×

Habari

Rufaa ya Sugu na Masonga Yapokelewa Mahakama Kuu

  Rufaa ya kupinga hukumu ya kifungo cha mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda...

READ MORE

Mvua Zang’oa Daraja la Kivule, Ilala

DARAJA la Kivule lililopo eneo la Sirari Wilaya ya Ilala limekatika kutokana na mvua zilizoanza kunyesha jana jijini Dar es...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO IJUMAA, MACHI 2, 2018

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Machi 2, 2018. Ni yale ya...

READ MORE

BREAKING: Daladala Yagonga Magari Mawili Temeke – Video

AJALI mbaya ya gari imetokea leo Machi 1, 2018, maeneo ya Temeke, baada ya basi ya abiria (Daladala) aina ya...

READ MORE

WASHINDI SPOTI HAUSI WAJINYAKULIA ZAWADI ZAO KUTOKA TECNO – VIDEO

  KIPINDI bora na maarufu cha michezo kinachorushwa kila Alhamisi saa 10:00 kupitia YouTube Channel ya Global TV Onlione, SpotiHausi...

READ MORE

Benki ya NMB yazindua tawi jipya Kigamboni 

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa (wa tatu kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tawi jipya la Benki ya...

READ MORE

SERIKALI YATOA BILIONI 1.92 KUBORESHA AFYA NANYAMBA  

    SERIKALI imepeleka sh. bilioni 1.92 katika Halmashauri ya Mji wa Nanyamba wilayani Mtwara kwa ajili ya ujenzi na...

READ MORE

HUU NDIYO UKWELI KUHUSU KUNYONGWA KWA JACK PATRICK, BINTI KIZIWI CHINA

  DAR ES SALAAM: Wakati Wabongo Baraka Malali na mkewe, Ashura Mussa wakazi wa Magomeni jijini Dar wakisubiri hukumu ya...

READ MORE

MWALIMU AKAMATWA KWA KUZINI NA KIVULANA

    STEPHANIE PETERSON (26) mwalimu wa kike wa shule ya msingi huko New Syma, Florida, Marekani,  amekamatwa wiki hii...

READ MORE

Wastara Arejea Kutoka India kwa Matibabu, Yuko Fiti – Video

MSANII wa Bongo Movie, Wastara Juma amerejea Tanzania leo Alhamisi, Machi 1, 2018 akitokea  India alikokuwa akitibiwa mguu na mgongo...

READ MORE

RATIBA YA TRA ELIMU KWA MLIPA KODI NCHINI KWA MWEZI MACHI

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) wametoa ratiba ya wiki ya elimu kwa mlipa kodi nchini kuanza tarehe 5 hadi 9...

READ MORE

Karia Azichimba Mkwara Simba, Yanga SC

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ametamka kuwa hataruhusu klabu yoyote kucheza Ligi Kuu Bara kama itakuwa haijawakatia bima...

READ MORE

Shilole Ahukumiwa kwa Utapeli, Mahakama Kukamata Mali Zake! – Video

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amehukumiwa kulipa faini ya Tsh. Milioni 14 na mahakama ya Mwanzo Wilaya ya...

READ MORE

Breaking News: Mlipuko Watokea Mahakama Ya Kisutu

Mahakama ya Kisutu imekumbwa na hitilafu ya umeme leo baada ya mvua kunyesha na kusababisha mlipuko na sintofahamu mahakamani hapo....

READ MORE

TANZIA: NYOTA WA ZAMANI WA SIMBA SC AFARIKI DUNIANI

MCHEZAJI nyota wa zamani wa Simba, Urther Mambeta amefariki dunia jana jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda...

READ MORE

MPAKA HOME: MUME WA MAREHEMU RECHO HAULE ATOBOA SIRI NZITO (VIDEO)

MUME wa aliyekuwa msanii wa filamu za Kibongo, marehemu Recho Haule, Saguda George amefunguka siri nzito juu ya maisha yake...

READ MORE

Rwanda: Makanisa 714 na Msikiti Vyafungwa

  KIGALI, RWANDA: Serikali imeyafunga makanisa 714 na msikiti mmoja kwa kukosa kutimiza masharti yaliyowekwa ya usafi,  usalama na makelele...

READ MORE

Rais Shein Apangua Baraza la Mawaziri, Aongeza Wizara

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Ali Mohamed Shein amefanya mabadiliko katika Baraza la Mapinduzi huku...

READ MORE

CDF Mabeyo Awatahadharisha Watanzania

MKUU wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (JWTZ), Jenerali Venance Mabeyo amewahadharisha Watanzania na kuwataka wajiepushe na vitendo vinavyoweza kutishia...

READ MORE

GIGY MONEY: NIMEKUA, NAACHA UTOTO!

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amefunguka kuwa kwa sasa ameachana na mambo ya kitoto ili...

