×

Habari

Mwili wa Prof. Maji Marefu Wawasili Karimjee Kuagwa – Pichaz

MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani “Profesa Majimarefu” umewasili katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es...

READ MORE

Mtoto Patrick wa Munalove na Casto Afariki Dunia -Video

MSANII wa Filamu za Bongo na mdau wa Muziki wa Bongo Fleva, Rose Alphonce ‘Muna Love’  na mtangazaji Casto Dickson, ...

READ MORE

Ajali ya Lori, Hiace 3, Mbeya Dakika 20, Vifo 20

HUU ni msiba msiba mzito! Ndivyo uavyoweza kusema kufuatia ajali iliyoababisha vifo vya watu 20 ambavyo vimetokea ndani ya dakika...

READ MORE

Kedi Group Kuuza Viwanja Kwa Bei Nafuu Msimu wa Sabasaba

  KATIKA Kuhakikisha Watanzania wote wanamiliki ardhi na wananufaika katika msimu huu wa maonyesho ya 42 ya kimataifa ya biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya...

READ MORE

Wateja Halopesa sasa kutuma pesa bure

    KAMPUNI ya mawasiliano ya simu ya Halotel imeondoa gharama za kutuma pesa kwa wateja wanaotumia huduma ya kifedha...

READ MORE

JIKE SHUPA: WALIOTEMBEA NA MIMI WAPIME UKIMWI!

VUTA picha ‘umetembea’ na mwanamke halafu ghafla anakwamba ukapime Ukimwi, utakuwa kwenye hali gani? Ndivyo alivyoibua mshtuko msanii wa filamu...

READ MORE

Shinda Tiketi ya Kwenda Marekani na Kurudi Bure

Baraza la Watanzania Wanaoishi Nchi za Nje (DICOTA) wanakushukuru kwa kukubali kushiriki katika utafiti huu muhimu kuhusu ufahamu wa Watanzania...

READ MORE

Taarifa Kuhusu Ratiba ya Kuaga Mwili wa Prof. Maji Marefu

MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Steven Ngonyani maarufu kama Profesa Maji Marefu, unatarajiwa kuagwa keso Jumatano kuanzia...

READ MORE

TRA Yakanusha Watanzania Kulipia WhatsApp

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuufahamisha umma kuwa taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya Kijamii zikidai kwamba, Mtanzania anayetumia mtandao...

READ MORE

MWANAMKE ‘ALIYEKUFA’ AKUTWA AKIPUMUA MOCHWARI

MWANAMKE aliyekuwa ametangazwa na madaktari kuwa amekufa katika ajali ya barabarani karibu na Jiji la Johannesburg, Afrika Kusini, alikutwa na...

READ MORE

IGP Sirro Afanya Mabadiliko Makamanda Polisi

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amefanya mabadiliko ya makamanda wa polisi kwa baadhi ya mikoa.  ...

READ MORE

Aliyedaiwa Kuuawa na Mumewe Aibuka!

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, wananchi wa Kijiji cha Mwibagi kilichopo Kata ya Kyanyari, Wilaya ya Butiama mkoani Mara, wamepigwa...

READ MORE

Rais Magufuli Anazungumza na Marais Wastaafu – Video

Rais Dkt John Magufuli amewalika baadhi ya viongozi waandamizi wa zamani wakiwemo marais, makamu wa rais, maspika, mawaziri wakuu na...

READ MORE

JPM Awaarika Wastaafu Ikulu, Wamo Mkapa, Lowassa na Sumaye – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John pombe Magufuli amewaalika viongozi wakuu wastaafu wote. Kufanya nao mazungumzo leo Jumanne,...

READ MORE

Washindi Tusua Maisha na Global Wafunguka ya Moyoni

WASHINDI mbalimbali wa wiki iliyopita wa promosheni ya kwanza ya Tusua Maisha na Global inayoendeshwa na Kampuni ya Global Publishers,...

READ MORE

SHABIBY KUKATA TIKETI KUPITIA MTANDAO

Kampuni ya Shabiby Line Bus Services, yenye mabasi ya Shabiby Line imekuja na huduma mpya kwa wateja wake kwa kukata...

READ MORE

Mwigulu Nchemba: Amlilia Profesa Majimarefu

MBUNGE wa Iramba Magharibi (CCM) na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu ameeleza masikitiko yake kufuatia kifo cha Mbunge...

READ MORE

Kigogo CCM Kortini kwa Kutoa Taarifa za Uongo Sakata la Zacharia

  MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) Wilaya ya Tarime, Godfrey Francis, jana alipandishwa kizimbani akituhumiwa kusambaza taarifa za uongo mitandaoni...

READ MORE

Gigy Money, Izzo Business Wawa Kivutio Usiku wa TheSwich

  MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia ni meneja wa baadhi ya wasanii, Quick Rocka, usiku wa Julai 01, 2018, ...

