×

Habari

Coma Yamuua Adams wa PSG

MCHEZAJI wa zamani wa Ufaransa, Jean Pierre Adams ambaye alikuwa akiugua ugonjwa wa coma (kupoteza fahamu na kuongea) kwa miaka...

READ MORE

Mtoto wa Gaddafi Achiwa Huru

Mtoto wa tatu wa kiongozi wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi, ameachiwa huru kutoka jela ya mji mkuu wa Tripoli,...

READ MORE

Jamaa Aliyekutwa na Damu Nyeupe Azua Gumzo

Köhler anafanya kazi katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Cologne nchini Ujerumani, amesema kisa kimoja cha kushanga ni pale ambapo...

READ MORE

CCM Yatoa Maagizo kwa Serikali Sakata la Bei ya Mahindi – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeiagiza Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), kununua tani 100,000 za mahindi...

READ MORE

Majaliwa: Anzeni Kutoa Huduma Kupitia Vituo vya Huduma Pamoja

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo haziajaanza kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja vya Shirika la...

READ MORE

Rais Samia Mgeni Rasmi Tamasha la Utamaduni

RAIS Samia Suluhu Hassan, kesho Septemba 7, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la siku mbili la utamaduni wa Mtanzania...

READ MORE

Mfahamu Kanali Doumbouya Aliyeongoza Mapinduzi ya Guinea

RAIS wa guinea, Alfa Conde, mwenye umri wa miaka 83, alizuiliwa na wanajeshi wa kikosi maalum (GFS) jana Septemba 5,...

READ MORE

Dar: Mahabusu 20 Wampiga Polisi, Watoroka

MAHABUSU zaidi ya 20 waliokuwa wakishikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Maturubai, kilichopo Mbagala wilayani Temeke mkoani Dar es Salaam...

READ MORE

Jela Miaka 30 Kubaka Mhudumu wa Baa

MAHAKAMA ya Wilaya ya Geita imemhukumu mkazi wa Katoro, Justini Silivini (24), kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa...

READ MORE

Achinjwa Kisa Deni la Tsh 400,000

MKAZI wa Majengo Sokola, katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, Gongo Charles (30), ameuawa kwa kuchinjwa na watu wanaodaiwa kumdai...

READ MORE

Guinea: Mechi ya Kimataifa Yaahirishwa

Kufuatia machafuko nchini Guinea, mchuano wa timu ya taifa hilo wa kufuzu kwa kombe la dunia dhidi ya Morocco nyumbani...

READ MORE

SGR Makutupora – Tabora – Isaka Kuanza Soon

Shirika la Reli Tanzania linategemea kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya kisasa – SGR kipande cha Makutupora...

READ MORE

DED Malinyi Apata Ajali

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi (DED), Mkoa wa Morogoro, Joanfaith Kataraiya na dereva wake wamejeruhiwa katika ajali...

READ MORE

Jaji Ajitoa Kesi ya Mbowe

Jaji kutoka Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Makosa ya Rushwa, maarufu kama Mahakama ya Mafisadi,Jaji Elinaza Luvanda amejitoa...

READ MORE

Msajili wa Vyama Awaita IGP Sirro, Viongozi wa Siasa – Video

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi, amevitaka vyama vya siasa nchini kusimamisha makongamano na mikutano ya kisiasa...

READ MORE

Rais Zuma Amaliza Kifungo Chake Jela

RAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ambaye alihukumiwa kifungo cha miezi 15 jela baada ya kukaidi agizo la...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Wafikishwa Mahakamani – Video

MWENYEKITI wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake, leo Jumatatu, Septemba 6, 2021 wamefikishwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es...

READ MORE

Tanzia: Mwandishi wa Azam Media Afariki Dunia

Mwandishi wa habari wa Azam Media mkoa wa Kagera, Nicolaus Ngaiza amefariki dunia saa nne usiku jana Jumapili badaa ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Afanya Uzinduzi wa Vituo vya Huduma Pamoja – Posta

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa leo Jumatatu, Septemba 6, 2021 anazindua Vituo vya...

READ MORE

Wanaopinga Taliban: Tupo Tayari kwa Mazungumzo

  KIONGOZI wa Kundi la Wapiganaji wanaopinga kundi la Taliban nchini Afghanistan anayeongza vita vikali dhidi ya Taliban katika Bonde...

READ MORE

Mayai ya Uzazi Kuhifadhiwa Kwenye Barafu Hadi Miaka 55

TEKNOLOJIA ya kuhifadhi mayai ya uzazi ya mwanamke na manii ya mwanaume imeboreshwa na sasa utunzaji wa mayai hayo utaongezwa...

