×

Habari

Pugu Wampongeza Meya Dar Kwa Huduma ya Maji  

    WANANCHI wa Kata ya Pugu, Mtaa wa Mustafa, wamempongeza Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya...

READ MORE

Freeman Mbowe Aruhusiwa Kutoka Hospitali

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa Kilimanjaro Christian Medical Center (KCMC) ameruhusiwa kutoka hospitali hapo...

READ MORE

Bashe Aibua Mjadala Matukio Yanayotishia Umoja, Usalama Nchini

Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe leo amewasilisha barua ya  hoja binafsi kuunda Kamati ya Bunge ili ichunguze matukio mbalimbali...

READ MORE

Ajali Mbaya Yatokea Kimara Mwisho Dar (Video)

Ajali mbaya imetokea Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam ambapo gari aina aya Toyota Noah namba T.871 BTU iliyokuwa ikitokea...

READ MORE

BREAKING NEWS: MOTO WAUNGUZA SOKO MBAGALA – VIDEO

Moto mkubwa umelipuka na kuunguza soko la wafanyabiashara wadogo wadogo (machinga) katika eneo la Mbagala Rangi Tatu – Dar, asubuhi...

READ MORE

Hatimae Ahmed Albaity Amewasili Nchini China

Hatimae Kijana Mwenzetu Ahmed Albaity amewasili Nchini China tayari kuanza Matibabu yake. Akizungumza kutoka China , Ahmed amewashukuru watanzania wote...

READ MORE

ABIRIA ADAIWA KUMNYONGA KONDA HADI KUFA!

  DAR ES SALAAM: Kondakta wa daladala aina ya Nissan Civilian lenye namba za usajili T 247 DDT lililokuwa likifanya...

READ MORE

SHINDANO LA MBIO MAGARI LAJERUHI WATANO TANGA – VIDEO

WATU watano wamejeruhiwa katika mashindano ya mbio za magari mkoani Tanga jana Jumapili asubuhi baada ya mmoja wa madereva wanaoshiriki mashindano...

READ MORE

NABII ‘MTOTO’ ATIKISA DAR, ANA MIAKA 22, UTAJIRI WAKE UNATISHA – VIDEO

KILA kukicha wanatokea manabii wanaokuja na staili mbalimbali za mahubiri na miujiza ya kila aina, wakati Nabii Tito ambaye alikuwa...

READ MORE

Boeing Dreamliner Ndege ya Tanzania Itakayotua Nchini Julai

SERIKALI kupitia kwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari, Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas, imesema kuwa...

READ MORE

RAIS ATENGUA UTEUZI WA IGP NA WAZIRI, ATEUA MENGINE

RAIS  Yoweri Museveni wa Uganda ametengua uteuzi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo IGP Generali Kale Kayihura na...

READ MORE

VODACOM YAZINDUA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE

Mmoja wa wanawake aliyetunukiwa cheti kutoka Vodacom, Happynes Shuma (kulia) kutokana na mchango wake wa kuhamasisha, kujitambua kwa wanawake na...

READ MORE

Yaliyojiri Kortini Kesi ya Nabii Tito Kutaka Kujiua

KESI ya kujaribu kujiua kwa kujichana tumbo na wembe inayomkabili mshtakiwa Onesmo Machibya maarufu Nabii Tito, imeahirishwa katika Hakimu wa...

READ MORE

Airtel yazindua bando za uhuru zaidi kwa wateja Yatosha Mitandao Yote

  KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania inayoongoza kwa kutoa huduma bora za smartphone leo imetangaza uhuru wa...

READ MORE

PICHA 7: MOTO ULIVYOTEKETEZA BWENI KOROGWE GIRLS

MOTO umeteketeza bweni katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Korogwe iliyoko mkoani Tanga na kuwaacha wanafunzi hao katika hali mbaya...

READ MORE

Breaking News: Mbowe Augua Ghafla, Alazwa KCMC

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Elikaeli Mbowe amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi kwa...

READ MORE

Spoti Xtra Lilivyokimbiza Viunga vya Jiji la Dar Jana

Gazeti jipya la michezo linaloongoza kwa ubora la Spoti Xtra kama kawaida yake jana Jumapili liliendelea kukimbiza ambapo kikosi cha...

READ MORE

Mashehe 5 Waliotoweka Zanzibar Wasimulia Baada ya Kuachiwa – VIDEO

MASHEHE watano waliotoweka katika mazingira ya kutatanisha kuanzia Febuari 9 mwaka huu huko Zanzibar wameachiwa na kurejea katika familia zao...

READ MORE

Breaking News: Moto Waunguza Shule ya Wasichana Korogwe

Shule ya Sekondari ya Wasichana Korogwe  iliyoko wilayani Korogwe Mkoa wa Tanga, inaungua moto usiku huu, huku chanzo cha ajali...

READ MORE

JK Atoa Mifuko 300 ya Sementi Ujenzi wa Zahanati

  Rais Mstaafu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia mbunge wa zamani wa...