READ MORE

TANZIA: MBUNGE MAJIMAREFU AFARIKI DUNIA MUHIMBILI

MBUNGE wa Korogwe Vijijini (CCM) mkoani Tanga,  Steven Ngonyani maarufu Profesa Majimarefu amefariki dunia leo Jumatatu Julai 2,  2018 usiku...

READ MORE

Aliyemfundisha Diamond Kuongea Kiingereza Afunguka – Video

GLOBAL TV imemtafuta Mwalimu ambaye alimfundisha staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz lugha ya Kiingereza na paka sasa amekuwa akiitumia...

READ MORE

Nilisema Wabunge 17 wa CCM Mtwara na Lindi Bora Waondoke Tu!- Video

RAIS Dkt. John Magufuli amesema hafurahishwi na vitendo vya baadhiu ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuigeuka Serikali na...

READ MORE

JPM AMPA LUGOLA MTIHANI WA LUGUMI – VIDEO

RAIS Dkt. John Pombe Magufuli amemtaka Waziri Mpya wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola kusimamia vilivyo wizara hiyo ikiwemo kufuatilia...

READ MORE

JPM: Nimechoka Kutuma Rambirambi, Waziri Hashiriki Hata Kuzika? – Video

Rais Dkt. John Magufuli amesema amechoka kutuma salam za rambirambi kufuatia ajali mbalimbali zinazotokea hapa nchinikwa uzembe wa watu wachache...

READ MORE

Hospitali za Rufaa, Mikoa Sasa Mikononi Mwa Ummy

Waziri Ummy Mwalimu alipokuwa Hospitali ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam leo.   HOSPITALI 28 za rufaa na mikoa  nchini...

READ MORE

Rais Magufuli Awaapisha Mawaziri Wapya, Atoa Kauli Nzito – Video

Rais Dkt John Magufuli leo Julai 02, 2018, anawaapisha Mawaziri wapya aliowateua jana, zoezi hilo linafanyika Ikulu jijini Dar es...

READ MORE

Magufuli Ampa Milioni 10 Binti Mlemavu Anayeandikia Ulimi

Rais Dkt. John Magufuli amempatia msaada wa Tsh. Milioni 10, binti Wakonta Kapunda mwenye ulemavu wa miguu na mikono anayeandika...

READ MORE

Breaking News: Gari Lateketea kwa Moto Daraja la Kigamboni

MOTO umewaka na kuteketeza gari dogo aina ya Toyota Ractics, leo Jumatatu, Julai 2, 2018 katika Daraja la Nyerere (Kigamboni)...

READ MORE

WAKAZI KIGAMBONI WAMWANGUKIA RAIS MAGUFULI

    WAKAZI wa  Kata ya Somangila  wilayani Kigamboni mkoani Dar es Salaam  wamemuomba  Rais  John Magufuli  na Mkuu wa...

READ MORE

Mwigulu Kutumbuliwa: Zitto, Polepole, Nape, Lema, Mtatiro Watoa Neno

BADA ya Rais Magufuli kutangaza mabadiliko madogo katika Wizara kadhaa na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba kuachwa,...

READ MORE

Breaking News: Kangi Lugola Ateuliwa Kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani

Rais John Magufuli leo amemteua aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Kangi Lugola, kuwa Waziri wa...

READ MORE

WATU 20 WAFARIKI MBEYA KONTENA LIKIANGUKIA DALADALA

WATU 20 wamefariki dunia na wengine 45 kujeruhiwa leo, Jumapili, Julai 1, 2018 eneo la Mbalizi, Mbeya, ambapo lori lenye...

READ MORE

RAIS MAGUFULI ASALI IBADA KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR -VIDEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Julai 1, 2018 ameungana na waumini wengine kusali...

READ MORE

Ratiba ya Mashindano Miss Tanzania 2018

Kampuni ya The Look Company Limited chini ya Mkurugenzi, Basilla Mwanukuzi  wasimamizi wapya wa Miss Tanzania baada ya kukabidhiwa na  Kampuni...

READ MORE

HAIJAWAHI KUTOKEA, TSH. 800/= TU INAKUPA PIKIPIKI MPYAAA!

#TusuaMaishaNaGlobal,☝🏿 mambo ni moto…🔥🔥🔥 🔥 Global Publishers kama kawaida yetu tunaendelea kujujali msomaji wetu… baada ya kutoa nyumba mpya na...

READ MORE

MAZISHI YA MKE,MUME WALIOJIUA KWA MOTO JIPYA LAIBUKA

KIBAHA: Wakati tukio la mume, Hussein Zaid (58) na mke wake mdogo, Zainabu Juma (42) wakazi wa Mtaa wa Kilimahewa,...

READ MORE

World Cup: Argentine Out, Mpappe Aipeleka Ufaransa Robo Fainali

TIMU ya Taifa ya Ufaransa imefanikiwa kutingahatua ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia nchini Urusi jioni hii baada ya...

READ MORE

NHC MNA JUKUMU LA KUWAFIKIA WATU WA CHINI -MAJALIWA   

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lina jukumu kubwa la kuhakikisha sekta hiyo inakua...

READ MORE