×

Habari

TAASISI YA FRIEDKIN CONSERVATION FUND YATOA MILIONI 110 KUSAIDIA ELIMU SIMIYU

    TAASISI ya uhifadhi na Utalii ya Friedkin Conservation Fund, imetoa msaada ya shilingi milioni 110 ili kusaidia ujenzi wa...

READ MORE

Breaking News: Mzee King Majuto Afariki Dunia

MSANII nguli wa vichekesho Tanzania, Amri Athuman ‘Mzee King Majuto’ amefariki dunia majira ya saa 2:00 usiku huu wa Agosti...

READ MORE

Baada ya Kusepa Chadema, Waitara Achukua Fomu Kuwania Ubunge CCM

ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam, Mwita Mwikabe Waitara aliyetangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kuhama kutoka...

READ MORE

KALANGA Awajibu CCM Walioandamana Monduli – Video

Kufuatia maandamano yaliyofanywa jana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Monduli mkoani Arusha wakimtaka Mwenyekiti wa chama hicho...

READ MORE

SIMBA DAY: CHID BENZ Afunguka Baada ya Shoo – Video

RAPA maarufu Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ amefunguka baada ya ku-perform shoo yake kwenye Tamasha la Simba day linalofanyika leo...

READ MORE

DC Mwegelo Aanza na ‘Operesheni Jokate’ Kuondoa Wavamizi wa Misitu

MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo amezindua “Operesheni Jokate” yenye lengo la kuwaondoa wavamizi wote wanaoendesha shughuli za kilimo na...

READ MORE

CCM Monduli Waandamana Kupinga Mbunge Aliyetoka CHADEMA

WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Monduli wameandamana kwenye ofisi za chama hicho wakitaka aliyekuwa Mbunge wa Chama...

READ MORE

Rais Museveni Kutua Nchini Kesho

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU ZIARA YA RAIS WA UGANDA NCHINI Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mheshimiwa Yoweri Kaguta...

READ MORE

MAZITO YAFUMUKAA JALI ZA VIONGOZI

SIKU chache baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla kuje­ruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea Mdori mkoani...

READ MORE

WANAFUNZI WANNE WAFARIKI MBELE YA WALIMU

DAR ES SALAAM: Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kimbiji, Kingamboni jijini Dar es Salaam; Celestina Malipesa (18), Agneta’s Philipo (18),...

READ MORE

JPM Akutana na Viongozi wa Wakatoliki na Jumuiya ya Kikristo

Rais Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Kiongozi wa Baraza la Kikristo Tanzania na Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania...

READ MORE

Watoto Wawili Wafariki Baada Ya Nyumba Kuungua Kwa Moto Kagera

Watoto wawili wa kike, mmoja wa mika miwili na mwingine wa miezi 6 wamefariki dunia  usiku wa kuamkia leo baada...

READ MORE

KIJANA ASIMULIA SIKU ZAKE 335 ZA MATESO NA MACHOZI

HUJAFA hujaumbika! Ndivyo unavyoweza kusema, pindi unapomuona, dereva wa basi aliyefahamika kwa jina la Peter Mbwana (pichani), mkazi wa Machimbo-...

READ MORE

Fursa kwa Wahitimu Kidato cha Nne Waliofauru Sayansi

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewaagiza watendaji wa wizara hiyo kwa kushirikiana na...

READ MORE

Tetemeko Latokea Rukwa na DR Congo

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa  kipimo cha ritcher 4.4 na kina cha Kilomita 10 limetokea katika baadhi ya maeneo...

READ MORE

Kikongwe Asherehekea Miaka 100 Ndani ya Dreamliner

MZEE wa miaka 100 amesherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa kwake kwa kusafiri na ndege kwa mara ya kwanza,...

READ MORE

Mwanafunzi Chuo Kikuu Apigwa Picha za Mahafali na Mamba

MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha cha Texas A&M nchini Marekani, Makenzie Nolan, alihakikisha kuwa picha za sherehe yake ya kufuzu zitakuwa...

READ MORE

BIBI HARUSI AFIA HOTELINI

SIKU za kuaga dunia iliyowekwa na Mungu ikitimia, mja hana hiyari, ataacha vyote na kurejea mavumbini, ndivyo msichana Asha Kilimba...

