×

Habari

Chadema Yataka Kuonana na Rais Samia

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimeomba kuonana na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Mbowe ‘Sikwenda Nje ya Nchi Kama Mkimbizi wa Kisiasa’

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema kuwa hakwenda nje ya Nchi kwa sababu za kiasiasa badala yake...

READ MORE

Madai Kubambikwa Kodi ya Bil 2, TRA Yamuita Mbowe

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe ametaja sababu ya kuamua kuondoka nchini na kwenda kuwekeza nchi...

READ MORE

TMA Yatoa Tahadhari ya Mvua Kubwa

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la uwepo wa mvua kubwa kwa siku tatu mfululizo kuanzia leo...

READ MORE

Rc Telack: Shinyanga Haina Mauaji ya Vikongwe

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainab Telack amesema Mkoa wa Shinyanga hauna tena mauaji ya vikongwe kutokana na juhudi...

READ MORE

Iran Yadai Kituo Chake cha Nyuklia Kimepigwa na ‘Shambulio la Hujuma’

Kiwanda cha nyuklia nchini Iran kilipigwa na “hujuma ” siku moja baada ya kufichua kifaa kipya cha urutubishaji wa madini...

READ MORE

Lwandamina: Yanga Wametushikia Nafasi Yetu

BAADA ya Azam FC, kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa na kukaa nafasi ya pili, kocha mkuu...

READ MORE

Mbowe Amlilia Hayati Magufuli

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, Leo Aprili 11,2021 amelezea alivyosikitishwa na msiba wa aliyekuwa Rais...

READ MORE

Miezi Hii 18 Haitasahaulika Tanzania!

LICHA ya kwamba kila mwanadamu ataonja umauti kama maandiko ya vitabu vya dini yanavyoeleza, lakini katika kipindi cha mwaka 2019...

READ MORE

Rais Samia Afunguka Faida za Mradi wa Bomba la Mafuta (EACOP) -Video

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Aprili 11, 2021 amesema mradi wa ujenzi wa Bomba la kusafirisha mafuta ghafi...

READ MORE

Zitto Amuomba Radhi CAG Kichere

KiONGOZI wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe  leo Aprili 11, amemuomba radhi mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali...

READ MORE

Rais Samia Akaribishwa Na Rais Museveni Wa Uganda Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekaribishwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe....

READ MORE

Rais Samia Awasili Uganda Kwa Ziara Ya Kikazi Ya Siku Moja (Picha +Video)

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Uganda leo tarehe 11 Aprili, 2021...

READ MORE

Rais Samia Aondoka Nchini Kwenda Uganda Leo

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo tarehe 11 Aprili, 2021 kwenda nchini...

READ MORE

Familia Iliyotembea Uchi wa Mnyama ‘Tunatii Mizimu’

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Bakari Msulwa amelazimika kuitembelea familia ya Seleman Mpange, mkazi wa Kijiji cha Lukulunge Kata ya...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Itakamilisha Mradi wa Umeme wa Maji Mto Rufiji

  WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Rais Kenyatta Azindua Kiwanda cha Bunduki

Rais Uhuru Kenyatta amezindua kiwanda cha utengenezaji bunduki ambacho ni sehemu ya viwanda vya vifaa vya usalama wa kitaifa eneo...

READ MORE

Makamu wa Rais Mpango Akutana Waziri Jafo

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdori Mpango, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya...

READ MORE

Prof. Assad Adai Asilimia 60 ya Viongozi Serikalini Hawana Uwezo

Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali,  Profesa Mussa Assad amesema kuna haja ya kuanza na safu mpya ...

READ MORE

Ripoti ya CAG Yaondoka na Bosi wa Utalii

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro leo amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha...

READ MORE

Tarimba Aishauri Serikali Kuwatumia Wawekezaji wa Ndani

Serikali imeshauriwa kuunda timu ya wataalamu na wafanyabiashara mashuhuri akiwemo Mohammed Dewji (Mo), ili kushauri na kutengeneza mazingira yatakayowafanya wawekezaji...

