×

Habari

Baba Anaswa ‘Live’ Akimbaka Mwanaye wa Miaka 11

Polisi wilaya ya Serengeti mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kitongoji cha Chamoto, Ikwabe Gibogo (58) kwa tuhuma za kumwingilia kimwili...

READ MORE

Kortini kwa Tuhuma za Kukamatwa na Bangi – Video

  Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga, Twaga Sultan na Abeid Ismail wakazi wa jijini Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama...

READ MORE

Rais Ajitangaza Hadharani Kuambukizwa ‘Corona’

  RAIS wa Mexico, Andres Manuel Lopez Obrador,  kupitia akaunti yake ya Twitter ametangaza kupata maambukizi ya virusi vya ugonjwa...

READ MORE

JPM Aanika Alichozungumza na Rais wa Ethiopia – Video

  RAIS  John Magufuli amempokea mgeni wake Rais wa  Ethiopia, Sahle-Work Zewde, aliyewasili nchini leo Januari 25, 2021, kwa ziara...

READ MORE

Tanzia: Mama Mzazi wa DC Jerry Muro Afariki Dunia

MKUU wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro, anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi, ANKUNDA MURO, kilichotokea katika Hospital ya...

READ MORE

Magufuli Ampokea Rais wa Ethiopia Chato

RAIS  John Magufuli, leo Januari 25, 2021, amempokea Rais wa Ethiopia, Sahle-Work Zewde, aliyekuja nchini kwa ziara ya kikazi ya...

READ MORE

Wachezaji 4, Rais, Rubani Wafariki kwa Ajali ya Ndege Brazil

WACHEZAJI wanne akiwemo rais wa klabu ya soka ya Palmas, Brazil, na rubani wamefariki katika ajali ya ndege ndogo jana,...

READ MORE

Makamu wa Rais Akerwa na Jumbe za Promo Kwenye Simu

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema inaudhi kupokea ujumbe kwenye simu wa promosheni unaotumwa na kampuni za simu za...

READ MORE

Serikali Yabaini Day Care Centre za Kinyemela

Sakata la uendeshaji wa vituo vya kulelea Watoto Mchana (Day Care Centres) limeendelea kuchukua sura mpya ambapo Mkoani Tanga imebainika...

READ MORE

Wazazi wa King’ongo Wafurahia Neema kutoka NMB

  Wazazi katika Kata ya King’ongo, wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam wamefurahia neema ya madawati yaliyopelekewa katika Shule...

READ MORE

Kwa Nini Wanaume Wanapendazaidi Kuchepuka?

ALHAMISI nyingine Mungu ametupa zawadi ya uhai. Tunakutana kwa pamoja kuzungumza yahusuyo mahusiano na maisha kwa ujumla.   Hakuna ambaye...

READ MORE

Makamu wa Rais Azindua Wiki ya Sheria

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan, ameongoza matembezi ya Uzinduzi wa Maadhimisho ya wiki...

READ MORE

Serikali Yasikitishwa Na Kitendo Cha Askali Kumpiga Ndugu Wa Mgonjwa

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesikitishwa na kitendo askari wa ulinzi (SUMA –...

READ MORE

Mo Afunguka Kuwa Bilionea wa 13 Afrika

BILIONEA  wa Kitanzania, Mohammed Dewji maarufu MO amefunguka juu ya kutajwa kwenye orodha ya mabilionea wanaoongoza kwa utajiri barani Afrika....

READ MORE

Rais wa Ethiopia Kuwasili Nchini Kesho, Waziri Kabudi Afunguka -Video

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi amesema kuwa kesho Januari, 25 Tanzania inatarajia...

READ MORE

Serikali Yaagiza Kuanza Ujenzi Madarasa Nchi Nzima

NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) David Silinde ameagiza Halmashauri zote nchini kuhakikisha hakuna mwanafunzi...

READ MORE

Video: Ibada Ya Kumuaga Brigedia Maganga Nyumbani Kwake Dar

 IBADA Ya Kumuaga Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga ambaye alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma amefariki Dunia Januari 21,...

READ MORE

Diamond na Tanasha Waonyesha Mahaba Stejini -( Picha +Video)

STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ pamoja na mama mtoto wake, Tanasha Donna Oketch usiku wa kuamkia leo...

READ MORE

Kesi Dhidi ya Trump Kuanza Februari 8

Kesi ya Rais wa zamani wa Marekani itaanza wiki ya pili ya Februari katika Bunge la Seneti, baada ya kuwasilishwa...

READ MORE

Orodha ya Klabu 20 Bora Afrika, Tanzania Imo

KLABU Bora Afrika kwa sasa,viwango vinatokana na matokeo ya timu katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la...

READ MORE

Wapishi, Wapambaji, Ma-MC, Wapiga Picha, Watakiwa Kulipa Ada

WATU wanaofanyakazi ya kupamba kumbi za starehe, kusherehesha (Ma-MC), wapishi wa sherehe na wapiga picha, watatakiwa kulipa ada na ushuru....

READ MORE

Muuguzi Aliyempiga Mjamzito Afutwa Kwenye Baraza la Wauguzi na Wakunga

  BARAZA la Uuguzi na Ukunga Tanzania, limemwondoa kwenye orodha ya wauguzi na wakunga Tanzania, Valentine Kinyanga wa kituo cha...

