×

Habari

Mashabiki wa Trump Wamjia Juu A$AP Rocky

MASHABIKI wa Rais Donald Trump wa Marekani,  wamemwashia moto rapa ASAP Rocky kwa kutomshukuru rais huyo  baada ya kumsaidia kwenye...

READ MORE

Breaking News: Wananchi Waandamana Dar Wakitaka Ndege – Video

UMATI wa watu umejitokeza leo Agosti 28, 2019, nje ya ofisi za Ubalozi wa Afrika Kusini jijini Dar, uliopo kwenye...

READ MORE

Mtanzania wa Kwanza Ofisa Mkuu wa Fedha,Tigo-Tanzania

TIGO-Tanzania ni kampuni inayoongoza katika kubuni, na kuleta huduma na bidhaa bora zinazokata kiu ya Watanzania.  Pamoja na hayo, kutana...

READ MORE

TRA Yaamua Magari Haya Wapewe Wananchi – Video

KILA Jumamosi, ndinga mpya za bei chee zinaanikwa! Kampuni ya Udalali ya Tambaza Auction Mart and General Brockers Ltd iliyopewa...

READ MORE

Mashindano ya kutamka herufi kwa wanafunzi yaja 

Taasisi ya Coconut (Coconut Foundation) ambayo ni asasi isiyo ya kiserikali kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na TAMISEMI imeaandaa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Agosti 28, 2019

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 28, 2019. Ni yale ya...

READ MORE

Mashauri 14 Yafunguliwa, Yasikilizwa na Mahakama Inayotembea

    Jumla ya Mashauri 14 yamefunguliwa na kusikilizwa na Mahakama inayotembea ‘mobile court’ mkoani Mwanza.   Kwa mujibu wa...

READ MORE

Mfanyabiashara Maarufu wa Rwanda Auawa Msumbiji

KIONGOZI wa umoja wa Wanyarwanda waishio nchini Msumbiji (diaspora), Louis Baziga,  mepigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa nchi...

READ MORE

Puma Yatoa Zawadi Kwa Wanafunzi wa Skuli Walioshinda Mashindano ya Uchoraji Visiwani Zanzibar

    NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni amesema kuna kila sababu ya kuendelea kutolewa...

READ MORE

Brazil Yagomea Msaada wa G7 Kuzima Moto wa Amazon

BRAZIL  imekataa msaada wa fedha wa dola milioni 20 wa kusaidia kuzima moto katika msitu wa Amazon kutoka kundi la...

READ MORE

Tanzania Solutions Kutoa Tuzo za Tanzania Elimu Awards Agosti 30

WANAFUNZI waliofanya vizuri katika mitihani mbalimbali ya taifa watatunukiwa tuzo siku ya Agosti 31, mwaka huu katika Ukumbi wa Mlimani...

READ MORE

Mtuhumiwa Mauaji ya Naomi Aomba Simu Mahakamani Akatoe Pesa

HAMISI LUWONGO, mtuhumiwa anayedaiwa kumuua na kumchoma moto aliyekuwa mkewe, Naomi Marijani, amezua kioja kingine mahakamani baada ya kuiomba mahakama...

READ MORE

BASATA, COSOTA na Bodi ya Filamu Sasa Kuwa Chombo Kimoja

SERIKALI imekuja na mkakati wa kuundwa kwa mamlaka moja ya kusimamia sekta ya sanaa na ubunifu katika kuboresha na kuleta...

READ MORE

Makonda Aipongeza Muhimbili kwa Hili

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameipongeza Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuendelea kusaidia wahitaji mara baada...

READ MORE

Amnunulia Mwanaye Airbus A350-1000 Mbili Kimakosa

BILIONEA mmoja nchini Saudi Arabia amenunua ndege mbili aina ya Airbus A350-1000 kwa bahati mbaya wakati akitafuta zawadi ya ‘birthday’...

READ MORE

Lori la Mafuta Laanguka Kagera, Wanane Mbaroni Wakiiba Mafuta

WAKATI bado Watanzania wakiendelea kuomboleza vifo vya watu 102 kufuatia ajali ya moto wa ya lori la mafuta iliyotokea mjini...

READ MORE

Wabongo Wajizolea Tuzo za Maranatha Gospel Worship

WAIMBAJI nane wa nyimbo za Injili nchini Tanzania akiwemo mwimbaji chipukizi, Abby Chams wameibuka washindi wa Tuzo za Maranatha Gospel...

READ MORE

Breaking: Tundu Lissu Ashinda Pingamizi

ALIYEKUWA Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, ameshinda pingamizi la Serikali ya Tanzania dhidi ya maombi yake ya kibali...