READ MORE

TANZIA: Mama Mzazi wa IGP Sirro Afariki Dunia

  Mama mzazi wa IGP Simon Sirro, Monica Nyabyamari amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili...

READ MORE

Prof. Assad: Baraza la Mawaziri Lisiwe na Siri – Video

  Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Musa Assad amesema ubadhirifu unaotokea kwenye baadhi ya wizara huwa hauna...

READ MORE

Mzungu na Mkewe Watupwa Jela Miaka 30 kwa Kulima Bangi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imewahukumu kifungo cha miaka 30 gerezani washtakiwa Damian Krzysztof raia wa Poland na mke wake...

READ MORE

TCRA Yaanza Kupokea Maombi Leseni za Maudhui Mitandaoni

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa taarifa kwa umma kuwa kuanzia jana Aprili 9,2021 imeanza kupokea maombi mapya ya Leseni...

READ MORE

ECLA Kutoa Mafunzo ya Kuandaa Mahesabu kwa Mfumo wa IPSAS

  TAASISI ya ECLA Africa Consult yenye makao makuu yake Jijini Dar es Salaam, inayojihusisha na masuala ya ukaguzi, ushauri...

READ MORE

Ummy Afanya Maamuzi Mazito Baada ya Ripoti ya CAG

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu, ameagiza Wakuu wa Mikoa...

READ MORE

Ugonjwa wa Ajabu Waua Watu Wanane

Ugonjwa wa ajabu umeua watu wanane kwenye kijiji kidogo kilichoko katika Kaunti ya Kakamega nchini Kenya. Mamlaka husika zilithibitisha vifo...

READ MORE

Hotuba ya Waziri wa Fedha leo Bungeni

Mheshimiwa Spika, awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima na afyanakuweza kukutana tena kwa ajili ya kupokea...

READ MORE

Carinhos Kuikosa KMC, Ntibazonkiza Ndani

  Kaimu kocha mkuu wa klabu ya Yanga, Juma Mwambusi amethibitisha kuwa watawakosa nyota wanne kuelekea mchezo wa ligi kuu...

READ MORE

Kimei: Serikali Ikakope Nje

Mbunge wa Vunjo, Dk Charles Kimei amesema deni la taifa ni himilivu na thamani ya shilingi ni nzuri na Serikali...

READ MORE

Polepole ataka wakulima waunganishwe na Tehama

Mbunge wa kuteuliwa na rais Humphrey Polepole amesema ili kukuza masoko kwa wakulima inabidi yafanyike mageuzi makubwa ya Teknolojia ya...

READ MORE

Dkt. Kigwangalla Asema Atashitaki

  Baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kubainisha matumizi mabaya ya fedha za...

READ MORE

CAG: ATCL Haina Ndege

ACHANA na hasara ya Sh 60 bilioni iliyopata Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...

READ MORE

Sports Pesa Yamkabidhi Mshindi wa Jackpot Mil. 500

KAMPUNI ya michezo ya kubashiri SportPesa leo Aprili 9, 2021 imemkabidhi rasmi mshindi wa awamu ya sita wa Jackpot mfano...

READ MORE

Mbunge Akerwa Watanzania Kuitwa Wanyonge

Mbunge wa viti maalum Mh. Conchesta Rwamlaza amesema Watanzania sio wanyonge bali wanauwezo wakipangiwa mipango mizuri na kuelekezwa watasaidia kuleta...

READ MORE

Serikali Kuajiri Walimu 6,000

Serikali ya Tanzania imesema itaajiri walimu wapya 6,000 wa Shule za Msingi na Sekondari ifikapo Juni 2021 ili kujaza nafasi...

READ MORE

Profesa Muhongo: Umeme wa Maji ni Kujidanganya

Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema uchumi wa gesi pekee ndiyo utakaoifikisha Tanzania kwenye uchumi thabiti.    ...

READ MORE

Jihisi Mwenye Nguvu Na Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet!

Mchezo wa Mini Power Roulette Wiki hii Meridianbet inakuletea mchezo bomba na wa kipekee uitwao Mini Power Roulette uliotengenezwa na...

READ MORE