×

Habari

Qatar Airways Yaadhimisha Miaka 15 ya Safari Zake Dar

Shirika la ndege la Qatar mwezi huu linaadhimisha miaka 15 ya mafanikio tangu ilipoanza safari yake ya kwanza kati ya...

READ MORE

Mtangazaji Maarufu wa Redio Ajiua Studio

Mtangazaji maarufu na mpakuaji miziki wa kituo cha redio cha Capital FM, Alex Nderi almaarufu DJ Lithium ameaga dunia. Kwa...

READ MORE

Mwanza: Wanawake Watatu Wauawa, Miili Yao Yatupwa

Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambaye pia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula ametuma...

READ MORE

Skendo Rushwa Trafiki, Polisi Yafunguka

VITENDO vya kuomba na kupokea rushwa kwa baadhi ya askari vinazidi kulitikisa Jeshi la Polisi nchini, huku askari wawili katika...

READ MORE

Dar: Daladala Yagonga Treni, Wawili Wafariki

Uongozi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) umethibitisha kutokea kwa tukio la ajali lililotokea leo January 19, 2022 maeneo ya...

READ MORE

Mhudumu ‘Gesti’ Auawa Kinyama

MHUDUMU wa nyumba ya kulala wageni ya Peace Lodge iliyoko katika eneo la Matarawe Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambaye...

READ MORE

Mfahamu Ummy Doll wa Dar Ambaye Kitoweo Chake ni Mende

BAADHi ya wadudu hutajwa kuwa chakula bora chenye protini na kilicho chenye ladha nzuri katika jamii mbalimbali. Takriban spishi 20,000...

READ MORE

TANZIA: RC Shigella Afiwa na Mkewe

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Martine Shighela,amefiwa na mkewe usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Aghakhan Jijini Dar es...

READ MORE

Wanafunzi Walionusurika Ajali ya Lucky Vincent wafanya maajabu kidato cha IV

WANAFUNZI watatu walionusurika kwenye ajali ya Shule ya Lucky Vincent, wamefanya maajabu katika mtihani wa kidato cha nne na kufaulu...

READ MORE

5G Yaharibu Safari za Ndege Marekani

Mashirika makubwa ya ndege Emirates, Air India, Air Nippon na Japan Airlines yamesitisha safari zake za kwenda Marekani kutokana na...

READ MORE

Live: Skendo Ya Trafiki, Kesi Ya Makonda , Marufuku Majina Ya JPM, Samia Kutajwa. Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Maswali Magumu Masoko Kuteketea kwa Moto

Matukio ya ajali za moto katika masoko nchini yameibua maswali matano yanayokosa majibu kutoka mamlaka husika, huku yakizidi kuathiri maisha...

READ MORE

Kibaha Chalinze Jiandaeni

Serikali kupitia Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) inatarajia kuanza kufanya kazi ya usanifu wa ujenzi wa Barabara ya njia nne...

READ MORE

Sabaya Adai Gari Lake Mahakamani

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameiomba Mahakama imrudishie mapema gari yake alilonunua kwa fedha zake halali...

READ MORE

Sabaya Aangua Kilio Kortini

MSHTAKIWA namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya uhujumu inayomkabili na wenzake amejikuta akitokwa na Machozi mahakamani hapo wakati...

READ MORE

Mjamzito Auawa Kisa Kukataa Kwenda kwa Mganga

Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mkazi wa Kata ya Mlale wilayani Ileje, Shukrani Kamwela mwenye umri wa miaka 16...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe...

READ MORE

Waliomuua Balozi wa Italia Nchini DRC Wakamatwa

Jeshi la Polisi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika Jimbo la Kivu Kaskazini, limefanikiwa kuwakamata baadhi ya watuhumiwa...

READ MORE

Wasiojulikana Watokomea na Mwili wa Marehemu

Tukio lisilo la kawaida limetokea katika Kitongoji cha Kipondoda, Wilaya ya Manyoni mkoani Singida baada ya kaburi la mtoto Christina...

READ MORE

Simba Waambukizwa Corona

KATIKA hali isiyo ya kawaida, Simba na Puma katika mbuga ya wanyamapori nchini Afrika Kusini imeelezwa kuwa huenda wameambukizwa virusi...

READ MORE

Sabaya Awakana Wenzake Mahakamani

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kuwa hawafahamu baadhi ya watuumiwa...

READ MORE

Ziara ya Rais Mwinyi Falme za Kiarabu Yaonesha Mafanikio Makubwa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi anatarajiwa kuhitimisha ziara yake ya kikazi katika Falme...

