×

Habari

Kigogo TAKUKURU Ashindwa Kuelewana na DPP

WAKILI wa utetezi Elia Mwingira katika kesi ya Uhujumu uchumi inayomkabili Kuruthumu Mansoor ameiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kukamilisha...

READ MORE

Askari Polisi Kortini kwa Utakatishaji Fedha

WATUHUMIWA wanne akiwemo Askari Polisi, Emmanuel Mkilia wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu ikiwemo kuisababishia...

READ MORE

Kipindi Kinachogusa Hisia za Jamii Chazinduliwa Global TV

  TELEVISHENI bora ya mtandaoni, Global TV Online imezindua rasmi Kipindi cha Global Jamii, ambacho ni maalum kwa ajili ya...

READ MORE

Manula Aingia Ubaya Bao la Balama

BAO la umbali wa mita 18 alilolifunga kiungo wa Yanga, Mapinduzi Balama katika dakika ya 49, limemtia ubaya kipa namba...

READ MORE

Mfamasia kizimbani kwa kuiba dawa za kufubaza Ukimwi (ARV)

Mfamasia wa Hospitali ya Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora, Francis Mlesa (33), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa...

READ MORE

Wasiojulikana Watokomea na Mashine za NIDA – Video

IKIWA zimesalia siku 14 tu ili kuzima siku wa wale ambao hawajasajili laini zao za simu kwa mfumo wa alama...

READ MORE

Mzungu Simba Awapa Makavu Nyota Wake

SVEN Vanderbroeck amesema kuwa wachezaji wake walicheza chini ya kiwango kipindi cha pili jambo lililofanya kuruhusu kufungwa mabao mawili kipindi...

READ MORE

UNYAMA; MJAMZITO, WATATU Wauawa Kwa KUKATWA MAPANGA – Video

 Watu wanne wa familia moja wakazi wa Mtaa wa Katandala Kata ya Msambara Halmashauri ya Mji wa Kasulu mkoani...

READ MORE

Mmiliki Mabasi ya Sahara Akutwa Amekufa Gesti

Mfanyabiashara na mmiliki wa mabasi ya Sahara, Abdalah Msangi (47) mkazi wa Usangi Mkoani Kilimanjaro, leo Jumapili Januari 5, 2020...

READ MORE

Al-Shabaab Yashambulia Kambi ya Wanajeshi wa Kenya na Marekani

Kundi la Al-Shabaab limefanya mashambulizi mapema Jumapili, dhidi ya kambi ya kijeshi nchini Kenya, inayotumiwa na wanajeshi wa Marekani na...

READ MORE

Mtoto Miaka 11 Adaiwa Kumuua Baba’ake Kisa Kudokoa Mboga

DAR: Ni simanzi Mwaka Mpya 2020! Baba aliyetamani kuuona Mwaka Mpya ambaye ni mkazi wa Goba- Oysterbay jijini Dar, Durban...

READ MORE

Nafasi za Kazi; AUMS, Boiler Maker- Geita Gold Mine, Geita

Boiler Maker Job Description Key Accountabilities: Complies with all HS&E policies, procedures and instructions. This includes the correct use of...

READ MORE

Mwanahabari wa DW Adaiwa Kulishwa Sumu

Deokaji Makomba ambaye ni Mwandishi wa Idhaa ya Kiswahili ya DW amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma...

READ MORE

Kariakoo Derby: Hawa Watu ni wa Kuchunga Sana!

KUELEKEA katika mchezo wa leo pale Uwanja wa Taifa kati ya Simba na Yanga, kuna baadhi ya nyota wa kigeni...

READ MORE

Kijana wa Nyerere, Mbabe wa Idd Amin Atimiza Miaka 100

MKUU wa Majeshi mstaafu nchini Tanzania, Jenerali David Musuguri maarufu ‘Chakaza’ au Mtukula,  ametimiza umri wa karne moja (miaka 100)...

READ MORE

Mama Kabendera Kuzikwa Hapa Jumatatu

MWILI wa marehemu Verdiana Mujwahuzi, mama mzazi wa Erick Kabendera, utawasili Bukoba leo tayari kwa maziko yatakayofanyika kijiji cha Kashenge....

READ MORE

Simba Vs Yanga… Mtu na Mtu

  MAJIGAMBO, mikwara na kejeli za watani wa jadi Simba na Yanga zinamalizika leo wakati timu hizo kongwe zitakapokuwa uwanjani...

READ MORE

Bavicha Wajilipua, “Hakuna Ajira, Wanachukua Elfu 20” – Video

Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) wanazungumza na Umma kupitia waandishi wa habari kuhusu mambo mbalimbali yaliyotokea nchini. Moja ya...

READ MORE

Kisa Simba, Niyonzima Akabidhiwa Viatu Maalum

 HARUNA Niyonzima, kiungo wa Yanga mwenye ufundi wake uwanjani, tayari ameshakabidhiwa viatu maalum tayari kwa kuhakikisha anawagaragaza walinzi na viungo...

