×

Habari

Afariki kwa Kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

Mkazi wa Kijiji cha Gumba, Kata ya Gwata wilayani Kibaha mkoani Pwani, Bakari Mbagara (63) amefariki dunia kwa kile kinachodaiwa...

READ MORE

Bei ya Mahindi Haikamatiki Sokoni

BEI ya mahindi katika masoko mbalimbali mikoa ya Kanda ya Kaskazini (Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Manyara), haikamatiki huku bidhaa hiyo...

READ MORE

Ajiua kwa Kujinyonga Nje ya Kanisa Ibada Ikiendelea

MWANANCHI mmoja wa kaunti ya Homa Bay amejinyonga kwa kitanzi hadi  kufa nje ya kanisa wakati ibada ikiendelea.   Joshua...

READ MORE

Dkt. Tulia Achukua Fomu ya Uspika

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson leo Jumatatu, Januari 10, 2022 amechukua fomu ya...

READ MORE

Baba Amuua Mwanaye Baada ya Kumkuta Kitandani na Mpenzi Wake

Polisi wa Kaunti ya Murang’a nchini Kenya wanamshikilia mwanaume mwenye umri wa miaka 41 kwa kosa la kumuua mtoto wake...

READ MORE

Kaburi la Mtoto Lafukuliwa, Mwili Watupa Mtaani

WAOMBOLEZAJI wakiwa kwenye mazishi ya mara ya pili ya mtoto Sharifa Abasi ambaye mwili wake ulifukuliwa na watu wasiojulikana na...

READ MORE

Dkt. Tulia: Tutaikosoa Serikali kwa Nidhamu – Video

Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson akiongea katika hafla ya kuwaapisha mawaziri, manaibu na viongozi wengine, amewapongeza wote walioteuliwa na kuwashauri...

READ MORE

ECOWAS Yafunga Mipaka Mali

Mataifa ya Afrika Magharibi yamekubaliana kuiwekea Mali vikwazo vikali ikiwemo kufunga mipaka yao, kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na kuweka vikwazo...

READ MORE

Uamuzi Mdogo Kesi ya Sabaya Kutolewa Januari 14

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imepanga Januari 14, 2022 kutoa uamuzi mdogo endapo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai...

READ MORE

Stephen Masele Achukua Fomu Kuwania Uspika

ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Stephen Julius Masele leo Jumatatu, Januari 10, 2022 amechukua Fomu ya kugombea Kiti...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Washinda Pingamizi

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Jumatatu Januari 10, 2022 imekubali pingamizi la kutopokea sare za...

READ MORE

Samia: Acheni Kuwachafua, Lukuvi na Kabudi Nina Kazi Nao

Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watu kupuuza maneno maneno yanayoendelea na kwamba aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya...

READ MORE

Adaiwa Kumuua Mama Yake Kisa Mali

ZIKIWA zimepita siku kadhaa toka litokee tukio la kijana mmoja jijini Arusha kumuua mama yake mzazi Kwa tamaa ya Mali,...

READ MORE

Radi Yaua Wanne Mbeya

WATU wanne wamefariki dunia papo hapo na mwingine kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakati wakichimba kaburi katika Wilaya ya...

READ MORE

Baada ya Mwaka Mpya, Mbowe na Wenzake Warejea Tena Mahakamani

Mahakama kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi No 16, 2021 yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili...

READ MORE

Maua Ataja Sababu za Kuachana na Mzungu

Maua Sama alichagua muziki mbele ya penzi la mzungu ambaye alimtaka mwimbaji huyo aache muziki na ahamie nchini Italia ili...

READ MORE

ECOWAS Yafunga Mipaka na Mali

VIONGOZI wa Afrika Magharibi wameiwekea Mali vikwazo baada ya serikali ya kijeshi ya nchi hiyo kutangaza kuchelewesha kwa muda mrefu...

READ MORE

Mpango Kumuwakilisha Rais Samia Mkutano wa SADC

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo tarehe 10 Januari 2022 anaondoka...

READ MORE

Kilimanjaro: Binti Adaiwa Kumuua Mama Yake Kwa Tamaa Ya Mali

Katika Manispaa ya Moshi binti mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Wendy amemuua mama yake mzazi (Mama Ipepu) ambaye ni...

READ MORE

CCM Yaanza Kumsaka Mrithi wa Ndugai – Video

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuanza mchakato wa kumsaka mrithi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya...

READ MORE

Kanali Ilonda: “JWTZ Haijihusishi na Siasa”

Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Luteni Kanali Gaudentius Gervas Ilonda amewataka Watanzania kupuuzia taarifa zinazosambaa katika mitandao...

