×

Habari

Atembea na Mtoto wa Shehe, Nyeti Zake Zatoweka Kimaajabu

MSHTAKIWA Faraji Ramadhani mwenye umri wa miaka 27 ameiomba  Mahakama ya Mwanzo Jijini Mbeya imruhusu ajidhamini mwenyewe kutokana na sehemu...

READ MORE

BENKI YA DCB YAZIDI KUNG’ARA

Benki ya Biashara ya DCB imetangaza kumaliza kampeni ya bidhaa yake ya akaunti ya muda maalumu inayojulikana kama ‘DCB Lamba...

READ MORE

Kilichojiri Mahakamani… Mume Anayedaiwa Kumuua Naomi

UPANDE wa Jamhuri leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu umesema upelelezi wa kesi ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara Hamis Said...

READ MORE

Aussems: Kaitaba Kugumu, Tutashinda Kinguvu

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, amefunguka wazi kwamba anaelewa kabisa kuwa kushinda kwenye Uwanja wa Kaitaba ni ngumu kutokana...

READ MORE

WAFANYAKAZI NMB WAFANYA USAFI HOSPITALI YA AMANA

    WAFANYAKAZI wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam jana walijitolea kufanya usafi katika Hospitali ya Amana ya...

READ MORE

JPM Aongoza Kikao cha Mawaziri – Pichaz + Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini....

READ MORE

Lugola Amtaka RPC Morogoro Arudi Kilimanjaro Haraka

WAZIRI wa mambo ya ndani ya nchi, Kangi Lugola amemwagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Hamis Issa kurudi Mkoani...

READ MORE

Makonda Aridhishwa na Ujenzi Stendi Mpya Mbezi Louis

     Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda leo September 23 ametembelea na kukagua maendeleo ya Ujenzi...

READ MORE

Alichosema DPP Baada ya JPM Kuwaombea Msamaha Wahujumu Uchumi

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), Biswalo Mganga amesema ofisi yake ipo tayari kutekeleza ushauri wa Rais Magufuli aliyetaka kusikilizwa kwa...

READ MORE

Wanafunzi 7 Wafariki kwa Kuangukiwa na Darasa – Video

Wanafunzi saba wamethibitishwa kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya darasa la shule yao kuporomoka leo Jumatatu Septemba 23, 2019...

READ MORE

Mbaroni kwa Kuiba Laptops Saba kwa ‘Kikwete’

JESHI la polisi mkoani Pwani ,linawashilia watu watatu wanaodaiwa kuiba kompyuta mpakato saba zenye thamani ya sh. milioni 4.2 mali...

READ MORE

Anaswa Akitorosha Madini

MTU mmoja Khalifa Mohamed Kinyaka (51) anashikiliwa na jeshi la Polisi Mkoani Dodoma, kwa tuhuma za kutorosha na kusafirisha viroba...

READ MORE

Mwili wa Mtoto wa CDF Mabeyo Wachukuliwa kwa Maziko

MWILI  wa Nelson Mabeyo ambaye ni mtoto wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) nchini, Venance Mabeyo, aliyefariki katika ajali...

READ MORE

Kigogo Usalama Anaswa kwa Dawa za Kulevya – Video

  MAMLAKA ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini inamshikilia aliyekuwa Afisa Usalama wa Shirika la Posta nchini,...

READ MORE

Mtoto wa Mkuu wa Majeshi Tanzania Afariki kwa Ajali ya Ndege

NELSON MABEYO, mtoto wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania (CDF), Jenerali Venance Mabeyo,  ni mmoja wa watu wawili...

READ MORE

Waliojiunganishia bomba la mafuta waachiwa huru – Video

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia mashtaka na kuwaachia huru watuhumiwa watano waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi kwa...

READ MORE

Chukua Hii ni ya Muhimu Kuhusu Uchaguzi Serikali za Mtaa

MSIMAMIZI wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni jijini Dar, Kiduma Siga Mageni,   ametoa...

READ MORE

Tigo Yachangamkia Fursa za Mkutano wa Mawaziri wa SADC

  Mkurugenzi Mtendaji kutoka Tigo, Simon Karikari, akiwasilisha mada kuhusu Upatakanaji wa huduma za Mawasiliano vijijini, wakati wa Mkutano  wa...

READ MORE

Ndege Yaanguka Serengeti, Yaua Watanzania Wawili

NDEGE ndogo ya Shirika la Auric Air imeanguka  leo Jumatatu asubuhi Septemba 23, 2019, katika uwanja mdogo wa ndege eneo...

