×

Habari

Matokeo ya Mtihani Kidato cha Sita, Ualimu 2021

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dkt Charles Msonde anatangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Sita...

READ MORE

Wanaodaiwa Kumuua Mama Yao Mzazi Wanaswa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia watu watatu wa familia moja kwa tuhuma za kuhusika kwenye mauaji ya mama...

READ MORE

Wahitimu Kidato cha Sita Waeleza Walivyonufaika na Airtel Fursa Lab

    Baadhi ya Wahitimu wa Kidato cha Sita mwaka huu waliopata fursa ya kuhudhuria mafunzo ya Digital Marketing yanayotolewa...

READ MORE

Kigoma Ina Wagonjwa 12 wa Corona

HABARI: Mkoa wa Kigoma umeripotiwa kuwa na wagonjwa 12 wa Corona ambapo wengine wamejitenga majumbani na wengine wanaendelea kupatiwa matibabu...

READ MORE

Gwajima: Tusisubiri Tuokote Maiti Mitaani

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima anasema kuwa, ugonjwa wa Corona unaendelea kusambaa...

READ MORE

Wanaotuhumiwa Kumuua Rais wa Haiti Wakamatwa – Video

KUNDI la maharamia 28 wa kigeni, pamoja na wanajeshi wastaafu wa Colombia, walimuua Rais wa Haiti Jovenel Moïse mapema wiki...

READ MORE

P Diddy Ashusha Tuhuma Nzito Kwa Wazungu

Baada ya mwanariadha Sha’Carri Richardson kuenguliwa kwenye mbio za Mita 100 kwenye michuano ya Olimpiki 2020 ambayo itaanza Julai 23,...

READ MORE

Nenda Sabasaba Kapimwe Macho, Miwani Gharama Nafuu – Video

Sambamba na OFA hii tuna ofa nyingine nyingii zinazohusiana na afya ya macho yako. Karibu katika Banda letu la TWCC mkabala...

READ MORE

MICO Halal Tanzania Yapata Cheti cha Kimataifa Cha Ithibati

KAMPUNI ya MICO International Halal Bureau of Certification (MIHB), imefanikiwa kupata cheti cha kimataifa kitakachoiwezesha kutoa ithibati ya Halal ya...

READ MORE

Nandy Alivyonogesha Uzinduzi wa TECNO PHANTOM X Utaipenda Aisee

    Mwanadada Nandy ambaye kwa hivi sasa ni gumzo kutokana na umahiri wake usiku wa kuamkia leo alipiga bonge...

READ MORE

Askofu Shoo Mwenyekiti Mpya wa CCT

ASKOFU Dkt, Fredrick shoo, ambaye ni Mkuu wa KKKT, amechaguliwa na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya...

READ MORE

Jaji Mkuu Awapokea Mawakili Wapya wa Kujitegemea 308

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma leo Julai 09, 2021 amewapokea na kuwakubali Mawakili wapya wa Kujitegemea...

READ MORE

Tozo Mpya Miamala Ya Simu Gumzo

Julai 15, mwaka huu ndipo tozo mpya za miamala ya simu zitakapoanza kutumika ambapo ishu hiyo imekuwa gumzo.   Hivi...

READ MORE

Wanafunzi, Walinzi Washikiliwa kwa Kuchoma Shule

Wanafunzi watatu, walinzi wanne na baadhi ya wananchi wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Geita kwa ajili ya mahojiano...

READ MORE

RC Makalla: Mabasi Yote Yashushe Abiria Stendi ya Mbezi

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amelielekeza Jeshi la Polisi* kuhakikisha kuanzia Sasa Mabasi yote yanashusha na...

READ MORE

Polisi Tanzania Yapata Ajali Kilimanjaro

Klabu ya Polisi Tanzania imepata ajali leo asubuhi Julai 9, 2021 wakati ikitoka mazoezini kurejea kambini huko Moshi mkoani Kilimanjaro....

READ MORE

Ajali ya Magari Matatu Yaua 5 na Kujeruhi 6

Watu watano wanahofiwa kufariki dunia na wengine sita kujeruhiwa vibaya kwenye ajali ya barabarani eneo la Nyambari, Lari kaunti ya...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Mtendaji wa UNEP – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la...

READ MORE

Binti wa Kidato cha Nne Amuua Mama Yake, Amn’goa Macho

MWANAFUNZI wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Kindi wilayani ya Moshi mkoani Kilimanjaro anadaiwa kumuua mama yake mzazi,...

READ MORE

Ndugu Wauana Kisa Penzi la Mke wa Kaka Yao

MWANAUME aliyejulikana kwa jina la Kiseri Ndaletyan (38) mkazi wa kitongoji cha Naamalasin kata ya Noondoto tarafa ya Kitumbeini Wilaya...

