×

Habari

Diamond Platnumz Afunguka Tetesi za Kumtenga Dyllan Aliyezaa Hamisa Mobeto

Diamond Platnumz; ni msanii mkubwa wa muziki wa Kizazi Kipya ambaye kwa mara ya kwanza amefunguka juu ya tetesi za...

READ MORE

Kigogo wa Jatu PLC Afikishwa Mahakamani Kisutu

Kutoka katika Mahakama ya Hakimu mkazi kisutu ni kwamba Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JATU PLC, Peter Gasaya amefikishwa katika...

READ MORE

Russia Yapiga Makombora 69 siku Mbili Nchini Ukraine Kabla ya Mwaka Mpya

Wanajeshi wa Russia wamefyatua makombora kadhaa kuelekea Ukraine mapema Alhamisi, wakiulenga mji mkuu wa Kyiv, mji wa kaskazini mashariki wa...

READ MORE

TCAA-CCC Yaahidi Huduma Bora Kwa Wadau wa Usafiri Wa Anga

BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA-CCC) limesema litaendelea kuhakikisha ya kwamba watumiaji wa...

READ MORE

Kenya Airways Yrejesha Safari za Ndege Kila Siku Kuelekea New York

Shirika la ndege la Kenya Airways (KQ) limeanzisha tena safari zake za kila siku kwenda New York wakati ikitumia fursa...

READ MORE

Mfalme wa soka Duniani Pele Afariki Dunia Akiwa na Umri wa miaka 82 – Video

Pele, mchezaji mashuhuri wa soka wa Brazil aliyeondoka kwenye umaskini wa kutembea peku peku hadi kuwa mmoja wa wanasoka wakubwa...

READ MORE

Tigo Yamwaga Zawadi za Funga Mwaka kwa Washindi wa Kampeni ya Ndinga la Kishua

Dar es Salaam 29 Desemba 2022: Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo kupitia Kampeni yake ya Ndinga...

READ MORE

Askari Polisi Mtwara Atwaa bodaboda ya NMB MastaBata

Askari wa Jeshi la Polisi mkoani Mtwara, WP Husna Juma Baraka, ameibuka mshindi wa pikipiki katika droo ya saba ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Amuwakilisha Rais Samia Kumjulia Hali Edward Lowassa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwakilisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kumjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa anayeendelea na matibabu...

READ MORE

Wanane Wahukumiwa Kifungo cha Maisha kwa Kufanya Ugaidi Ivory Coast

Mahakama nchini Ivory Coast siku ya Jumatano iliwahukumu kifungo cha maisha wanaume wanne wa Mali waliopatikana na hatia ya kusaidia...

READ MORE

Mtanzania Elizabeth Mrema Ateuliwa Kuongoza Shirika la Umoja wa Mataifa

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amemteua Elizabeth Maruma Mrema kutoka Tanzania kuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja...

READ MORE

Kijana Ajiua kwa Kunywa Sumu Akihofia Kudaiwa TZS 47,000 za Soda

Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Bukindu Mhoja (22) Mkazi wa Kijiji cha Bukoli, Kata ya Bukoli mkoani Geita amefariki...

READ MORE

Putin Aweka Pingamizi ya Uuzaji wa Mafuta ya Russia kwa Nchi za Magharibi

Rais wa Russia Vladimir Putin Jumanne amesaini amri ambayo inaweka marufuku ya uuzaji wa mafuta na bidhaa za mafuta kwa...

READ MORE

Zijue Silaha za Kumdhibiti Mwanaume, Dkt Mwaka Afichua Anachofanyiwa na Mkewe -Video

 KWENYE KATIKATI ya KOKO na Mama JJ mgeni ni Dkt Mwaka ambaye ametupitisha kwenye maisha ya mahusiano na ndoa...

READ MORE

Kijana Ajiua kwa Sumu ya Panya Kisa Kudaiwa Sh. 45,000 ya Vinywaji

  Bukindu Bukindu (22), mkazi wa Kijiji cha Ihega, Kata ya Bukoli wilayani Geita amefariki kwa kunywa sumu ya panya...

READ MORE

Waziri wa Maliasili na Utalii Asisitiza Watanzania Kutembelea Vivutio vya Utalii

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi, Dkt Pindi Chana, ameendelea kuhamasisha wananchi kutembelea vivutio vya utalii vilivyo katika maeneo mbalimbali...

READ MORE

Afghanistan: Kundi La Islamic State Lamuua Mkuu Wa Polisi Na Walinzi Wake Wawili

Maafisa nchini Afghanistan Jumatatu wamesema bomu lililotegwa ndani ya gari limemuua mkuu wa polisi wa jimbo na walinzi wake wawili....

READ MORE

Video: Joyce Kiria Afichua Ndoa Yake Ya Kwanza Kuvunjika, Sababu Wanawake Wengi Kuachika… | Hard Talk

KWENYE HARD TALK na Mtumishi wa Mungu Lilian Mwasha amezungumza na Mwanaharakati Joyce Kiria ambaye ameeleza mengi ikiwemo sababu ya...

READ MORE

Global Publishers Inawatakiwa Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya 2023

Mkurugenzi Mtendaji, Eric Shigongo,Uongozi na Wafanyakazi wa Global Groups wanawatakia wasomaji wetu kote nchini na nje ya Tanzania Krismasi Njema,...

READ MORE

Muuaji Sugu Wa Ufaransa Anayejulikana Kwa Jina La Nyoka, Aachiliwa Kutoka Gerezani

Muuaji sugu wa Ufaransa anayejulikana kwa jina la Nyoka, aliyepatikana na hatia ya mauaji kadhaa ya watalii huko Asia katika...

