×

Habari

Sumaye: Chadema Hawawezi Kuchukua Nchi

WAZIRI Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Frederick Sumaye amesema vyama vya Upinzani nchini haviwezi kuongoza nchi kwa...

READ MORE

Yanga Kukipiga na KMKM Uwanja wa Azam Complex leo

KIKOSI cha Yanga leo Septemba 30 kitacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya KMKM ya Zanzibar,utakaopigwa Uwanja wa Azam...

READ MORE

Lissu: Bado Sijapokea Wito wa Malalamiko NEC

MGOMBEA urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema kuwa hadi sasa bado hajapokea wito wala malalamiko...

READ MORE

Serikali Yashinda Kesi Kupinga Muungano wa Tanzania – Video

MAHAKAMA ya Jumuiya Afrika Mashariki imetupilia mbali madai ya kupinga uhalali wa Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao...

READ MORE

Mussa Sima: Ni Kazi Kubwa, Tumpongeze JPM kwa Kura

MGOMBEA Ubunge katika jimbo la Singida Mjini, Mussa Sima (CCM) amewataka Watanzania kumpongeza Mgombea urais wa chama hicho, Dk. John...

READ MORE

RC Kunenge: Dar Itakuwa Kama Ulaya – Video

MKUU wa Mkoa Dar es Saalam, Abubakari Kunenge,  leo Septemba 30, 2020, amefanya ziara ya ukaguzi katika eneo la Daraja la...

READ MORE

Benki ya ACB Yahudhuria Mkutano wa Wadau Wake wa Rombo Waishio Dar

Kikundi cha kusaidiana cha wenyeji wa Rombo mkoani Kilimanjaro kiitwacho Keni Upendo Family wamefanya mkutano wa mwaka kujadili mambo mbalimbali...

READ MORE

GGML, Rafiki Surgical Mission Ambulance Bukoli

Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Rafiki Surgical Mission kutoka Australia wametoa msaada wa gari la...

READ MORE

Wakili wa Idris Ashindwa Kufika Mahakamani

MSANII na mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Idris Sultan, ameiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuahirisha kesi namba 60/2020, inayomkabili  na...

READ MORE

Meridianbet Yamwaga Misaada Ocean Road Hospital (Picha +Video)

KAMPUNI ya Michezo ya Bahati Nasibu ya Meridianbet kwa kushirikiana na taasisi ya Lions Club ya Dar na Pwani, Septemba...

READ MORE

Magufuli akiwa Mbeya, asimama barabarani kuomba kura.(Picha + Video)

Magufuli akiwa Mbeya, asimama barabarani kuomba kura. MGOMBEA wa Urais (CCM) Dkt John Magufuli, amewasili mkoani Mbeya leo Septemba 29,...

READ MORE

Afisa Elimu Pwani Atoa Somo Kwa Wahitimu Victory Secondary

“Nawapongeza kwa kuwa mfano wa shule bora mkoani Pwani kwa mchango wake kielimu kwa kuwa wanafunzi wengi waliotokea hapa wamekuwa...

READ MORE

Hatimaye James Delicious Alipiwa Faini, Aachiwa Huru

HATIMAYE kijana James Charles maarufu kwa jina la ‘James Delicious’ amelipiwa faini ya Tsh milioni 5 aliyokuwa amehukumiwa kulipa au...

READ MORE

Mke wa King Kiki Azungumzia Afya ya Mumewe

CONSTANSIA Kalanda ambaye ni mke wa msanii muziki wa dansi nchini Tanzania, King Kiki, amefunguka kuhusu kuumwa kwa mumewe huyo...

READ MORE

Jaqueline Mengi Kuwaongoza Mamiss Tanzania Kusherehekea Urembo

Miss Tanzania mwaka 2000 Jaqueline Mengi kwa kushirikiana na mamiss wenzake waliwahi kushika taji hilo wameanzisha mpango wa kuwahamasisha wasichana...

READ MORE

Magufuli Amzawadia Kofia Mwananchi Iringa – (Picha + Video)

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli  leo amemvalisha Kofia Bibi aliyefahamika kwa jina...

READ MORE

Tanzia: Gwiji wa Muziki wa Dansi Saidi Mabera, Afariki Dunia

Gwiji wa muziki wa dansi na kiongozi wa bendi ya Msondo Ngoma, Saidi Mabera, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo...

