×

Habari

Donge Nono Kutolewa kwa Akatayetoa Taarifa za Wahalifu

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetangaza donge nono la kiasi cha shilingi milioni mbili kwa mtu...

READ MORE

Raia 14 Wa Kigeni Wahukumiwa Jela Kwa Kuishi Nchini Bila kufuata Sheria

Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imewahukumu raia kumi na wanne kutoka nchini Malawi kulipa faini ya shilingi milioni moja kwa...

READ MORE

Rais Samia Ahudhuria Mkutano Wa SADC Msumbiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali...

READ MORE

Cuba Yazindua Chanjo ya Corona

CUBA imesema kuwa dozi tatu za chanjo yake dhidi ya virusi vya corona kwa jina Abdala imethibitishwa kuwa na ufanisi...

READ MORE

Dickson Ambundo Anahesabu Siku Tu Yanga

ALLY Mohamed ambaye ni meneja wa winga wa Dodoma Jiji FC, Dickson Ambundo, amefunguka kuwa mteja wake huyo atakuwa mchezaji...

READ MORE

Rais Samia Ateua Wakuu wa Wilaya Wawili

RAIS Samia Suluhu, leo Juni 22, 2021 amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya wawili kama ifuatavyo ⚫️ Kwa UPDATES zote,...

READ MORE

Simba Yanusa Ubigwa Ikiichapa Mbeya City 4-1

ZIMEBAKI alama tatu ndivyo walivyotoka uwanjani mashabiki wa Simba jana Juni 22. kwenye uwanja wa Mkapa baada ya kuipiga Mbeya...

READ MORE

Serikali Yaipongeza NMB Uzinduzi wa NMB Healthcare Club

  Benki ya NMB, imekuwa ya kwanza nchini kuzindua Klabu za Afya NMB Healthcare Club, mtandao unaowapa wadau wa Sekta...

READ MORE

RC Makalla Atembelea Soko la Machinga Complex, Atoa Agizo

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewaelekeza Mkuu wa Wilaya ya Ilala na Mkurugenzi wa Jiji...

READ MORE

Rais Samia Aelekea Msumbiji Kuhudhuria Mkutano wa SADC Kesho

Rais Samia akiagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango, katika Uwanja wa Ndege...

READ MORE

Breaking: Kihongosi Ateuliwa Katibu Mkuu Wa UVCCM

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM, imemteua Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida, Kenani Kihongosi...

READ MORE

Mwigulu Aivaa TFF, Simba Kutolewa Ligi ya Mabingwa

WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba amesema Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF halina mipangilio inayoeleweka kimichezo...

READ MORE

DPP Awafutia Mashtaka Waliodaiwa Kuwatumikisha Walemavu Kuwa Ombaomba

Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) amewafutia mashtaka na kuwaachia huru washtakiwa 14 waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka 41 yakiwemo ya...

READ MORE

Breaking: Bunge Lapitisha Bajeti ya Serikali Kwa Kishindo -Video

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Juni 22, 2021 limeikubali na kuipitisha bajeti ya mapato na matumizi ya...

READ MORE

Mwigulu: Kodi Ya Majengo Kwa Kutumia Luku Sio Ya Mpangaji Ni Ya Mmiliki

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 22, 2021 amesema mfumo wa ulipaji Kodi ya Majengo kwa...

READ MORE

Mahakama Yatengua Uamuzi wa Fatma Karume Kufutiwa Uwakili

MAHAKAMA kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam imetengua uamuzi wa kamati ya maadili ya mawakili wa kumfutia moja...

READ MORE

Maajabu: Gari Latumbukia Kwenye Nyumba Ya Mtu -Video

 KATIKA hali ya kushangaza, Gari moja la kusambaza mafuta limepata ajali na kutumbukia kwenye nyumba ya mama mmoja huko...

READ MORE

Bocco Azuia Usajili wa Beki Mpya Simba

UNAAMBIWA nahodha wa Simba, John Bocco, amepambana kadiri ya uwezo wake kuhakikisha anambakiza kikosini hapo beki wa kushoto wa timu...

READ MORE

Serikali Yakusanya TZS Trilioni 5.9 Kupitia Mifumo ya Kidijitali ya NMB

Ubora wa Benki ya NMB kiutendaji miaka ya hivikaribuni na mafanikio yake makubwa kifedha mwakajana ni miongoni mwa matokea ya...

READ MORE

Saba Wafariki Kwa Ajali Morogoro (Picha +Video)

WATU saba wamefariki katika ajali iliyohusisha magari matatu iliyotokea eneo na Nanenane mkoani Morogoro usiku wa kuamkia leo Jumanne Juni...

