×

Habari

Bei ya Mafuta Yapaa Haijawahi Kutokea Tanzania, Petroli Yapanda Kwa Tsh 321

Wakati Serikali ikitangaza kurejesha Sh100 katika mafuta, watumiaji wa nishati hiyo watalazimika kufunga mkanda kutokana na bei kuendelea kupaa.  ...

READ MORE

SIMBA Uso kwa Uso na Orlando Pirates, Robo Fainali Kombe la Shirikisho

BAADA ya kutinga hatua ya robo fainali Simba imepangwa kukutana na Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Simba inayonolewa na Kocha...

READ MORE

Spika Amuapisha Shamsi Vuai Nahodha Kumrithi Polepole Bungeni Leo Dodoma

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk Tulia Akson amemwapisha Mbunge wa kuteuliwa, Shamsi Vuai Nahodha kushika wadhifa huo...

READ MORE

Rais Samia: Tulifika Uchumi wa Kati Tukarudishwa “Tutarudi Uchumi wa Kati Kufikia 2025”

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kwamba ingawa Tanzania imeondolewa kwenye nchi zenye uchumi wa...

READ MORE

Rooney Adai Manchester United Ilifanya Makosa Kumsajili Cristiano Ronaldo

GWIJI wa soka na mshambuliaji wa zamani wa Manchester United na Timu ya Taifa ya Uingereza Wayne Rooney ameibuka na...

READ MORE

Infinix na Tigo Wazindua Mkombozi wa Wengi “Infinix Smart 6 na Hot 12i”

DAR ES SALAAM. Tarehe 5 Aprili, 2022. Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za kidijitali Tanzania, Tigo Tanzania, imeshirikiana na...

READ MORE

Mdundo Yawatakia Watanzania Ramadhan Kareem Na Kuwakaribisha Katika Mwezi Mtukufu

Imani na muziki zitaungana pamoja kwenye Mdundo.com ili kukonga nafsi za waumini wote katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhan...

READ MORE

Utata Chadema, NCCR Wagoma, Wataka Kukutana Rais Samia, Bunge ‘Live’ Larejea | Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini....

READ MORE

Ajali Yaua Wanne na Kujeruhi Tisa Dodoma, Basi la Geita Express Lagongana na Fuso

Watu wanne wamefariki dunia na 19 kujeruhiwa mkoani Dodoma katika ajali iliyohusisha basi la Geita Express kugongana na Fuso jana...

READ MORE

Kenya Yakumbwa na Uhaba wa Mafuta, Foleni Ndefu Zashuhudiwa Sheli

UHABA wa mafuta umeendelea kuikumba nchi ya Kenya, huku miji mikuu ikiripoti kuwa na foleni ndefu kwenye vituo vichache vya...

READ MORE

Waziri Nape Baada ya Simba Kutinga Robo Fainali, Ajilipua – “Hili Jambo Nimeliingilia Mwenyewe Sasa”-Video

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akizungumza mara baada ya Simba kuichapa USGN ya Niger kwa...

READ MORE

Rais Samia Azindua Ugawaji wa Vitendea Kazi kwa Maafisa Ugani Kilimo-Video

Rais samia leo april 4, 2022, amezindua zoezi la ugawaji wa vitendea kazi ikiwemo pikipiki kwa maafisa ugani kilimo wa...

READ MORE

Waziri wa Uingereza Masuala ya Afrika, LATAM na Visiwa vya Caribbean Atembelea Serengeti

    MOSHI, Tanzania; Aprili 3, 2022: Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Latini Amerika na Caribbean Vicky Ford, leo...

READ MORE

Askofu Mwaikali Atikisa, Aongoza Mamia Ya Waumini, Chadema, ACT Wataka Bunge Lifupishwe…Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini....

READ MORE

Mbele ya Rais Samia, Nmb Yaeleza Ilivyomwaga Mabilioni Kwa Wakulima

  JUMLA ya Sh78.8 bilioni zimeshatolewa na benki ya NMB kwa wakulima kati ya Sh100 bilioni walizotengewa kwa ajili ya...

READ MORE

GGML yatoa Sh milioni 50 kwa Hospitali ya CCBRT

KAMPUNI ya AngloGold Ashati kupitia Mgodi wake wa dhahabu Geita (GGML) imetoa kiasi cha Sh milioni 50 kwa Hospitali ya...

READ MORE

Breaking: Watu Wafukiwa Na Kifusi Kigamboni, Zoezi La Uokoaji Linaendelea Muda Huu..

Taarifa iliyotufikia leo Aprili 3, 2022 ni kwamba watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha kwa kufukiwa na kifusi katika machimbo ya...

READ MORE

TRA Yakusanya Trilioni 16.69 kwa Miezi 9, Ongezeko la Trilioni 3.1 Ukilinganisha 2020/21

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa katika kipindi cha robo tatu ya mwaka wa fedha 2021/22, yaani kuanzia Julai...

