×

Habari

Nigeria Nao Wakikinukisha, Wapora Maduka ya Wasauz

Maduka ya wafanyabiashara wa Afrika Kusini nchini Nigeria yalivamiwa jana ikiwa ni hatua ya kujibu, mashambulizi ya hivi karibuni katika...

READ MORE

Air Tanzania Yasitisha Safari za Kwenda Afrika Kusini

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Isack Kamwelwe amesema Serikali imesitisha kwa muda huduma ya usafiri wa ndege zake nchini...

READ MORE

JPM Amjulia Hali Kigogo Usalama wa Taifa

RAIS  John Magufuli leo Alhamisi, Septemba 5, 2019, amemtembelea na kumjulia hali Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa Idara ya Usalama wa...

READ MORE

Askofu Kakobe Aanika Wakristo Wanavyoibiwa

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe ameanika kile alichodai, jinsi baadhi ya wachungaji na mitume...

READ MORE

Azam kuja na vifungashio vipya vya unga wa ngano

  UONGOZI wa kampuni ya kutengeneza vyakula inayomikiliwa na makampuni ya Said Salim Bakhresa &Ltd,  na inayozalisha unga bora wa...

READ MORE

Icardi aaga Inter na dongo

STRAIKA wa Inter Milan, Mauro Icardi ameaga zake kwenda kuichezea Paris Saint-Germain huku akirusha madongo kwa klabu hiyo.   Icardi...

READ MORE

Hawa Burundi Hawatoki Jumapili Taifa

JUMAPILI hawatoki Taifa. Inyeshe mvua au liwake jua, Burundi lazima wapigwe. Ndio msisitizo wa Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta...

READ MORE

Siri ya Neymar yafichuka Real

SABABU kuu tatu ndizo zinaelezwa kuwa zilisababisha Real Madrid kuachana na mpango wa kumsajili staa wa Paris St. Germain, Neymar....

READ MORE

Ujenzi wa Bomba la Mafuta Uganda-Tanzania Wasitishwa

UJENZI wa mradi wa bomba kubwa la kusafirishia mafuta kutoka Hoima nchini Uganda mpaka Bandari ya Tanga nchini Tanzania umesitishwa...

READ MORE

Zahera Aitafuta Rekodi ya Aussems Afrika

KOCHA mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ametamba kwamba atafanya njia yoyote kuhakikisha kwamba anafikia rekodi ya kocha wa Simba, Patrick...

READ MORE

WAFANYABIASHARA KIGOMA WAIOMBA NMB KUONGEZA WIGO WA MATAWI

    BAADHI ya wananchi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wameziomba taasisi mbalimbali za kifedha kuongeza vituo vya kutolea huduma za kibenki...

READ MORE

Bolt na Teknolojia ya Kisasa Kutua Zanzibar na Arusha

KAMPUNI inayokua kwa kasi katika utoaji wa huduma za usafiri kwa njia ya mtandaoni Barani Ulaya na Afrika- BOLT, inatarajia...

READ MORE

Ndege Iliyozuiliwa Sauzi Yatua Dar, Rubani Asimulia – Video

NDEGE ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) aina ya Airbus A220-300 iliyokuwa ikishikiliwa nchini Afrika Kusini, iliwasili katika Uwanja...

READ MORE

Dakika 450 za hatari Yanga

KIKOSI cha Yanga ambacho kimeanza Ligi Kuu Bara msimu huu kwa kichapo, kina dakika 450 mbele za hatari, ambazo ni...

READ MORE

Betika linakata mitaa tu

NI siku nyingine tena ambapo gazeti lako pendwa linalotolewa bure la Betika limeingia mtaani ikiwa ni wiki ya 30. Tangu...

READ MORE

Hatimaye Ndege Iliyozuiliwa Sauzi Yakabidhiwa Tanzania

NDEGE  ya Air Tanzania Airbus A220-300 iliyokuwa ikishikiliwa Afrika Kusini imekabidhiwa kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Dk. Damas...

READ MORE

BREAKING: MTN Ya Sauzi Yafunga Maduka Yake Nigeria

KAMPUNI la mawasiliano la Afrika Kusini la MTN, limetangaza kufunga maduka yake yote nchini Nigeria kutokana na baadhi ya raia...

READ MORE

Kisa Mastaa… Mwinyi Zahera Agoma Kucheza na Mbao FC

KOCHA mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amegoma kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbao wakati timu hiyo itakapokuwa kambini jijini...

READ MORE

Nape Aitaka Serikali Itimize Ahadi – Video

MBUNGE wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, pamoja na kuishukuru serikali kwa kuahidi kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa...

