Mahakama na Wadau...

READ MORE

Askari 78 Waliofanya Vizuri Katika Kuzuia Vitendo Vya Uhalifu 2022 Wapewa yeVti vya Pongezi

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam ACP. Muliro J. Muliro amewatunuku vyeti vya pongezi Askari Polisi 78...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak Apigwa Faini kwa Kutofunga Mkanda wa Gari

Msemaji wa Sunak amesema Waziri Mkuu huyo ameomba msamaha kwa kosa lake na anamsihi kila mtu kufunga mkanda wa kiti...

READ MORE

Beti na Kitochi Meridianbet kwa TZS 500 Ushinde Bodaboda

Mwezi huu wa Januari ukiachana na tabu ndogo ndogo za kimaisha pale Meridianbet wakali wa odds bomba na kubwa, unaambiwa...

READ MORE

Nyaraka Zaidi za siri Zapatikana Kwenye Nyumba ya Rais wa Marekani Joe Biden

Wachunguzi wa Idara ya Haki ya Marekani (DoJ) wamepata hati sita zaidi za siri wakati wa upekuzi wa saa 13...

READ MORE

Marekani Yatahadharisha juu ya Ukosefu wa Usalama wa Chakula Afrika

Maafisa wa Marekani wanasema ukosefu wa usalama wa chakula barani Afrika utakuwa mbaya zaidi mwaka huu kwasababu ya mabadiliko ya...

READ MORE

Mbowe: Rais Samia Alikua Mvumiluvu, Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!-Video

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema anatambua kuwa ni vigumu kuwaeleza Watanzania na dunia kwamba anampongeza Rais Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Mshindi wa NMB Mastabata Kotekote Akabidhiwa Zawadi Ya Pikipiki Tabora

Mshindi wa shindano la NMB MastaBata KoteKote linaloendeshwa na Benki ya NMB Emmanuel Marumbo kutoka Mkoani Tabora amekabidhiwa rasmi Pikipiki...

READ MORE

Vodacom Yahitimisha Kampeni Ya Amsha Ndoto Kwa Kugawa Zawadi Kwa Wateja Wake

Dar es Salaam 21 Januari 2023: Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi inayoongoza hapa nchini Vodacom imehitimisha kampeni yake...

READ MORE

Jubilee Yawakumbuka Wazee, Watoto Kupata Bima za Afya Kiurahisi

Dar es Salaam, 21 Januari 2023: Kampuni ya Bima ya Afya ya Jubilee imewakumbuka wazee na watoto kwa kuwatengenezea vifurushi...

READ MORE

Familia Yathibitisha Nemes Tarimo Kufia Vitani Nchini Ukraine, Yafunguka – Video

Taarifa za kifo cha Raia wa Tanzania, Nemes Tarimo, zilisambaa pamoja na video ikionesha akiwa anaagwa kwa heshima na vikosi...

READ MORE

Chura Aliyevunja Rekodi Kwa Ukubwa Apatikana Australia Akiwa na Uzito wa Kilo 2.7

Chura mkubwa zaidi ambaye maofisa wa wanyama-pori walifikiri ni bandia amepatikana katika msitu wa mvua kaskazini mwa Australia. Chura huyo...

READ MORE

TCB Bank Yashiriki Uzinduzi Ujenzi wa Reli Ya Kisasa Kutoka Tabora Hadi Isaka

  Tanzania Commercial Bank (TCB) Imeendelea kushiriki zoezi endelevu la ujenzi wa kipande cha nne cha ujenzi wa reli ya...

READ MORE

Masomo Yanayohusisha Hesabu Ni Changamoto Kwa Watahiniwa Wa Ununuzi Na Ugavi

Masomo yanayohusisha hesabu yamekuwa yakiwaangusha watahiniwa wanaofanya mitihani ya bodi ya wataalam wa ununuzi na ugavi (PSPTB). Akizungumza na waandishi...

READ MORE

Jukwaa La Biashara La Tanzania Na India (TIBF) Kuimarisha Mahusiano Ya Kibiashara

Dar es salaam, 19 Januari 2023: Jukwaa la Biashara la Tanzania na India (TBIF) limedhamiria kukuza mahusiano ya kibishara baina...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi Wa Reli Ya Kisasa NBC Yashiriki

Katika kufanikisha miradi mbalimbali ya kimkakati Benki ya Taifa  Biashara  ya Taifa  (NBC) imetoa ahadi ya  kuwa mstari wa mbele...

READ MORE

El Chapo Aomba Msaada kwa Rais Obrador Kurejeshwa Mexico

RAIS wa Mexico, Andres Manuel Lopez Obrador amesema atazingatia ombi la mlanguzi wa dawa za kulevya Joaquin ‘El Chapo’ Guzman,...

READ MORE

Exclusive: Tundu Lissu Afunguka – “Usalama Wangu Upo Kwenye Mikono Ya Rais Samia Na Serikali Yake”-Video

KUPITIA VOA Kiongozi nguli wa upinzani na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lisu amezungumza katika mahojiano maalum ambapo ameeleza hali...

READ MORE

Wanajeshi wa UN Wagundua miili 50 ndani ya Makaburi Mawili Mashariki mwa DRC

Wanajeshi wa Umoja wa mataifa wamegundua miili 50 ya raia ndani ya makaburi yaliyozikwa watu wengi kwa pamoja mashariki mwa...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz nchini Uswizi

Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz, Davos nchini Uswizi. Rais Samia amekutana na...

READ MORE

Jinsi Nilivyogundua Kwamba Mke Wangu Anaisaliti Ndoa Yetu na Kuchepuka

  JINA langu ni Baba Sele kutokea Madale jijini Dar es Salaam. Baada ya mke wangu kuanza tabia ya kuninyima...

READ MORE

Tigo Yampata Mshindi Wa Ndinga La Kishua, Wengine Waibuka na Mamilioni

Dar es Salaam 19 Januari 2023: Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo hatimaye jana imempata mshindi wa...

READ MORE

Tigo Yazidi Kuhamasisha Usajili Kidijitali Tigo Kili Half Marathon 2023 Kwa Kishindo Mjini Moshi

Mbio maarufu za Tigo Kili Half Marathon zikiwa ni mbio ambazo zipo ndani ya Kilimanjaro Marathon 2023 zimezinduliwa rasmi kimkoa...

READ MORE