×

Habari

Dodoma: Mmiliki wa Shule Akutwa Uchi, Ameuawa, Akatwa Nyeti

  Mkurugenzi wa Shule za Zam Zam jijini Dodoma nchini Tanzania, Sheikh Rashid Bura amekutwa amefariki dunia ofisini kwake eneo...

READ MORE

Amuua Shemeji Yake kwa Kumpiga Kofi Kwenye Makalio

  POLISI katika eneo la Suna Magharibi, Kaunti ya Migori nchini Kenya wanamsaka mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Eunice...

READ MORE

Gari Laacha Njia, Laua Machinga Mwanza

  MWANAMME mmoja amefariki dunia na wengine kumi na moja kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari lililoacha njia na kuwagonga...

READ MORE

Gigy Money Alaaniwa na Mama’ke

  MAMA wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’, Fatuma Katunda ‘Kissa’ amemlaani mwanaye huyo na kufikia hatua...

READ MORE

Yupo Wapi Kamanda Kova; Sasa ni Mwalimu wa Ujasiriamali

NAAM mpendwa msomaji wetu wa kolamu ya Yupo Wapi ambayo imekuwa ikikuletea watu waliowahi kuwa maarufu na kisha kupotea machoni...

READ MORE

RC Amfanyia Kufuru Kiba

MAMBO mazuri! Mkuu wa Mkoa (RC) wa Iringa, Ali Hapi amemfanyia kufuru staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King...

READ MORE

Aliyetoka Jela kwa Msamaha wa JPM Auawa

  MWANZA: Baba aliyejulikana kwa jina la Emmanuel Machumu (43), mkazi wa Mtaa wa Jiwe-Kuu, Kitangiri wilayani Ilemela jijini Mwanza,...

READ MORE

Mrembo Anayeishi na UKIMWI, Wanaume Wamkimbia – Video

Msichana Christina Peter mkazi wa Igoma jijini Mwanza ameamua kujiweka wazi kuwa anaishi na Virusi vya UKIMWI kwa miaka yake...

READ MORE

Makazi ya Rais Yashambuliwa, Mmoja Auawa

KITUO cha usalama kilichoko karibu na nyumba ya rais wa zamani wa Nigeria,  Goodluck Jonathan,  katika jimbo la Bayelsa, nchini...

READ MORE

Kamwelwe: Nasubiri Siku Ifike Nizime Laini Zote Zisizosajiliwa

  Serikali imesisitiza kuwa ifikapo Desemba 31, mwaka huu, laini zote za simu ambazo hazitakuwa zimejasajiliwa kwa mfumo wa alama...

READ MORE

Urusi Yafanikiwa Jaribio la Kujitoa Kwenye Intaneti ya Dunia

  SERIKALI ya Urusi imefanikiwa kufanya majaribio ya mtandao uitwao Runet, ambao ni mbadala wa mtandao wa intaneti unaotumika hivi...

READ MORE

Pengo Aongoza Misa Ya Krismasi Parokia Ya Mama Maria Mwokozi Sinza

MWADHAMA Kadinali Polycarp Pengo, Jumatano ya leo ameongoza ibada ya misa katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Bikira Maria Mama wa...

READ MORE

Lowassa Ampa Tano Rais JPM – Video

  WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amepongeza juhudi zinazofanywa na serikali pamoja na taasisi za dini kutatua migogoro ya...

READ MORE

Alikiba: Haji Manara Mwalimu Wangu… Alikuwa Hajielewi

  MFALME wa Bongo Fleva, Alikiba, amesema, Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara, alikuwa hajielewi wakati aliposema Alikiba lazima...

READ MORE

Basi Latumbukia Kwenye Korongo, 24 Wafariki Dunia

  WATU wapatao 24 wamepoteza maisha na wengine 16 kujeruhiwa jana nchini Indonesia baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupoteza mwelekeo...

READ MORE

Mme, Mke Wafariki Wakielekea Kwenye Sikukuu

  MME na mke waliokuwa wakisafiri kwenda kula sikukuu ya Krismas wamefariki katika ajali katika daraja la Mwiwondwe barabara ya...

READ MORE

Mwandishi Ngetti Apatikana Maeneo ya Segerea Dar

MWANAHARAKATI  na mwandishi wa habari za Uchunguzi, Bollen Netti,  aliyepotea Desemba 23 mwaka huu  kwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana, amepatikana...

READ MORE

Sikukuu Ya Krismas “Wasomaji Tunasherehekea na Betika”

Leo ikiwa ni  sikukuu ya Krismasi ambapo wakristu kote duniani wanasherehekea kuzaliwa kwa Yesu Kristu mapema leo Jumatano, Desemba 25,...

READ MORE

JK Aongoza Maziko ya Mama wa Mwenyekiti CCM Moro

  RAIS mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Jakaya  Kikwete,  jana Desemba 24, 2019, ameshiriki mazishi ya mama mzazi...