READ MORE

Utakatishaji Fedha: BoT Yazipiga Faini Benki 5

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imezipiga faini benki tano nchini kwa kuvunja sehemu ya vifungu vya Sheria ya Kuzuia Utakatishaji...

READ MORE

Zanzibar: Mtalii Afa Chini ya Bahari Akimchumbia Mpenzi Wake

MTALII mmoja aliyejulikana kwa jina la Steven Weber Jr, amefariki dunia hivi karibuni akiwa chini ya bahari alikoenda kumvisha pete...

READ MORE

MWALIMU LONGIDO AZINDUA KITABU CHA TANZANIA YA SASA

  JAMII ya wafugaji wilayani Longido mkoani Arusha imehamasishwa kujitoa  kwa wingi na kuwekeza katika elimu ya watoto wao, na...

READ MORE

NBC zindua mkopo wa bima

    BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua mkopo wa bima ikiwalenga zaidi wafanyabiashara walio katika sekta ya uchukuzi....

READ MORE

Video: Hotuba ya a JPM, Yamgusa RC Makonda, Meya Kinondoni

 “Changamoto ni nyingi katika kuongoza nchi hii, juzi nilikuwa kwenye ziara ya Dar es Salaam, mambo ya hovyo yanafanyika,...

READ MORE

Video: JPM Awaombea Msamaha Mafisadi – “DPP Waliokiri Wasamehe”

 “Wapo watu wamekaa mahabusu kwa kesi za uhujumu uchumi, inawezekana wapo tayari kuomba msamaha,nakurejesha pesa, DPP katika kipindi cha...

READ MORE

Video: JPM Ampa Makavu ‘LIVE’ Aaliyekuwa RC Moro “Hautoshi”

 “Sasa ukizungumza Mkoa wa Morogoro unagundua RC Kebwe alishindwa kazi, ukipewa Mkoa halafu waliopo chini yako wanafanya mambo ya...

READ MORE

NGORONGORO: DEREVA AFARIKI AKIWA ANAWAENDESHA WATALII

DEREVA wa  kampuni ya Utalii ya Leopard Tours yenye makao makuu yake jijini Arusha aliyetambulika kwa jina la Livingston Masawe...

READ MORE

Breaking News: Coco Beach yawaka moto

Moto mkubwa unaendelea kuwaka katika fukwe za Coco Beach, Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana, jitihada za kuuzima zinaendelea. Endelea...

READ MORE

COLLEGE BOX FESTIVAL YATIA FORA MBAGALA

  Tamasha la School and College Box Festival linaloendeshwa  na makampuni ya Global Group chini mkurugenzi wake Eric Shigongo, limetia...

READ MORE

Ebitoke: Muvi ya Mapenzi Yangu na Mlela Inakuja

MKALI wa vichekesho kwa lafudhi ya Kihaya, mwanadada Ebitoke, amesema kuwa wanaandaa muvi itakayoonyesha mahusiano yake na mpenzi wake wa...

READ MORE

Usichokijua Kuhusu Harmonize Kukabwa Mbele ya JPM!

DAR ES SALAAM: Meneja wa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, Beauty Mmari ‘Mjerumani’ ameeleza juu ya jamaa ambaye...

READ MORE

MAKONDA KUWAWEKA KIKAANGONI WATENDAJI WALIOKWAMISHA MIRADI

Mkuu wa Mkoa wa Dar ea salaam Mhe. Paul Makonda amehitisha kikao baina yake na watendaji wa Mkoa huo wakiwemo...

READ MORE

Aliyepokea Fedha Kimakosa kwa M-Pesa Ashtakiwa

STANLEY IRUNGU amefikishwa mahakamani jijini Nairibo, nchini Kenya, baada ya kuchukua Sh. 39,000 za Kenya (Shilingi za Tanzania 1,300,000/=) katika...

READ MORE

Auawa kwa Bomu Kibaha, Wawili Wajeruhiwa

MKAZI wa Kibaha Msangani mkoani Pwani, Mbaraka Koromera, mwenye umri wa miaka 37 amefariki na wengine wawili kujeruhiwa kutokana na...

READ MORE

Ndugulile aongoza wabunge wa Ulaya kuitokomeza malaria

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Faustine Ndugulile,  jana amewaongoza wabunge wa Uingereza na Ujerumani...

READ MORE

Jeshi la fitina Yanga Latua Zambia

YANGA inafahamu ugumu wa mechi yao ya marudiano dhidi ya Zesco itakayopigwa Jumamosi ijayo hivyo imeanza mikakati mapema na sasa...

READ MORE

Umri Wamtesa Samatta Genk

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta ameonyesha kujuta kwake kuchelewa kuingia Ulaya kucheza soka la kulipwa baada ya kusema...

READ MORE