×

Habari

Mapacha 3 Wafunga Ndoa na Mapacha Wenzao 3

MAPACHA hao waliandaa sherehe ya harusi katika jimbo la Enugu Nigeria. Sherehe hiyo ya faragha ilhudhuriwa na waalikwa pekee. Picha...

READ MORE

Dkt. Abbas: Unaweza Kusajili Mchezaji Mwizi wa Magari, Tutadhibiti – Video

SERIKALI imesema inaweka mfumo imara wa kudhibiti wachezaji wa soka wanaosajiliwa nchini wawe na viwango vinavyotakiwa pamoja na vigezo vya...

READ MORE

Marekani: Apigwa Risasi Nje ya Ikulu, Trump Aondolewa

RAIS wa Marekani, Donald Trump, ghafla amelazimika kuondolewa na maofisa wanaolinda usalama wake kutoka kwenye chumba alimokuwa akiwahutubia waandishi wa...

READ MORE

Prof. Lipumba Achukua Fomu Kugombea Urais

MGOMBEA urais kupitia Chama cha Wananchi( CUF) Profesa Ibrahim Lipumba na mgombea mwenza, Hamida Abdallah Huweishi, leo Agosti 11, 2020,...

READ MORE

Mlipuko Beirut: Waziri Mkuu Lebanon Ajiuzulu

WAZIRI mkuu wa Lebanon, Hassan Diab, ametangaza kujiuzulu kufuatia mlipuko wa wiki iliyopita mjini Beirut. Kwenye taarifa yake fupi kupitia...

READ MORE

Kesi ya Idris, Mwenzake Yakwama Kortini

KESI  inayomkabili mchekeshaji maarufu nchini, Idris Sultan, na mwenzake, Innocent Maiga, imeshindwa kuendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo...

READ MORE

Dkt. Abbas: Kanuni za TCRA Zimeshirikisha Wadau – Video

SERIKALI ya imesema kanuni mpya zinazoongoza huduma za maudhui ya mtandaoni  na zile za radio na televisheni hazijaanza leo, ni...

READ MORE

Chalamila Kuwasaka Wanafunzi Wajenge Vyoo

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema ukosefu wa vyoo katika Shule ya Msingi Sisimba ni aibu kwa waliosoma...

READ MORE

Mtoto Aliyeibiwa Mbeya Apatikana Akiwa Hai

KUPATIKANA KWA MTOTO ALIYEIBWA. JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia JUMA KALINE [32] Mkazi wa Mapele Malangamilo Wilaya ya...

READ MORE

Jela Miaka 20 kwa Kukutwa na Pembe za Ndovu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Manyara imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka 20 jela Alais Layeni kwa kosa...

READ MORE

Tanzania Hatuna Ugomvi na Kenya, ni Kanuni za Diplomasia – Video

SERIKALI imesema kuwa haina mgogoro wowote wala ugomvi na nchi ya Kenya na kwamba Serikali hizi zinashirikiana kwa mambo mengi...

READ MORE

Jackpot Mpya na Kabambe kutoka Parimatch

Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya Parimatch Tanzania imezindua mchezo mpya wa Jackpot ambao utawapa fursa wateja wa kampuni hiyo,...

READ MORE

Rais Magufuli Amlilia Dkt. Kisanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesikitishwa na kifo cha Rais wa Chama cha Waimbaji...

READ MORE

Mr Kuku Anaswa Kwa Kuchezesha Upatu Wa Mabilioni Ya Fedha

Mfanyabiashra na Mkazi wa Oysterbay jijini Dar es Salaam, Tariq Machibya miaka (29) maarufu Mr Kuku, amefikishwa katika Mahakama ya...

READ MORE

RC Kunenge Aanza na Pugu – Video

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amefanya ziara ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi...

READ MORE

Lissu Afanya Ibada, Amshukuru Mungu kwa Kumponya

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeo (Chadema), Mhe. Tundu Lissu,...

READ MORE

Inasikitisha! Baba Amchinja Mwanaye wa Kambo

JESHI la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Ayoub John mwenye umri wa miaka 38, Mvuvi katika Kisiwa cha Chakazimbwe wilayani Muleba,...

READ MORE

Shambulio Niger: Watu 8 Wakiwemo Raia 6 wa Ufaransa Wauawa

Watu 8 wamefariki dunia baada ya kusambuliwa kwa risasi katika hifadhi ya twiga katika Mkoa wa Koure. Waliopoteza maisha ni...

READ MORE

Moto Wateketeza Hifadhi ya Wanyama

Mamlaka ya Kenya imetuma jeshi kusaidia zima moto katika kupambana na moto mkubwa ulioibuka katika hifadhi kubwa ya wanyama pori...

