×

Habari

CHADEMA Wamjibu Spika, Wahoji Wakapime Wapi

CHADEMA kimemjibu Spika Ndugai kwa kumuambia kuwa kama anataka Wabunge warudi Bungeni wakiwa wamepima, basi aseme anataka wakapime wapi kwa...

READ MORE

Mahakama ya Kisutu Yatoa Uamuzi Hatma ya Rugemalira na Seth

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali hoja za pingamizi za awali za mfanyabiashara James Rugemarila na wenzake wawili ikiwemo...

READ MORE

Magufuli Amuokoa Dereva Wa Lori Asipelekwe ‘Karantini’

Mwanaume mmoja mkazi wa Mombasa nchini Kenya anayejishughulisha na udereva wa malori yanayosafirisha mizigo kutoka nchi moja kwenda nyingine (transit),...

READ MORE

TANZIA: Katibu Jumuiya ya Wazazi CCM Afariki

Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Lugano Mwafongo amefariki dunia leo Alhamisi, Mei...

READ MORE

Breaking: Wabunge Waliopo Dar, Watakiwa Kuripoti Ofisi ya Upelelezi

Wabunge ambao bado wapo jijini Dar es Salaam watakiwa kwa hiyari yao kuripoti Ofisi ya Upelelezi Kanda Maalum Dar es...

READ MORE

Tanzia: DC Buzohera wa Nyang’wale Afariki Dunia

MKUU wa Wilaya ya Nyang’wale Mkoa wa Geita, Hamim Buzohera Gwiyama, amefariki leo Mei 7, 2020 majira ya saa 5:00...

READ MORE

CDC: Vifaa Vinavyotumika Kupima Corona Tanzania Havina Tatizo

Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (CDC) kimesema kwamba vifaa vya kupimia virusi vya corona nchini Tanzania havina shida...

READ MORE

Profesa wa China Aliyekuwa Akitafiti Corona Auawa Marekani

MAUAJI ya raia wa China, mtafiti wa masuala ya virusi vya corona kwenye ardhi ya Marekani yamesababisha nadharia mbalimbali duaniani...

READ MORE

Mitaa ya Nairobi na Mombasa Yawekewa Karantini

WAKAZI wa Maeneo ya Eastleigh jijini Nairobi na Old towm mjini Mombasa nchini Kenya hawatoruhusiwa kutoka katika maeneo hayo katika...

READ MORE

Kiwanda cha Kahawa Chateketea Kagera

KIWANDA cha kukoboa kahawa cha Kharim Amri kilichopo Mgakorongo wilayani Karagwe, kimeungua moto. Taarifa za awali zinadai kuwa mashine na...

READ MORE

JPM Awa Gumzo Vyombo Vya Habari Vya Kimataifa Kuhusu Corona

Msimamo usioyumbishwa! Hiyo ndiyo picha aliyoitengeneza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kueleza...

READ MORE

Inatisha! Mafuriko Yaua Watu 194 Kenya

MVUA  kubwa zilizonyesha nchini Kenya zimeua watu 30 hivi karibuni na kufanya idadi ya jumla ya watu 194 kupoteza maisha...

READ MORE

NMB, Mastercard na EYWA Washirikiana Kuleta Mfumo wa Malipo Kwa njia ya Kidijitali kwa wasafiri

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NMB,Ruth Zaipuna.     Benki ya NMB kwa kushirikiana na Mastercard na kampuni ya...

READ MORE

Ndugai Awataka CHADEMA Wajiandae Kulipa Gharama Kesi ya Lissu

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai,  amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujiandaa kulipa gharama za kesi iliyofunguliwa na Makamu...

READ MORE

FAT Waungana na Serikali Mapambano Dhidi ya Maambukizi Covid-19

Fashion Association of Tanzania (FAT) chaendesha mchakato wa uchangiaji wa vitakasa ikiwa sehemu ya mchango wao dhidi ya maambukizi ya...

READ MORE

Ndugai Awataka Wabunge CHADEMA Warudishe Mamilioni Bungeni

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai,  jana Mei 6, 2020, amewataka wabunge wa Chama...

READ MORE

Rais JPM Ateua DC Mtwara

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Delphine Magere kuwa RAS Pwani akichukua nafasi ya Theresia Mmbando ambaye amestaafu, Rais...

READ MORE

Mbunge Adaiwa Kunaswa na Silaha 10, Risasi 536

MBUNGE wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga Suleiman Masoud Nchambi (CCM) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kumiliki...

READ MORE

Simanzi Mazishi ya Mchungaji Peter Mitimingi – Pichaz

SIMANZI na majonzi vimetawala wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mchungaji wa Ghala la Chakula cha Uzima (WCC), Marehemu Peter Mitimingi,...

READ MORE

Breaking: Chadema Watakiwa Kurudi Bungeni Haraka – Video

Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo Mei 6, 2020 amewataka wabunge wa Chadema kurudi...

READ MORE

Waziri Ummy Awataka Watanzania Kuchangamkia Fursa za Corona

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametoa wito kwa wawekezaji wa viwanda ndani ya...