READ MORE

Mkazi wa Morogoro Ajishindia Toyota Fortuner Kutoka Nmb

Abdallah Mohamed Abdallah, mfanyabiashara na mkazi wa Morogoro vijijini ameshida zawadi ya gari mpya aina ya Toyota Fortuner yenye thamani...

READ MORE

RC Makalla Awaapisha Fatma Nyangasa na Kheri James-Picha

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam  Amos Makallaleo June 21 amewaapisha Wakuu wapya wa Wilaya za Kigamboni na Ubungo...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Rais wa China

RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Juni 21, 2021 amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa Jamhuri ya Watu...

READ MORE

Mtoto wa Miaka 8 Apewa Mimba

KATIKA  hali isiyo ya kawaida na kushangaza kiasi cha kusababisha sintofahamu ya kitabibu, mwanafunzi mwenye umri wa miaka minane anayesoma...

READ MORE

Timu 4 Kuwakilisha Tanzania Michuano ya CAF

RASMI sasa, Tanzania itapeleka timu nne kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika (CAF) na kombe la shirikisho kwa msimu wa...

READ MORE

Nikki wa Pili Aapishwa Kuwa Mkuu wa Wilaya Kisarawe-Picha

Nickson Simon maarufu Nikk wa Pili   ameapa mbele ya Mkuu wa mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge kuwa mkuu wa wilaya...

READ MORE

Mbunge Apongezwa kwa Kutopiga Sakarasi Bungeni

  NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi  Godfrey Kasekenya, amempongeza Mbunge wa Mbulu Vijijini Flatei Massay, kwa kutopiga sarakasi Bungeni,...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Viongozi Wawili

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Jumatatu,Juni 21 2021 awaapisha viongozi wawili, hafla hiyo imefanyika...

READ MORE

Meya Jiji la Dar Azungumza na Wahitimu Chuo cha Ufundi Apec Kivule.

MEYA Jiji la Dar es salaam Omary Kumbilamoto ameshiriki katika Mahafali ya pili katika Chuo cha Ufundi APEC kilichopo katika...

READ MORE

Dozi Bil. 1 za Covid- 19 Zatolewa China

CHINA imetangaza  kwamba imefikisha jumla ya Dozi bilioni moja za   chanjo dhidi ya COVID-19 kufuatia kampeni yake kubwa kabisa ulimwenguni...

READ MORE

Yanga Yapindua Meza dhidi ya Mwadui, Yaitungua 3-2

MABINGWA wa kihistoria Tanzania bara Timu ya Yanga imeendelea kuifukuzia Simba katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada...

READ MORE

Mido la Nigeria Lakubali Kutua Simba

UNAKUMBUKA ule mchezo kati ya Simba na Plateau wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar? Basi...

READ MORE

Beka Afunguka Kumwagana Tena Na Mkewe

MSANII anayefanya poa kunako gemu la Bongo Fleva, Bakari Katuti ‘Beka Flavour’ amefunguka juu ya tetesi zinazosambaa kuwa amemwagana tena...

READ MORE

Mahakama Inayotembea Yamaliza Mashauri 1,208

Jumla ya mashauri 1,208 yamesikilizwa na kumalizwa na Mahakama inayotembea ‘mobile court’ huku watu 13,668 wakiwa wamenufaika na huduma zinazotolewa...

READ MORE

Waziri Ummy Amsimamisha Kazi Mhandisi Mradi wa Ujenzi Mabasi Mwenge

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI) Mhe.Ummy Mwalimu amemsimamisha kazi mhandisi...

READ MORE

Prof. Ndalichako “Tupo Tayari Kupokea Maoni Ya Wadau Kuhusu Bodi ya Kitaalamu Ya Walimu”

Serikali iko tayari kupokea maoni na mapendekezo yanayotolewa na wadau juu ya nini kifanyike ili kuboresha sheria na kanuni zinazounda...

READ MORE

Wananchi Wakumbushwa Kuchukua Tahadhari Dhidi ya Covid-19

Wizara Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inapenda kuwakumbusha tena na kuwatahadharisha wananchi wote Tanzania kuchukua tahadhari dhidi...

READ MORE

Bunny Wailer Azikwa Baada Ya Miezi 3

Kwa wapenzi wa Rege jina la Bunny Wailer siyo geni kwani wanakumbuka nyimbo zake kama Redemption Song, Rise and Shine,...

READ MORE

Rais Samia Awasili Jijini Dodoma Leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wahudumu wa Shirika la Ndege la ATCL...

READ MORE

Letshego Yatoa Msaada wa Jezi za Michezo Shule ya Sekondari Juhudi

  Katika kuunga juhudi za serikali hususani katika sekta ya michezo  Benki ya Letshego, imekabidhi vifaa vya michezo (jezi) kwa...

READ MORE