×

Habari

Viongozi CCM Mbaroni kwa Tuhuma za Kumpiga Polisi

KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Babati, Filbert Mdaki (52) na Katibu wa Jumuiya ya vijana UVCCM wa...

READ MORE

Ataka Kutapeli Familia ya Mtoto Aliyefufuka, Yamkuta

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema wanamshikilia Charles Christopher kwa kutaka kuitapeli familia ya Mtoto anaedaiwa kufufuka...

READ MORE

Wafungwa Watatu Wanyongwa Hadi Kufa

LEO Jumanne, Desemba 21, 2021, nchi ya Japan imewanyonga hadi kufa wafungwa watatu ikiwa ni mara ya kwanza kwa hukumu...

READ MORE

Mrembo Aliehitimu Chuo Kikuu SUA Auawa na Wasiojulikana

MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) ambaye amehitimu hivi karibuni aliyefahamika kwa jina la Magreth Mashue ameuwawa...

READ MORE

Mchungaji Mwanamke KKKT Auawa Kikatili

Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa, Elizabeth Ng’unga (36) ameuawa kikatili kwa kutobolewa macho...

READ MORE

Waitara: Marufuku Kupandisha Nauli

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara ameagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) kuwachukulia hatua wamiliki na...

READ MORE

Aweso: Tumekwamua Miradi ya Maji Kichefuchefu 142 Kati ya 177

MBOZI-SONGWE WAZIRI wa Maji Mhe Jumaa Aweso akiwa mkoani Songwe ametoa taarifa maalumu juu ya mageuzi makubwa yaliofanyika katika kukwamua...

READ MORE

NEEC Yaitunuku GGML Tuzo ya Mwekezaji Bora kwa Watanzania

  BARAZA la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limeitunuku Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) tuzo maalumu ya...

READ MORE

Lita 4,000 za Diesel Zaibiwa Mradi wa Reli ya SGR

JESHI la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata Lita 4,135 za mafuta aina ya Diesel ambazo zinadaiwa kuibiwa kutoka kwenye Mradi...

READ MORE

Yatima Walivyofanyiwa Sapraiz Kuelekea Sikukuu ya Krismasi

      WATOTO Yatima na wenye uhitaji maalum wa Kituo cha Mama wa Huruma kilichopo Madale,  Dar wamefanyiwa sapraiz...

READ MORE

🔴#LIVE: Umafia Watawala Usajili Simba, Yanga, Sure Boy Apewa Miaka Miwili Yanga | KROSI DONGO

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

🔴#LIVE: Mapya Mauaji Mchungaji KKKT, Serikali Yakwama Kumzuia Karume | Front Page…

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Halotel Yatoa Msaada Shule ya Sekondari Bonyokwa

  Kampuni ya simu za mkononi ya Halotel hapa nchini imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya masomo kwa waalimu na...

READ MORE

Ndugai: Hakuna sababu za kubishana na mamlaka”

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amesema hakuna sababu za kubishana na mamlaka juu ya...

READ MORE

Mke Akatwa Mikono Kwa Shoka Na Mumewe, Serikali Yapigwa Faini

Matukio ya ukatili wa jinsia na unyanyasaji, si kwa Waafrika pekee bali ni janga la dunia nzima ambapo mwanamke mmoja...

READ MORE

Majambazi Watano Wauawa Kigoma

WATU watano wanaosadikiwa  kuwa ni majambazi wameuwawa na Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma katika Ziwa Tanganyika baada ya kutekeleza uporaji wa...

READ MORE

Askofu Gwajima ‘Roho ya Paka,’ Aijibu Mapigo CCM

UNAWEZA kusema Mbunge wa Kawe (CCM), Askofu Josephat Gwajima, ana roho ngumu au ya paka, kwani licha ya chama chake,...

READ MORE

Kimbunga Chaua Watu 375 Ufilipino

IDADI ya watu waliokufa kutokana na kimbunga kikali kilichoipiga Ufilipino imeongezeka na kufikia watu 375 huku wengine 56 bado hawajulikani...

READ MORE

Amshambulia Mkewe Kisa Kutaka Kuachwa, Wananchi Wajibu Mapigo

JESHI la Polisi katika eneo la Kisii nchini Kenya wanamshikilia Daniel Asiago kwa kumshambulia na kumjeruhi kwa kumkatakata Mke wake...

READ MORE

 Mabishano Kuhusu Sare za JWTZ Kesi ya Mbowe

MABISHANO ya kisheria yameendelea leo Jumatatu Desemba 20, 2021 katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na...

READ MORE

Chongolo Awapongeza Umoja Wa Wanawake Tanzania (Uwt)

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewapogeza Jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) kwa kazi...

