×

Habari

Polisi Yatoa Ufafanuzi Sikukuu ya Pasaka

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema halijazuia ibada za sikukuu ya Pasaka na kwamba walichozuia ni mikusanyiko, sherehe na makongamano...

READ MORE

Mahakama Yavunja Ndoa Baada ya Wanandoa Kutoshiriki Tendo kwa Miaka 21

Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya mwimbaji wa nyimbo za injili, Rebecca Magaba na Zabron Maselege baada ya wanandoa...

READ MORE

Messi wa Misri Ashangaza

Mchoraji mmoja kutoka Misri amepata mashabiki wengi katika taifa hilo la Afrika Kaskazini hasa wapenzi wa soka wanaovutiwa na mchezo...

READ MORE

Madereva 10 wa Mabasi Kikaangoni – Video

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ameagiza Jeshi la Polisi nchini kuwanyang’anya leseni madereva 10 wa mabasi yanayofanya safari...

READ MORE

Rais Samia Atoa Msimamo Kuhusu Katiba Mpya – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ni kama amejisahau mara nyingi kwa kusema linaoendelea ni...

READ MORE

Gharama za Mitandao Zapaa, Wananchi Wakinukisha

KUFUATIA changamoto iliyokuwepo ya bei kubwa ya vifurushi vya mitandao ya simu na kupelekea Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya...

READ MORE

Watumishi wa Tanesco Kizimbani kwa Tuhuma za Uhujumu Uchumi

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Arusha imewafikisha Mahakamani Watumishi watano wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)...

READ MORE

ACT-Wazalendo Yasema Kuchaguzi Muhambwe

Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kitashiriki Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Muhambwe, ambalo liko wazi baada ya kifo cha Atashasta Nditiye...

READ MORE

Taarifa ya Polisi Kuhusu Sherehe za Pasaka

  Ndugu Wanahabari, Kama mnavyofahamu Taifa letu bado lipo kwenye siku 21 za maombolezo baada ya kifo cha aliyekuwa Rais...

READ MORE

Waziri Ummy: Tamisemi ni Kubwa, Sio Ngumu

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Ummy Mwalimu amewataka watendaji wa...

READ MORE

Waziri Jafo Aahidi Changamoto Za Muungano Kupatiwa Ufumbuzi

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Said Jafo amesema atahakikisha changamoto za Muungano...

READ MORE

Facebook Yapiga Marufuku ‘Sauti ya Trump’

Mtandao wa Facebook umeondoa video ya aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump kwenye ukurasa wa mkwe wake. Facebook ilimpiga marufuku...

READ MORE

Rais Samia Aonya Manyanyaso kwa Wafanyabiashara, Fedha Zao Kuchukuliwa

Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba kutanua wigo wa ukusanyaji kodi akionya kile alichokiita kuwaua...

READ MORE

Ufahamu ‘Mji wa Mashetani’ Libya

Kama mtu mzima wa familia, Abdel Manaam Mahmoud hakuwa na budi zaidi ya kuzika mwili wa kaka yake Esmail katika...

READ MORE

Balozi Katanga: Nilipata Taarifa za Uteuzi Nikiwa Airport

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Katanga leo Alhamisi Aprili Mosi, 2021 amesema alipokea taarifa kuwa ameteuliwa kushika wadhifa huo akiwa...

READ MORE

Itel Yamtangaza Diamond Kuwa Balozi Wake

Kampuni ya itel inayojishughulisha na  uzalishaji na usambazaji wa simu na vifaa vingine vya kielectroniki imemtangaza rasmi Nassib Abdual ‘Diamond...

READ MORE

Rais Samia Amewataka Wanaowaza 2025 Wasahau – Video

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema katika mabadiliko ya wizara aliyoyafanya aliangalia sifa za...

READ MORE

Mkalimani Afunguka “Niliongea Mengi, Mmeliona Lile Tu”

Mkalimani Matungwa Mutatina aliyezua gumzo mitandaoni siku ya kumuaga Hayati Dkt John Pombe Magufuli Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, amesema...

READ MORE

Dkt. Mpango Amwagiza Mwigulu ‘Mapato Tril. 2 kwa Mwezi’ – Video

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amewaagiza Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba na Waziri wa Muungano na...

READ MORE

Ndugai: Uwaziri ni Cheo cha Muda , Bungeni ni Nyumbani – Video

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametoa somo kwa mawaziri na manaibu akiwataka kutekeleza vyema majukumu yao na kutosahau...

