×

Habari

Mtoto Mkubwa wa Sokoine Kuzikwa Kesho Monduli

MTOTO wa kwanza wa waziri mkuu wa zamani, Edward Moringe Sokoine, Lazaro Sokoine (pichani kushoto), aliyefariki dunia Jumamosi Machi 28,...

READ MORE

Aliyekuwa Mhasibu wa Tanroads Adaiwa Kujitwanga Risasi

MHASIBU wa zamani wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa wa Ruvuma, Justin Rwendera amefariki akidaiwa kujiua kwa kujipiga risasi...

READ MORE

Zitto Aanika Mambo Mazito Kuhusu Corona – Video

KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa mapendekezo manane kupitia barua aliyomwandikia Rais John Magufuli, kuhusu nini kifanyike...

READ MORE

NMB Yakabidhi Hundi Ya Mil 100 Mapambano Dhidi Ya Ugonjwa Wa Corona

    Kama mchango wa Benki ya NMB katika kudhibiti na kupambana dhidi ya virusi vya Corona, Kaimu Mkurugenzi wa...

READ MORE

TANZIA: Aliyekuwa Mkurugenzi wa Katani Ltd Afariki Dunia

MKURUGENZI wa zamani wa Katani Limited, Salum Shamte, amefariki dunia katika Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI) jijini Dar es...

READ MORE

Mgogoro na Mkewe… Mume Ajichongea Jeneza

CHANZO ni kuwa na mgogoro na mkewe, Sylvester Mihayo (45) amefikia uamuzi mgumu wa kujichongea jeneza ili siku akifa mambo...

READ MORE

Mchungaji Bongo Aibuka Upasuaji  wa Kimiujiza

  MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Jerusalem lililopo Kitunda jijini Dar, Nabii James Nyakia ameibuka na upasuaji wa kimiujiza, RISASI...

READ MORE

Maeneo 5 Hatari kwa Corona Bongo Yaanikwa

WAKATI nchi mbalimbali duniani zikiimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 unaonezwa na virusi vya Corona, RISASI Jumamosi linakuchambulia maeneo...

READ MORE

Sumaye Akabidhiwa Rasmi Kadi ya Uanachama CCM – Video

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. BASHIRU ALLY jana Machi 29, 2020 amemkabidhi rasmi kadi ya uanachama wa...

READ MORE

GNM: Licha ya Corona, Tunaendelea Kusafirisha Mizigo Kutoka China

UCHUMI wa dunia nzima ni kama umesimama! Biashara nyingi zimefungwa, wafanyabiashara wanahofia kusafiri kwenda China kufuata bidhaa mbalimbali, serikali za...

READ MORE

Soko Laungua Moto Arusha, Polisi Wacharuka Kisa Corona -Video

 Soko la Samunge Jijini Arusha  limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Machi 29, 2020 chanzo cha moto huo...

READ MORE

JPM Akutana Na Wananchi Wa Chato Katika Kijiwe Cha Kahawa -Video

Rais Dkt. John Magufuli ambaye Machi 28, 2020 amewasili nyumbani kwake Chato Mkoani Geita akitokea Mkoani Dodoma amekutana na wananchi...

READ MORE

Matukio ya ziara ya Kimasomo ya Washindi Shindano la CMSA Kwa Vyuo Vikuu,Taasisi za Elimu ya Juu

AfisaMtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko na Mitaji ya Dhamana (CMSA), Nicodemus Mkama akizungumza na wanafunzi (hawapopichani) wakati wa ziara...

READ MORE

Kura 14 Za Ndio Zamwondoa Meya Iringa Madarakani

Wajumbe wa Baraza maalumu la madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa nchini Tanzania Jumamosi Machi 28, 2020 wamemuondoa madarakani...

READ MORE

Bahati Nasibu Ya Shinda Gari, Wasomaji Kawe Wamiminika Kujaza Kuponi

    Wasomaji mbalimbali wa magazeti ya Championi na Spoti Xtra wa maeneo ya Kawe, Mikocheni hadi Msasani mapema leo...

READ MORE

Tanzia: Waziri Kiongozi wa Kwanza Zanzibar Afariki Dunia

Waziri Kiongozi wa kwanza Zanzibar (1972-1984), Muasisi wa Mapinduzi na Muungano, Ramadhani Haji Faki (99), amefariki Dunia jijini Dar leo,...

READ MORE

Waziri Mkuu Apokea Misaada ya Bil 1.185 Kukabiliana na Corona

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea msaada wa fedha pamoja na vitu mbali mbali kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa...

READ MORE

Azania Yadhibiti Corona Mbagala kwa Sabuni ya Champions

MAKAMPUNI ya Azania Group ambao ni mabingwa wa kutengeza sabuni zenye ubora wa hali juu za King Limau na Marhaba...

READ MORE

Rais Magufuli Awasili Chato Geita Akitokea Dodoma – Picha

Rais Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Ndege Chato Mkoa wa Geita leo Jumamosi Machi 28, 2020 akitokea jijini Dodoma.

