×

Habari

Umati Wa Watu Wajitokeza Kumuaga Masogange Leaders

Mwili wa marehemu Agness Gerald ‘Masogange’ ukiwa Leaders, Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuagwa. Masogange ambaye alikuwa...

READ MORE

Mwili wa Masogange Unapelekwa Leaders Kuagwa

Mwili wa marehemu Agness Gerald ‘Masogange’ umeshawekwa kwenye gari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, tayari kwa safari ya kuelekea...

READ MORE

Waziri Tizeba Aagiza Mkurugenzi Wa Bodi Ya Korosho Kusimamishwa Kazi (Video)

Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Methew Mtigumwe kusitisha...

READ MORE

Mwili wa Masogange Kuagwa Leo Leaders, Kuzikwa Mbeya

Mwili wa marehemu  aliyekuwa Video queen maarufu Bongo Agnes Gerald maarufu Kama Masogange anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwao Wilayani Mbozi, mkoani...

READ MORE

Mke, Mume Wazua Timbwili, Wausimamisha Mtaa!

TIMBWILI! Hicho ndicho kimetokea baada ya mwanamke Tausi Juma kuibua sekeseke na mumewe, Ally Hamis Makapila, wote wakazi wa mjini...

READ MORE

NI BALAA! MJAMZITO AKINUKISHA KWA MTABIRI

  NI mkosi juu ya balaa! Mama mjamzito aliyetambulika kwa jina la Nuru Abdallah, mkazi wa Magomeni jijini Dar, amekinukisha...

READ MORE

HUYU NDIYE MASOGANGE TUNAYEMJUA

KIFO cha ghafla cha mwa­namitindo au Video Queen wa Bongo Fleva, Agness Ger­ald almaarufu Masogange, kimeibua mshtuko mkubwa. Jana, jioni,...

READ MORE

TASWIRA YA MSIBANI NYUMBANI KWA  AGNES MASOGANGE

    KUELEKEA kifo cha mwanadada aliyekuwa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ kufariki dunia jana jioni, baadhi ya ndugu jamaa...

READ MORE

RC Makonda Kupima Tezi Dume Nyumba kwa Nyumba

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salam, Paul Makonda anatarajia kuanza Oparesheni maalum wa kupima tezi dume kwa lazima nyumba...

READ MORE

Airtel Tanzania Yaongoza Katika Mitandao ya Kijamii

  Ripoti hii imetolewa na kampuni ya Socialbakers ambayo ni moja ya makampuni yanayoongoza duniani katika kutoa tathmini kuhusu namna...

READ MORE

Uingereza: Hatimaye Mwili wa Leyla Wakabidhiwa kwa Familia – Video

Mwili wa Mtanzania, Leyla Mtumwa, aliyeuawa Uingereza wiki chache zilizopita, umeachiwa huru leo na kukabidhiwa kwa ndugu zake ili kuusafirisha...

READ MORE

FAMILIA: MASOGANGE ATAAGWA KESHO JUMAPILI LEADERS

Msanii aliyekuwa akipamba video za muziki (video queen), Agnes Gerald ‘Masogange’ enzi za uhai wake. BAADA ya wadau wa sanaa...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Ujenzi wa Maghala ya Chakula na Vihenge – VIDEO

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania, Kassim Majaliwa ameweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Maghala ya Chakula na Vihenge...

READ MORE

TCRA Yaanza Rasmi Usajili wa Blogu, Redio na TV za Mtandaoni

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetangaza kuanza rasmi zoezi la usajili wa wamiliki wa Blogu, Majukwaa ya Mtandaoni (Online Forums),...

READ MORE

Zamaradi: Niliishi kwa Masogange Sauz, Msiba Umeniumiza Sana – Video

MTANGAZAJI Maarufu wa Televisheni na redio, Zamaradi Mketemea amefunguka na kueleza alivyoguswa na msiba wa msanii Agnes Gerard Masogange aliyefariki...

READ MORE

Steve: Tumependekeza Masogange Aagwe Leaders, Azikwe Mbeya – Video

KIONGOZI wa Chama cha Wasanii Nchini, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ametoa taarifa rasmi ya chama hicho yenye mapendekezo kwa familia...

READ MORE

Alichokisema Wakili wa Masogange Baada ya Taarifa za Msiba – Video

KUFUATIA kifo cha ghafla cha Msanii wa filamu za Kibongo na video queen maarufu, Agness Gerald ‘Masogange’ katika Kituo cha...

READ MORE

TRIO 50KW: Mtambo Mpya wa Umeme wa Jua Kutoka ABB

UMEME wa jua umekuwa ukisaidia watu wengi si viwandani, ofisini bali hadi kwenye sekta binafsi. Wiki mbili zilizopita, nilihudhuria maonesho...