READ MORE

Tanzania Yazikana Meli za Korea Kaskazini

WAZIRI wa Mambo ya Nje, Dk. Augustine Mahiga amewafahamisha  mabalozi wa nchi tano ambazo ni wajumbe wa kudumu wa baraza...

READ MORE

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KOROSHO TANDAHIMBA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo ametembelea kiwanda cha korosho kilichopo Tandahimba, mkoani Mtwara ambapo amejionea jinsi uzalishaji na utayarishaji wa...

READ MORE

Maandamano Yamponza Lwakatare

MBUNGE wa Bukoba Mjini, Wilfred Lwakatare amezuiwa na Jeshi la polisi nchini kufanya mkutano wa hadhara ambao ulipangwa kufanyika leo...

READ MORE

Mwanamuziki Ahukumiwa Jela kwa Kutoa Neno la Utani

MWANAMUZIKI maarufu nchini Misri na Jaji katika kipindi cha mashindano ya waimbaji, The Voice, Sherine Abdel Wahab amehukumiwa miezi sita...

READ MORE

BREAKING NEWS: TRENI YA ABIRIA YAANGUKA

TRENI  ya abiria iliyokuwa ikisafiri kutoka Tabora kwenda Kigoma imeanguka mchana huu kati ya stesheni ya Malagarasi na Uvinza, Kamanda...

READ MORE

TRA Yasitisha Utaratibu wa Utawala wa Forodha Kati ya Tanzania na DRC

  MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA) imetangaza kusitisha Utaratibu wa Utawala wa Forodha kati ya Tanzania na Jamhuri ya Kidekrasia...

READ MORE

Kisutu: Yaliyojiri Kesi ya Tido Mahakamani Leo

  ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando,  amesomewa maelezo ya awali ya kesi ya matumizi mabaya...

READ MORE

Wafuasi 3 wa Chadema waliojeruhiwa Kwa Risasi Wafikishwa Mahakamani

Wafuasi 3 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliojeruhiwa kwa risasi wakati Polisi wakitawanya waandamanaji Kinondoni wafikishwa Mahakamani Makada...

READ MORE

KAMPUNI ZA TANZANIA, KOREA ZASAINI USHIRIKIANO KATIKA UJENZI

  KAMPUNI  mbili za Tanzania, Blue Mark iliyo chini ya Mkurugenzi wake, Eric Shigongo,  na JONTA Investment  Ltd  iliyo chini...

READ MORE

Makamu wa Rais Amsaidia Wheel Chair Mama Aliyegongwa na Lori

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempatia kiti cha magurudumu (wheel chair), Bi....

READ MORE

Wastara sasa Yupo Fiti, Kurejea Nchini Kesho Alhamisi

HAKIKA Mungu ni muweza! Wastara Juma ambaye yupo kwenye matibabu ya mguu katika Hospitali ya Saifee nchini India imeimarika na...

READ MORE

AFYA YA WASTARA MUNGU MKUBWA!

MUNGU mkubwa! Afya ya staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma ambaye yupo kwenye matibabu ya mguu katika Hospitali ya...

READ MORE

MBOWE, Wenzake Wasota Sentro 5, Waachiwa kwa Dhamana -Video

  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wengine watano wa chama hicho wameachiwa kwa...

READ MORE

BABA MCHUNGAJI AMTOROKA MKEWE, AENDA KUOA ‘KIFAA’ – VIDEO

HII ni aibu ya baba mchungaji! Mchungaji wa Kanisa la Elgibbon Ministry lililopo Songwe mkoani Mbeya, Imani Kalinga amejikuta akipata...

READ MORE

MWANAFUNZI ATOWEKA SIKU 30, APATIKANA, AFARIKI

MWANAFUNZI wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Mikocheni B, Khadija Ally Masoud (15), amefariki dunia Jumamosi iliyopita baada...

READ MORE

Kigogo TRA Anayedaiwa Kumlawiti Mtoto Anyimwa Dhamana

MAHAKAMA Kuu Zanzibar Vuga, imemnyima dhamana mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Hassan Abuutwalib maarufu Kiringo ambaye anashtakiwa kwa...

READ MORE

Benki ya NMB yafungua tawi jipya Ruaha, Iringa

  BENKI ya NMB Tanzania imezindua tawi jipya Ruaha ambalo limeanzishwa kwa lengo la kusogeza huduma za kifedha karibu zaidi na...

READ MORE

Polisi DR Congo Afungwa Maisha Kwa Kuua Waandamanaji

  Mahakama kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imemhukumu kifungo cha maisha askari polisi aliyewafyatulia risasi waandamanaji wanaompinga  na...

READ MORE

UFISADI BIL 224 MLIMANI CITY ZIMEENDA WAPI?

  SAKATA la ufisadi katika mkataba wa Mradi wa Majengo ya Biashara ya Mlimani City kati ya Chuo Kikuu cha...

READ MORE