READ MORE

Mauaji ya kikatili yaliyotikisa jamii 2021

Wakati tukielekea kufunga mwaka 2021, tunakumbuka matukio ya mauaji yaliyotokana na sababu mbalimbali. Matukio hayo yalisababisha hofu miongoni mwa wanajamii...

READ MORE

Smirnoff Ice Black Yarudi Sokoni kwa Kishindo

  WATUMIAJI wa kinywaji cha Smirnoff Ice Black wana kila sababu ya kufurahi baada ya Kampuni ya Bia ya Serengeti...

READ MORE

NMB, Jubilee Life Wazindua Mpango wa Uwekezaji, Utunzaji na Bima

  BENKI ya NMB kwa kushirikiana na Jubilee Life Insurance, imezindua mpango wa utunzaji, uwekezaji na bima uitwao ‘Fanaka Plan,’...

READ MORE

TGNP Yawaunganisha Wanavikundi na Wataalamu wa Teknolojia kutoka Chuo cha DIT

    MTANDAO  wa Jinsi nchini (TGNP) umeingia makubaliano na wataalamu kutoka Chuo cha Teknolojia cha DIT kwa ajili ya...

READ MORE

Stawi Lab Inavyochochea Maendeleo Ya Taasisi Zinazoongozwa na Vijana

HER Initiative kwa kushirikiana na TWAA walizindua mradi wao mpya wa Stawi Lab ikizingatia kuimarisha taasisi zinazoongozwa na vijana zinazopigania...

READ MORE

Osha Yazindua Mpango Wa Mafunzo Kwa Taasisi za Serikali

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umezindua rasmi mpango wa mafunzo ya Usalama na Afya kwa Taasisi...

READ MORE

Haji Manara Awaombea Simba

Baada ya kutoka kwa taarifa ya mechi ya Kagera na @simbasctanzania kuahirishwa kwa sababu ya wachezaji wa Simba kuumwa mafua...

READ MORE

Wazadi Wagomea Shule Kufundisha Kingereza

WAZAZI wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mukendo, iliyopo Musoma mkoani Mara wamekataa mpango wa Serikali kubadili Shule hiyo ili...

READ MORE

Kichanga Chakutwa Kimetupwa Mtoni – Video

UNYAMA! MWILI wa mtoto mchanga umekutwa ukielea juu ya maji katika ukingo wa mto eneo la Tandale Chama jijini asubuhi...

READ MORE

Mwalimu Ajichoma Moto Kisa Kufukuzwa Kazi Kwa Kumpa Mimba Mwanafunzi

Mwalimu wa Shule ya Msingi Magemo iliyopo Webuye, Kaunti ya Bungoma nchini Kenya, Wycliffe Akeve amejichoma kwa moto katika jaribio...

READ MORE

Wamiliki wa Malori Wawaweka Mtu Kati, Tanrod, TRA, LATRA, EWURA

    CHAMA cha wamiliki wa malori wadogo na wakati nchini TAMSTOA kimeziweka mtu taasisi za serikali wanazofanya nazo kazi...

READ MORE

Mganga Mkuu wa Serikali Atoa Taarifa Dalili za Kukohoa, Mafua

Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia Wazee na Watoto imesema kuongezeka kwa idadi ya watu wenye dalili za kukohoa,...

READ MORE

Askari Polisi Aliyesifia Gongo Atimuliwa Kazi

Konstebo wa Polisi, Ramadhani Khalfan Said amefukuzwa kazi kwa kwenda kinyume na mwenendo mema wa Jeshi la Polisi Tanzania baada...

READ MORE

Polepole, Askofu Gwajima na Slaa Kikaangoni CCM

Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imewaitaka wabunge wake, Humphrey Polepole, Jerry Silaa na Askofu Josephat Gwajima kuwasikiliza kutokana...

READ MORE

Straika Avuruga Usajili Yanga

JINA la mshambuliaji wa Mkongomani, Fabrice Ngoma anayekipiga Klabu ya Raja Casablanca ya nchini Morocco limeingia kwenye orodha ya washambuliaji...

READ MORE

Wanajeshi 1000 Watimuliwa kwa Kukaidi Agizo la Chanjo

Zaidi ya Wanajeshi Wanamaji 100 wa Marekani wameondolewa jeshini kwa kukataa kupata chanjo dhidi ya UVIKO-19 chini ya agizo la...

READ MORE

China Yapangua Tuhuma za Kutengeneza Silaha Kudhibiti Ubongo

China imelaani uamuzi wa Marekani wa kuorodhesha kampuni na taasisi zake 34 kuwa zinatengeneza silaha za “kudhibiti ubongo” ikitaja madai...

READ MORE

Mchengerwa: Watumishi Watakaozuiliwa Likizo Walipwe

WAZIRI wa Nchi, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa amesema kuwa likizo ni haki ya mtumishi...

READ MORE