×

Habari

Mexico Yasitisha Kumpeleka Mtoto Wa El Chapo Marekani Baada Ya Watu 29 Kuuawa

JAJI wa Mexico City amesitisha zoezi la kumpeleka nchini Marekani, Joaquín ‘El Chapo’ Guzmán, ambaye ni mtoto wa mfanyabiashara mkubwa...

READ MORE

Ukraine Yapokea Silaha Za Kujikinga Na Makombora, Russia Imetengua Ndege Isiyo Na Rubani Ya Ukraine

Rais wa Ukraine Volodymr Zelenskyy amepongeza msaada wa silaha kutoka Marekani, unaojumuisha magari yenye uwezo wa kurusha makombora ya kuharibu...

READ MORE

Rais Samia Ateua Emanuel Tutuba kuwa Gavana Benki Kuu ya Tanzania (BOT)

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Emanuel Tutuba kuwa Gavana Benki Kuu ya Tanzania (BOT). Tutuba ambaye alikuwa Katibu Mkuu Wizara...

READ MORE

Marekani: Mtoto Mwenye Umri wa Miaka 6 Ampiga Risasi Mwalimu wake Shuleni

Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 6 amempiga risasi na kumjeruhi mwalimu wake, katika jimbo la Virginia. Mwanafunzi huyo mvulana, amekamatwa...

READ MORE

Wazari Nape Azindua Mnara wa Mawasiliano Kalambo Mkoani Rukwa

UZINDUZI: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye @napennauye amezindua mnara wa mawasiliano katika eneo la...

READ MORE

Bolt Yafurahishwa na LATRA Mwongozo Mpya wa Bei za Usafiri

Dar es Salaam 08 Januari 2023. Kampuni ya Bolt inafuraha kukujulisha kuwa LATRA imetoa notisi ya gazeti la serikali namba...

READ MORE

TFF: Fei Toto Bado ni Mchezaji wa Yanga kwa Mujibu wa Mkataba

    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeamua kuwa Feisal...

READ MORE

Jumuiya ya Wazazi CCM Kata Azimio Dar, Yatoa Msaada Zahanati Tambukareli

Dar es Salaam, 7 Januari 2023: Jumuiya ya wazazi Kata ya Azimio Temeke, Dar leo imetoa msaada wa vifaa tiba...

READ MORE

David Kafulila; ‘Jenerali’ Wa Siasa, Kakulia Chadema, Kang’ara NCCR, Kaula Kwa Rais Samia…Video

Rais Samia Suluhu Hassan aliwateuwa viongozi sita kuwa Wakuu wa Taasisi mbalimbali akiwemo, David Kafulila aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa...

READ MORE

Mwanamke wa Australia Aliyeshtakiwa kwa Ugaidi Aachiliwa kwa Dhamana

  Mwanamke wa Australia ambaye ameshitakiwa kwa kuingia kwa hiari kwenye eneo linalodhibitiwa na kundi la Islamic State nchini Syria...

READ MORE

Nmb Yaanza Mwaka Kwa Kusambaza Upendo Kupitia MastaBataKoteKote

   Benki ya NMB imeanza mwaka kwa kusambaza upendo kupitia kampeni ya #MastaBataKoteKote kwa kumzawadia mshindi wa pikipiki mpya aina...

READ MORE

Bot Yabaini Ongezeko la Udanganyifu wa Miamala ya Kifedha

  Benki Kuu ya Tanzania imebaini kuongezeka kwa udanganyifu wa fedha nchini unaohusisha mwananchi kupokea taarifa hati au barua pepe...

READ MORE

Waziri Mkuu Aweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Januari 6, 2023 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa shule ya sekondari ya wasichana...

READ MORE

IGP Afanya Mabadiliko Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Songwe na Rukwa 

IGP Camillus Wambura amemhamisha aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Fortunatus Muslim kwenda kitengo cha miopango makao makuu...

READ MORE

Watu 16 Wafariki Katika Ajali ya Basi na lori Nchini Uganda leo – Picha

WATU 16 wameuawa wakati basi la abiria lilipogonga lori moja leo Ijumaa asubuhi Desemba 6, 2023 kwenye barabara kuu ya...

READ MORE

Bado Imekuwa Vigumu Kupata Spika wa Bunge la Marekani

Kundi la wabunge 20 wa mrengo wa kulia walimzuia tena Mbunge wa California Kevin McCarthy siku ya Alhamisi kuwa spika...

READ MORE

Mauji ya Utah: Mwanaume aua Familia Yake Baada ya Mke Kuitisha Talaka

Mwanaume mwenye umri wa miaka 42 amewapiga risasi watu saba wa familia yake kabla ya kujiua katika jimbo la Utah...

READ MORE

Leo Tigo Ilivyogawa Mamilioni na Vifaa vya Hisense Kwa Washindi wa Ndinga la Kishua

Dar es Salaam, 6 Januari 2023:Mwenye bahati habahatishi: Ndivyo ambavyo unaweza kusema wakati Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo...

READ MORE

Msemaji wa Simba Amkataa Bobosi Byaruhanga “Hatuna Mpango wa Kumsajili”

MENEJA wa Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amefunguka na kusema kuwa katika dirisha hili dogo la usajili hawana mpango...

READ MORE

Mtoto wa Rais wa Equatorial Guinea Achunguzwa kuhusiana na Madai ya Utekaji

Mtoto wa kiume wa rais wa muda mrefu wa Equatorial Guinea anachunguzwa kuhusiabna na madai ya utekaji na mateso. Wadadisi...

