×

Habari

TTCL Yafurahisha Wapenzi Wa Filamu, Sasa ni Movies Bila Intaneti

  WATANZANIA hususan wapenzi wa filamu nchini sasa watanufaika na huduma ya ‘T-Burudani’ toka TTCL  itakayomwezesha mteja kupakua, kuhifadhi pamoja...

READ MORE

Mbowe Apandisha Ada Chadema “Hatutategemea Ruzuku Tena” – Video

  CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimezindua mfumo wake mpya wa Kidigitali wa uendeshaji wa Chama hicho ambapo kitakuwa...

READ MORE

Timu Ya Bunge Ilivyofanya Mazoezi Nchini Uganda

Timu ya Bunge sport Club maarufu Ndugai Boys wakiwa katika mazoezi mepesi leo asubuhi kabla ya kukutana na timu mwenyeji...

READ MORE

Makonda Atembelea Walioathirika Na Mafuriko (Picha +Video)

Mkuu wa mkoa wa Dar es alaam, Paul Makonda leo ametembelea sehemu zilizoathiriwa na mvua kali iliyonyesha jana karibu mji...

READ MORE

Magufuli Kuhusu Mafuriko: Msiishi Mabondeni, Mtailaumu Serikali – Video

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amewataka wananchi kujihadhari kujenga nyumba kwenye maeneo ambayo kuna mkondo wa maji.   Mkuu huyo...

READ MORE

Lissu: Wameshindwa, Nimepona, Narudi Tanzania – Video

  MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu ameuhutubia mkutano mkuu wa chama hicho unaoendelea katika...

READ MORE

Kabendera Kula Krismasi, Mwaka Mpya Lupango – Video

KESI ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari, Erick Kabendera, imepigwa kalenda hadi Januari 2, 2020,  itakaposikilizwa tena, ambapo upande...

READ MORE

Basi la Abiria Lafeli Breki na Kugonga Magari 7 Moshi – Video

  WATU 15 wamenusurika kifo baada ya breki za basi la abiria la kampuni ya Harambee kushindwa kufanya kazi na...

READ MORE

Madai ya Mikopo: Rais wa Wanafunzi UDSM Asimamishwa Masomo

  VIONGOZI sita wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam – UDSM, (DARUSO), akiwemo rais wao,...

READ MORE

Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa Chadema – Video

MKUTANO Mkuu Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)  unafanyika leo Jumatano, Desemba 18, 2019, katika Ukumbi wa Mlimani...

READ MORE

King Limau Na Marhaba Soap Zaweka Rekodi Mitaani (Picha +Video)

Promosheni ya nguvu ya sabuni za unga za King Limau na Marhaba Soap iliyofanyika kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la...

READ MORE

Niyonzima Mali ya Yanga, Kutua Nchini

RASMI uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa unakamilisha usajili wa kiungo mchezeshaji fundi wa AS Kigali ya Rwanda, Haruna Niyonzima ambaye...

READ MORE

Wafanyabiashara Kariakoo Waendelea Kulisifu Gazeti La Betika

Ikiwa ni Jumatano, ya Desemba 18, mwaka huu timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya Kariakoo na...

READ MORE

Serikali Yasikitishwa na Tamko la Wanafunzi UDSM

  WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, amesema Serikali imesikitishwa mno na tamko la Serikali ya Wanafunzi...

READ MORE

Anaswa Akimiliki Kiwanda cha Noti Bandia, Akutwa na Mabilioni Feki

SERIKALI imesema itaandelea kufanya oparesheni ya uhujumu uchumi ili kudhibiti utengenezaji na upatikanaji wa fedha bandia katika maeneno mengi nchini...

READ MORE

NMB Yaahidi Kushirikiana na Serikali Kukuza Utalii

  BENKI ya NMB imeahidi kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha inasaidia harakati za Serikali kukuza Utalii nchini, ili kuinyanyua...

READ MORE

CHADEMA Yapewa Saa 2 Kuondoa Bendera Zao Dar

  MKURUGENZI wa Manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuipa saa mbili...

READ MORE

Benki ya DCB Yaziasa Familia Kushiriki Mazoezi ya Viungo

    BENKI ya Biashara ya DCB imezihamasisha familia kujenga tabia ya kushikiri mazoezi ya viungo ili kuweza kuwa na...

READ MORE

Mbowe: CHADEMA Imevunja Ndoa Nyingi

  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Mandeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema amekuwa akishangazwa na watu wanaoohoji kwanini chama hicho...

READ MORE

Urais 2020 Wamponza Membe

WINGU zito limetanda ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ambao sasa umeanza kukitikisa...

