×

Habari

Rais Putin ‘Ajificha’ Kupambana na Corona

RAIS  wa Urusi, Vladimir Putin,  kuanzia sasa atakuwa akifanya kazi akiwa nyumbani kwake huko Novo-Ogarevo, karibu na jiji la Moscow,...

READ MORE

Meridianbet inawajibika kwa jamii: afya na burudani vinaenda bega kwa bega!

Kama Kampuni inayowajibika kwa jamii na kujali afya na utu wa wananchi, Meridianbet inataka kukuhimiza kufuata taratibu na kanuni zilizowekwa...

READ MORE

Siku 1, Watu 884 Wafariki kwa Corona Marekani, Vifo Vyafikia 5000

ZAIDI ya watu 5,000 wamefariki dunia nchini Marekani kwa sababu ya janga la Corona, ambapo zaidi ya watu 215,000 nchini...

READ MORE

Madaktari Waomba Vifaa Kujikinga na Corona – Video

 CHAMA cha Madaktari Tanzania (MAT) kimeiomba serikali kuhakikisha inawapa madaktari na wauguzi vifaa vya kujikinga na ugonjwa unaotokana na...

READ MORE

Serikali ya Kim: Korea Hatuna Corona

SERIKALI ya Korea Kaskazini imesisitiza kuwa mpaka sasa haina mgonjwa hata mmoja mwenye homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya...

READ MORE

Corona: Watu 84 Karantini Tunduma

Katika kutekeleza maagizo ya serikali ya kuhakikisha wasafiri wote wanaotoka katika nchi zenye maambukizi Zaidi ya Virusi vya Corona wanatengwa,...

READ MORE

Morrison: Luis Anatisha, Amekamilika Vilivyo

KIUNGO mshambuliaji hatari wa Yanga, Bernard Morrison amefunguka kuwa staa wa Simba, Luis Jose Miquissone ni mchezaji aliyekamilika na anatisha...

READ MORE

Uganda Kuwapa Chakula Watu Mil 1.5 Walio Majumbani

WAZIRI Mkuu wa Uganda, Ruhakana Rugunda, amesema serikali ya Uganda itawapatia chakula watu maskini walioko mijini kuanzia Jumamosi wiki hii,...

READ MORE

Spika Ndugai: ‘Tushamalizana na Lissu’

SPIKA  wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai,  amesema madai ya upinzani kuwa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu,  hajamaliziwa...

READ MORE

Ndugai Akataa Hotuba ya Upinzani Kusomwa Bungeni – Video

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tanzania, Job Ndugai, amezuia kusomwa kwa hotuba  ya Kambi Rasmi ya...

READ MORE

Wasaidizi wa Kisheria Zanzibar Wapewa Mafunzo Jinsi ya Kutoa msaada wa Sheria

  Zaidi ya wasaidizi wa kisheria 100 wamepewa mafunzo kuhusu sheria zilizopo, kanuni, miongozo na sera ambazo zinahusiana na kazi...

READ MORE

Corona Updates: Marekani Hali Inatisha, Vifo Vinaongezeka – Video

DUNIA nzima inatetemeka, janga la covid 19 linatishia maisha ya kila mmoja wetu, watu wamejifungia ndani, Siyo Amerika, Ulaya, Asia...

READ MORE

Simanzi! Safari ya mMwisho ya Marin Hassan wa TBC – Video

INASIKITISHA! Simanzi, vilio na majonzi vimetawala kwenye tasnia ya habari kufuatia kifo cha mwandishi mwandamizi wa habari kutoka Shirika la...

READ MORE

Tito Magoti Ahofia Corona Gerezani “Mrundikano ni Mkubwa” – Video

Mshtakiwa Tito Magoti anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ameiambia mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa wanajawa na hofu kubwa...

READ MORE

Makonda: Bodaboda, Bajaji Ziingie Mjini

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul makonda leo April Mosi ameruhusu Pikipiki na Bajaji kuingia katikati ya...

READ MORE

Mwingine Akutwa na Corona Dar, Wagonjwa Wafikia 20

WIZARA ya Afya leo Jumatano, Aprili 1, 2020 imethibitisha kuwepo kwa kesi ya mpya maambukizi ya Virusi vya Corona (COVID-19)...

READ MORE

Wasomaji Betika Waapa Kuendelea Kulisoma

Leo ikiwa ni  Aprili Mosi ya Jumatano, mwaka huu  wasomaji wa Gazeti la Betika wamesema kuwa  wataendelea  kulisoma gazeti hilo...

READ MORE

Rais JPM Amlilia Marin Hassan wa TBC

Rais Dkt. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba...