READ MORE

Mwili wa Masogange Ukitolewa Hospitali Baada ya Kufariki – Video

Mwili wa Msanii wa filamu za Kibongo na video queen maarufu, Agness Gerald Masogange ukitolewa katika Kituo cha Huduma za...

READ MORE

TANZANIA KUADHIMISHA SIKU YA MALARIA DUNIANI KASULU, KIGOMA

Tanzania inatarajia kuungana na nchi zingine duniani kwenye kuadhimisha siku ya Malaria Duniani ambayo ufanyika April 25 kila mwaka.  ...

READ MORE

Breaking News: Masogange Afariki Dunia

Video queen maarufu nchini, Agnes Gerald ‘Masogange’ amefariki dunia hivi punde (leo Aprili 20, 2018) katika Kituo cha Huduma za...

READ MORE

Muuaji Akosekana, DPP Afunga Jalada Mauaji ya Akwilina

MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), Biswalo Mganga, amefunga rasmi jalada la kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha...

READ MORE

Nandy Akiwasili Sentro kwa Tuhuma za Kutoa Video Chafu

Mwanadada Faustina Charles ‘Nandy’ leo ameripoti katika Kituo Kikuu cha Polisi (Central) kufuatia kesi ya kuposti video chafu kwenye mitandao...

READ MORE

CHADEMA: Siyo Trilioni 1.5 Tu, Kuna Fedha Kibao ‘Zimepigwa’ – Video

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefanya mkutano na waandishi wa habari na kuudai kwamba ukiachilia mbali kiwango za zaidi...

READ MORE

AKUTWA LIVE CHUMBANI NA MUME WA MTU, KANGA MOJA – Video

  Amenaswa! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwanamke mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja kukutwa chumbani kwa mume...

READ MORE

Magufuli Afunguka Kuhusu Madai ya Kupotea kwa Sh. Trilioni 1.5 – Video

  Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kusema kuwa katika ripoti ambayo alipokea kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu...

READ MORE

VIONGOZI CHADEMA WAWASILI SENTRO

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Vincent Mashinji na viongozi wenzake ameripoti katika Kituo Kikuu cha Polisi...

READ MORE

BUNGENI: KAULI RASMI YA SERIKALI KUHUSU TRILIONI 1.5 – VIDEO

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji amesema hakuna fedha taslimu kiasi cha shilingi trilioni 1.51 iliyopotea au...

READ MORE

BUNGE: Mkutano wa 11, Kipindi cha Maswali na Majibu – Video

Vikao vya Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vimeendelea Mjini Dodoma ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi Ujenzi...

READ MORE

Mfalme Mswati III Abadili Jina la Nchi Yake

MFALME Mswati wa III wa Swaziland amebadilisha jina rasmi la taifa hilo kutoka Swaziland na kuliita Ufalme wa eSwatini (The...

READ MORE

Baada ya Kuibiwa, Siwa ya Bunge Yakutwa Kwenye Flyover – Video

Baada ya watu wenye silaha kuvamia Bunge la Senate la Nigeria na kuiba siwa juzi, hatimaye imekutwa chini ya Barabara ya...

READ MORE

Binti Alia: Shemeji Kanilewesha, Kanibaka!

ARUSHA: Binti mwenye umri wa miaka 14 (jina tunalihifadhi), mkazi wa Njiro Kwa Msola Katika Halmashauri ya Jiji la Arusha,...

READ MORE

Sakata la Kutelekezwa Watoto, Wabunge Wamjia Juu RC Makonda – Video

Mbunge wa Ulanga Gudluck Mlinga ameitaka Wizara ya Katiba na Sheria kutoa ufafanuzi wa kisheria kuhusiana na zoezi linaloendeshwa na...

READ MORE

MOTO WAZUKA KIWANDA CHA MAGODORO DAR

Kiwanda cha Magodoro cha Ocean Kiss kilichopo Tabata-Matumbi Jijini Dar leo asubuhi kilizua taharuki baada ya moto kuzuka sehemu ya...

READ MORE

ALIKIBA AFUNGUKA SABABU YA KUOA MREMBO WA KENYA – VIDEO

STAA wa Bongo Fleva, Alikiba ‘King Kiba‘ amefunguka na kusema kwamba, yeye alinusa tu na akajikuta amempenda binti mrembo Amina...

READ MORE

Diamond na Nandy Waitwa TCRA Kuhojiwa

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na  msanii Faustina Charles ‘Nandy’ leo wamefika Mamlaka ya Mawasiliano kuhojiwa kuhusu video zao...

READ MORE

KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI NA MATUKIO YOTE KIGANJANI MWAKO

KUWA wa kwanza kupata habari zote za michezo wakati wowote zinapotokea, Tuma SPORTS kwenda 15599 utapata habari za kitaifa na...

READ MORE

BABU SEYA, FAMILIA YAKE WATINGA BUNGENI – PICHA

  MWANAMUZIKI nguli wa dansi, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na watoto wake ambao ni Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ na Francis...

READ MORE