READ MORE

Mahakama Yaruhusu Makonda Kufunguliwa Kesi ya Jinai

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeruhusu kufunguliwa kwa kesi ya jinai dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa...

READ MORE

Simba Wamlilia Shabiki Wao Aliyejinyonga

Baada ya Taarifa kusambaa kuwa Kijana Khalfan Mwambena (17) mkazi wa Jijini Mbeya na Shabiki kindaki ndaki wa Simba kusambaa...

READ MORE

Bashe Aagiza Aliyekamatwa na Kiwanda Bubu cha Mawese Asaidiwe

BAADA ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kufanya msako mkali na kufanikiwa kumkamata mtu mmoja aitwaye Halifani Issa (42)...

READ MORE

Wanandoa Ambao Hawajashiriki Tendo la Ndoa Miaka 18

WANANDOA wawili wanaotokea katika eneo la Murang’a nchini Kenya wamepata kila sababu ya kutabasamu baada ya wasamaria wema kuwazawadia nyumba...

READ MORE

Wafahamu Wanayama ‘Big Five’ Wanaopatikana Hifadhi ya Serengeti

KWA muda mrefu Tanzania imeendelea kusifi ka duniani kwa kuwa na utajiri mkubwa wa vivutio vya utalii ambavyo hapa nchini...

READ MORE

Mwanamke wa Miaka 51 Ajifungua Baada ya Miaka 20 ya Tasa

Shangwe na vigelegele zimeshamiri nyumbani kwa mwanamke mmoja nchini Nigeria mwenye umri wa miaka 51, baada ya kujifungua watoto kwa...

READ MORE

Aliyeokoa Watu 1,200 Akutwa na Hatia ya Ugaidi

SHUJAA wa “Hotel Rwanda” ameshindwa kufi ka katika Mahakama ya Kigali, Jumatatu huku waendesha mashtaka wa serikali wakitaka kumuongezea kifungo...

READ MORE

Sabaya Awakana Mashahidi wa Jamhuri

MSHITAKIWA Lengai ole Sabaya anyekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi amepanda kizimbani kutoa utetezi dhidi ya tuhuma hizo ambapo amewakana...

READ MORE

Amuuwa Mkewe Mjamzito Kisha Kumchoma Moto

MWANAMKE mmoja mkazi wa kijiji cha Ilanga kata ya Mlale wilayani Ileje mkoani Songwe, Subira Kibona(16) amefariki dunia baada ya...

READ MORE

Meseji za Mbowe Akisaka Makomando wa JWTZ Zasomwa Mahakamani

JUMBE fupi za maneno (meseji), zinazodaiwa kuwa za Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na baadhi ya washtakiwa wenzake, katika kesi...

READ MORE

Kijana Ajinyonga Kwenye Goli Akiwa na Nguo ya Ndani za Kike

Tyson Kilasi (32) mkazi wa Kijiji cha Mawindi halmashauri ya wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, amekutwa amefariki kwa kujinyonga kwenye...

READ MORE

Ajifungua Mtoto Akiwa Na Umri Wa Miaka 11

  Pichani Victoria Ajey mwenye miaka 11 amejifungua mtoto wa kiume baada ya kubakwa na mume wa shangazi yake, mwanaume...

READ MORE

Rais Samia Aweka Historia Maji kufika Kisiwa cha Jibondo – Mafia

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amezindua Mradi wa Maji wa Kisiwa Kidogo Cha Jibondo Wilayani Mafia Mkoa wa...

READ MORE

Dodoma: Mabasi ya Abiria Kusindikizwa na Polisi

JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma amesema kuanzia kesho mabasi ya abiria kutoka mkoani humo kwenda mikoa mingine yatakuwa yanasindikizwa...

READ MORE

Mlinzi Mbaroni kwa Kumpiga Risasi Bodaboda

Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia mlinzi wa kampuni ya ulinzi ya Panolama Bw. Elizeus Gabriel kwa tuhuma za kumuua...

READ MORE

Matetemeko Mawili Yaua Watu 20 Afghanistan

MAOFISA Usalama nchini Afghanistan wamesema watu zaidi ya 20 wamefariki kufikia sasa baada ya matetemeko ya ardhi ya mfululizo kukumba...

READ MORE

Mlinzi Soko la Karume Asimulia Kila Kitu Alichokiona

KUFUATIA tukio la usiku wa kuamkia Jumapili, Januari 16, 2022 la soko la wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama Machinga maeneo...

READ MORE

Serikali Imekana Kuchoma Soko Karume

MNAMO usiku wa kuamkia Jumapili ya Januari 16, 2022 soko la wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama Machinga maeneo ya Mchikichini...

READ MORE