×

Habari

IMF Yaipatia Tanzania Dola Milioni 567.3 Kwa Ajili Ya Uviko 19

DODOMA: Tarehe 8 Septemba, 2021: BODI ya Wakurugenzi ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeridhia kutoa mkopo nafuu kwa...

READ MORE

Ziara Ya Katibu Mkuu Dkt. John Jingu Gereza Kuu La Isanga Dodoma

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu amelipongeza Jeshi la Magereza kwa kazi...

READ MORE

Rais Samia Awasili Dodoma Akitokea Jijini Mwanza

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea Jijini...

READ MORE

Serikali Kununua Ndege 5 za Mafunzo ya Urubani

SERIKALI imesema Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kitanunuliwa ndege tano za mafunzo ya urubani kuanzia mwaka huu wa fedha....

READ MORE

Shigongo Ambana Waitara “Kuna Tatizo la Kivuko” – Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo akiuliza swali bungeni jijini Dodoma leo Septemba 8, 2021 kuhusu adha ya...

READ MORE

Breaking: Watano Wafariki Kwenye Ajali King’ori Arusha

Watu watano wamefariki dunia kwenye ajali eneo la King’ori katika wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha leo Septemba 8, 2021...

READ MORE

Katibu Mkuu Wa CCM Afanya Mazungumzo Na Zitto Kabwe

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo  amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD)...

READ MORE

Afanya Mauaji Akidai Amerogwa Nyumba Yake Isimalizike

Samason Daudi (26) Mkazi wa Kijiji cha Mutuka Wilayani Babati anatuhumiwa kumuua Peter Buu(48) ambaye alimtuhumu kumroga ili nyumba yake...

READ MORE

Wakazi Wote 644 Watarejea Nyumba Za Makazi Magomeni Kota – RC Makalla

MKUU Wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameipongeza Wakala wa Majengo Tanzania (TBA,) kwa kusimamia vyema mradi wa...

READ MORE

Vanessa Aaanika Jinsia ya Mtoto Wake

Baada ya Vanessa Mdee (Vee Money) na na mpenzi wake Rotimi kuthibitisha kuwa wanatarajia kupata mtoto siku za hivi karibuni,...

READ MORE

Rais Samia Asimikwa Kuwa ‘Chifu’ Wa Machifu Tanzania -(Picha +Video)

RAIS Samia Suluhu Hassan leo Septemba 8, 2021 amesimikwa kuwa chifu wa machifu Tanzania na kupewa jina la HANGAYA likiwa...

READ MORE

Rais Mwinyi Afanya Uteuzi Wizara ya Afya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi, leo Septemba 8, 2021 amefanya uteuzi wa wakurugenzi...

READ MORE

Mbaroni kwa Kuuza Watoto kwa Tsh 25,000

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuwatorosha watoto 11 wenye umri wa kati ya miaka...

READ MORE

Ufafanuzi wa Somo Jipya Liliongezeka Darasa la 7

KATIBU Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Dkt. Charles Msonde, amesema kuwa idadi ya masomo katika mtihani wa...

READ MORE

Ibada Maalum ya Kuwaombea Magufuli na Mkapa

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira na wenye Ulemavu Jenista Mhagama, ameeleza uwepo wa ibada ya kuwaombea Hayati...

READ MORE

House Girl Amcharukia Bosi Wake ‘Nilipokuja Sikuwa Nimekonda Hivi’

KUMEIBUKA fujo ya aina yake katika nyumba moja eneo la Mlolongo Machakos nchini Kenya baada ya dada wa kazi ‘House...

READ MORE

GGML Mkombozi wa Wahandisi Wanawake Sekta ya Madini

NA MWANDISHI WETU Si jambo rahisi kwa vijana wa kike kupenya na kufaulu vizuri katika taaluma mbalimbali ambazo zinashikwa na...

READ MORE

Naibu Spika Afanya Ziara Makao Makuu ya Vodacom Tanzania

                        Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom Tanzania...

READ MORE

DC Fatuma Nyangasa Apokea Misaada Vifaa Vya Shule, Hospitali

Benki ya NMB, imekabidhi misaada yenye thamani ya zaidi ya Sh. Milioni 25 kwa Shule tatu za Msingi, moja ya...