READ MORE

Video: DC Mwaisumbe Awapa Shule Lisu Na Mbatia Sakata La Ndugai Kujiuzulu

 Baada ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, Januari 06, 2022 kumekuwa na maneno kutoka...

READ MORE

Rais Samia Ateua Makatibu na Manaibu Katibu Wakuu

Rais Samia Suluhu Hassan Jumamosi Januari 8, 2022 ameteua makatibu na manaibu katibu wakuu.

READ MORE

Rais Samia Atangaza Baraza Jipya la Mawaziri, Tazama Mkeka Hapa – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Akitangaza mabadiliko hayo Jumamosi Januari 8, 2021 Ikulu jijini...

READ MORE

Shisha Kirusi Kipya Hatari kwa Mastaa

PAMOJA na kupigwa marufuku nchini Tanzania, lakini kasi ya uvutaji wa kilevi aina ya shisha, imerejea upya na kusababisha hatari...

READ MORE

Maafisa wa Polisi Wauawa kwa Kuviziwa

Maafisa wanne wa polisi wa Kenya wameuawa katika shambulizi la kuvizia katika eneo la pwani linalopakana na Somalia. Shambulizi hilo...

READ MORE

Phiri Asaini Yanga

UKISIKIA jeuri ni hii ambayo wameifanya mabosi wa Yanga ambapo kwa sasa wanasubiria muda tu kwa ajili ya kumtambulisha kiungo...

READ MORE

Aweka Mabango Makubwa Kusaka Mke

  Mwanaume mmoja ambaye hajaoa anatumia mabango makubwa yenye ujumbe mwingi-ndani katika harakati zake za kupata mke. Muhammad Malik, 29,...

READ MORE

Achomwa Moto na Rafiki Yake Kisa Mke

Daud Emanuel (27) mkazi wa Chamwino Manispaa ya Morogoro, amenusurika kifo baada ya kumwagiwa mafuta ya petroli kisha kuchomwa moto...

READ MORE

Vigogo Waliotemwa Baraza la Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi, Januari 8, 2022 amefanya mabadiliko ya Baraza...

READ MORE

Nape Waziri Mpya wa Habari, Ridhiwani Naibu Waziri Ardhi

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri na Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu.   Akitangaza...

READ MORE

Aunt: Tunaowachekea Ndio Vivuruge Wakubwa Mjini

MWANAMAMA wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel anasema kuwa, watu wengi ambao ni wabaya ndiyo ambao wanamzunguka mtu na kila wakati...

READ MORE

Barabara Ndefu Zaidi Duniani Chini ya Ziwa Yaanza Kufanya Kazi

IKIWA ni takriban miaka minne ya ujenzi, barabara ndefu zaidi ya chini ya maji nchini China, hatimaye barabara hiyo imeanza...

READ MORE

Rais Achafukwa, Aaamuru: Wauweni Bila Onyo

Rais wa Kazakhstan, Kassym-Jomart Tokayev amewaamuru Jeshi la Polisi na Wanajeshi wa nchi hiyo “kuua watu bila onyo” ili kukomesha...

READ MORE

Mavunde: Juni Umeme Uwashwe

MBUNGE wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde ameridhishwa na kasi ya usimikaji nguzo katika Kata hiyo na kumtaka Mkandarasi kukamilisha maeneo...

READ MORE

Shinyanga: Mzee Akutwa Amejinyonga

Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Magesa Mahona anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 60 na 65 mkazi wa...

READ MORE

Watu Milioni 1.3 Waitwa Kuchukua Vitambulisho vya NIDA

MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) nchini Tanzania imetoa vitambulisho vya uraia milioni 9.4 tangu ianze kuzalisha vitambulisho hivyo huku...

READ MORE

Akamatwa Akimuuza Mtoto wa Miaka 10 Ili Anunue Pikipiki

Jeshi la Polisi nchini Liberia limemkamata na kumfungulia mashtaka mwanaume wa Sierra Leone mwenye umri wa miaka 29 kwa madai...

READ MORE

ITAKULIZA: Msanii Bambucha Akatwa Mguu, Asimulia Mateso Aliyopitia – “Wasanii Wenzangu Wamenitenga”

Msanii wa kitambo, Bambucha amesimulia mateso aliyopitia hadi kufikia hatua ya kukatwa mguu. 

READ MORE

TAKUKURU: Achana na Mil 90, Sabaya Ana Kesi Nyingine ya Kujibu

AFISA wa Takukuru anayetoa ushahidi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Lengai Ole Sabaya na wenzake sita ameiambia Mahakama kuwa...

READ MORE