×

Habari

Bodi ya Ithibati Yawafungia Watangazaji wa Mjini FM kwa Ukiukwaji wa Maadili

Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari nchini imetoa agizo la kuwasimamisha watangazaji watatu wa Kipindi cha Genge kinachorushwa na...

READ MORE

TLS Yapinga Ufafanuzi wa Zuio la Mahakama Dhidi ya Viongozi wa CHADEMA

Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ameonyesha kutoridhishwa na tafsiri iliyotolewa na Wakili Shaaban Marijani...

READ MORE

Sadi Mtangi Ahukumiwa Miaka 60 Jela Kwa Makosa Ya Kubaka Wanafunzi – Video

Mahakama ya Wilaya ya Mkinga, mkoani Tanga, Julai 17, 2025 imemhukumu Sadi Mtangi, mkazi wa Maramba, kifungo cha miaka 60...

READ MORE

Burkina Faso Yaivunja Tume ya Uchaguzi, Yahamishiwa Wizara ya Mambo ya Ndani

Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imechukua hatua ya kuivunja rasmi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (CENI), ikiituhumu kwa kuwa...

READ MORE

Mfahamu Wakili Bagachwa Na Maono Ya Kuiona Missenyi Mpya

Wakili Salim Bagachwa Abubakar, mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mzaliwa na mkazi wa kijiji cha Bugorora, kata ya...

READ MORE

Zelensky: Tunafanya Mazungumzo Na Trump Kuhusu Mpango Wa Ndege Zisizo Na Rubani

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema kuwa yeye na Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, wanafikiria “mpango mkubwa” wa...

READ MORE

Mbeto ashangazwa na Mataifa ya Nje kuingilia mambo ya Ndani Afrika

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Chama Cha Mapinduzi kimestushwa na baadhi ya Taasisi na Mashrika ya Nje kuhoji kwa vitisho kukamatwa...

READ MORE

Rais Mstaafu JK Ampongeza Rais Samia Kwa Dira 2050 Na Uongozi Mahiri – Video

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia...

READ MORE

Rais Samia: Vijana Warejeshe Mijadala Ya Maendeleo, Wajipange Kwa Ajili Ya Taifa La Kesho

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Julai 17, 2025 ametoa wito mahsusi kwa vijana wa...

READ MORE

NBC Yakabidhi ‘Kits’ za NBC Dodoma Marathon kwa Uongozi wa GSM Group

Muandaaji wa mbio za NBC Dodoma Marathon, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) leo imeendelea na zoezi la utambulisho na...

READ MORE

Rais Samia Asalimiana Na Mbowe Baada Ya Uzinduzi Wa Dira Ya Taifa Ya Maendeleo 2050

Dodoma, Julai 17, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesalimiana na Mwenyekiti Mstaafu...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Azindua Dira Ya Taifa Ya Maendeleo 2050, Dodoma – (Video +Picha)

Dodoma, Julai 17, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa serikali ya...

READ MORE

Mahakama Kuu Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Amri Ya Zuio La Shughuli Za Kisiasa Kwa Viongozi Wa Chadema

Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imetoa ufafanuzi rasmi kuhusu amri ya zuio la kufanya...

READ MORE

Mbowe Ashiriki Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 Jijini Dodoma

  Mwenyekuti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ni miongoni mwa wageni wanaoshiriki hafla ya uzinduzi...

READ MORE

Pata 10% Money Back Ukicheza Win & Go

Huu ni mwezi wa hela tu ukiwa na Meridianbet basi umechagua kushinda kila siku. Cheza mchezo wa Kasino ya Mtandaoni...

READ MORE

Rais Samia Kuzindua Rasmi Dira Ya Maendeleo Ya Taifa 2050

Dodoma, Julai 17, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Alhamisi amezindua rasmi...

READ MORE

Rais Dkt.Samia Afanya Uteuzi wa Viongozi Mbalimbali

DODOMA-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Jenister Mhagama Atajwa kuwa Kinara Kuwezesha Mafanikio ya Utalii Tiba Nchini

WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama amesema ili kufikia ndoto kamili za Tanzania kuwa kitovu cha utalii tiba kuna haja ya...

READ MORE

Askofu Gwajima Ataka Mfumo wa Uchaguzi Kubadilishwa

Askofu Gwajima Ataka Mfumo wa Uchaguzi Kubadilishwa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri...

READ MORE

Mkuu wa Majeshi ya Falme za Kiarabu (UAE) Alivyofanya Ziara Nchini Tanzania

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa nchi za Falme za Kiarabu, Luteni Jenerali Eisa Saif Mohamed Bin Ablan Almazrouei amefanya...

READ MORE

Neema Yawafikia Bodaboda wa Mbezi Beach Africana

Kampuni ya ubashiri Meridianbet kama kawaida ni bandika bandua huku Jumatano ya leo wameamua kuwafikia bodaboda wa kule Mbezi Beach...