READ MORE

Mzee Akilimali: Uchaguzi Utamaliza Shida za Yanga

KATIBU wa Baraza la Wazee la Yanga, Ibrahim Akilimali, amewataka mashabiki na wanachama wa Yanga kutokukubali kuchanga pesa zao kwa...

READ MORE

Roma Awachana BASATA ‘Mnaua Sanaa’

MKALI wa Hip Hop Bongo, Roma Mkatoliki ameamua kuwachana Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) huku akidai kuwa taasisi hiyo inaua...

READ MORE

JOKATE YAMKUTA YA AMINA CHIFUPA

SIKU tatu baada ya Mwanamitindo Jokate Mwegelo kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, gumzo la aina yake...

READ MORE

TAMWA YAHIMIZA MAZINGIRA SALAMA KWA WANAFUNZI SHULENI

      VIONGOZI wa shule mbalimbali nchini Tanzania wameshauriwa kuhakikisha wanazifanya shule zao kuwa na mazingira salama, yenye utangamano, ushirikiano,...

READ MORE

ESTHER MATIKO APEWA ONYO MAHAKAMANI

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuonya Mbunge wa Tarime Mjini (Chadema), Esther Matiko, kwa kushindwa kuwasiliana na mdhamini wake. Onyo...

READ MORE

MKALI WA BARCELONA ALIYECHEZA NA RONALDO AKABIDHIWA TAIFA STARS

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amemtangaza kocha Emmanuel Amunike kutoka Nigeria kuwa kocha Mkuu...

READ MORE

Mbunge CCM Mbaroni kwa Tuhuma za Rushwa

MBUNGE wa Kishapu Mkoani Shinyanga (CCM), Suleiman Nchambi na viongozi watatu wa mgodi wa Stamigold uliyopo Tulawaka wilayani Biharamulo Kagera,...

READ MORE

Kigoma: Wasiojulikana Wavamia Zahanati, Waiba Dawa

WATU wanaosaidikiwa kuwa ni majambazi, wamevamia zahanati ya Kijiji cha Nyumbigwa wilayani Kasulu mkoani Kigoma na kuiba dawa katika chumba...

READ MORE

Majanga Mazito Yamkuta Zari, Ahakiwa Akaunti Yake ya Instagram

MJASIRIAMALI na mzazi mwenzake na msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’,  yamemkuta mazito baada...

READ MORE

MADEREVA WAANZA KUTENGENEZA VYETI FEKI, POLISI WAWASHTUKIA

Jeshi la Polisi Nchini limesema limepata taarifa za uwepo wa madereva wa magari ya abiria ambao wameanza kutengeneza vyeti bandia...

READ MORE

Kangi Lugola Atoa Onyo Makampuni ya Ulinzi Yanayoajiri Vikongwe

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Alphaxard Lugola, ametoa mwezi mmoja kwa makapuni binafsi ya ulinzi nchini kuhakikisha...

READ MORE

Mtoto wa Mzee Majuto Ateuliwa Kuwa Katibu Tawala

MTOTO wa Muigizaji nguli wa vichekesho nchini, Amri Atumani ‘Mzee Majuto’, Hamza Amri Athumani ameteuliwa na Serikali ya Rais Dkt....

READ MORE

Mambo Manne (4) Yanayoua Biashara Mpya

JARIDA la Bloomberg la Marekani limeeleza kuwa takribani biashara nane kati ya kumi ambazo huanzishwa, zinakufa baada ya muda wa...

READ MORE

WAZIRI MKUU AMJULIA HALI DKT. KIGWANGALLA, MZEE MAJUTO (PICHA +VIDEO)

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtembelea na kumpa pole Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye amelazwa katika...

READ MORE

MGHWIRA, MURO NA SABAYA WAONGOZA MAZIKO YA HAMZA TEMBA – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mngwira; Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na Mkuu wa Wilaya ya...

READ MORE

CUF YALAANI KUENGULIWA KINYANG’ANYIRO UDIWANI UBUNGO

    CHAMA cha Wananchi (CUF) Wilaya ya Ubungo kimelaani na kupina mpango wa  kuenguliwa kwa mgombea wao wa udiwani,...

READ MORE

Ajali yaua Wanafunzi Tisa, Rais Kenyatta Awalilia

Wanafunzi tisa wa Shule ya msingi ya St. Gabriel huko Mwingi, Kaunti ya Kitui nchini Kenya, wamefariki huku wengine 32...

READ MORE