×

Habari

Akamatwa Akisafirisha Madawa ya Kulevya, Atumia Dawa za Kienyeji Kuwakwepa Askari

JESHI la Polisi mkoa wa Arusha limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa mmoja anayesafirisha madawa ya kulevya aina mirungi katika jiji la Arusha....

READ MORE

Waziri Mkenda: Serikali Imetenga Bil 100 Ujenzi wa VETA Nchini

Serikali inayo azma ya kujenga Chuo cha Ufundi Stadi katika kila Mkoa na Wilaya nchini. Katika mwaka huu wa fedha...

READ MORE

Rais Samia Aanza Ziara Rasmi ya Kiserikali Nchini Msumbiji leo – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Septemba 21, 2022 ameanza ziara Rasmi ya Kiserikali nchini...

READ MORE

Wafanyakazi Watatu wa Tanesco Wafariki Dunia Katika Ajali ya Gari Mkoani Manyara

GARI la dharula la TANESCO mkoani Manyara limegongana uso kwa uso na lori la mizigo katika Mlima wa Logia wilayani...

READ MORE

Dawati la Jinsia Nchini Lajipanga Kutoa Elimu ya Afya ya Akili

MKUU wa Dawati la Jinsia na Watoto wa Jeshi la Polisi Tanzania, Naibu Kamishna, Mary Nzuki amewataka Askari Polisi wanaofanya...

READ MORE

Watu watano Wakamatwa Nigeria Wakiwa na Tani 1.8 za Madawa ya Kulevya

WATU watano, meneja wa ghala na wafanyabiashara wa dawa za kulevya wanne akiwemo mmoja aliyetajwa kuwa raia wa Jamaica walikamatwa...

READ MORE

Viongozi Katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa Wanalaani Vita vya Urusi Nchini Ukraine

UVAMIZI wa Russia dhidi ya Ukraine umechukua nafasi kubwa katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, huku Ujerumani na Ufaransa...

READ MORE

Katibu Mkuu wa UN Asema Dunia Ipo Hatarini Kupooza Wakati Mkutano wa Kilele Ukiendelea

KATIKA tathimini ya kutisha, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amewaonya viongozi wa dunia kwamba mataifa yamekwama katika...

READ MORE

NBC na Kampuni ya Kanu Equipment Kutoa Mikopo Nafuu ya Vifaa vya Kilimo

    BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) kwakushirikiana na KANU EQUIPMENT jana wametia saini mkataba wa maridhiano ili kutoa...

READ MORE

HKMU, WKU kushirikiana kwenye tafiti za kitaaluma

  CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeingia makubaliano na Chuo Kikuu cha Western Kentucky cha Marekani (WKU)...

READ MORE

Zaidi ya 3,000 Wasajiliwa Kushiriki Nmb Marathon

  LICHA ya washiriki zaidi ya 3,000 kujisajili kushiriki Mbio za Hisani za NMB Marathon 2022, Benki ya NMB imeeleza...

READ MORE

MDH Na BUDES Wahamasisha Chanjo Mkoa Wa Kagera

Mashirika mawili yasiyo ya kiserikali Bukoba Developers (BUDES) na Management Development for Health (MDH) yameungasha nguvu ya utoaji elimu juu...

READ MORE

Liz Truss Aridhia Makubaliano ya Kibiashara Kati ya Uingereza na Marekani kwa Miaka Kadhaa

WAZIRI Mkuu akielekea kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa aliwaambia waandishi wa habari siku ya Jumanne: “Kwa sasa hakuna...

READ MORE

Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Wambura Awahamisha Kazi Kamanda wa Geita na Tanga

  MKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Camillus Wambura amewahamisha mikoa ya kazi baadhi ya makamanda wa polisi wa mikoa...

READ MORE

Israel Yamteua Balozi wa Uturuki kwa Mara ya Kwanza Tangu Mwaka 2018

ISRAEL itakuwa na balozi nchini Uturuki kwa mara ya kwanza baada ya miaka minne, ikiwa ni hatua ya hivi punde...

READ MORE

Mhandisi wa Marekani Aachiwa na Kundi la Taliban Walimshikilia Mateka Tangu 2020

Kundi la Taliban limemwachilia mhandisi wa Marekani ambaye walikuwa wamemshikilia mateka tangu 2020 ili kubadilishana na kiongozi wa kikabila wa...

READ MORE

Afariki Alipokua Akimkimbiza Mumewe Baada ya Kumuona Akiwa na Mwanamke Mwingine

MWANAMKE mmoja kutoka nchini Nigeria amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari wakati akimfukuzia mumewe aliyekuwa na mwanamke mwingine...

READ MORE

Mrembo Dar Jela Miaka 30 kwa Kosa la Kukamatwa na Bangi

  MKAZI wa Tandika wilayani Temeke mkoani Dar es Salaam, Hadija Chikundi (31) amehukumiwa kwenda jela kutumikia kifungo cha miaka...

READ MORE

Ni Kidijitali Zaidi kwa Wateja wa Benki ya Azania, Yaja na Sapraiz Kwa Wateja Wake

    BENKI ya Azania inayomilikiwa na mifuko ya hifadhi ya jamii imezindua huduma ya Azania Tap & Go ikiwa...

READ MORE

Waziri wa Afya Uganda Athibitisha Kuzuka Upya kwa Virusi vya Ebola

WAZIRI wa afya amewaambia waandishi wa habari kwamba mwathiriwa alikuwa ameonyesha dalili kabla ya kuugua ugonjwa huo.   Alikuwa mkazi...