READ MORE

Mwigulu Awaponda Wabunge Waliokimbia Kisa Corona

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Mwigulu Nchemba, amesema kitendo cha baadhi ya wabunge wa upinzani kususia vikao vya Bunge kwa...

READ MORE

Makonda Atoa Saa 24 kwa Wabunge ‘Wanaozurura’ Dar – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda,  leo Mei 6, 2020, ametoa Saa 24 kwa wabunge wote waliokimbia...

READ MORE

Silinde Ajiuzulu CHADEMA

WAKATI idadi kubwa ya wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hawahudhurii vikao vya Mkutano wa 19 wa Bunge...

READ MORE

Tanzia: Sheikh Kilemile Afariki Dunia

MWANZUONI nguli wa Tanzania na Afrika Mashariki, Sheikh Suleiman Amran Kilemile, amefariki usiku wa kuamkia leo, May 06, 2020, katika...

READ MORE

CSI Yatoa Msaada kwa Kaya Zaidi ya 50 Wasiojiweza Ukonga

Shirika la kimataifa la Childbirth Survival International (CSI), limetoa msaada wa vyakula , sukari na sabuni kwa kaya zaidi ya...

READ MORE

Ajali Gari Yaua Watu 6 Pwani

WATU sita wamefariki dunia katika ajali ilitokea usiku wa kuamkia jana eneo la Vigwaza, Chalinze mkoani Pwani, barabara kuu ya...

READ MORE

Majasusi Wanavyohangaika Kuiba Siri za Chanjo ya Corona

MAJASUSI ncini Marekani wanaripoti kuona taasisi za kijasusi za nchi nyengine wakijaribu kupitia mtandao kuchunguza tafiti za chanjo ya virusi...

READ MORE

Ni Mnyama Gani Aliyesambaza Virusi vya Corona?

TAFITI za Kisayansi zimethibitisha kuwa kuna mnyama ambaye alimbaza virusi vya corona kutoka kwa popo hadi kwa binadamu. Shirika la...

READ MORE

WHO Yaikazia Madagascar Dawa ya Corona

SHIRIKA la Afya Duniani limesihi watu kutoweka imani zao kwa dawa za mitishamba zinazotengenezwa na wenyeji kwa misingi ya kudai...

READ MORE

Waandishi Watakiwa Kuandika Taarifa Sahihi Kuhusu Corona

Waandishi wa Habari nchi wametakiwa kuandika habari sahihi kuhusu virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID-19) ili wananchi wapate taarifa ambazo...

READ MORE

Kenya Kuanza Majaribio ya Chanjo ya Corona kwa Binadamu

WANASAYANSI nchini Kenya wameungana na wenzao wa Kimataifa katika juhudi za kutafuta chanjo ya ugonjwa wa Covid-19, kwa kufanyia majaribio...

READ MORE

Jacob Ameshavuliwa Umeya, Aende Mahakamani – Waitara

NAIBU Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amesema kwa mujibu wa Barua iliyodaiwa kuwa ni ya Chadema iliyoandikwa kwa Mkurugenzi wa...

READ MORE

Corona Yamkimbiza Nonga, Ajichimbia Mbeya

PAUL Nonga, nahodha wa Klabu ya Lipuli, amesema kuwa kwa sasa amesepa ndani ya mkoa wa Iringa na kujichimbia Mbeya...

READ MORE

Nchi 13 Ambazo Hazijapata Maambukizi ya Corona

MPAKA kufikia Desemba mwaka 2019 homa ya kirusi cha corona ilikuwa nchini China tu. Lakini majuma machache baadaye ikaanza kusambaa...

READ MORE

Straika Orlando Akubali Dili la Simba

Straika STRAIKA wa kimataifa wa Zambia, Justin Shonga, amekubali kujiunga na Simba huku akitoa masharti kwa uongozi wa timu hiyo...

READ MORE

Museveni: Wanafunzi ‘Kuleni Bata’, Sifungui Shule

WIZARA  ya Afya imetangaza visa vipya vinane vya #COVID-19 nchini humo na idadi ya maambukizi imefikia 97. Sita kati ya...

READ MORE

Ukweli Maiti ya Corona Kuambukiza Corona

JANGA la mlipuko wa maambukizi ya Virusi vya Corona vinavyosababisha Ugonjwa wa COVID-19, limemfanya binadamu kushuhudia mambo ya kutisha mno....

READ MORE

Ndege ya Vifaa vya Kupambana na #Covid19 Yaua Watu 6

WAZIRI wa Usafirishaji, Mohamed Salad amesema ndege iliyokuwa imebeba vifaa vya misaada kwa ajili ya kukabaliana na janga la #CoronaVirus,...

READ MORE

Mama Mbaroni kwa Kutelekeza Watoto Shambani

POLISI mkoani Mwanza imemkamata Happiness Mafuru (23) kwa tuhuma ya kuwatelekeza watoto wake wawili katika majaluba ya mpunga majira ya...

READ MORE