READ MORE

Mapacha Walioungana Vichwa Watenganishwa

WATOTO pacha wenye umri wa mwaka mmoja ambao walizaliwa wakiwa wameungan nyuma ya vichwa vyao wameweza kuonana kwa mara ya...

READ MORE

Mnyukano NMB, Bunge Sports Club Usipime, Penalti Zatumika Kupata Bingwa

Tamasha la Michezo baina ya timu za Wafanyakazi wa Benki ya NMB na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

Kauli ya Jeshi Baada ya Kumpindua Rais Conde Guinea

UMOJA wa Afrika (AU) umelaani mapinduzi ya kijeshi nchini Guinea na kulitaka jeshi la nchi hiyo kumuachilia Rais Alpha Conde...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Azindua NMB Foundation

  BENKI ya NMB imezindua asasi iitwayo NMB Foundation, inayolenga kujikita katika kuimarisha uwekezaji wake kwa jamii katika sekta tano...

READ MORE

Soko la Usafiri wa Kukodi Liko Katika Nafasi ya Kukua Ukanda wa Afrika Mashariki

Sekta ya usafirishaji imekuwa kwa haraka katika nchi nyingi barani Afrika kutokana na kuwepo kwa usafiri wa kukodi ambako wateja...

READ MORE

Malengo Tamasha la NMB na Wabunge Lamvutia Makamu wa Rais

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Phillip Isdor Mpango, amesifu malengo chanya ya Tamasha la NMB...

READ MORE

Ruangwa Jimbo Cup Yaibua 7 Kwenda Namungo-20

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ruangwa ameshuhudia mechi ya fainali ya mashindano kuwania kombe...

READ MORE

Leseni ya Gazeti la Raia Mwema Yasitishwa

GAZETI la Rai Mwema limesitishiwa leseni ya uchapishaji na usambazaji kwa muda wa siku 30   kuanzia kesho Septemba 6, 2021...

READ MORE

Wanne Wafariki kwa Ajali Kagera

WATU wanne ambao majina yao hayakupatikana haraka wamefariki dunia na wengine 33 kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Fikosh...

READ MORE

Askofu Gwajima Ajibu Mapigo ya Kamati ya Bunge

MBUNGE wa Kawe mkoani Dar es Salaam (CCM), Askofu Josephat Gwajima, amewaeleza waumini wake wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,...

READ MORE

Rais Samia Awasili Kilimanjaro-Picha

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja...

READ MORE

Tanzania Itapata Faida Nyingi za Kiuchumi Ikiridhia Mkataba wa AfCFTA

  Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo  Tanzania itapata faida nyingi za kiuchumi endapo itaridhia Mkataba wa...

READ MORE

Kumbilamoto Afanya Ziara Vingunguti, Akagua Ujenzi wa Barabara

MEYA wa Jiji la Dara es salaam, Omary Kumbilamoto amefanya ziara kutembelea Ujenzi wa Barabara inayotoka Baracuda kuelekea Vingunguti Mataa....

READ MORE

Wizara Ya Elimu Zanzibar, Tanzania Bara Kuendeleza Ushirikiano

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako (Mb) Septemba 3, 2021 Jijini Dar es Salaam amekutana...

READ MORE

Aliyemfumua Mshono Mgonjwa Kisa Elfu 10 Yamkuta

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imesema video inayosambaa mitandaoni ikimuonyesha daktari aliyemshona jeraha mgonjwa...

READ MORE

Serikali, Huawei Kuwaendeleza Wanawake Sekta ya TEHAMA

Serikali imeahidi kushirikiana na kuunga mkono jitihada za kampuni ya Mawasiliano ya Huawei katika kuweka mkazo zaidi na kuwaendeleza wanawake...

READ MORE

Maajabu: Azaliwa na Sehemu za Kike Kisha Kuota za Kiume

Kijana wa miaka 19 mkazi wa Bukoba, aliyezaliwa na jinsi ya kike na baadaye kuota sehemu za siri za kiume...

READ MORE

Salama Jabir Aacha Kazi EATV, Simba Yatajwa

Mtangazaji nguli nchini na kipenzi cha wengi, Salama Jabir jana alitangaza kuachana na kituo cha EATV ambacho amefanya kazi hapo...

READ MORE

Mwendokasi Yaanza Kupiga Kazi Morocco – Kawe

Wakala wa Mabasi yaendayo haraka Dar es salaam (DART) imetangaza route mpya ya Mabasi ya mwendokasi yameanza kutoa huduma Morocco...

READ MORE