READ MORE

Chadema Yasusa Uchaguzi Muhambwe, Kigoma

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kutoshiriki uchaguzi mdogo katika Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, kwa madai hautakuwa huru...

READ MORE

Live: Rais Samia Anawaapisha Mawaziri Aliyowateua Jana Ikulu Dodoma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo April 01, amewaapisha mawaziri, baada ya jana Machi 31,...

READ MORE

Madagascar yakubali kupata chanjo ya corona

SERIKALI ya Madagascar imeamua kubadili mtazamo wake juu ya kukabiliana na virusi vya corona na kujumuika na jitihada za kimataifa...

READ MORE

Serikali Yasema Itapitia Utaratibu wa Malipo ya Mikopo ya Elimu

Serikali imesema ipo katika mpango wa kupitia utaratibu wa malipo kwa wanufaika wa Mikopo ya Elimu ya Juu ili wapunguziwe...

READ MORE

Ndugai Ashauri Wizara ya Fedha Kuchukua Deni la Msd

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Job Ndugai amesema suala la kukosekana kwa dawa mahospitalini ni la...

READ MORE

Bulaya Atoa Angalizo Mafunzo JKT, Serikali Yajibu – Video

MBUNGE wa viti maalum, Ester Bulaya ameishauri Serikali ya Tanzania kutoa mafunzo ya kutumia silaha kwa vijana wachache wanaoshiriki mafunzo...

READ MORE

Wakenya Waandamana Kisa Masharti ya Covid19

Baadhi ya Wananchi wa #Kenya wameandamana kupinga hatua zinazochukuliwa kudhibiti maambukizi ya #COVID19 wakibeba mabango yenye jumbe mbalimbali huku wengine...

READ MORE

Jela Miaka 30 kwa Kukutwa na Bangi Gramu 566.9

Mahakama ya Wilaya ya Babati imewahukumu Alex Laurent (27) na Humphley Charles (25) kutumikia kifungo cha miaka 30 jela baada...

READ MORE

Video: Siri Yafichuka, Siku 34 Za Dkt Bashiru Ikulu | Front Page

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Kiwanja Kikubwa Chenye Nyumba Kinauzwa Dar

Kiwanja chenye ukubwa wa Square Meter 3,872 na nyumba ya kuishi kinuzwa. Kipo Mtoni Kijichi, Mtaa wa Tukuyu, Nyumba namba...

READ MORE

Itel Kutumia Msanii Mkubwa Afrika Kuzindua Simu Mpya

  Taarifa za chinichini kutoka Kampuni ya simu za mkononi ya itel zinaeleza kuwa mwezi Aprili kampuni hiyo itazindua rasmi...

READ MORE

Simiyu: Adakwa Akisafirisha Kobe 400 Kwenye Mabegi

Jeshi la polisi mkoani Simiyu linamshikilia mtu mmoja (jina linahifadhiwa) miaka 35 Mkurya mkazi wa Wilaya ya Bunda mkoani Mara...

READ MORE

Rais Samia Amng’oa Bashiru Ukatibu Mkuu Kiongozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi wa Tanzania nchini Japan, Hussein Yahaya Kattanga...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Afanya Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri – Video

KUFUATIA Uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Dkt. Mpango Aapishwa Kuwa Makamu wa Rais – Video

Makamu wa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt .Philip Isdor Mpango ameapishwa kuwa Makamu wa Rais mbele...

READ MORE

Watano Wahukumiwa Kunyongwa Njombe

WASHTAKIWA watano waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji namba 84 ya mwaka 2014 ya Alice Mtokoma (56), mkazi wa kijiji...

READ MORE

Video: Mwili wa Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu, Waagwa Dar Leo

 MWILI wa aliyekuwa mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu, umeagwa leo Machi 31, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na...

READ MORE

Breaking: Shamimu na Mumewe Wahukumiwa Kifungo cha Maisha -Video

Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi maarufu kama Mahakama ya Mafisadi, Dar es Salaam leo Machi 31, 2021 imewahukumu kifungo...

READ MORE

Mambo Kumi Usiyoyajua Kuhusu DK Mpango

DK Philip Isidor Mpango (63) ambaye alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango katika Serikali ya Awamu ya Tano jana akateuliwa...

READ MORE