READ MORE

Benki ya NMB Yashiriki Mkutano wa Vijana wa Umoja wa Mataifa Arusha

Benki ya NMB imeeleza kuwa vijana ndio dira ya maendeleo ya sasa na baadaye kwa taifa lolote duniani na ni...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Uteuzi Mpya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Eblate Ernest Mjingo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Septemba 29, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 29, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Magufuli Aanika Siri Nzito Dodoma

MGOMBEA wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Magufuli amewambia wapiga kura wake kuwa anasiri kubwa na nzito ndani...

READ MORE

Polisi Yakanusha Kuupiga Mabomu Msafara wa Lissu

JESHI la Polisi Mara, limekanusha uvumi kuwa msafara wa mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu...

READ MORE

Shule Nyingine Yaungua Nyasaka Mwanza

Wanafunzi 22 wanaosoma katika shule ya Sekondari ya Yustas iliyopo Nyasaka wilayani Ilemela mkoani Mwanza, wameunguliwa vifaa vyao yakiwemo magodoro...

READ MORE

House Girl Anaswa Akitaka Kusafirisha Dawa za Kulevya Nje ya Nchi

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini inawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kutaka kusafirisha dawa za...

READ MORE

Dk.Shein Azindua Rasmi Jengo La Abiria Uwanja Wa Ndege Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein amezindua rasmi jengo jipya la...

READ MORE

Afariki Gesti Baada ya Kuzini na Shemeji

POLISI jijini Nairobi nchini Kenya, wanafanya uchunguzi wa mwanamke mmoja aitwaye Jesca Sibwe mwenye umri wa miaka 42, ambaye amefariki...

READ MORE

Dada wa Usafi Anaswa na Dawa za Kulevya – Video

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini imemkamata Maria Edson Mtambo (25) Mnyiha na mkazi wa Tegeta...

READ MORE

Bodi ya Ligi Yaufunga Uwanja wa Jamhuri Moro

BODI ya Ligi  nchini imeufungia Uwanja wa Jamhuri wa mjini Morogoro hadi utakapofanyiwa marekebisho katika maeneo matatu ambayo ni: eneo...

READ MORE

Lissu Akana Kupokea Wito NEC

MGOMBEA urais kupitia, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amesema kuwa hajapokea malalamiko yoyote kutoka Tume ya Taifa...

READ MORE

Mkakati Kukifuta Chama cha Bobi Wine Watua Kortini

MWANASIASA wa upinzani nchini Uganda anayemtikisa Rais Yoweri Museveni amejikuta akipigania mchakato wa kuwa kwenye karatasi ya kura, baada ya...

READ MORE

Mauaji Kada wa CCM Njombe, JPM Aagiza…

  RAIS wa Tanzania na mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),  John Magufuli,  ametuma salamu za pole na ubani...

READ MORE

NMB Yapongezwa Kwa Kutoa Ahueni Wakati wa COVID-19

  Serikali na wadau mbalimbali wameipogeza Benki ya NMB kwa msaada wake mkubwa wakulisaidia Taifa na wateja wake kukabiliana na...

READ MORE

Kigogo TRA Kizimbani Tuhuma za Rushwa Sh Mil. 1.5

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, imemfikisha mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania...

READ MORE

Yanga Yalaani Mashabiki Wake Kuwapiga Mashabiki wa Simba Moro

KLABU ya Yanga imelaani kitendo cha baadhi ya mashabiki wake mkoani Morogoro waliowafanyia fujo baadhi ya mashabiki wa Simba SC...

READ MORE

Benki ya NBC Yaibuka Kinara Maonesho ya Madini Geita.

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeibuka kinara kwenye Maonesho ya Madini na Teknolojia yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mkoani Geita...

READ MORE

Benki ya NBC Yawaasa Wazazi Kuwekeza katika Bima ya Elimu

Wazazi nchini wameshauriwa kujenga utamaduni wa kuwakatia watoto wao Bima ya elimu itakayo wahakikishia uhakika wa kupata elimu bora hata...

READ MORE

Rais Asimamisha Mshahara wa Waziri

RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa,  ametoa onyo kali kwa waziri wake wa ulinzi, Nosiviwe Mapisa – Nqakula,  na kusimamisha...

READ MORE

Jiwe Kubwa la Madini Lapatikana Morogoro

WAZIRI wa Madini, Dotto Biteko, ametangaza habari njema baada ya kupatikana kwa jiwe jingine tena kubwa la madini aina ya...

READ MORE