READ MORE

Ajali ya Moro: Waanua Matanga Baada ya Kumwona ‘Marehemu’

FAMILIA ya mzee Humphrey Mongi, mkazi wa Kihonda jini Morogoro hivi karibuni ililazimika kuanua matanga waliyoyaweka baada ya kugundua kwamba...

READ MORE

Waliofariki Ajali Lori la Mafuta Moro Wafikia 102

IDADI ya watu waliofariki kutokana na ajali ya moto wa lori la mafuta mkoani Morogoro imefikia 102 baada ya majeruhi...

READ MORE

Mwanariadha David Rudisha, Apata Ajali ya Gari

MWANARIADHA Mkenya, bingwa wa mbio za mita 800 anayeshikilia rekodi ya dunia, David Rudisha, jana Jumapili 25, 2019, alfajiri amepata...

READ MORE

Hatimaye Tshisekedi Atangaza Baraza la Mawaziri

RAIS Félix Tshisekedi ametangaza baraza jipya la mawaziri katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo baada ya kusubiriwa kufanya hivyo kwa...

READ MORE

Hatima ya Ubunge wa Lissu Kujulikana Leo Kortini

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inatarajiwa kutoa uamuzi endapo maombi yaliyowasilishwa na aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki,...

READ MORE

Serikali Yataja Sababu ya Ndege ya TZ Kuzuiliwa Sauz

MSEMAJI wa Serikali, Dk. Hassan Abbas amesema sababu ya kushikiliwa ndege ya Air Tanzania aina ya Airbus A200-300 ni kesi...

READ MORE

JPM Awaita Ikulu Watendaji Wote wa Kata Nchini

Rais Dkt John Pombe Magufuli ameitisha mkutano na Maafisa Watendaji wa Kata Tanzania Bara, unaotarajiwa kufanyika Ikulu, Dar es Salaam...

READ MORE

Bibi wa Miaka 114 Adai Kudhulumiwa Shamba – Video

BIBI kikongwe mwenye umri wa Miaka 114 ambaye ni mke wa Chifu Mareale, Veronica Mareale ameiangukia Serikali akiomba msaada ya...

READ MORE

Waziri Jafo aitaja NMB katika mafanikio serikalini

  Serikali imeitaja benki ya NMB kuwa miongoni mwa taasisi zilizofanikisha makusanyo ya fedha kwa mwaka 2018/19 kwa kuwa benki...

READ MORE

Mawakili 15 wa Serikali Wamkabili Lissu Mahakamani

MAWAKILI wa Serikali 15 wakiongozwa na Wakili Mkuu wa Serikali, Dk. Clement Mashamba wamewasilisha pingamizi katika Mahakama Kuu kupinga maombi...

READ MORE

Askofu Shoo Kuongoza Tena Walutheri

ASKOFU Dkt. Frederick Shoo ametangazwa mshindi usiku wa kuamkia leo dhidi ya wagombea wengine katika uchaguzi wa viongozi wa Kanisa...

READ MORE

Ndege ya Tanzania Yazuiliwa na Mahakama Afrika Kusini

NDEGE ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) iliyokuwa inatoka Afrika Kusini kwenda jijini Dar es Salaam, Tanzania, imezuiwa kuruka...

READ MORE

Azam: Tutachukua Makombe Matatu Msimu Huu

HUENDA huu ukawa msimu wa kipekee kwao licha ya kwamba, tayari wameshuhudia wakiyakosa mataji mawili kabla ya kuanza kwa Ligi...

READ MORE

Rollers Yatumia Pombe Kujaza Uwanja

WAPINZANI wa Yanga, Township Rollers kutoka Botswana, watatumia kilevi cha pombe kama kishawishi cha kuwavutia mashabiki wao kujitokeza uwanjani kuisapoti...

READ MORE

Waziri Jaffo Atangaza Kuanza kwa Uchaguzi Mdogo – Video

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jaffo,  ametangaza Novemba 24 mwaka huu...

READ MORE

Polisi Tanzania yatamba kuanza ligi kwa kishindo

TIMU ya Polisi Tanzania, imetamba kuibuka na ushindi mnono dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu...

READ MORE

Caf Yaingilia Hujuma Yanga

MCHECHETO! Ndivyo utakavyoweza ni baada ya wapinzani wa Yanga, Township Rollers kupeleka maombi kwenye Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuomba...

READ MORE

Wakili Msando Amlipia JPM Deni la Mil 5 Muhimbili

DENI la shilingi milioni tano kati ya Shilingi 5,364, 814.2 ambalo Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliahidi kulipa ikiwa ni...

READ MORE

Mwanafunzi Darasa la 4 Ajinyonga Baada ya Kulazimishwa Kwenda Shule

MWANAFUNZI wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Osanyui jijini Arusha, Eribariki Lekini (12) mkazi wa mtaa wa FFU...

READ MORE