READ MORE

Amazon Kuwaachisha Kazi Zaidi ya Watu 18,000 ili Kupunguza Gharama

Amazon inalenga kufunga Zaidi ya nafasi 18,000 za kazi ili kupunguza gharama, bosi wa kampuni hiyo kubwa ya teknolojia anasema....

READ MORE

Halotel Tanzania Yakabidhi Gari Jipya la Promosheni ya 7bang Bang

  Kampuni ya Mawasiliano nchini ya Halotel Tanzania PLC leo imekabidhi zawadi kwa mshindi mkuu aliyejishindia gari aina ya IST...

READ MORE

NECTA Yatangaza Matokeo ya Darasa la Nne, Kidato cha Pili, Ufaulu Washuka

  Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne na kidato cha...

READ MORE

Mama na Binti yake Wahukumiwa kwa Kuuza Viungo vya Miili ya Wafu

Mmiliki wa zamani wa Chumba cha kuhifadhu maiti na mama yake wamehukumiwa kifungo cha jela huko Colorado baada ya kupasua...

READ MORE

Latra Yapandisha Nauli Za Mabasi Ya Mwendokasi, Teksi Na Pikipiki Za Mtandaoni

Kuanzia Januari 16, 2023 Nauli ya Mabasi ya Mwendokasi itakuwa Tsh. 750 kutoka 650, njia ya mlisho (Feeder Route) ni...

READ MORE

Rais Samia Aipangua Ikulu, Diwani Athuman Awa Katibu Mkuu Ikulu, Katanga Balozi Marekani

Rais Samia Januari 3, 2023 amefanya uteuzi wa viongozi wanne akiwemo Said Hussein Nassoro kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama...

READ MORE

Rais Dkt. Hussein Mwinyi Apokea Msaada Kutoka NMB Wa Vifaa Tiba Hospitali Ya MiCheweni Pemba

Benki ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya tiba mbalimbali kwa Hospitali ya Wilaya ya Micheweni Pemba ikiwa ni utekelezaji...

READ MORE

Rais wa Brazil Aongoza Mazishi ya Bingwa wa Kandanda Pele -Video

Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva Jumanne anaongoza mazishi ya bingwa wa kandanda Pele ambaye atakumbukwa kama mchezaji...

READ MORE

Rais Samia Aruhusu Mikutano ya Hadhara kwa Vyama vya Siasa Nchini-(Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Januari 3, 2023 ameondoa rasmi tangazo la kuzuia mikutano...

READ MORE

Wabunge Wahukumiwa Kifungo cha miezi 6 Jela kwa Kumshambulia Mwenzao

MAHAKAMA nchini Senegal imewahukumu wabunge wawili siku ya Jumatatu kifungo cha miezi sita jela kwa kosa la kumshambulia mwenzao aliyekuwa...

READ MORE

Wabunge Marekani Kumchagua Spika Mpya, Kevin McCarthy wa California Atajwa

Kikao cha 118 cha Bunge la Marekani kinafunguliwa rasmi leo Jumanne na matarajio yakiwa mengi. Jambo kubwa linalotupiwa macho zaidi...

READ MORE

Dubai Yafuta 30% ya Ushuru wa Pombe na Ada ya Leseni Kukuza Utalii

Dubai imefutilia mbali ushuru wake wa 30% wa pombe katika jitihada za kuimarisha utalii. Pia itaacha kutoza leseni za pombe...

READ MORE

Familia ya Watu Sita Yapoteza Maisha Kwenye Ajali Mbaya ya Gari

  Yapo baadhi ya mambo ambayo bora usimuliwe tu! Omba yasikukute. Familia ya watu sita akiwemo baba, Khumbulani Togara, mama...

READ MORE

Kaburi la pamoja la watu 18 Lagundulika Libya, Serikali Yawataja Islamic State

Serikali ya Libya, Jumapili imesema wamegundua miili 18 ya watu waliozikwa kwenye kaburi la pamoja katika mji wa kati wa...

READ MORE

Mazishi ya Papa wa Zamani Benedict XVI Yatafanyika Jan 5, Kuongozwa na Papa Francis

Mazishi ya Benedict XVI yatafanyika Alhamisi Januari 5, 2023 na yataongozwa na Papa Francis, Vatican imesema. Kiongozi wa Ujerumani atoa...

READ MORE

Nmb Sengerema, Chato Watoa Msaada wa Magodoro na Kompyuta

Katika kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya sita katika kuhudumia wananchi, Wafanyakazi wa benki ya NMB kutoka matawi...

READ MORE

Papa Benedict XVI Afariki Dunia Akiwa na Umri wa Miaka 95

    Papa wa zamani Benedict XVI amefariki dunia katika makazi yake Vatican, akiwa na umri wa miaka 95, karibu...

READ MORE

Yanga Yawaandalia Dozi Nzito Mtibwa Uwanja wa Manungu leo

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa unahitaji kupata matokeo mazuri dhidi ya Mtibwa Sugar ili waendelee kusalia kileleni mwa msimamo...

READ MORE

Chama cha Watu Wenye Ualbino- TAS Wapata Msaada wa Vifaa

Katibu Mkuu Chama cha Watu Wenye Ualbino Mkoa wa Dar Es Salaam Gaston Mcheka ametoa shukrani baada ya kupokea vifaa...

READ MORE

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zuhura Yunus Aolewa na Fumbuka Nkwabi

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Bi. Zuhura Yunus ameolewa na Fumbuka Nkwabi Mwanakilala katika ndoa iliyofungwa siku ya Alhamisi...

READ MORE