×

Habari

Moto Wateketeza Gereza, Wafungwa Wahofiwa Kufariki

WAFUNGWA kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha baada ya Gereza Kuu la Gitega nchini Burundi, kuteketea kwa moto Jumanne ya Desemba 7,...

READ MORE

Drake Ajitoa Kwenye Tuzo Za Grammy

Staa mkubwa wa Rap nchini Marekani anayekimbiza na albamu yake ya Certified Lover Boy, Drake ametangaza kujitoa katika kinyang’anyiro cha...

READ MORE

Ndalichako Acharuka Rushwa ya Ngono Taasisi za Elimu

  Serikali imesema haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu kwani ni ukosefu wa maadili na vinashusha heshima ya...

READ MORE

Polisi Ampiga Risasi Mkewe, Majirani Watano Kisha Naye Kujiua

TUKIO lisilo la kawaida limesababisha huzuni kutanda katika Mji wa Kabete nchini Kenya baada ya askari wa jeshi la polisi,...

READ MORE

Mtoto Auawa Shuleni kwa Kunyweshwa Kemikali

ZAIDI ya watu 180,000 wametia saini maombi ya kudai haki baada ya kifo cha mwanafunzi Sylvester Oromoni wa shule ya...

READ MORE

Mikopo kwa Watakaooana

  Mtia nia wa kugombea urais nchini Kenya ameahidi kutoa mikopo yenye thamani ya kati ya TZS milioni 10 hadi...

READ MORE

‘Couple’ tano za Watanzania kujirusha Dubai Bureee! 

Ni fursa ya kipekee kujivinjari katika jiji la Dubai! Ndivyo unavyoweza kutafisiri kile kinachosubiriwa kwa hamu na Watanzania wengi ambapo...

READ MORE

Mama Aliyeua Wanae Kwa Sumu Afunguka Mazito, Aomba Kifungo – Video

MAMA anayetuhumiwa kuwaua wanawe wawili na kujeruhi watatu kwa sumu ya kuua wadudu kwenye nyanya, imebainika ametelekezwa na wanaume watano...

READ MORE

Auawa kwa Fumanizi, Muuaji Ajipeleka Polisi

MKAZI wa Kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, Juvenal Claudi (20) ameuawa kwa kukatwa katwa na mapanga baada...

READ MORE

Njemba Auawa Kisa ‘Chenji’ ya Sigara

JESHI la Polisi katika Jimbo la Ogun, Kusini Magharibi mwa Nigeria wanamshikilia mwanaume aliyefahamika kwa jina la Biodun Adebiyi kwa...

READ MORE

Ajinyonga kwa Kutotajwa na Padri Kwenye Misa ya Shukrani

MKAZI wa mtaa wa Kanisani B uliopo wilaya ya Ludewa mkoani Njombe anaefahamika kwa jina la Raban Razalo (48) amefariki...

READ MORE

Ulinzi Mkali, Tundu Lissu Afutiwa Kesi Zote, Atoa Masharti Kurejea, Kesi Ya Sabaya | FRONT PAGE

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

SGA Security Yawafunda Wahasibu Kuhusu Utunzaji wa Mazingira

    KAMPUNI ya ulinzi ya SGA Security imetoa msaada wa miti kwa ukumbi wa mikutano wa APC uliopo Bunju...

READ MORE

Washiriki Kili Marathon Watakiwa Kujisajili kwa Wingi

    KAMPUNI ya Tigo ambayo inadhamini mbio za km 21 za Kilimanjaro Marathon imetoa wito kwa washiriki wa mbio...

READ MORE

Mahakama Yakataa Ombi la Kukamatwa Shahidi Kesi ya Sabaya

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imetupilia mbali ombi la kutoa hati ya kukamatwa shahidi wa 10 wa Jamhuri, Francis Mroso...

READ MORE

Padri Alivyopata Mafunzo ya Kijeshi Cuba, Kenya

JAMBO kubwa lililopamba mahafali ya 15 ya Chuo Kikuu Ardhi (ARU) yaliyofanyika juzi, ni uwepo wa mhitimu wa Shahada ya...

READ MORE

Mkuu wa Gereza Afungwa kwa Kuiba Fedha za Mfungwa

MAHAKAMA nchini Rwanda imemhukumu kifungo cha miaka mitano jela aliyekuwa mkuu wa gereza kuu la Kigali kwa kuiba fedha kutoka...

READ MORE

Sababu ya Mwanri Kuamrisha Shamba Livurugwe

Balozi wa zao la pamba nchini Aggrey Mwanri, ameamrisha shamba la Jeremia Kisumo na Laher Robert wakazi wa Mshinde, Kata...

