×

Habari

Vijana Waliokufa kwenye Klabu Afrika Kusini Wazikwa

  Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa akiwa msibani baada ya kuhudhuria mazishi ya vijana waliokufa kwenye klabu nchini mwake...

READ MORE

Mahujaji Wamiminika Mecca kwa Ajili ya Hijja

BAADA  ya miaka miwili kupita bila mahujaji kuhudhuria ibada ya Hijja, mji mtakatifu wa Mecca uliopo Saudi Arabia umeanza kuonyesha...

READ MORE

CRDB Yaanda Semina ya Uwezeshaji kwa Wafanyabiashara Mtandaoni

  Katika kuendeleza jitihada zake za kuwajengea uwezo na kuwawezesha wajasiriamali vijana nchini, Benki ya CRDB leo imetangaza kuandaa semina...

READ MORE

Mfalme wa Cocaine wa Milan Arudishwa Italia Baada ya Kukamatwa Brazil

MMOJA wa watu wanaosakwa sana nchini Italia, Rocco Morabito, amelabidhiwa kwa serikali ya Italia huko Roma baada ya kusafirishwa kutoka...

READ MORE

Idris Sultan, Alamba Shavu la Ubalozi Kampeni ya Uhamasishaji ya M-Pesa Imeitika

    Dar es Salaam, 6 Julai 2022. Vodacom Tanzania, kampuni ya huduma za teknolojia na mawasiliano inayoongoza, leo imezindua...

READ MORE

Tigo na Samsung Kutoa Ofa na Zawadi Unaponunua Samsung Galaxy A33, A53 na A73

Leo Julai 7 2022, Kampuni inayoongoza nchini kwa utoaji wa huduma za Kidigitali Tigo , kwa kushirikiana na Kampuni ya...

READ MORE

NMB Yazindua Tawi Buhongwa Mwanza, Yasaidia Serikali Kukusanya Trilioni 8.6.

  Benki ya NMB imeendelea kujidhatiti kibiashara na kujiimarisha kulihudumia taifa kupitia mtandao wake wa matawi ambao sasa umefikia matawi...

READ MORE

Uamuzi wa Kesi ya Akina Halima Mdee, Wenzake Washindwa Kutolewa..

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imeahirisha kutoa uamuzi wa maombi ya Halima Mdee na wenzake 18...

READ MORE

Mkuu Mpya wa Majeshi Akipokelewa kwa Gwaride Jijini Dodoma-Video

MKUU mpya wa Majeshi, Jenerali Jacob John Mgunda, amepokelewa kwa shangwe jijini Dodoma leo Julai 06, 2022. 

READ MORE

Msafara wa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari Washambuliwa kwa Risasi

WATU  wenye silaha wameshambulia msafara wa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari huko Katsina, jimbo anakotoka kaskazini mwa nchi hiyo. Kwa...

READ MORE

Mahakama ya Kisutu Yapeleka Mbele Kesi ya Uhujumu Uchumi Inayomkabili Mfanyabiashara Jiteshi

Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili fanyabiashara Jiteshi Ladwa, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirishwa mpaka Julai 18 mwaka huu...

READ MORE

Rais Samia Atoa Tamko Zito Ujenzi wa Viwanja vya Mpira wa Miguu Dar na Dodoma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa maelekezo kwa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kutumia...

READ MORE

Rais Samia Aelekea Senegal Kuhudhuria Mkutano Jumuiya ya Maendeleo Afrika-Picha

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo Julai 6, 2022 kuelekea Dakar, nchini...

READ MORE

Airtel Yahitimisha Promosheni ya Tesa Kimilionea, Yaahidi Neema Nyingine

    KAMPUNI ya mtandao wa simu za mkononi ya Airtel kupitia huduma yake ya Aitel Money, leo imefikia kilele...

READ MORE

Taarifa za Wagonjwa Sasa Kuhifadhiwa na Jukwaa la AfyaRekod

JUKWAA  mahususi kwaajili ya wagonjwa yaani ‘Universal Patient Portal’ linalojiendesha kikamilifu kiteknolojia kuendana na mnyororo (Blockchain technology) ambalo litabadilisha sura...

READ MORE

Serikali Yaendeleza Mpango Mkakati wa Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Yasiyoambukiza

    SERIKALI kupitia wizara ya afya inaendelea na mkakati wa kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza ili kuifanya jamii iepukane...

READ MORE

Naibu Waziri Kilimo, SBL Waongoza Wakazi Dodoma Kupanda Miti, Kuondoa Ukame

  Dodoma, Julai 6, 2022 – Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kwa mara ya pili, leo imeungana na viongozi...

READ MORE

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Yaridhishwa na Miradi Pori la Akiba la Mkungunero

 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati, Mhe. Daniel Sillo ( Mb) imefanya ukaguzi wa...