READ MORE

Waziri Mkuu Apokea Misaada ya ya Shilingi Bilioni 1.185 Kukabiliana na COVID-19

Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa msaada wa fedha pamoja na vitu mbalimbali kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa...

READ MORE

Nafasi 2 Nursing Officers at Mzumbe University

Mzumbe University invites applications from suitably qualified and competent Tanzanian to fill the following Contract vacant posts: NURSING OFFICER II...

READ MORE

Naibu Waziri Mabula Achoshwa na Bajeti za Upimaji Ardhi Halimashauri za Mkoa wa Kagera

  Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula ameonesha kutoridhishwa na kiasi cha fedha kilichotengwa...

READ MORE

RC Mwanri Ataka Wananchi Kususia Maduka Yasiyo na Sanitizer – Video

MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametoa wito kwa wakazi wa Mkoa huo kutoa taarifa za wageni wasiofahamika walikopotoka...

READ MORE

Marekani Yawataka Wananchi Wake Walioko TZ Warejee U.S

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa wito kwa raia wake kurejea Marekani, kufuatia uwepo wa maambukizi ya virusi vya #COVID19.   ...

READ MORE

Marekani: Waathirika wa Corona Virus Wafikia 104,256

MAREKANI imeendelea kuongoza kwa idadi kubwa ya kasi ya maambukizi ya virusi vya corona ambapo wamefikia  104,256 na waliopona ni...

READ MORE

Corona Yaleta Mtikisiko Wa Uchumi Dunia Nzima

DAR: Ni vilio kila kona, ndivyo unavyoweza kutafsiri janga la maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo sasa vimeathiri sekta zote...

READ MORE

Corona Imetibua Uchaguzi Mkuu wa Nchi Nyingi Duniani

HALI haijulikani itakuwaje kwa nchi nyingi za Afrika ambazo zinatakiwa kufanya uchaguzi mkuu mwaka huu kama Virusi vya Corona vitaendelea...

READ MORE

WWF KUWEKEZA MSITU WA HIFADHI WA VIKINDU

Shirika la hifadhi ya mazingira duniani la WWF ofisi ya Tanzania limesema katika maadhimisho ya saa ya dunia ambayo binadamu...

READ MORE

Balozi Kairuki: Watanzania Sitisheni Kuja China, Kuna Corona – Video

China imetangaza kuzuia wageni wote kuingia nchini humo hata kama wana viza au vibali, lengo likiwa kudhibiti maambukizi ya virusi...

READ MORE

Walioambukizwa Corona Uganda Wafikia 18

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amesema idadi ya maambukizi nchini humo imefikia 18 baada ya vipimo 197 vilivochukuliwa jana kuthibitisha...

READ MORE

Wawili Wafariki kwa Corona Afrika Kusini

WAZIRI wa Afya wa Afrika Kusini, Dkt. Zweli Mkhize,  amesema watu wawili kutoka Jimbo la Western Cape wamefariki dunia kutokana...

READ MORE

Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson Apata Corona

WAZIRI Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amethibitika kuwa na virusi vya corona, taarifa iliyotolewa na Mamlaka za Uingereza imesema Boris...

READ MORE

Tokomeza Corona ya Championi, Spoti Xtra Yatinga Karume, Buguruni

GLOBAL Publishers kupitia magazeti yake bora ya michezo Tanzania ya Championi na Spoti Xtra, imeendelea na kampeni ya kuzuia kusambaa...

READ MORE

Fahamu Kuhusu Virusi Vya Corona Na Ujauzito

KUNA mengi yasiyofahamika kuhusu madhara ya Virusi vya Corona kwa wajawazito na akina mama wanaonyonyesha. Lakini uelewa wa madhara ya...

READ MORE

Corona: Raia Wapigwa Risasi kwa Kukiuka Agizo la Rais

WATU wawili wamelazwa hospitali nchini Uganda baada ya kupigwa risasi na polisi kwa kukiuka agizo la Rais Yoweri Museveni la...

READ MORE

Baada ya Kuzidiwa na Corona, Marekani Yaiangukia China

BAADA ya kurushiana maneno kwa muda mrefu, kila mmoja akimshutumu mwenzake kwamba ameleta janga la virusi vya corona, hatimaye serikali...

READ MORE

Marekani Yaongoza Maambukizi ya Corona, Yaipiku China

MAREKANI imeripoti jumla ya maambukizi 85,604 na kuwa nchi yenye maambukizi mengi zaidi ikiizidi China yenye maambukizi 81,340 na Italia...

READ MORE

Papa Francis Apimwa Corona

KIONGOZI wa KanIsa Katoliki Duniani, Papa Francis amepimwa virusi vya corona (covid-19) na kuthibitika kuwa hajaambukizwa.   Alipimwa virusi hivyo...

READ MORE

Yanga, GSM Mambo Safi, Niyonzima Afunguka

BAADA ya kuenea taarifa za kujitoa kwa wadhamini wa Klabu ya Yanga, Kampuni ya GSM, kiungo mchezeshaji wa timu hiyo,...

READ MORE