READ MORE

Julius Mtatiro Avuliwa Uanachama CUF

KADA wa Chama cha Wananchi (CUF) ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya uongozi ya chama hicho, Julius Mtatiro, amevuliwa...

READ MORE

Ikulu Yakanusha Taarifa Dhidi Ya Waziri Hamis Kigwangala

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa amekanusha kuwa Rais Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Maliasili na Utalii...

READ MORE

SERIKALI YATOA BIL. 1.4 KUBORESHA VITUO VYA AFYA RUANGWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetoa sh. bilioni 1.4 kwa ajili ya uboreshaji wa vituo vitatu vya afya katika...

READ MORE

Sita Wafariki Basi la New Force Kugongana na Hiace (Picha + Video)

WATU watano wamefariki dunia leo asubuhi na mmoja wao kafia wodini baada ya basi la New Force lilikokuwa linatokea Msamvu kwenda...

READ MORE

Breaking News: Basi la Ndenjela Limepata Ajali Kitonga, Iringa

Basi la Ndenjela lenye namba za usajili T491 CJV Yutong F11 lililokuwa linatoka Mbeya kwenda Dar es salaam, limepata ajali...

READ MORE

Wafanyabiashara wa Korea, Tanzania Wamtembelea Balozi Matilda

TIMU ya wafanyabiashara wa Korea na Tanzania waliopitisha mkataba wa kushirikiana, wakiongozwa na mratibu wa timu hiyo, diwani na mwenyekiti...

READ MORE

Wawili Watupwa Jela Kwa ‘Kumchezea Rafu’ Rais Nkurunziza Katika Mechi

Maofisa wawili nchini Burundi wamehukumiwa kwenda jela baada ya Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza kuwashutumu ‘kuchezewa vibaya’ wakati wa...

READ MORE

MADAI MAZITO: POLISI AMPIGA RISASI RAIA MWEMA! – VIDEO

  Haya ni madai mazito! Raia mwema aliyejitambulisha kwa jina la Hassan Yahaya, mkazi wa Mabibo-Farasi jijini Dar, anadaiwa kupigwa...

READ MORE

BARABARA STENDI YA MAKUMBUSHO KIVUTIO!

  MIUNDOMBINU ya barabara iliyokuwa korofi katika eneo la kuingia stendi ya Makumbusho jijini Dar na mitaa mingine inayozunguka stendi...

READ MORE

WAPINZANI WA SIMBA KUTUA KESHO

  Klabu ya Simba inatarajia kucheza mchezo wake wa Kombe la Shirikisho dhidi ya klabu ya Al Masry kutoka nchini...

READ MORE

Mr Nice Aipongeza BASATA

MKONGWE wa Bongo Fleva aliyetamba miaka ya 2000 kwa staili yake ya Takeu, Lukas Mkenda ‘Mr Nice’ amefunguka na kuwaasa...

READ MORE

Shule ya Miti Iliyompa Wakati Mgumu Nape Nnauye – VIDEO

  MBUNGE wa Jimbo la Mtama, Nape Nauye amefanya mabadiliko makubwa kwa muda wa miaka miwili na nusu katika jimbo...

READ MORE

NAPE ‘KUWAPIGA’ WANAOBORONGA MRADI WA MAJI MTAMA – VIDEO

MBUNGE wa Jimbo la Mtama  mkoani Lindi, Nape Moses Nnauye amesema atawashtaki bungeni wakandarasi wanaotekeleza mradi wa maji jimboni kwake...

READ MORE

Msako wa Wahalifu Dodoma, Gari Lanaswa na Mabati – Video

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Giles Mroto amesema kuwa jeshi hilo limefanya operesheni ya kusaka wahalifu na kufanikiwa kunasa...

READ MORE

Mgonjwa Apasuliwa Ubongo Kimakosa

  WAZIRI wa Afya Kenya, Sicily Kariuki ampa likizo ya lazima Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Kenyatta, Lily Koros...

READ MORE

Chadema Yamsimamisha Kazi Mwenyekiti wa Bavicha

HALI si shwari ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Kilimanjaro, baada ya chama hicho kuchukua hatua...

READ MORE

SIMANZI: KICHANGA CHATUPWA CHOONI NA MAMA YAKE – VIDEO

Ukistaajabu ya Musa Utayaona ya Firauni!, hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia tukio la kustaajabisha lililotokea hivi karibuni ambapo mama anadaiwa...

READ MORE

Wahamiaji Haramu Watano Mbaroni – VIDEO

Wahamiaji haramu watano ambao ni raia wa Somali wamekamatwa, Wilaya ya Tunduma mkoani Mbeya wakiwa katika nyumba ya mama mmoja...

READ MORE

BAADA YA AKWILINA KUZIKWA, DENTI MWINGINE DAR AUAWA KINYAMA!

  WAKATI ripoti ya uchunguzi wa kipolisi juu ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Usafi...

READ MORE