READ MORE

Masoud Kipanya Azindua Gari Lake la Umeme, ni la Kwanza Kutengenezwa Tanzania -Video

MCHORAJI katuni wa Tanzania, Masoud Kipanya April 2, 2022 amezindua rasmi gari lake ambalo ni la kwanza la umeme kutengenezwa...

READ MORE

Dkt. Mpango Awaomba Viongozi wa Dini Kuendelea Kuliombea Taifa na Viongozi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewaomba viongozi wa dini na waumini kwa ujumla...

READ MORE

Washindi wa Tuzo za TMA Kupata Bima ya Afya, Pensheni-Mchengerwa

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,  Mohamed Mchengerwa kwenye utoaji wa Tuzo za Muziki Tanzania (TMA)  Aprili 02, 2022 amesema...

READ MORE

European Investment in Tanzania: How European Investment Contributes to Industrialisation in Tanzania

    Wednesday 30th March, 2022; Dar es Salaam: The European Union (EU) Delegation together with the European Business Group...

READ MORE

Safari Kuelekea Mahakama Mtandao Yaongezwa Mwendo Kigoma

  Akizungumza hivi karibuni wakati wa ufunguzi wa Mafunzo ya siku (3) kuhusu mifumo ya uendeshaji wa mashauri kwa njia ya mtandao...

READ MORE

Putin Aguswa Pabaya! Ghala Lake la Silaha Lalipuliwa na Majeshi ya Ukraine -Video

TAARIFA zilizotolewa na kitua cha habari cha ELINT News zinadai kuwa ndege aina ya Mi-24 ambayo inasadikika kuwa chini ya...

READ MORE

Salah Atoa Neno la Kwanza Baada ya Kutupwa Nje Kufuzu Kombe la Dunia

STAA wa Misri, Mohamed Salah, amesema bado anajivunia kikosi cha sasa cha taifa hilo licha ya kupata simanzi mfululizo dhidi...

READ MORE

Foward Motion Yatoa Elimu ya Afya ya Uzazi na Hedhi Salama Kwa Yatima

    TAASISI ya Forward Motion inayojihusisha na utoaji na uhamasishaji wa elimu ya afya ya uzazi na hedhi salama...

READ MORE

“Awamu ya 5 Ilikuzwa Heshima ya Woga, Kulikuwa na Simba wa Yuda”-Rais Samia

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa awamu ya tano ilisifiwa kwa kuleta heshima...

READ MORE

Aliyekufa na Kuzikwa Mwaka 2021 Afufuka Nchini Msumbiji ‘Uchunguzi Wafanywa’

Binti Eurélia Manuel Benjamim Raia wa Msumbiji ambaye alidhaniwa kuwa amefariki dunia na ambaye mazishi yake yalifanyika mwezi November mwaka...

READ MORE

Ukraine Yafanya Shambulio la Anga Kwenye Ghala la Mafuta Katika Eneo la Urusi

Mamlaka za Urusi zimeishutumu Ukraine kwa kufanya shambulio la anga kwenye ghala la mafuta katika eneo la Urusi. Iwapo itathibitishwa...

READ MORE

Kinana Apita kwa Asilimia 100 Umakamu Mwenyekiti CCM Bara, Dodoma – Video

WAJUMBE wa mkutano mkuu maalumu wa CCM leo Ijumaa Aprili 1, 2022 wamemchagua Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha...

READ MORE

Mrema na Mkewe Waamsha Shangwe Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma, Rais Samia Atia Neno

WAKATI Rais Samia akiendelea kuhutubia Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ghafla shangwe ziliibuka kutoka kona zote za...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan leo Machi 31, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri...

READ MORE

Marubani ATCL Wazuia Ndege Kupata Ajali Angani

Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanzania, imesema itawazawadia tuzo maalumu Rubani Suhad Soud Kassim na Ofisa Daraja la kwanza,...

READ MORE

Denti Aliyetumbua ‘Boom’ Afungwa Jela Miaka Mitano

MWANAMKE mmoja wa Afrika Kusini, Sibongile Mani ambaye alifanya matumizi makubwa baada ya kupokea kimakosa fedha za ufadhili wa masomo...

READ MORE

‘Mfalme Zumaridi’, Wenzake Wafikishwa Mahakamani, Waomba Dhamana

Diana Bundala maarufu kama ‘Mfalme Zumaridi’ na wenzake 83 leo wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza kwa...

READ MORE

Basi Lililoua 22 Moro Lilitengenezwa kwa Vifaa vya Ujenzi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yussuf Masauni amesema kuwa uchunguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi kuhusu basi...

READ MORE

CCM Yamsamehe Bernard Membe, Aomba Msamaha Mara Tatu

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa imemsamehe na kumrudishia uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwanasiasa na Mwanadiplomsia...

READ MORE