READ MORE

Rais Samia Atua Jijini Mwanza – (Picha + Video)

Rais Samia Suluhu Hassan amewasili jijini Mwanza kwa helkopta maalum kwa ajili ya kufunga tamasha la utamaduni wa Mtanzania linalofanyika...

READ MORE

Jela Mitano kwa Kusambaza Virusi vya Corona

Mwanaume mmoja huko Vietnamese amehukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani kwa kosa la kukiuka masharti dhidi ya kujikinga na Covid-19...

READ MORE

Taliban Watangaza Serikali ya Mpito Afghanistan

KUNDI la Taliban wametangaza serikali mpya ya mpito nchini Afghanistan, itakayoongozwa na mmoja wa waanzilishi wa kundi hilo, mwanamgambo aliyekuwa...

READ MORE

Wasichana Wavuliwa Nguo kisha Kutembezwa Uchi

WASICHANA wapatao sita wadogo katika eneo la kati mwa India wamevuliwa nguo na kutembezwa katika maandamano wakiwa uchi kama sehemu...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Wito kwa Wizara Ya Mifugo Na Uvuvi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Mifungo na ametumia fursa hiyo kutoa wito kwa Wizara...

READ MORE

Wananchi Washangilia Jeshi Kumpindua Rais Conde

Mamia ya raia wa Guinea wamejitokeza barabarani kuunga mkono kikosi cha makomandoo kilichomteka na kumuweka kizuizini Rais wa nchi hiyo...

READ MORE

Daktari Ajiondoa Kizazi “Sitaki Kuzaa Wala Kuitwa Mama”

KATIKA hali ya kushangaza, wakati watu wanahangaika kutafuta kizazi, kusaka watoto, mwanadada aliyefahamika kwa jina la Priyanka Ramgoolam (25) ambaye...

READ MORE

Michael Williams Akutwa Amefariki Dunia

MUIGIZAJI maarufu wa filamu kutoka nchini Marekani Michael Williams amefariki dunia. Nyota huyo amekutwa amefariki nyumbani kwake usiku wa Septemba...

READ MORE

Wanaume Milioni 1.5 Kutahiriwa Kampeni ya HIV

MRADI wa kuwatahiri wanaume milioni 1.5 wenye umri wa kuanzia miaka 15 hadi 49 uimeanzishwa nchini Sudan Kusini ili kupunguza...

READ MORE

Jasusi Mwanamke Apotea, Rais na Waziri Mkuu Watofautiana

KUPOTEA kwa Ikran Tahlil ambaye ni wakala wa Shirika la Kitaifa la Ujasusi na Usalama (Nisa) nchini Somalia mnamo Juni...

READ MORE

Coma Yamuua Adams wa PSG

MCHEZAJI wa zamani wa Ufaransa, Jean Pierre Adams ambaye alikuwa akiugua ugonjwa wa coma (kupoteza fahamu na kuongea) kwa miaka...

READ MORE

Mtoto wa Gaddafi Achiwa Huru

Mtoto wa tatu wa kiongozi wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi, ameachiwa huru kutoka jela ya mji mkuu wa Tripoli,...

READ MORE

Jamaa Aliyekutwa na Damu Nyeupe Azua Gumzo

Köhler anafanya kazi katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Cologne nchini Ujerumani, amesema kisa kimoja cha kushanga ni pale ambapo...

READ MORE

CCM Yatoa Maagizo kwa Serikali Sakata la Bei ya Mahindi – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeiagiza Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), kununua tani 100,000 za mahindi...

READ MORE

Majaliwa: Anzeni Kutoa Huduma Kupitia Vituo vya Huduma Pamoja

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo haziajaanza kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja vya Shirika la...

READ MORE

Rais Samia Mgeni Rasmi Tamasha la Utamaduni

RAIS Samia Suluhu Hassan, kesho Septemba 7, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la siku mbili la utamaduni wa Mtanzania...

READ MORE

Mfahamu Kanali Doumbouya Aliyeongoza Mapinduzi ya Guinea

RAIS wa guinea, Alfa Conde, mwenye umri wa miaka 83, alizuiliwa na wanajeshi wa kikosi maalum (GFS) jana Septemba 5,...

READ MORE

Dar: Mahabusu 20 Wampiga Polisi, Watoroka

MAHABUSU zaidi ya 20 waliokuwa wakishikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Maturubai, kilichopo Mbagala wilayani Temeke mkoani Dar es Salaam...

READ MORE