READ MORE

Yanga Yarudisha Milioni 112 Za Fei Toto Yajibu “Barua ya Mchezaji ina Dhana Potofu”

WAKATI taarifa zikieleza kwamba Kiungo wa Yanga, Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ ameandika barua ya kuvunja mkataba wake wa mwaka...

READ MORE

Video: Miili Ya Askari Wanandoa Ilivyozikwa Kwa Heshima Mbeya, Risasi Zapigwa Angani…

MIILI ya wanandoa wawili, Sajenti Noah Simfukwe (30) na Agness Kiyeyeu (27) waliofariki kwa ajali siku tatu tu baada ya...

READ MORE

Watu Nane Wapoteza Maisha Katika Dhoruba ya Theluji Japan

Theluji kubwa imenyesha kaskazini na magharibi mwa Japan na kuwachochea maafisa wa hali ya hewa kuwataka wakaazi kuwa katika hali...

READ MORE

Mwanamuziki Tshala Muana Azikwa Kinshasa Kwa Heshima Viongozi na Wasanii Wahudhuria

MWILI wa mwanamuziki maarufu wa DRC, Tshala Muana umezikwa Desemba 23, 2022 katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kinshasa. Tshala,...

READ MORE

Mtanzania Akamatwa na Kilo 2 za Heroin Afrika Kusini

MAMLAKA ya kudhibiti Dawa za Kulevya nchini Afrika Kusini imemkamata Ahmadi Mbwana Chonde (50) ambaye ni raia wa Tanzania akiwa...

READ MORE

Makamishna 4 Wa IEBC Walikuwa Wakishirikiana Na Maafisa Katika Muungano Wa Raila Odinga

Tume maalum iliyoundwa kuchunguza makamishna 4 wa tume huru ya uchaguzi nchini Kenya IEBC, imeambiwa kwamba makamishna hao walikuwa wanashirikiana...

READ MORE

SBL, Jeshi La Polisi Waelimisha Madereva Juu Ya Usalama Barabarani Kipindi Cha Sikukuu

  Disemba 23, 2022, Dar es Salaam.Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imefanya mafunzoya unywaji pombe kistarabu na uendeshaji vifaa...

READ MORE

Tigo Yawakabidhi Mamilioni na Vifaa vya Hisense Washindi wa Droo ya Nne ya Ndinga la Kishua

  Dar es Salaam, 23 Desemba 2022: Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo, leo imewakabidhi zawadi zao...

READ MORE

Simba Queens, Yanga Princess Hakuna Mbabe Uwanja wa Benjamin Mkapa

PAMBANO la watani wa jadi kati ya Simba Queens dhidi ha Yanga Princess limekosa mbabe baada ya timu hizo kuvimbiana...

READ MORE

Polisi Dar Yamnasa Mwanafunzi wa CBE Aliyejifanya Rais Mstaafu Kikwete Kutapeli

Press 22 Desemba 2022 Makosa ya KImtandao(1) KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA 11 MAKOSA YA KIMTANDAO Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya...

READ MORE

Kuwa Bingwa Kwa Kucheza Sloti Ya Odd One Out Kutoka Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet!

Sloti ya Odd One Out Kama wewe ni shabiki wa sloti za kizamani ila zinazokupa ushindi murua basi, mchezo huu...

READ MORE

Rais wa Ukraine Afanya Ziara ya Kwanza Marekani Aahidiwa Kuungwa Mkono na Rais Biden

  Rais wa Marekani Joe Biden Jumatano amemkaribisha mwenzake wa Ukraine Volodomyr Zelenskyy kwenye ikulu ya Marekani , ikiwa ziara...

READ MORE

Bodaboda, Madereva Taxi, Bajaj Kumwagiwa Mikopo Jijini Dar -Video

Kampuni mpya inayotoa huduma mbalimbali za kimtandao ikiwemo usafiri wa magari, Bajaj na pikipiki, Chapride Desemba 21, 2022 imetangaza ofa...

READ MORE

Historia, Rais Dkt. Samia Akizindua Ujazaji Maji Bwawa la Nyerere

Leo Desemba 22, 2022 Tanzania inaandika historia katika safari kuelekea mapinduzi ya nishati ambapo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa...

READ MORE

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila Yaanzisha Huduma ya Kupunguza Unene

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imezindua huduma mpya ya kuweka puto maalumu kwenye tumbo la chakula kwa watu wenye uzito uliopitiliza...

READ MORE

HaloPesa Yazindua “Shinda Tena na Halopesa” 

  Halotel ikiwa kampuni inayosifika nchini kupitia huduma zao za kifedha za HaloPesa, inaendelea kuwahamasisha wateja wao kwa kuleta huduma...

READ MORE

Marekani Yaishutumu Vikali Afghanistan kwa Kuzuia Elimu Kutolewa Kwa Wanawake

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeushutumu vikali uongozi wa Taliban baada ya serikali ya Afghanistan kupiga marufuku wanawake...

READ MORE

Benki ya NBC Yamkabidhi Fiston Mayele Tuzo Ya Mchezaji Bora Mwezi Novemba

  Dar es Salaam: Desemba 21, 2022: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambae ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu...

READ MORE

Mbunge Ditopile Akabidhi Pikipiki Kata Zote Kondoa Mjini

  Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amekabidhi Pikipiki Nane kwenye Kata zote nane za Halmashauri ya...

READ MORE