READ MORE

Afrika Kusini: Vifo vya Corona Vyafikia Vitano

AFRIKA Kusini hadi sasa ina wagonjwa 1,353 wa homa ya Covid-19 ambapo watano wamekufa, kwa mujibu wa taarifa ya  Waziri...

READ MORE

Tanzia: Marin Hassan wa TBC Afariki Dunia

NGULI wa habari nchini aliyekuwa akifanya kazi katika Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Marin Hassan Marin, amefariki dunia leo Aprili...

READ MORE

Mfanyabiashara Azikwa na Benz Lake

MFANYABIASHARA maarufu nchini Afrika Kusini ameushangaza ulimwengu baada ya kuzikwa akiwa ndani ya gari lake aina ya Mercedes Benz ambalo...

READ MORE

SIRI CORONA KUTESA WANAWAKE WACHACHE YAFICHUKA

TANGU ugonjwa wa COVID -19 ubishe hodi nchini China Desemba 31 mwaka jana, idadi ya wanaume wanaofariki kwa ugonjwa huo...

READ MORE

Rc Makonda aruhusu boda Boda na Bajaji kuingia mjini

Mkuu Wa Mkoa Wa Dar es Salaam Poul Makonda ameruhusu madereva Wa Boda Boda na Bajaji kuingi mjini ili kuweza...

READ MORE

Ndugai; Tusiwaige Wazungu Kupambana na Corona

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amesema kuwa kama nchi haiwezi kuchukua tahadhari kama zilivyochukuliwa...

READ MORE

Mdee Ashauri Wabunge Wote Wapimwe Corona

MBUNGE wa Jimbo la Kawe (Chadema) na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la chama hicho, Halima Mdee, amelishauri bunge  kuwapima...

READ MORE

Meya Iringa Aliyevuliwa Cheo Akabidhi Ofisi

ALIYEKUWA Meya wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe leo Jumanne, Machi 31, 2020, amekabidhi ofisi pamoja na gari alilokuwa akitumia...

READ MORE

Mrithi wa Maalim Seif CUF Afariki Dunia

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Khalifa Suleiman Khalifa,  amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne Machi 31 2020,...

READ MORE

Eric Shigongo: Maoni Yangu Kuhusu Corona

MARA nyingi nimeongea na watu ninaofanya nao kazi kwanba sifa ya kiongozi bora ni kuwa na uwezo wa kulitatua tatizo...

READ MORE

Mgonjwa wa Kwanza wa Corona Afariki Tanzania

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Wazee na Watoto,  imethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa virusi vinavyotokana...

READ MORE

Wauza nyama vibudu watikisa

WAKAZI wa Kijiji cha Ikumbi, Kata ya Bonde la Songwe katika Halmashauri Mji Mdogo wa Mbalizi Wilaya ya Mbeya Vijijini...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Kenya Wafika 50

WAZIRI wa Afya wa Serikali ya Kenya, Mutahi Kagwe jana Jumatatu, Machi 30, alitangaza wagonjwa nane zaidi wa ugonjwa wa...

READ MORE

Stamina: Naweza Kusimama Bila Roma

RAPA mkali Bongo, Bonventure Kabogo ‘Stamina Shorwe-bwenzi’ amejimwambafai kuwa, anaweza kusi-mama mwenyewe bila rapa mwenzake, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ wanaounda...

READ MORE

Corona: Hakuna Maswali ya Papo kwa Hapo kwa Waziri Mkuu

VIKAO vya Bunge la bajeti kuu vinavyoanza leo Machi 31, 2020, huku utaratibu mpya ukiwekwa juu ya tahadhari ya Corona...

READ MORE

Corona: Bodaboda Aliyeuawa Alimpeleka Mjamzito Hospitali

Familia moja nchini Kenya yataka haki itendeke baada ya kifo cha Khamisi Juma Bega (49), bodaboda ambaye alipigwa na polisi...

READ MORE

China Yatangaza Ushindi Dhidi ya Coronavirus

SERIKALI ya China imesema kuna wagonjwa wapya 31 wa ugonjwa wa COVID-19 na vifo vinne hivi leo, kwa mujibu wa...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Rwanda Wafikia 70

TAARIFA mpya kutoka nchini Rwanda zimeeleza kuwa watu wengine 10 wamethibitika kuambukizwa virusi vya corona (covid-19) nchini humo na kufanya...

READ MORE

SBL yasaidia kusambaza vipererushi vya elimu ya Covid 19

Mkurugenzi wa Mahusiano kwa Umma wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) John Wanyancha (kulia) akipokea sehemu ya vipeperushi vyenye...

READ MORE

Walioambukizwa Corona Tanzania Wafikia 19

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu,  amesema wagonjwa wa corona nchini Tanzania wamefikia 19, baada ya watano kuongezeka leo Jumatatu Machi...

READ MORE