×

Habari

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu, Julai 18, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 18, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

NMB na Neema Mpya Kwa Wakulima,Wavuvi na Wafugaji Nchini

  KWA mara ya kwanza wakulima, wavuvi na wafugaji nchini wataweza kupata mikopo kutoka Benki ya NMB kwa riba nafuu...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Awapongeza Wahandisi Singida Kwa Ubunifu wa Daraja la Mawe

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua daraja la mawe lenye urefu wa mita 30 na upana wa mita saba lililojengwa katika...

READ MORE

Mfungwa Aliyewapa Wenzake Mimba Ahamishwa Gereza, Kuzuia Asije Akawapa Wengine

  MFUNGWA Demi Minor (27), ambaye miezi michache iliyopita alizusha gumzo kubwa baada ya kuwapa ujauzito wafungwa wenzake katika Gereza...

READ MORE

Benki ya Stanbic Watilia Mkazo Ahadi yao Kusaidia Sekta ya Elimu Kuunga Mkono Juhudi za Serikali

BENKI ya Stanbic Tanzania imetilia mkazo ahadi yake ya kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali za kuboresha elimu kwa kuboresha...

READ MORE

Polisi Kariakoo Wapiga Bonge Jogging na Wananchi Wakihamasisha Uzalendo

  JESHI la Polisi Wilaya Kipolisi ya Kariakoo, jijini Dar jana Jumamosi limefanya jogging na wananchi wa eneo hilo kumalizia...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili, Julai 17, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 17, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Rais Joe Biden Akutana na Viongozi wa Mataifa ya Kiarabu Jeddah Saudi Arabia

RAIS wa Marekani Joe Biden leo anatakuna na viongozi wa mataifa ya kiarabu kwenye mji wa mwambao wa Jeddah nchini...

READ MORE

Jaji Mkuu Prof. Juma Awaasa Mahakimu Wapya Kutofungwa na Kanuni za Kiufundi Wanapotoa Haki..

Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma amewaasa Mahakimu Wakazi wapya kutenda haki bila kufungwa kupita kiasi na masharti...

READ MORE

Aambiwa Ana HIV Kimakosa Atumia Dawa kwa Miaka 6, Afungua Kesi Kudai Fidia

FARIDAH  Kiconco (37); ni mama aliyeambiwa kwenye kituo cha afya kuwa ana Virusi Vya Ukimwi (HIV) kisha akatumia dawa kwa...

READ MORE

Furahia Book of Egypt, Sloti Mpya Kabisa kwa Ajili Yako!

Book of Egypt Kutoka Expanse, Mchezo Mpya Kabisa kwenye orodha ya michezo ya Book, umewasili kwa ajili yako! Bila shaka...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Julai 16, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 16, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Wananchi Wanaomiliki Ardhi Mabwepande Waiangukia Serikali Inshu ya Uvamizi

WANANCHI wanaomiliki mashamba na viwanja eneo la Mabwepande wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam, wameiomba serikali kuingilia kati kwa kuwaondoa...

READ MORE

Siku ya Wakulima Yafanyika Monduli, TBL Yajidhatiti Kuboresha Mnyororo wa Thamani

  Tanzania Breweries Limited (TBL) na wadau mbalimbali wameadhimisha siku ya wakulima wa shayiri mwaka 2022, na kujidhatiti kuboresha mnyororo...

READ MORE

Simbachawene Azindua GGM Kili Challenge 2022, Aahidi Ushirikiano

NA MWANDISHI WETU WAZIRI wa Nchi- Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) George Simbachawene amezindua harambee ya uchangiaji...

READ MORE

Waziri Bashe Awahakikishia Wadau Wa Zao La Miwa Na Tasnia Ya Sukari Maboresho Makubwa

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussen Bashe, amewataka wadau wa tasnia ya sukari kuwa na imani pamoja na kujenga mahusiano mazuri...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa: Rais Samia Hataki Mzaha na Fedha za Umma

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan iko...

READ MORE

IGP Sirro Afanya Mabadiliko ya Makamanda wa Polisi wa Mikoa Nchini

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania IGP Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo ya Makamanda wa Polisi wa Mikoa.

READ MORE

Bilioni 18 za Tarura, Neema kwa Wanambeya, Kutumika Kwenye Miradi ya Barabara na Madaraja

Wananchi Mkoani Mbeya wanatarajia kunufaika na kiasi cha shilingi bilioni 18.2, pesa zilizotengwa kutekeleza miradi mbalimbali ya barabara na madaraja....

READ MORE

Rais Samia Awasili Visiwani Pemba kwa Ziara ya Kikazi- Picha

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili visiwani Pemba leo Julai 15, 2022 kwa ajili ya...