READ MORE

Heri Ya Kuzaliwa Papa Francis Amefikisha Miaka 83

PAPA FRANCIS wa leo (Jumanne) anaadhimisha mwaka wa 83 wa kuzaliwa kwake.  Wiki iliyopita aliadhimisha mwaka wa 50 wa upadrisho...

READ MORE

Washtakiwa kwa Kuweka Sumu Kwenye Chakula

  MAMENEJA watatu wa shamba huko Baringo nchini Kenya, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na shtaka la kuweka sumu kwenye chakula na...

READ MORE

DAWASA Yatangaza Upungufu wa Maji Dar kwa Siku 2

  Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) nchini Tanzania imetoa tahadhari ya upungufu wa huduma...

READ MORE

Zambia Yaridhia Biashara ya Bangi

  SERIKALI  ya Zambia imepitisha sheria inayohalalisha kilimo cha zao la bangi kwa sababu za kiuchumi na tiba.   Kwa...

READ MORE

Wanandoa Wajinyonga Kisa Deni la Harusi (Sh 179m)

WANANDOA waliofahamika kwa majina ya Bw. na Bi. Odipo wamejinyonga hadi kufa baada ya kudaiwa pesa walizokopa kwa ajili ya...

READ MORE

Boeing Yasitisha Kutengeneza Ndege za 737 Max

KAMPUNI ya Boeing itasimamisha kwa muda uzalishaji wa ndege zake zilizokumbwa na matatizo za 737 Max mwezi Januari 2020. Utengenezaji...

READ MORE

Serikali Yaingilia Ujenzi Uwanja wa Yanga

  SERIKALI imeipiga ‘stop’ Yanga kuendelea na ujenzi wa uwanja wao wa mazoezi eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Inasikitisha! Watoto Watatu Familia Moja Wafa Baharini – Video

  INASIKITISHA SANA! Vuta picha kama mzazi, umekwenda kwenye mihangaiko yako, unarudi unaambiwa watoto wako wanne wamefariki dunia ghafla, hakika...

READ MORE

T-PESA Waingia Makubaliano Kibiashara Na Halopesa

    SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL), kupitia kampuni yake tanzu ya T-PESA imeingia makubaliano ya kibiashara na HaloPesa, ambapo...

READ MORE

Kilichojiri Anayedaiwa Kumchoma kwa Magunia ya Mkaa Mkewe – Video

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji inayomkabili Mfanyabiashara Hamis Said (38) umedai kuwa...

READ MORE

NMB Yatambuliwa Kuwa Mwajiri Aliyeidhinishwa na Chama cha Wahasibu ulimwenguni (ACCA)

Benki ya NMB imepokea kibali cha ithibati kuwa mwajiri aliyeidhinishwa na Chama cha Wahasibu cha Kimataifa Association of Chartered Certified...

READ MORE

Breaking: Kisa Tundu Lissu, Kubenea Ajitoa Kugombea Chadema

KAMATI  ya Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo Jumatatu, Desemba 16, 2019, imetangaza majina ya waliopitishwa kugombea...

READ MORE

Watu 30 Wafa Kwenye Mgodi wa Madini DRC

  Watu 30 wamekufa baada ya kutokea maporomoko ya ardhi katika mgodi wa madini ya Dhahabu wa Ndiyo, eneo la...

READ MORE

Rais JPM: Nimechoka… Kazi Hii ni Mateso – Video

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesisitiza kuwa...

READ MORE

Balozi wa Marekani Afurumushwa Zambia kwa Kusapoti Ushoga

SERIKALI ya Zambia imeielekeza Marekani kumuondoa balozi wake nchini, Daniel Foote humo baada ya balozi huyo kukosoa hukumu ya mahakama...

READ MORE

Vijana wa JKT Wadaiwa Kuua Raia Wakimtuhumu Kuiba Simu

  POLISI mkoani Rukwa inawashikilia vijana watano wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwanakijiji...

READ MORE

Wanafunzi UDSM Wafanya Maamuzi Magumu, Watoa Saa 72

KUFUATIA wanafunzi wengi kukosa mikopo ya elimu ya juu na kudaiwa kuwepo figisu kwa wale wanaopaswa kupewa mikopo hiyo, Serikali...

READ MORE

Wanandoa Wauawa Wakiwa Wamelala

  HOFU, simanzi na majonzi zimetawala kwa wakazi wa Mtaa wa Migazini Manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi, baada ya...

READ MORE

Mwalimu Mkuu Mbaroni kwa Rushwa ya Ngono kwa Mwanafunzi

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Dodoma wanamshikilia Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Serengeti iliyopo Serengeti...

READ MORE