READ MORE

Waziri wa Elimu: India Itasaidia Tanzania Kuanzisha Taasisi ya Kiteknolojia

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof Adolf Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India nchini Tanzania...

READ MORE

Rais Samia Apongeza Ujenzi wa Jengo la Mama na Mtoto CCBRT- Msasani Dar es Salaam

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepongeza jitihada na ubora wa ujenzi wa jingo la Mama...

READ MORE

NECTA Yatangaza Matokeo ya Mtihani wa Ualimu (DSEE) 2022, Yasome Hapa

BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na ualimu kwa mwaka 2022 ....

READ MORE

Breaking: Matokeo ya Kidato cha Sita na Ualimu Yatangazwa, Yatazame Hapa

  BARAZA la Mitihani la Tanzania leo tarehe 5/07/2022 limetangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu 2022....

READ MORE

Live: Rais Samia Anazindua Jengo la Mama na Mtoto Ccbrt Msasani – Dar Es Salaam-Video

RAIS Samia leo Julai 5, 2022, amefika na kuzindua jengo jipya na la kisasa katika hospitali ya CCBRT ambapo amepata...

READ MORE

Afande Sele: Ni Laana Kumdharau Mama Aliyekuzaa kwa Upasuaji

AFANDE SELE; ni rapa mkongwe wa kutema mistari ya muziki kutoka nchini Tanzania ambaye hatimaye amezungumzia tatizo la kiafya ambalo...

READ MORE

Rais Samia Asema Mkoa wa Tabora Utakuwa Kitovu cha Biashara, Asifia Miundombinu Yake

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Mkoa wa Tabora unatarajiwa kuwa kitovu cha biashara...

READ MORE

Live: Rais Samia Ashuhudia Utiaji Saini Mkataba wa Ujenzi wa SGR-Video

RAIS Samia leo julai 4, 2022, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa SGR hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar...

READ MORE

Breaking News: Watu Saba Wafariki kwa Ajali ya Gari, Chamwino, Dodoma

  WATU saba wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha gari aina ya Toyota Landcruiser yenye namba za...

READ MORE

Kusah: Mwendo Nimeumaliza Kwa Aunty Ezekiel, Ukweli ni Nimeshikwa na Nikashikika

  Kusah; ni staa mwingine mkubwa wa Bongo Fleva ambaye anafunguka kuwa, kwa mahaba anayopewa na mzazi mwenzake, muigizaji Aunty...

READ MORE

Raila Odinga: Haya Ndiyo Makubwa Nitakayofanya Nikiwa Rais wa 5 wa Kenya

  Mgombea wa Urais nchini Kenya Raila Odinga, ameahidi wakenya maisha mema ambayo kila mkenya atafurahia katika utawala wake endapo...

READ MORE

Gekul: Tumejipanga Kuendeleza Mashindano ya Utamaduni Kila Mwaka

  Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul amefungua mashindano ya Utamaduni yanayohusisha ngoma na vyakula vya...

READ MORE

Madaktari Kutoka Korea Kusini Wawasili Nchini Kutoa Huduma za Kitabibu

JOPO la madaktari 24 kutoka Korea Kusini, leo Julai 2, 2022 wamewasili nchini na kupokelewa katika Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Waziri Jafo Azindua PETCO Kuimarisha Ukusanyaji Plastiki na Kuzichakata

    Julai 2, 2022: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mh. Dk. Selemani Said...

READ MORE

Meridianbet Waanzisha Shindano la Mikwaju ya Penati Kuisaidia Jamii

Meridianbet inaendesha shindano la upigaji wa mikwaju yake penati kwa ajili kuchangisha fedha ambazo lengo la ukusanyaji wa fedha hizo...

READ MORE

Waziri Nape: Mtakuwa na Uwezo wa Kuiangalia Dunia Kutokea Msomera

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye, amesema, zoezi la kuboresha huduma za Mawasiliano katika makazi...

READ MORE

RC Makalla Akiri Athari za Madawa ya Kulevya ni Kubwa katika Jiji la Dar es Salaam

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amekiri mbele ya mgeni rasmi Waziri wa Jamhuri ya Muungano wea...

READ MORE

Live: Waziri Mkuu Anashiriki Siku ya Mapambano Dhidi ya Matumizi ya Dawa ya Kulevya-Video

LEO Julai 02, 2022 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki hafla ya maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupambana na dawa...

READ MORE

Mh. Ridhiwani Ateta na Maafisa Ardhi na Kuwakumbusha Kutimiza Wajibu Wao

  BAADA ya ufungaji wa Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makazi yaliyofanyika Chuo Cha Mkwawa, Iringa Mhe....

READ MORE

PSSSF Yaboresha Huduma Kwa Wastaafu, Yaja na Uhakiki Kwa Njia ya Bio-Metric

  KATIKA kuhakikisha Wastaafu wanapata huduma kwa haraka na kwa urahisi zaidi, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa...

READ MORE