READ MORE

Utafiti wa WHO Wathibitisha Watu Wanaoketi Muda Mrefu Wanakufa Mapema

TAFITI mbalimbali zilizofanywa na kuthibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) zinathibitisha kwamba, watu wanaoketi kwa muda wa hadi saa...

READ MORE

Mke wa Zamani wa Donald Trump, Ivana Afariki Dunia Akiwa na Umri wa Miaka 73

MKE wa kwanza wa  Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, Ivana Trump amefariki dunia Julai 14, 2022 nyumbani kwake ...

READ MORE

Imeisha Hiyo! Hatimaye Klabu ya Yanga Rasmi Yamtambulisha Aziz Ki

Kiungo mshambuliaji  Raia wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki (26) hatimaye ametangazwa rasmi kuwa mchezaji wa klabu ya Yanga kabla...

READ MORE

GGML Yang’ara Maonesho Sabasaba, Yaibuka Muajiri Bora

KAMPUNI ya Geita Gold Mine Limited (GGML), imeendelea kung’ara baada ya kuibuka mshindi katika Maonyesho ya 46 ya Kimataifa ya...

READ MORE

Serikali Mezani na Vyombo vya Ushauri UNESCO, Wajadili Kuhusu Maeneo ya Urithi wa Dunia

WAZIRI wa Katiba na Sheria  Dkt. Damas Ndumbaro ameongoza timu ya wajumbe kutoka Tanzania waliohudhuria kikao cha pamoja na UNESCO...

READ MORE

Samia: Rais Mkapa Alithubutu Kutushawishi Kushirikiana na Sekta Binafsi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemuelezea Rais wa awamu ya tatu Hayati Benjamin William Mkapa...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi, Julai 14, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 14, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Naibu Waziri Katambi: Serikali Inajivunia Kuwa WCF

  SERIKALI imesema inajivunia Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa jinsi umeweza kufikia malengo yaliyokusudiwa kwa kuongeza matumaini kwa...

READ MORE

Katika Kuunga Juhudi za Rais Samia, Nmb Yatoa Vifaa Vya Afya, Elimu Wilya ya Lushoto

  Benki ya NMB imetoa msaada wa mabati 200 kwa Zahanati ya Kwemakame iliyopo wilayani Lushoto mkoani Tanga yenye thamani...

READ MORE

Makamu wa Rais Atoa Rai kwa Wafanyabiashara Kuzalisha Bidhaa Zenye Uhitaji Mkubwa Nchini

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ametoa rai kwa wafanyabiashara nchini kuwekeza nguvu zao...

READ MORE

Watatu wa Familia Moja Wafariki kwa Kugongwa na Gari Wakipeleka Mtoto Hospitali

WATU watatu wa familia moja akiwemo mtoto mdogo, wakazi wa kata ya Terat  katika jiji la Arusha,wamepoteza Maisha papo hapo ...

READ MORE

Waziri Jafo Aipongeza NEMC Kwa Utekelezaji wa Sheria ya Mazingira

Pongezi hizo  zimetolewa na Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mhe.Selemani Jafo alipokuwa akiongea na waandishi wahabari...

READ MORE

Nane Wafariki Ajalini, Watano wa Familia Moja

Watu nane wakiwamo watano wa familia moja ambao ni mama na watoto wake wanne, wamefariki dunia baada ya magari mawili...

READ MORE

Mwanajeshi Mstaafu Aua Wakigombea Mpaka

MSTAAFU wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), Jonas Ziganyige (71), anashikiliwa na Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam...

READ MORE

Mwizi Amuua Binti wa Kazi za Ndani na Kuuficha Mwili Huo Katika Stoo

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata na linamshikilia Selemani Haruna maarufu Kwata (24), Mkazi wa Kimara...

READ MORE

Wabunge wa Sri Lanka Kumchagua Rais Mpya Mapema Wiki Ijayo, ni Kutoka Miongoni Mwao

  Wabunge nchini Sri Lanka wamefikia muafaka wa  kumchagua rais mpya wa nchi mapema wiki ijayo lakini, licha ya kufikia...

READ MORE

UN Wametoa Taarifa Kwamba Idadi ya Watu Itaongezeka hadi Kufikia Watu Bilioni 8 kufikia Novemba 15

UMOJA wa Mataifa wametoa taarifa siku ya Jumatatu juu ya ongezeko la watu duniani ambapo inatarajiwa kwamba idadi ya watu...

READ MORE

Watu Wawili Wakamatwa Wakidaiwa Kuhusika na Tukio la Ufyatuaji Risasi Nchini Afrika Kusini

Polisi nchini Afrika Kusini wamesema kwamba wamewakamata watu wawili wanaohusishwa na moja ya mashambulizi mawili kwenye bar ambayo yalisababisha vifo...

READ MORE