READ MORE

Hong Kong: Mmiliki wa Gazeti Linalokosoa Serikali Mbaroni

Jimmy Lai ni moja wapo ya viongozi wakuu wanaharakati wanaounga mkono demokrasia huko Hong Kong. Amekamatwa leo Jumatatu Agosti 10...

READ MORE

Mlipuko wa Beirut: Mawaziri 3, Wabunge 9 Wajiuzulu

WAZIRI wa Habari, Manal Abdel Samad na Waziri wa Mazingira, Damianos Kattar, wamejiuzulu kufuatia mlipuko wa Agosti 04, 2020,  uliosababisha...

READ MORE

Rungwe Achukua Fomu NEC Kuwania Urais

MWENYEKITI  wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chauma), Hashim Rungwe, leo Agosti 10, 2020, amechukua fomu ya kuwania urais wa...

READ MORE

RC KUNDENGE AFANYA ZIARA YA KUTATUA KERO ZA WANANCHI PUGU.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amefanya ziara ya kikazi ya kusikiliza na kutatua kero za...

READ MORE

Majaliwa Akagua MV New Victoria ‘Wiki Ijayo Meli Ianze Kazi’

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekagua ukarabati mkubwa wa meli ya MV New Victoria Hapa Kazi tu na kuagiza mamlaka inayosimamia...

READ MORE

Vodacom Tanzania PLC yashinda Tuzo kwenye maonesho ya Nanenane kitaifa mkoani Simiyu

Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga akimkabidhi kombe Mkuu wa Mauzo Vodacom kanda ya ziwa, Ayubu Kalufya, kwenye maonesho ya nanenane...

READ MORE

Majima Wagombea Ubunge Walioteuliwa Kupeperusha Bendera ya Chadema

LEO Jumapili, Agosti 9, 2020, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza majina ya awamu ya kwanza wagombea walioteuliwa kugombea...

READ MORE

Mfugaji Aliyedaiwa Kuuawa na Askari TANAPA Azikwa

MFUGAJI Ulandi Dotto (28) mkazi wa Kijiji cha Mwanavala, Mbarali mkoani Mbeya, anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na askari wa...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Mabadiliko, Ateua DC Mpya Ilala

Rais Dkt. John Magufuli leo Jumapili, Agosti 9, 2020 amefanya mabadiliko na kumteua Bw. Ngw’ilabuzu Ndatwa Ludigija kuwa Mkuu wa...

READ MORE

Kortini Madai ya Kukutwa na Tausi

RAIA sita wa China wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, ikiwamo kuongoza genge la uhalifu na kukutwa na...

READ MORE

Mgombea Urais Atinga NEC na Bajaji Kuchukua Fomu

MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia Makini, Sesilia Mmanga ametinga na msafara wa bajaji katika Ofisi yaTume ya Taifa ya...

READ MORE

Visanduku Vyeusi vya Air India Vyapatikana

WAPELELEZI wamepata visanduku vyeusi vya ndege iliyoanguka katika uwanja wa ndege jimbo la Kusini mwa India Kerala na kusababisha vifo...

READ MORE

TAKUKURU Yakamilisha Agizo la Rais Magufuli

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), imekamilisha uchunguzi wake na kugundua kuwapo ubadhirifu na migongano ya kimaslahi...

READ MORE

Matokeo ya Kura za Maoni Viti Maalum UVCCM

  Katika Mkutano wa Baraza kuu la umoja wa vijana UVCCM, uliofanyika leo Agosti 8, 2020, zoezi la upigaji kura...

READ MORE

Mwanajeshi Aliyesaidiwa na CDF Aanika Mazito

Mwanajeshi wa Kikosi cha Jeshi namba 833 Oljoro Arusha, Tete Mwaipaya, amemshukuru Mkuu wa Majeshi nchini Venance Mabeyo kwa kumpa...

READ MORE

Jokate Kujenga Msikiti wa Ghorofa Kisarawe

MSIKITI mkubwa wa kisasa wa ghorofa mbili ambao utakuwa Msikiti wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani unatarajiwa kugharimu zaidi ya...

READ MORE

Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Atua Maonesho ya Nane Nane Simiyu

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo, Bw. Simon Karikari ametembelea katika maonesho ya Nane Nane katika viwanja vya...

READ MORE

Majaliwa Aagiza ‘NBC Shambani’ Iwafikie Wakulima Wengi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza mawaziri wanaohusika na sekta za kilimo na fedha nchini kuhakikisha huduma mbalimbali za kifedha ambazo...

READ MORE

Waajiri Wafurahia Mfumo Wa Kutoa Taarifa Kwa Mtandao

  KUMEKUWA na mwitikio mkubwa kwa waajiri waliofika kwenye banda la Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kutaka kujua jinsi...

READ MORE