READ MORE

Ajibu Habari Nyingine, Aweka Simba, Yanga

IBRAHIM Ajibu, kiungo mshambuliajiwa Simba ni habari nyingine Bongo, kwani anashikilia rekodi kwa washambuliaji wa Simba na Yanga kwa kuwa...

READ MORE

Mastaa Watakavyosherekea Krismasi

  MSIMU wa sikukuu za kufunga mwaka ndio huu, leo tunasherehekea siku ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo maarufu kama Krismasi...

READ MORE

Nkana Wafichua Alipokuwa Kessy

UONGOZI wa Klabu ya Nkana ya nchini Zambia, umeweka wazi kuwa hawajavunja mkataba na beki wao, Mtanzania, Hassan Kessy kama...

READ MORE

Straika mpya Yanga Apambwa Kila kona

  WAKATI uongozi wa Yanga ukiendelea na harakati zake za kukisuka upya kikosi cha timu hiyo, kiungo wa zamani wa...

READ MORE

Lukuvi Akerwa, Atumbua Mtu – Video

  WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Makazi William Lukuvi, leo Desemba 24, 2019 amemsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa Miliki nchini,...

READ MORE

Nondo Ashinda Rufaa Kesi Yake ya ‘Kujiteka’

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Iringa, imemuachia huru aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu, Abdul Nondo, baada...

READ MORE

Magoti na Mwenzake Wapandishwa Kizimbani – Video

  MFANYAKAZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) nchini Tanzania, Tito Magoti (26) na Theodory Giyani (36),...

READ MORE

Sakata la Tito Magoti: AG, RPC Dar Wafikishwa Kortini

  KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimefungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Kamanda wa Polisi...

READ MORE

Wametikisa na Shepu za Kuvunja Chaga

FEBRUARI 2019, aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Magharibi visiwani Zanzibar, ACP Hassan Nassir alipiga marufuku wanaume kukohoa au...

READ MORE

Aliyetoroka na Milioni 15.9 za Pamba, Aingia 18 za RC Mwanri

  MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani Nzega kumsaka na kumkata Karani wa Chama...

READ MORE

Wafanyakaizi TTCL Wachangia Damu Muhimbili

  WAFANYAKAZI wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Waziri Kindamba leo wamejitokeza kuchangia...

READ MORE

Vita vya Syria Balaa, Maelfu Watimua

  MAELFU ya raia wa wanaoishi katika mkoa wa Idlib nchini Syria wamekimbia  makazi yao kutokana na vita vinavyoendelea katika maeneo...

READ MORE

Mwandishi Bollen Ngetti Adaiwa Kutekwa na Wasiojulikana

  HABARI zilizotufikia hivi punde zinasema mwandishi wa habari za uchunguzi, Bollen Ngetti,  anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana muda mfupi...

READ MORE

JPM Amwaga Ajira Jeshini

  RAIS John Magufuli ameagiza vijana 800 wenye shahada waliojitolea katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa miaka miwili waajiriwe ...

READ MORE

Wakili Ahoji: ‘Bulaya Ndoa Yako Ilivunjika Lini?’ – Video

  MBUNGE wa Bunda Mjini, Estar Bulaya (CHADEMA), ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa ndoa yake na mumewe Gustavu...

READ MORE

RPC Taibu: Sina Taarifa Tito Kukamatwa Kinondoni – Video

  KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Mussa Taibu,  amesema hana taarifa za kukamatwa kwa ofisa wa Kitengo cha...

READ MORE

Rais Nkurunzinza Atangaza Kung’atuka Madarakani

RAIS wa Burundi, Piere Nkurunzinza, amebainisha msimamo wake wa kutogombea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, hatua ambayo imewashangaza raia...

READ MORE

Jambazi Sugu Anayetumia Dawa za Usingizi Afariki Akitoroka Polisi

    MTUHUMIWA anayedaiwa kuiba kwa kutumia dawa ya usingizi anayopulizia watu usiku na kuingia ndani mwao, amepoteza maisha baada...

READ MORE

Kampuni ya Azania Kumwaga Zawadi Kibao Msimu Huu wa Sikukuu

   KATIKA msimu huu wa sikukuu, kampuni ya Azania, watengenezaji wa Sabuni za King Limau na Marhaba imetangaza ofa kabambe...

READ MORE

Kiba Noma… Awapa Wazungu Mil. 300 Amfunike Mondi

STAA wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ anataka kuthibitisha kwamba, kweli yeye ni mfalme (king), Risasi Jumamosi limedokezwa....

READ MORE

Mama Ambipu Sirro! Amfanyia Unyama Mwanaye

SIKU chache baada ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Nyakoro Sirro kuzindua dawati la jinsia na watoto...

READ MORE