READ MORE

China Inakabiliwa na Shinikizo kwa Umoja wa Mataifa Kuchukua Hatua Baada ya Ripoti ya Xinjiang

WANADIPLOMASIA na watetezi wa haki za binadamu wanazidisha shinikizo kwa Umoja wa Mataifa kuchukua hatua juu ya jinsi China inavyowatendea...

READ MORE

Urusi na China Zakubaliana kupanua Wigo wa Kiusalama Katika Kuendeleza Uhusiano Wao wa Kiusalama

AFISA wa ngazi ya juu wa usalama wa Urusi ametangaza katika ziara yake nchini China kwamba Kremlin inazingatia kuimarisha uhusiano...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Uingereza Aahidi Dola Bilioni 2.63 kwa Ajili ya Vita ya Ukraine Mwaka 2023

LIZ Truss ambaye ni Waziri Mkuu wa Uingereza anatarajiwa kuwaambia viongozi wa dunia kwamba uungaji mkono wa Uingereza kwa juhudi...

READ MORE

Milioni 29: Kutana na Mfalme, Hongera kwa Bingwa wa Beti Wiki Hii na Meridianbet!

Unaanzaje wiki yako? Kutana na mfalme wa beti kutoka Meridianbet wiki hii! GM, mteja wetu bingwa kutoka Morogoro ameanza vyema...

READ MORE

Wakaguzi wa Taiwan Wapiga Vita Dhidi ya Habari za Uongo Kutoka China

CHINA ilipokuwa ikijiandaa na mazoezi makubwa ya kijeshi karibu na Taiwan mwezi uliopita, Billion Lee alikuwa na shughuli nyingi kukabiliana...

READ MORE

Serikali ya Uganda na Tanzania Zapinga Azimio la EU kuhusu Bomba la Mafuta na Gesi

SERIKALI za Uganda na Tanzania zinapingana dhidi ya azimio lililopitishwa na Umoja wa Ulaya, linalotaka ulinzi wa mazingira na haki...

READ MORE

Biden Anasema Majeshi ya Marekani Yatailinda Taiwan Kutokana na Uvamizi wa China

RAIS wa Marekani Joe Biden amesema vikosi vya Marekani vitailinda Taiwan kutokana na uvamizi wa China, ikiwa ni dalili tosha...

READ MORE

Shaka: Rais Samia Amewaumbua Waliobeza Miradi ya Kimkakati

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema Chama hicho kinaridhishwa na...

READ MORE

Wanachama AAFP Wafurahia Sera Mpya Yenye Mrengo wa Kijinsia

    MTANDAO wa jinsia nchini, TGNP kwa kushirikiana na shirika la Kimataifa la WiLDAF umeendelea kutoa muongozo kwa vyama...

READ MORE

NMB Yazindua Tawi la 11 Mkoani Tanga 

WANANCHI wa Mkoa wa Tanga, hasa wanaojihusisha na kilimo, uvuvi, biashara na wajasiriamali, wametakiwa kutumia vema fursa zitokanzo na uzinduzi...

READ MORE

GGML, RC Geita Wazindua Mpango wa Upandaji Miti

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita na Halmashauri ya...

READ MORE

Mch. Masanja awataka viongozi kuwa kioo cha jamii

MSHAURI wa masuala ya itifaki na uongozi bora, Mchungaji Emmanuel Masanja, amewataka viongozi kufanya mambo yenye maadili wakiwa mwangani au...

READ MORE

Dkt. Mayala ashusha nondo 5 za kiongozi bora

MTAALAM wa ushauri wa mambo ya uongozi, utawala na menejimenti, Mchungaji Dk. Joseph Mayala, ametaja mambo matano ambayo kiongozi anatakiwa...

READ MORE

Rais Samia Ateua Wakurugenzi, Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi wa Bodi ya TCRA

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Sosthenes Laurent Kewe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Maendeleo ya Tanzania...

READ MORE

Polisi Yaua Wahalifu Sita Sugu wa Unyang’anyi Eneo la Makongo Dar es salaam

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ACP Jumanne Muliro leo Jumapili Septemba 18, 2022 amesema Jeshi la...

READ MORE

Rais Biden, Samia Wawasili London, Viongozi 500 Kutoa Heshima za Mwisho kwa Malkia

    Rais wa Marekani Joe Biden na Samia Suluhu wa Tanzania ni miongoni mwa viongozi waliowasili jijini London tayari...

READ MORE

Awekwa Chini ya Ulinzi kwa Kosa la Kulisogelea Jeneza la Malkia Elizabeth II

MTU mmoja ambaye jina lake halijawekwa wazi amewekwa chini ya ulinzi baada ya kulisogelea jeneza la Malkia Elizabeth ambapo alitoka...

READ MORE

Zaidi ya Watu 130 Wafariki Kutokana na Mafuriko Nchini Sudan

ZAIDI ya watu 130 wamefariki dunia na wengine kadhaa wamenusurika kifo kwa sababu ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko...

READ MORE

Kampuni ya Meridianbet Waunga Mkono Kampeni ya Buku ya Hedhi Salama

Meridianbet wameunga mkono jitihada za kampeni ya Buku ya Hedhi salama inayoratibiwa na Shufaa Hemed Nasoro. Kampeni hii ilikuwa imelenga...

READ MORE

Kanali Ahmed azindua tiketi za pambano la Kiduku Mtwara

MKUU wa Mkoa wa Mtwara,  Kanali Ahmed Abass jana ameufungua mkoa wa Mtwara kwa kuzindua uuzaji wa tiketi za kuelekea  katika pambano...

READ MORE