×

Habari

Video: Msemaji Wa Serikali Afafanua Kilichofanya Tanzania Kuingia Uchumi Wa Kati

MSEMAJI Mkuu wa serikali, Dkt Hassan Abbas, leo Julai 02, 2020 amezungumza kuhusiana na Tanzania kuingia uchumi wa kati baada...

READ MORE

TCRA Yavipiga Faini Baadhi ya Vyombo vya Habari

MAMLAKA ya mawasiliano nchini (TCRA) Julai 1, 2020 imevitoza faini ya takribani shilingi milioni 30 vituo vya televisheni sita na...

READ MORE

PSSSF kutoa Huduma Za Kiofisi Maonesho 44 Ya Biashara Sabasaba

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umesema katika msimu huu wa maonesho ya 44 ya biashara...

READ MORE

Gwajima Atangaza Kugombea Ubunge Kawe

ASKOFU Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo jana,  Julai 1,...

READ MORE

Benki ya Dunia Yaitangaza Tanzania Kundi la Uchumi wa Kati

BENKI ya Dunia imeitangaza rasmi Tanzania kuingia kwenye orodha ya nchi zenye uchumi wa kipato cha kati. Tanzania inaingia kwenye...

READ MORE

Makonda: Bodaboda Ruksa Kuingia Popote Dar

Mkuu wa Mkoa Wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  amewaruhusu waendesha pikipiki (bodaboda) kuingia sehemu yoyote ya jiji la Dar...

READ MORE

Kigwangalla – Watanzania Jitokezeni Kuwekeza Katika Sekta Ya Utalii

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ametoa wito kwa watanzania wajitokeze kuwekeza katika biashara ya Utalii kwa kuwa...

READ MORE

Marekani: Joe Biden Asema Hatofanya Kampeni Wakati Wa Corona

Mpinzani wa Rais Donald Trump, Joe Biden amesema hatoendesha kampeni za Urais wakati huu ambapo nchi hiyo inakabiliana na janga...

READ MORE

Video: Sheria Kumiliki Laini 1 Kila Mtandao Yaanza Leo

SHERIA  iliyopitishwa na Bunge hivi karibuni kuzuia kumiliki laini ya simu zaidi ya moja kwa mtandao mmoja wa simu imeanza...

READ MORE

Kwa Wazazi Wote Wanaohitaji Shule Bora Ni Sinon

Hapa Kazi Tu na Tanzania ya Viwanda ndiyo kauli mbiu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John...

READ MORE

Ndinga Ya Jishindie Gari Na Championi Kutolewa Leo

DROO kubwa ya bahati nasibu ya Jishindie Gari na Championi hatimaye imefikia ukomo wake na leo Jumatano droo hiyo inatarajiwa...

READ MORE

TAKUKURU Yakanusha Kumshikilia na Kumhoji Gambo

TAKUKURU imekanusha taarifa za kumshikilia na kumhoji aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo kuhojiwa na TAKUKURU akituhumiwa kugawa...

READ MORE

JPM Arudisha Fomu za Urais, Apata Wadhamini Kibao -Video

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais John  Magufuli, ambaye ni mgombea urais kupitia chama hicho amerudisha fomu...

READ MORE

JPM Atoa Siku 30 Viongozi Kumsimamia Mkandarasi – Video

  RAIS  John Magufuli ametoa siku 30 kwa viongozi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kumsimamia usiku na mchana...

READ MORE

CHADEMA Yatangaza Ratiba Wagombea Urais, Ubunge – Video

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefungua zoezi la uchukuaji fomu za kugombea urais wa Tanzania, ubunge na udiwani,...

READ MORE

Makonda,Atoa Mwezi Mmoja,Mkandarasi kumaliza ujenzi Wa jengo la Manispaa ya Ubungo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amegoma kukabidhi kwa Chama cha Mapinduzi CCM Mradi wa Ujenzi...

READ MORE

Kuondoa Vikwazo Viletavyo Athari Kwenye Ukoo – Video

KATIKA kipindi cha Darasa jana tarehe 29, June 2020, kupitia +255 Global Radio, walimu wa darasa maalumu lenye masomo yanayogusa...

READ MORE

VIDEO : Babu Tale Aangua Kilio Juu ya Jeneza la Mkewe

Meneja wa WCB Hamis Taletale  ameshindwa kujizuia na kujikuta akiangua kilio juu ya jeneza lenye mwili wa Mkewe Shamsa Kombo...

