×

Habari

Mwanajeshi wa Ukraine Ajitolea Kifo Ili Kuwaokoa Wenzake

  Picha za video zimeonesha mwanajeshi mmoja wa Ukraine aliyeamua kujitoa mhanga ili kuwazuia wenzake wasishambuliwe na majeshi ya Urusi...

READ MORE

Wanaovaa Nguo Fupi Wakamatwa,Wapigwa Faini Mifuko Mitano ya Saruji

KATIKA jambo ambalo sio la kawaida, kumeibuka mjadala mzito kwa baadhi ya wananchi wa wilaya ya Makete mkoani Njombe mara...

READ MORE

Meli Kubwa ya EGT Southern Cross Kubeba Makaa ya Mawe Kupitia Bandari ya Mtwara

  MELI ya MV. EGT Southern Cross inatarajia kusafirisha Tani 59960 za Makaa ya Mawe kwenda Amsterdam Uholanzi, hii ikiwa ni...

READ MORE

A-Z Mume Kuua Mke kwa Risasi 7

  Tukio la mauaji ya mwanamke aitwaye Swalha ambaye alikuwa akijishughulisha na masuala ya urembo (make-up artist) kuuawa na mumewe...

READ MORE

Mo Dewji: Najivunia Kuwekeza Simba, Tupo Nafasi Ya 12 Afrika

Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kwa miaka mitano iliyopita ya...

READ MORE

Barua ya Rais Samia Yasomwa Bungeni, Ni Kuhusu Tuzo ya Babacar Ndiaye

RAIS Samia Suluhu Hassan, ameliandikia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, barua ya salamu za shukrani kuwashukuru wabunge kwa...

READ MORE

Soko la Vetenari, TAZARA Lateketea Kwa Moto Usiku wa Manane

SOKO la Vetenari lililopo maeneo ya Tazara jijini Dar es Salaam limeteketea kwa moto ulioanza majira ya saa nane za...

READ MORE

Chongolo Awaasa Wananchi Shinyanga Kutunza Miundombinu ya Maji

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Daniel Chongolo amewasihi wananchi hasa wanao jihusisha na shughuli za uchimbaji wa madini...

READ MORE

LIVE: BUNGE LIMEPAMBA MOTO, WABUNGE WANAIULIZA SERIKALI MASWALI MAGUMU

KARIBU utazame kikao cha Bunge la 12, leo Mei 30, 2022 wabunge wanaendelea na utaratibu wa kawaida wa kuibana Serikali...

READ MORE

Tasisi ya Jessy Foundation Yatoa Msaada Kituo Cha Watoto Yatima

Mama mmoja anayejulikana kwa jina la Hidaya Mtaremwa mkazi wa kibada wilaya ya kigamboni Dar ea salaam amefunguka na kusema...

READ MORE

Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Ashinda Tuzo ya Mtendaji Bora Barani Afrika 2022

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, mwishoni mwa wiki alitangazwa kuwa mshindi wa kipengele cha Afisa Mtendaji...

READ MORE

Nbc Yaandaa Chakula cha Jioni Kwa Ajili ya Wateja Wake,Wajadili Matarajio ya Mbele

BENKI ya NBC yaandaa Chakula cha Jioni kwaajili ya wateja wake katika hoteli ya Hyatt  Regancy  the Kilimanjaro jijini Dar...

READ MORE

Putin Ahimizwa Kufanya Mazungumzo ya Moja kwa Moja na Rais wa Ukraine Zelensky

Viongozi wa Ufaransa na Ujerumani wamemhimiza Vladimir Putin wa Urusi kufanya mazungumzo ya moja kwa moja  mazito na rais wa...

READ MORE

Diamond Apiga Shoo ya Kibabe Mwanza, Manara Apanda Stejini – (Picha+Video)

  Usiku wa kuamkia leo Mei 29, 2022 staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul “Diamond Platnumz” amefanya shoo yake katika...

READ MORE

Mo Awapongeza Yanga, Ataka Uamuzi Mgumu Ufanyike Simba Kusonga Mbele

Baada ya mchezo huo, Rais wa Heshima wa Simba, Mohamed Dewji, aliandika kwenye mtandao wa kijamii kwamba: “Hongereni watani! Huu...

READ MORE

Swissport Yatangaza Gawio Kwa Wanahisa Wake la Sh. 29.8

Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ya swissport imetangaza gawio kwa wanahisa wake la Shilingi 29.8 kwa hisa kwa mwaka 2021...

READ MORE

Benki ya Exim Yakabidhi Msaada wa Madawati 100 Shinyanga

BENKI ya Exim Tanzania imekabidhi msaada wa madawati 100 yenye thamani ya Sh milioni 20 kwa Mkuu wa Mkoa wa...

READ MORE

Rais wa Zanzibar Dkt Mwinyi Akutana na Jumuiya ya Wahindu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo Mei 28, 2022 amekutana na Jumuiya...

READ MORE

Kijana Apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma ya Kumbaka Aliyemuahidi Kumuoa

MAHAKAMA ya Wilaya ya Makete mkoani Njombe imemsomea shtaka la ubakaji kijana Faison Alimajani Sanga (19) mkazi wa kijiji cha...