READ MORE

Lissu Asogeza Mbele Tarehe Kurejea

ALIYEKUWA Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema hatarejea Tanzania Septemba 7, 2019,  kama ilivyopangwa badala yake atasubiri ruhusa...

READ MORE

Polisi: ‘Mchawi’ Aliyedondoka Juu ya Paa ni Kiki ya Mchungaji

JESHI la Polisi mkoani Iringa, limesema kuwa limebaini tukio lililotokea la ‘mchawi’ kudondoka juu ya paa la nyumba ya mchungaji...

READ MORE

Rais Museveni Kuwasili Nchini Kesho

RAIS  wa Uganda, Yoweri Museveni, anatajiwa kuwasili kesho nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kuanzia Septemba 5 hadi...

READ MORE

Ashitaki Majirani Akikerwa kwa Harufu ya Nyama-Choma

MWANAMKE mmoja nchini Australia amewafungulia mashitaka mahakamani majirani zake kwa kuchoma nyama. Mwanamke huyo Cilla Careden kutoka jijini Perth,  amedai...

READ MORE

JPM: Nimewasamehe Makamba na Ngeleja – Video

  RAIS John Magufuli amesema amewasamehe wabunge January Makamba wa Bumbuli na William Ngeleja wa Sengerema kwa kile alichosema walimtukana...

READ MORE

DSTV Yazindua Punguzo Kubwa Bei ya Vifurushi Dar -Video

KAMPUNI ya MultiChoice Tanzania kupitia huduma zake za DStv usiku wa Septemba 3,  2019, imezindua punguzo la bei kwa vifurushi...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana na Wahandisi na Wadau wa Ujenzi – Video

Rais Dkt. John Magufuli leo Sept. 4, 2019 amekutana na wahandisi na wadau wa sekta ya ujenzi katika Ukumbi wa...

READ MORE

Bi Samia Amuwakilisha Rais JPM Kuaga Mwili wa Kaduma – Video

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan jana Septemba 3, 2019, amemuwakilisha Rais wa...

READ MORE

Ndugai Atangaza Utaratibu Mpya wa Kidigitali Bungeni

SPIKA wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, amesema Bunge lina mpango wa kuacha kutumia mfumo wa sasa wa makaratasi Bungeni,...

READ MORE

Tigo yazindua huduma ya Home Internet

WATEJA wa kampuni ya mawasiliano, Tigo,  kwa mara ya kwanza watapata fursa ya kufurahia huduma ya Home Internet yenye kasi ya...

READ MORE

Polisi Yanasa Matapeli wa Magari Wakimuibia Mama Benki – Video

WATU watatu wanaodaiwa kuwa ni matapeli wa magari wamenaswa na Jeshi la Polisi maeneo ya Sinza Mori jijini Dar es...

READ MORE

Bunge Lazimia Kumpongeza JPM Uenyekiti wa SADC – Video

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Sept.3,2019 limefanya azimio la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

RC Makonda Akabidhi Muswada wa Mapendekezo Sheria ya Mirathi Kwa Waziri

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo September 03 ametimiza ndoto za Wajane kwa kukabidhi Muswada...

READ MORE

Mshindi Jackpot ya Premier Bet kubeba Sh 500m

  KAMPUNI ya Kubashiri ya Premier Bet, leo Jumanne imelitambulisha huduma zake mbili za kucheza mchezo huo huku wakiweka dau...

READ MORE

Mmoja wa Mapacha Waliotenganishwa Afariki Muhimbili – Video

MMOJA wa pacha waliotenganishwa nchini Saudi Arabia, Anisia Benatus amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Jumanne, kutokana na maambukizi pamoja...

READ MORE

Nywele Halisi za George Washington Zapigwa Mnada

KITITA  cha nywele za aliyekuwa rais wa Marekani, George Washington, ambacho kilikatwa na ndugu yake wakati akingali rais mwaka 1790,...

READ MORE

Taharuki! Radi Ilivyoua Ng’ombe 22 – Pichaz

  NG’OMBE wapatao 22 wenye thamani ya Tsh.Million 12 wamekufa baada ya kupigwa na radi katika Kijiji cha Kaziramihunda, Wilaya...

READ MORE

Watalii 6 Waliofariki Hifadhi ya Taifa Kenya Wapatikana

WATU sita wameripotiwa kufariki katika Hifadhi ya Kitaifa ya Hell’s Gate nchini Kenya baada ya kusombwa na maji ya mafuriko...

READ MORE

Rubani Azirai Akiendesha Ndege, Mwanafuzi Aokoa Jahazi

RUBANI mwanafunzi nchini Australia ameitua ndege salama baada mwalimu wake kuzirai akiwa angani. Max Sylvester, mkazi wa magharibi mwa Australia...

READ MORE