READ MORE

Nunua Gazeti la CHAMPIONI na RISASI Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la CHAMPIONI Gazeti la RISASI kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa Tsh...

READ MORE

Taarifa Muhimu Kutoka IKULU

Rais Magufuli ametoa wito kwa Watanzania wengi zaidi kujitokeza kufuga wanyamapori kupitia bustani za wanyama (Zoo) ili kuongeza idadi ya...

READ MORE

Amina Karuma: Sasa ni Zamu ya Wanawake Kucheza Soka la Kulipwa

Na Issa Liponda: Rais wa chama cha Soka la Wanawake Tanzania, Amina Karuma amesema kuwa umefika wakati wa wachezaji wa...

READ MORE

Manara: Yanga Wananiogopa Wanatamani Nife!

MSEMAJI wa klabu ya Simba, Haji Manara, amesema mashabiki wa Yanga wanamwgopa sana, wanatetemeka na wengine wanatamani hadi afe pale...

READ MORE

Kajala Azindua Kampeni Ya Taulo kwa Mabinti Shuleni – Video

KAMPUNI ya Gerirwa General Supplies ya jijini Dar ambayo pia ni wasambazaji wa taulo za kike za Rani,  leo imezindua...

READ MORE

Inasikitisha! Ujumbe wa Kabendera Uliosomwa Msiba wa Mama Yake

MWANDISHI wa habari nchini, Erick Kabendera,  amewashukuru Watanzania kwa kuuungana na familia yake kuomboleza kifo cha mama yake mzazi Verdiana...

READ MORE

StarTimes Kuonyesha Kombe la FA Uingereza

KAMPUNI ya Star Media kupitia brand yake ya StarTimes, imepata kibali cha kuonyesha michuano ya Kombe la FA (Emirates FA...

READ MORE

Mmyika Amwangukia JPM: Msamehe Kabendera – Video

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amemuomba Rais John Magufuli amsamehe mwandishi wa habari wa kujitegemea, Erick...

READ MORE

RPC Atangaza Msako wa Wanaotaka Kujinyonga 2020

BAADA ya kupokea taarifa ya Watu wawili kujinyonga mpaka kupoteza maisha Tabora, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Barnabas Mwakalukwa...

READ MORE

Mtatiro Apiga Marufuku Sherehe za Darasa la Saba

MKUU wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro, amepiga marufuku sherehe za wanafunzi wanaohitimu darasa la saba, zinazofanywa na wazazi nyumbani,...

READ MORE

Mbeya: Gari Lateketeza kwa Moto na Kujeruhi

  Mnamo tarehe 02.01.2020 majira ya saa 16:05 jioni huko eneo la Meta-Igurusi katika barabara kuu ya Mbeya/Njombe, Gari lenye...

READ MORE

Atolewa Utumbo kwa Kuhoji Matumizi ya Tsh. 10,000 Aliyoacha

BENEDICTOR Gogogo (48) mkazi wa Kijiji Cha Itabagumba Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza nchini Tanzania amenusurika kifo kwa kuchanwa tumbo...

READ MORE

Al-Shabaab Yateka Basi, Yua Watatu Kenya

WATU watatu wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya watu wenye silaha wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa kundi la kigaidi la...

READ MORE

Hydroponics: Teknolojia ya Kisasa ya Kulima Mazao Bila Udongo

  KWA miaka nenda rudi, kilimo ndiyo kimekuwa uti wa mgongo kwa watu wengi hasa katika nchi zinazoendelea kama Tanzania....

READ MORE

Swissport Yasisitiza Ushirikiano na ATCL

  KAMPUNI ya kuhudumia mashirika ya ndege, abiria na mizigo katika viwanja vya ndege ya Swissport imesema kuwa kuanza sasa...

READ MORE

Makamanda Walioongoza Vita ya Kagera

MWAKA 1978 jeshi letu lilipigana vita na Nduli Iddi Amini wa Uganda na lilikuwa na mameja jenerali wawili tu, Meja...

READ MORE

Trafiki Kubandikwa Kamera Mwilini Kuzuia Ulaji Rushwa

KUTOKANA na kukithiri vitendo vya rushwa nchini Kenya, Kiongozi wa Mashtaka ya Umma (DPP), Noordin Haji amemuagiza Ispekta Mkuu wa...

READ MORE

Nay: Mondi Akizingua Namchana

MSANII wa Bongo Fleva Elibariki Daniel ‘Nay wa mitego’ ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha ‘Mungu anakuona’ amesema...

READ MORE

Gonjwa Hili Ndilo Tishio Nchini

HOMA ya mapafu, usiichukulie poa! Ugonjwa huo ambao pia hujulikana kama nimonia au Pneumonia umeleta mtikisiko wa aina yake mwaka...

READ MORE

Mahakama Yamkatalia Kabendera Kumzika Mama Yake – Video

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imekataa ombi la upande wa utetezi la kutaka mtuhumiwa Erick Kabendera,...

READ MORE