×

Habari

Breaking: Mbunge Khatib Haji Afariki Dunia

MBUNGE wa Jimbo la Konde, kisiwani Pemba, Khatib Haji wa Chama cha ACT Wazalendo, amefariki Dunia. Umauti umemfika katika Hospitali...

READ MORE

Familia ya Mengi Yashinda Kesi ya Mirathi, Jacquiline Abwagwa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeukataa wosia uliokuwa ukidaiwa kuandikwa na aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini marehemu Reginald Mengi...

READ MORE

Mwenyekiti wa Mtaa, Madereva Boda Wanusurika Kifo Kisa Dawa ya Nguvu za Kiume

WATU watatu akiwemo Mwenyekiti wa mtaa wa Sanyenge kata ya Old Shinyanga, Benjamin Andrew na waendesha pikipiki wawili wamenusurika kifo...

READ MORE

Mwenyekiti Halmashauri Tarime Vijijini Mbaroni kwa Tuhuma za Mauaji

MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime (Vijijini), Simion Samwel maarufu zaidi kwa jina la K, anashikiliwa na Jeshi lla...

READ MORE

Mashehe wa Uamsho Washinda Rufaa

VIONGOZI wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheik Farid Hadi Ahmed na wenzake 35 wanaokabiliwa kesi...

READ MORE

Serikali Yaanika Mikakati ya Kutangaza Hifadhi ya Taifa Katavi

SERIKALI kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema kuwa imekuwa ikitekeleza mikakati mbalimbali ya kuitangaza Hifadhi ya Taifa ya Katavi...

READ MORE

Ibada ya Kuaaga Mwili wa Mama wa Hoyce Temu yafanyika Moshi

Mkuu wa Mkoa mstaafu wa Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira amesema watoa huduma wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC wamefanya uzembe...

READ MORE

Watu 3 wa Familia Moja Akiwemo Mtoto Wauawa Wakilinda Mazao

WATU watatu wa familia moja akiwemo mtoto mchanga wa miezi sita, wameuawa na watu wasiojulikana kwa kukatwa na kitu chenye...

READ MORE

Babu Ajichimbia Kaburi na Kujenga Mnara, Anunuliwa Jeneza

Katika kile wengi wanaweza kuelezea kama jambo lisilokuwa la kawaida, mwanaume Mnigeria akiwa bado hai na buheri wa siha, Chifu...

READ MORE

Mamia Wafurika TANESCO Kusaka Luku za Umeme

MAMIA ya wakazi wa Shinyanga wamemiminika katika ofisi za Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) mkoa wa Shinyanga na Wakala wa...

READ MORE

Songea: Mwanafunzi Kidato cha Tano Ajinyonga

WANAFUNZI wa kidato cha tano anayesoma katika Shule ya Sekondari ya Wasichana St. Agness Peramiho, Sophia Joel Mbano (19) amekutwa...

READ MORE

RC Kunenge Akabidhi Ofisi kwa Amos Makalla

ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambae kwa Sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge...

READ MORE

Madaktari Watilia Mkazo Mapendekezo ya Corona

Chama cha Madaktari nchini Tanzania (MAT) kimesema kuwa serikali inapaswa kutoa takwimu sahihi kuhusu maambukizi ya virusi vya Corona kwani...

READ MORE

Wananchi Washindwa Kupata Usingizi Kisa Mabomu

Mashambulizi ya anga na maroketi yalioendelea kuvurumishwa katika mzozo Israel na Gaza yamegharimu maisha ya watu zaidi huku miito ya...

READ MORE

Prof. Mkumbo Aongoza Kikao Cha 32 Cha Bodi ya Wakurugenzi Wa EPZ

Waziri wa Viwanda na Biashara na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa EPZA, Prof. Kitila Mkumbo ameongoza kikao cha kawaida...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Watendaji wa Taasisi – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anawaapisha wakuu wa taasisi leo Mei 19, 2021 kuanzia saa...

READ MORE

Byabato Awaomba Radhi Watanzania

  Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato, amewaomba radhi Watanzanbia kufuatia tatizo la upatikanaji wa huduma ya LUKU lililojitokeza kwa...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Wakuu wa Mikoa, Taasisi -(Picha + Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anawaapisha wakuu wa mikoa na wakuu wa taasisi leo Mei...