READ MORE

NBC Yazitambulisha jezi za NBC Dodoma Marathon kwa Wadau, Sanlam Wapongeza Ubora

Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya NBC Bw Rayson Foya (wa tatu kushoto) akikabidhi moja ya jezi maalum kwa ajili...

READ MORE

Vyuo Vikuu vya Kimataifa vyaja Dar na Ahadi ya Ufadhili

WAKALA wa Elimu Nje ya nchi Global Education Link inatarajia kuwakutanisha wanafunzi wa Tanzania na vyuo vikuu zaidi ya 20...

READ MORE

Mrisho Mpoto Afiwa Na Mkewe

Mrisho Mpoto, msanii wa sanaa za maonesho na kughani, kupitia akaunti yake ya Instagram ametoa taarifa za kufiwa na mkewe...

READ MORE

Makada CCM Wamuunga Mkono Comrade Mgeja Kumvalia Njuga Polepole

MAKADA wa Chama cha Mapinduzi kutoka pande mbalimbali nchini wamemuunga mkono kada wa chama hicho na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa...

READ MORE

Kesi Ya Uhaini Ya Tundu Lissu Yaahirishwa Hadi Julai 30, 2025 – Video

Dar es Salaam, Julai 15, 2025 — Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA,...

READ MORE

Comrade Mgeja Alivyoshtushwa na Polepole Kujiuzulu, Akiwa India Kimatibabu

BAADA ya taarifa za Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole kujiuzulu nafasi ya Ubalozi nchini Cuba zimeshtua wengi...

READ MORE

Lissu: Sitaki Huruma ya Mahakama, Nataka Haki ya Kikatiba – Video

Dar es Salaam, Julai 15, 2025 – Kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na wakili maarufu nchini, Tundu Antiphas Lissu, inatarajiwa...

READ MORE

Funga Safari Ya Ushindi: Qualifiers Za Meridianbet Festival Malta 2025

Ni muda wa kujiwekea historia ya mchezo kwa wacheza kasino mtandaoni na Meridianbet kwa kulitambua hilo inawapa wachezaji wake fursa...

READ MORE

Meridianbet Yazindua Fursa Kubwa kwa Poker, Festival Malta 2025

Meridianbet Tanzania imezindua rasmi qualifiers za Festival Malta 2025 kupitia jukwaa la Playtech Poker, ikikutanisha wachezaji wa Tanzania na fursa...

READ MORE

Vodacom M-Pesa, Vivo Energy Tanzania Waja Na Malipo Ya Kidijitali 

Dar es Salaam: Kampuni ya Vodacom Tanzania, inayoadhimisha miaka 25 ya kuwahudumia Watanzania, imetangaza ushirikiano rasmi na kampuni ya mafuta...

READ MORE

Balozi Nchimbi Aongoza Kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu Taifa Dodoma

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akiongoza kikao cha kawaida cha Sekretarieti ya Halmashauri...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao Cha Mwisho Cha Baraza La Mawaziri

Dodoma, 14 Julai 2025 — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo ameongoza kikao...

READ MORE

Msafara Wa Twende Butiama 2025 Wahitimishwa

Washiriki wa Msafara wa Twende Butiama 2025 wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuhitimisha safari yao wilayani Butiama mkoa...

READ MORE

Waziri Mkuu Aigiza Tantrade Kufanya Tahiti Ya Masoko Ndani Na Nje Ya Nchi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) kuendeleza juhudi za kutafuta masoko ya nje ili...

READ MORE

Wananchi wa Buchosa Wamshukuru Rais Samia kwa Msaada wa Milioni 70 kwa Ujenzi wa Miundombinu

Wananchi wa Jimbo la Buchosa wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa shilingi...

READ MORE

Polisi Wamshikilia Leonard Magere wa Chadema kwa Tuhuma za Jinai

Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kumshikilia Mtaalamu wa Raslimali, Miradi na Uwekezaji wa Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA), Leonard...

READ MORE

Makalla: Tumeisoma Barua ya Polepole Mtandaoni, Lakini Bado Ni Mwanachama wa CCM – Video

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM anayeshughulikia Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA. Amos Makalla, amesema kuwa taarifa ya kujiuzulu kwa...

READ MORE

Makamu wa Rais apongeza ukaribu wa Benki ya NMB na Serikali

Makamu wa Rais Dr Philip Mpango ameipongeza benki ya NMB kwa jinsi inavyoshirikiana na serikali katika matukio mbalimbali ya kijamii...

READ MORE

Chelsea Wafalme wa Dunia, Kombe la Dunia la Klabu la FIFA 2025

Kombe la Dunia la Klabu la FIFA 2025 limeacha historia mpya katika ulimwengu wa soka, likifanyika kwa mara ya kwanza kwa mfumo...

READ MORE