READ MORE

Diamomd Ana Donge Na RC Makalla?

  UKISIKIA “donge” maana yake kinyongo yaani ile chuki nzito juu ya mtu fulani aliyekufanyia ndivyo sivyo.   Sasa bwana...

READ MORE

Rais Samia: Nitaendelea Kuzunguka – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema safari ya uwekezaji kuna njia ndefu na ndiyo maana wakati mwingine analazimika kutoka kwa ajili...

READ MORE

Waliokufa Baada Ya Basi Kutumbukia Mtoni Wafika 32

Idadi ya watu waliopoteza maisha ya baada ya basi walilokuwa wakisafiria, kusombwa na maji katika Mto Enziu, Ngune, Kaunti ya...

READ MORE

Rais Samia Kumwaga Barabara, Kivuko Kikubwa Kigamboni – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea kilio cha wananchi wa Kigamboni kuhusu changamoto ya...

READ MORE

Samia: Kwa Mungu Kuna Kujibu, Nikifika Huko Nitasema – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepiga marufuku baadhi ya watendaji wanaofanya kazi kwa mazoea na...

READ MORE

Tamasha La Koffi Olomide Lasitishwa Nchini Kenya

Tamasha la muziki la nyota wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Koffi Olomide, lililotarajiwa kufanyika Desemba 11, jijini Nairobi limekatishwa....

READ MORE

Yanga Yafyeka Wanne, Yumo Kabwili

KUELEKEA usajili wa dirisha dogo, taarifa zinasema kuwa tayari Kamati ya Usajili ya Yanga imeanza kazi baada ya kuwafyeka wachezaji...

READ MORE

Basi Lililotumbukia Mtoni Latolewa, Waliokufa Waongezeka

Shughuli za uokoaji ziliendelea siku ya Jumapili kufuatia ajali mbaya iliyotokea Jumamosi katika mto wa Enziu, kaunti ya Kitui huku...

READ MORE

Vodacom Yazindua Kampeni ya ‘Show Love, Tule Shangwe” Msimu wa Sikukuu

      3 DISEMBA 2021 – Dar es Salaam. Vodacom Tanzania Plc, kampuni ya teknolojia na mawasiliano inayoongoza nchini...

READ MORE

Mwanamke Amnyonyesha Paka Kwenye Ndege

  Maajabu hayawezi kuisha duniani, unaambiwa mwanamke mmoja aliyekuwa mmoja wa abiria katika ndege ya Delta inayofanya safari zake kati...

READ MORE

🔴#LIVE: Bunge Laanika ‘Uchafu’ TPA, Padri Alivyopata Mafunzo Ya Kijeshi Cuba | FRONT PAGE

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Watu 20 Wafariki Baada ya Basi Kusombwa na Mto

Zaidi ya watu 20 wamefariki dunia Jumamosi Desemba 4 wakati basi lao lililokuwa likielekea kwenye harusi liliposombwa na Mto Enziu...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Itaendelea Kuthamini Mchango Wa Dini Katika Kutunza Amani

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kutambua na kuthamini mchango wa kamati za amani za viongozi wa dini zinazojumuisha...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Mama Maria Nyerere, Anna Mkapa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan leo Desemba 5, 2021 amewatembelea nMama Maria Nyerere na Mama...

READ MORE

Rais Samia Amefanya Mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya

Rais Samia amefanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya wawili (Moshi na Karatu) kwa kuwahamisha vituo vya kazi huku akiteua mkuu...

READ MORE

Mtatiro Akamata Tani 10 za Korosho Zilizooza

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro ameendesha oparesheni ya mazao wilayani Tunduru kwa siku 2 mfululizo na kufanikiwa kukamata...

READ MORE

Mwigulu Ataka Wazazi Kuwasaidia Wahitimu Kujiajiri

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Nchemba amesema katika Taifa la Tanzania uhalisia ni kwamba kati ya vijana 100...

READ MORE

Mama Aliyewanywesha Sumu Watoto Wake Aeleza Chanzo Cha Tukio Hospitali-Video

Baada ya kuwatilia sumu watoto wake watano hali iliyosababisha watoto wawili kufariki dunia, mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina Veronika Gabriel...

READ MORE

50 Cent Amuomba Radhi Centhi Madonna

Rapa na muigizaji wa filamu ya ‘Power’, 50 Cent amemuomba radhi muimbaji na muigizaji mwenzake, Madonna baada ya Madonna kutofurahishwa...

READ MORE