READ MORE

Kigogo wa Tehama Tanesco Yamkuta

WAZIRI wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amemsimamisha kazi kwa siku kumi Meneja wa Tehama na huduma za biashara wa Shirika...

READ MORE

Makamu wa Rais Akemea Viongozi Walevi na Wazinzi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema ili kiongozi awe mzuri ni lazima awe...

READ MORE

Ndugai: Kuna Ma-RC Wanajifanya Marais, TAKUKURU Mnaonea Watu

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Job Ndugai amesema wapo wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ambao wamekuwa...

READ MORE

Rais Samia Awabadilisha Kafulila na Mongella – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amembadilisha John Mongella kutoka kuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu...

READ MORE

Watu 27 Wafariki kwa Kimbunga Tauktae

WATU wapatao 27 wamekufa kutokana na kimbunga kikali kilichoikumba sehemu ya magharibi ya India huku  watu wengine 100 hawajulikani walipo...

READ MORE

Bill Gates Aondoka Microsoft Huku Akituhumiwa Kuchepuka

KAMPUNI ya Microsoft ilikuwa inamchunguza mwanzilishi mwenza wake, bilionea Bill Gates juu ya madai ya madai ya kuwa na uhusiano...

READ MORE

Mnyika: Bawacha Haijaundwa Kupeleka Wabunge wa Viti Maalum

Katibu mkuu wa Chadema, John Mnyika amelitaka Baraza la Wanawake la chama hicho (Bawacha) kudai katiba mpya na tume huru...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mkutano wa Kimataifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Mei 18, 2021 ameshiriki mkutano wa kujadili namna ya kuokoa...

READ MORE

Hatimaye Babu Tale Afungukia Kuoa

MBUNBGE wa Jimbo la Morogoro Kusini ambaye pia ni Meneja wa msanii Daimond Platinum, Babu Tale ameibuka na kukanusha kuoa...

READ MORE

Kesi ya Gugai Na Mwenzake Yakwama, Ni Baada ya Wakili Kuteuliwa kuwa Jaji

Kesi ya utakatishaji fedha na kumiliki mali zilizozidi kipato inayomkabili aliyekuwa mhasibu mkuu wa Takukuru, Godfrey Gugai na wenzake wawili...

READ MORE

Tanzania Mbioni Kuanza Kutumia Mtandao wa 5G

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jabir Kuwe amesema kuwa Tanzania inaelekea kutumia huduma ya 5G.  ...

READ MORE

Rais Samia: Kuna Mambo Yanashangaza – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema licha ya kufanyika zoezi la usajili laini za simu...

READ MORE

IGP Sirro: Hali ya Usalama ni Shwari, Makusanyo Yamepungua

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Sirro amesema hali ya usalama nchini ni shwari, na hakuna matukio ya kutisha....

READ MORE

Simba: Tutapindua Meza Kwa Mkapa

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Simba, Didier Gomes amesema kuwa bado ana imani kubwa kuwa kikosi chake kinaweza kupindua meza,...

READ MORE

Taharuki! Familia Yakuta Jeneza Mlangoni

Familia katika kijiji cha Ebunyang’anyi kata ya Bunyala, Kakamega nchini Kenya imepatwa na mshtuko baada ya kuamka na kupata jeneza...

READ MORE

Serikali Kutunga Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi

WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt Faustine Ndugulile amesema kuwa Wizara yake iko mbioni kupeleka Bungeni muswada utakaowezesha...

READ MORE

Rais Samia: Sheria ya PF3 Itazamwe Upya, Watu Wanakufa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitaka jeshi la polisi kuangalia upya kipengele cha PF.3 kwa...

READ MORE

Rais Samia: Makosa Sio Kitega Uchumi cha Polisi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitaka jeshi la polisi kujielekeza zaidi kutoa elimu badala ya...

READ MORE

Haya Ndio mambo 19 Yaliyopendekezwa na Kamati ya Corona -Video

Kamati maalumu ya tathmini ya ugonjwa wa corona (Covid-19) nchini imekamilisha kazi yake na kukabidhi ripoti kwa Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Mabadiliko Polisi: Mambosasa Apelekwa Dodoma, Wambura Dar

SACP Lazaro Mambosasa ametakiwa kuhama kutoka kuwa Mkuu wa Polisi kanda Maalum Dar, na kwenda kuwa Mkuu wa Oparesheni UPEL...

READ MORE