READ MORE

Wanadiplomasia Kushirikiana na Tanzania Kuvutia Wawekezaji

UMOJA wa Ulaya (EU) umeahidi kuendelea kuiunga mkono Serikali ya Tanzania katika jitihada za kuimarisha mazingira ya biashara na uwekezaji...

READ MORE

Shigongo Anaendelea Kugawa Vifaa vya Shule kwa Wanafunzi

OFISI ya Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, imeendelea na zoezi la kugawa sare na madaftari kwa wanafunzi...

READ MORE

Breaking News: Larry King Afariki Dunia

MTANGAZAJI na mwandishi wa habari mkongwe wa kituo cha runinga cha CNN cha nchini Marekani, Lawrence Harvey (87), almaarufu Larry...

READ MORE

DC Aingilia Kati Walinzi Kumpiga Aliyekuwa Akimuuguza Mama’ke

Sakata la Daudi Lefi aliyekuwa anamuuguza mama wake hospitali ya rufaa Mkoa wa Shinyanga kupigwa na walinzi wa Suma JKT...

READ MORE

Avuliwa Ukuu wa Shule kwa Tuhuma Kuiba Vifaa vya Ujenzi

MKUU wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimb,i amemwagiza Mkurugenzi wa Halmshauri ya Singida, Rashid Mwandoa, kumvua cheo Mwalimu Mkuu...

READ MORE

Mjamzito Ajiua na Mimba ya Miezi 9

MWANAMKE mmoja amejinyonga kwa kutumia kanga kwenye mti wa mwembe katika kijiji cha Itununu wilayani Serengeti, kwa madai ya wivu...

READ MORE

Wachawi Waapa Kumroga Aliyechoma Moto Kanisa Lao

MAMBO yaligeuka mnamo Alhamisi, Januari 14, 2021, mnamo saa kumi na moja asubuhi wakati mtu asiyejulikana aliteketeza jumba la “Halloween...

READ MORE

Zimbabwe: Waziri wa Nne Afariki kwa Corona

WAZIRI  wa Usafirishaji wa Zimbabwe, Joel Biggie Matiza, amefariki dunia kwa kuugua COVID 19 jana katika Hospitali ya St. Annes...

READ MORE

Makamu wa Rais Aliyegomea Mawaziri Kutibiwa Nje, Augua, Apelekwa China

Makamu wa Rais Zimbabwe, Jen. Mst. Dkt. Constantino Chiwenga amesafirishwa kwa ndege kwenda China jana jioni kufuatia hali yake ya...

READ MORE

Trump Alitaka Mwanasheria Ambaye Angebadili Matokeo ya Kura Georgia

ALIYEKUWA rais wa Marekani Donald Trump alikuwa na mpango wa kumfukuza mwanasheria mkuu kwa kukataa kubadili matokeo ya uchaguzi na...

READ MORE

Serikali Kugawa Saruji Kila Kata

HALMASHAURI ya wilaya ya Geita, imetenga bajeti ya shilingi bilioni 78, kwa mwaka wa fedha 2021/2022, huku ikija na mpango...

READ MORE

Mwili wa Mbunge Martha Kuagwa Leo Bungeni Dodoma

MWILI wa aliyekuwa mbunge wa viti maalum wa Manyara kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Martha Umbulla, utaagwa leo Januari 23,...

READ MORE

Mrithi wa Mkude Athibitisha Kumalizana na Simba

NI rasmi sasa kiungo mkabaji wa timu ya taifa ya DR Congo, Doxa Gikanji amethibitisha kumalizana na uongozi wa Simba...

READ MORE

Ashushiwa Kipigo na Askari Akimhudumia Mama Yake Wodini – Video

KATIKA hali isiyotarajiwa mwanamme aliyejulikana kwa jina la Daudi Lefi (40) amejikuta katika wakati mgumu baada ya kushambuliwa na walinzi...

READ MORE

Walimu 2 Mbaroni Wakituhukiwa Kumpa Mimba Mwanafunzi na Kuitoa

POLISI  mkoani Njombe inawashikilia walimu wawili wa Shule ya Sekondari Mang’oto wilayani Makete mkoani Njombe, kwa tuhuma za kumsababishia ujauzito...

READ MORE

Ahukumiwa Jela kwa Kuishi Nchini Bila Kibali

RAIA wa Nchini Yemen, Edhah Nahdy (34) amehukumiwa kulipa faini ya Sh 1,400,000 au kwenda jela mwaka mmoja na miezi...

READ MORE

Majaliwa Achangisha Mil. 18.9 Kumsaidia Mtoto Miriam

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameendesha harambee ya papo kwa papo na kuchangisha sh. milioni 18.9 ambapo kati ya hizo, sh....

READ MORE

Wananchi Wakinukisha Ofisi ya Mtaa, Kisa Hiki Hapa!

  WANANCHI wa mtaa wa Mwananchi kata ya Mahina Wilayani Nyamagana mkoani Mwanza, wameifunga ofisi ya mtaa huo, wakishinikiza Chama...

READ MORE