READ MORE

Mchimba Kaburi Atupwa Jela, Asingizia Mapepo

Kumetokea kituko kortini mjini Eldoret nchini Kenya baada ya mtuhumiwa Wilberforce Manyongemwenye umri wa miaka 28 aliyeshtakiwa kwa kukutwa na...

READ MORE

Trafiki Aporwa Simu Barabarani Akiongoza Magari – Video

VIDEO ya askari wa usalama barabarani katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, akiibiwa siku yake ya mkononi na wanaume watatu...

READ MORE

Mbuta Nanga Awapa Somo Mastaa Wanaotumia Bidhaa Feki, Awapa Ujanja

  Staa wa Bongo Muvi na Mfanyabiashara maarufu Bongo na nchini Uingereza Frollah Lyimo a.k.a Mbuta Nanga amewapa somo mastaa...

READ MORE

Trump Afungua Kesi Dhidi ya Twitter, Facebook na Google

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amefungua mashtaka dhidi ya kampuni za Twitter, Facebook na You Tube.Trump mwenye umri...

READ MORE

Fahamu Waliyomuua Rais wa Haiti, Walivyopenya Kwenye Himaya Yake

Jeshi la Polisi nchini Haiti limewaua watu wanne na kuwakamata wengine wawili kwa tuhuma za kumuua Rais wa nchi hiyo,...

READ MORE

Zuma Kupata Dhamana Baada ya Miezi Minne

WAZIRI wa sheria wa Afrika Kusini Ronald Lamola amesema rais wa zamani wa nchi hiyo Jacob Zuma ambaye ameanza kutumikia...

READ MORE

Viongozi wa Kidini na Jamii, Wapewa Semina na TACAIDS

Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) ikishirikiana na UN WOMEN, imeandaa warsha ya siku mbili,inayoendelea kufanyika katika ukumbi wa chuo...

READ MORE

NMB Kunogesha Mbio za Zanzibar International Marathon

Benki ya NMB imedhamini mbio za KM 5 za Zanzibar International Marathon 2021 zinazotarajiwa kufanyika 18 Julai mwaka huu zenye...

READ MORE

Mbowe: Corona Imemuua Kaka Yangu – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe, amefiwa na kaka yake ajulikanaye kwa jina la Charles Mbowe....

READ MORE

Membe Apata Ajali Lindi

Mwanasiasa mashuhuri nchini ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje akiwa CCM na mwaka 2020 kugombea urais wa Jamhuri...

READ MORE

Tajiri Aliyejijengea Kaburi la Bilioni 1 Akafariki, Mtoto Asimulia Mzito – Video

Takribani miaka minne iliyopita, mwaka 2018, tukio lisilo la kawaida lilivipamba vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi!...

READ MORE

Museveni Aagiza Waliomzushia Kifo Wakamatwe

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuna haja ya kuwakamata raia wa taifa hilo wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya.  ...

READ MORE

Hili Ndipo Eneo Safina ya Nuhu Ilipozama?

Nessebar ni mji wa zamani uliopo kandakando ya kisiwa. Kisiwa hicho kipo nusu maili ya nyumba moja ya mvuvi iliopo...

READ MORE

Rais Samia: Watanieleza Hizo Bilioni 1 Wamepeleka Wapi – Video

RAIS Samia Suluhu, amesimama barabarani eneo la Dumila wilayani Kilosa mkoani Morogoro kusikiliza kero za wananchi wa eneo hilo ambalo...

READ MORE

Jamaa Amuua Babu ‘Mchepuko’ wa Mkewe

Mwanaume mmoja (40) mkazi wa kijiji cha Teso,Kusini mwa kaunti ya Busia nchini Kenya anashikiliwa katika kituo cha polisi cha...

READ MORE

Wasanii Kutua Tarime Na Buku Tano Yatosha

WASANII mbalimbali kutoka jijini Dar es Salaam, wote kwa pamoja wanaelekea Tarime mkoa wa Mara, kwaajili ya kutambulisha buku tano...

READ MORE

Breaking: Mbowe Apata Pigo Zito

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe, amefiwa na kaka yake ajulikanaye kwa jina la Charles Mbowe....

READ MORE

🔴#LIVE​​​​​: Rais Samia Ashiriki Mkutano wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania

Rais Samia Suluhu Hassan ameanza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Morogoro kuanzia Julai 7, 2021. Akiwa mkoani humo,...

READ MORE

England Yatinga Fainali ya Euro 2020, Kuvaana na Italia

BAADA ya Miaka 55, hatimaye Timu ya Taifa ya England imefanikiwa kuingia hatua ya Fainali ya michuano ya Euro 2020,...

READ MORE