READ MORE

Video: Prof Jay Amwangukia Magufuli, “Tuko Chini Ya Miguu Yako

 Katika ziara ya Rais Magufuli mkoani mrorogoro yakuweka jiwe la msingi wa Mahandaki ya Reli Mbunge wa Jimbo la...

READ MORE

Video: JPM Amweka Kikaangoni Waziri Lukuvi “Nataka Majibu”

  Rais Magufuli amempa siku saba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, amkabidhi hati ya shamba...

READ MORE

Video: Rais Magufuli Amuita Lijualikali, Amsifia “umependeza”

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, amemkaribisha jukwaani Mbunge wa Kilombero aliyemaliza muda wake kupitia...

READ MORE

Tecno Mobile Tanzania Kutembelea Kituo Cha Watoto Yatima

Mnamo tarehe 27 Juni mwaka huu Tecno Mobile Tanzania kushirikiana na Startimes Tanzania imepanga kutembelea kituo cha watoto yatima kilichopo...

READ MORE

RC Makonda aendelea na Ziara ya kukabidhi miradi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameendeleea na ziara ya kukabidhi miradi kwa kamati ya Siasa ya...

READ MORE

Wanahisa Benki ya CRDB kupata ongezeko

Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha gawio la shilingi 17 kwa hisa lililopendekezwa na Bodi ya Wakurugenzi ya benki hiyo...

READ MORE

Mpango Mpya Kukuza Utalii Kuzinduliwa Dar.

Mpango mpya wa kukuza utalii wa ndani unatarajiwa kuzinduliwa  Julai 1, mwaka huu  jijini Dar es salaam. Waziri wa Maliasili...

READ MORE

Winga AS Vita: Mimi, Yanga Mbona Fresh Tu

WINGA wa AS Vita, Tuisila Kisinda amesema kuwa asilimia kubwa ya mazungumzo aliyofanya na Yanga yameenda vizuri huku akisema kuwa...

READ MORE

Wanahisa Wa DCB Wapata Gawio

  WANAHISA wa BENKI ya Biashara ya DCB wana kila sababu ya kuwa na matumaini na benki yao baada ya...

READ MORE

RC MAKONDA AKABIDHI KWA CHAMA CHA MAPINDUZI MIRADI ILIYOTEKELEZWA NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO KWENYE JIMBO LA KAWE.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo amefanya ziara kwenye Jimbo la Kawe kwa lengo la...

READ MORE

Azam Waitaja Yanga, kipigo cha Kagera

UONGOZI wa Azam FC kupitia kwa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano, Zakaria Thabith ‘Zaka za Kazi’ umeeleza kuwa...

READ MORE

Wasomaji wa Championi, Spoti Xtra Wachangamkia Ndinga Mpya!

TIMU ya masoko ya Global Publishers wachapishaji wa Magazeti ya michezo ya Championi na Spoti Xtra ambayo ni namba moja...

READ MORE

Makamu Wa Rais Samia Ahitimisha Ziara Ya Kichama Mkoa Wa Dar

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu...

READ MORE

Mkuu Kitengo Tehama Global Group Auacha Ukapera

  MKUU wa kitengo cha Tehama cha Kampuni ya Global Publishers, Edwin Lindege, ameuacha ukapera baada ya kufunga pingu za...

READ MORE

TGNP Yawanoa Wanahabari Kuchambua Bajeti Ya Kijinsia

Mkuu wa mpango huo, Shakila Mayumana akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Taasisi ya Mtandao wa Kijinsia Tanzania (TGNP) leo imeendesha...

READ MORE

Makada 15 CCM Warejesha Fomu za Kugombea Urais Zanzibar

Wanachama 15 wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wamerudisha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar baada ya kuzijaza na kudhaminiwa Hadi...

READ MORE

Serikali Yatoa Maelekezo Ulipaji Ada Shule Binafsi

WIZARA  ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa maelekezo ya ulipaji wa ada kwa shule zisizo za serikali baada ya janga...

READ MORE

Bodi Ya Filamu Yaipa Ulaji Bongo Muvi

Bodi ya Filamu nchini kwa kushirikiana na wadau wa filamu Juni 26, 2020 wamezindua kanuni za ubora wa filamu ambazo...

READ MORE

Burundi: Pierre Nkurunziza Kuzikwa Gitega Leo

MWILI  wa aliyekuwa rais wa Burundi hayati Pierre Nkurunziza unazikwa leo Juni 26, 2020 kwenye makaburi ya mji wa Gitega,...

READ MORE