READ MORE

Amref Yasisitiza Umuhimu wa Kupata Chanjo Ya Uviko-19

MKURUGENZI MKUU  wa Program ya  Kudhibiti na kuzuia magonjwa Amref Health Africa Tanzania Dkt.Rita Mutayoba amesema kuwa  Tanzania kwa ufadhili...

READ MORE

DC Gondwe Asisitiza Usafi Kinondoni ni Kila Siku na Ada ya Usafi ni kwa Kila Familia

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe ameongoza kwa mfano katika zoezi la usafi lililofanika maeneo ya Kata ya Wazo,...

READ MORE

Mtendaji Atuhumiwa Kumiliki Genge la Uhalifu, Wananchi Wataka Kuteketeza Familia Yake

MTENDAJI wa Kijiji cha Idunda Kata ya Yakobi mjini Njombe Otimali Mbangala maarufu kwa jina la Mtendaji wa Tanzania ameibuka...

READ MORE

Trump: Acheni Kutoa Misaada Ukraine, Angalieni Usalama wa Wanafunzi Wetu Kwanza

RAIS wa zamani wa Marekani Donald Trump amesema Marekani lazima iachane na matumizi ya pesa yasiyokuwa ya lazima ya kuisaidia...

READ MORE

NMB Yapiga Tafu Milioni 20 Kinara wa Ubunifu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

  Benki ya NMB imekabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi Milioni 20 kwa kinara wa Ubunifu kutoka Chuo...

READ MORE

DC Muro Aongoza Waombolezaji Kumzika Mtoto Aliyeuawa na Tembo

MKUU wa Wilaya ya Ikungi Ndugu Jerry C. Muro leo Tarehe 27/05/2022 amewaongoza mamia ya wananchi wa kata ya Ntuntu...

READ MORE

Wanawake 16 Jijini Dar Wakamatwa kwa Kufanya Matendo ya Ngono kwa Kutumia Vifaa Hatarishi

UCHUNGUZI uliofanywa na Vyombo vya Dola umebaini kuibuka kwa baadhi ya wanawake wanaofundishana kufanya matendo ya ngono kwa kutumia vifaa...

READ MORE

Mkoa wa Tabora Kuanza Kunufaika na Huduma za Ct Scan- Prof. Makubi

KATIBU Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi amesema hospitali ya rufaa ya Kitete kuanza huduma za CT Scan hivi...

READ MORE

Ali Kiba: Usafi ni Lazima na Tabata ni Nyumbani, Tumuunge Mkono RC Makalla

MSANII wa Bongo Fleva Ali Kiba maarufu kama King Kiba leo Mei 27, 2022 ameongea na waandishi wa habari akiwa...

READ MORE

Rais Samia Ahudhuria Swala ya Ijumaa Msikiti Mkuu wa Bakwata Kinondoni Jijini Dar Es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan leo Mei akisalimiana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania...

READ MORE

Katibu Mkuu wa CCM Awasili Shinyanga kwa Ziara ya Kikazi ya Siku 9

KATIBU MKUU wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Daniel Chongolo, Ametoa Salam za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia...

READ MORE

Rais Samia Aridhia Marekebisho ya Posho ya Kujikimu kwa Watumishi wa Umma

Rais Samia leo Mei 27, 2022 ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa watumishi...

READ MORE

Kutana na Rita Mzungu wa Mwananyamala Anayetrend Mitandaoni (PICHA+VIDEO)

RITA FRENZEL ni mzungu raia wa Marekani ambaye anafanya kazi ya Sanaa ya vichekesho na anafanya vizuri mitandaoni kutokana na...

READ MORE

Marekani Yataifisha Jumba la Kifahari la Rais wa Zamani wa Gambia Yahya Jammeh

  WIZARA ya Sheria ya Marekani inasema imefanikiwa kutwaa jumba la kifahari lililonunuliwa na rais wa zamani wa Gambia Yahya...

READ MORE

Gwajima: Migogoro ya Ardhi Kinondoni Inachochewa na Viongozi wa Serikali

Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Josephat Gwajima amesema migogoro ya ardhi Wilaya...

READ MORE

Hospitali Yachunguzwa na Polisi Baada ya Mjamzito Kutolewa Figo Bila Kujitambua

Polisi wilayani Mubende nchini Uganda wanachunguza kuhusu madktari wasio waaminifu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa baada ya kudaiwa kutoa...

READ MORE

Kansela Scholz: Putin Hatoshinda Vita Ukraine, Rais Putin Akikiri Vikwazo ni Tatizo

  Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amerejelea kauli yake kwamba Rais wa Urusi Vladimir Putin hatoshinda vita nchini Ukraine, wakati...

READ MORE

Kimewaka: Selesini Amvaa Mbatia, Vigogo Lukuki Mikononi Mwa Takukuru | Front Page -Video

KARIBU kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini....

READ MORE

Mayele: Simba Hatuwaachi Jumamosi Kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza

MSHAMBULIAJI tegemeo wa Yanga, Fiston Mayele, amesema kuwa ili wafanikiwe kubeba makombe yote mawili yaliyobaki, ni lazima wawafunge watani wao,...

READ MORE

Taasisi ya Dkt Mengi Kuandaa Hafla Maalum kwa Ajili ya Walemavu 1000

TAASISI ya ‘Dk Reginald Mengi Foundation’ (DRMF) kwa kushirikiana na Marafiki wa Dk Mengi wameandaa hafla maalum itakayowakutanisha watu wenye...

READ MORE