×

Habari

Waraka Mzito wa Kibatala kwa Tundu Lissu

WAKILI wa kujitegemea, Peter Kibatala ameandika waraka kwa Rais wa chama cha Wanasheria wa Tanganyika  (TLS), Tundu Lissu kwamba atahakikisha...

READ MORE

Ndugai Ampa Tano Dkt. Kashililah

Spika wa Bunge, Job Ndugai amemshukuru aliyekuwa Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah kwa utumishi uliotukuka. Ametoa shukrani hizo leo...

READ MORE

Mwenyekiti wa Halmashauri Akidaiwa Kutishia Kuua

MAKAMU Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tunduma, Herode Jivava ametiwa nguvuni na Polisi akidaiwa kutishia kuua kwa maneno. Jivava ambaye pia...

READ MORE

Rais Magufuli Awaapisha Mawaziri Wapya – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaapisha Mawaziri na Manaibu Mawaziri wapya walioteuliwa kufuatia mabadiliko...

READ MORE

Roma: Kutembea na Waleti ni Mzigo

STAA wa Ngoma ya Zimbabwe, Ibrahim Musa, ‘Roma Mkatoliki’ amefunguka kuwa, katika maisha yake kamwe hawezi kutembea na waleti mfukoni...

READ MORE

Dkt. Kashililah Baada ya Kuenguliwa Asema Rais Magufuli Yuko Sahihi

KATIBU wa Bunge wa zamani, Dkt. Thomas Kashililah amesema, Rais John Magufuli hakufanya kosa katika uteuzi wa Katibu wa Bunge....

READ MORE

Sirro Asema Hataki Malumbano Kuhusu Kushambuliwa Lissu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro amesema hataki malumbano na hana majibu kuhusu shinikizo linalotolewa na Chadema...

READ MORE

MASAILAND; GLAMOROUS TOURIST HOTEL IN ARUSHA!

  TALKING of Arusha Region and its tourist attractions one has to reckon with Masailand Hotel which has all the...

READ MORE

IGP SIRRO AWAJENGEA UWEZO ASKARI WA MBEYA

  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, Jana alizungumza na askari wa kikosi maalumu cha kupambana na...

READ MORE

Mahafali Darasa la Saba Msingi St. Mary’s Yafana!

  WAHITIMU wa darasa la saba wa Shule ya Msingi ya St. Mary’s iliyoko Mbezi-Goigi, jijini Dar es |Salaam, jana...

READ MORE

MASAILAND: HOTELI NZURI YA KITALII ARUSHA!

  UKIZUNGUMZIA Mkoa wa Arusha na vivutio vyake, kamwe huwezi kuiweka pembeni Hoteli ya Masailand yenye mandhari nzuri kwa mapumziko....

READ MORE

Aua Wapenzi Wawili Akiishia Kujitoa Utumbo

Watu wawili wamefariki dunia na mwingine mmoja kujijeruhi baada ya kutokea ugomvi unaohusishwa na wivu wa mapenzi mjni Bunda.  ...

READ MORE

Maghembe, Lwenge Wang’oka Baraza la Mawaziri

RAIS John Magufuli amefanya mabadiliko katika Baraza lake la Mawaziri kwa kuwahamisha baadhi yao kwenda wizara nyingine, kuwapandisha baadhi ya...

READ MORE

Pspf Yawazawadia Wafanyakazi Wake Kwenye Kilele Cha Wiki Ya Huduma Kwa Wateja Duniani

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, amewapongeza wafanyakazi wa Mfuko huo, kwa kazi nzuri wanayofanya...

READ MORE

Mbowe: Lissu Amefanyiwa Upasuaji Mara 14

Babati. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amefanywa upasuaji mara 14 na ataendelea...

READ MORE

Mbowe Ampongeza Rais Magufuli Kutenganisha Wizara Ya Nishati Na Madini

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amepongeza kitendo cha Rais John Magufuli kuitenganisha Wizara ya Nishati na Madini kwa kuwa kwa...

READ MORE

JUKATA Wakomaa na Rais Magufuli Kuhusu Maandamano ya Katiba

JUKWAA la Katiba (Jukata) limemuomba Rais John Magufuli apokee maandamano ya amani kushinikiza kufufua mchakato wa Katiba mpya. Jukata limefikia maamuzi...

READ MORE

Taarifa Rasmi ya Ikulu Kuhusu Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri – VIDEO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri nchini huku akizigawanya baadhi ya wizara zikiwemo Wizara ya...

READ MORE

Meli ya Mfalme wa Oman Imeondoka Kuelekea Zanzibar Tanzania

Meli ya Mfalme wa Oman, Sultan Qabous imeondoka Leo kuelekea Zanzibar Tanzania. Ikifika huko Zanzibar itafanya safari ya kwenda Dar-es Salaam...

READ MORE

Jerry Muro Ajibu Tuhuma Nzito za CHADEMA, Amvaa Mazima Lema – Video

KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia aliwahi kuwa Msemaji wa klabu ya yanga, Jerry Muro ameibuka na kuwaponda...

READ MORE

JPM Ateua Mawaziri Wapya, Lugola, Shonza Ndani, Maghembe, Kashililah Out

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri nchini huku akizigawanya baadhi ya wizara zikiwemo Wizara ya...

READ MORE

Utajiri wa Nay Kwisha!

VYUMA vimekaza! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya utajiri wa staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kudaiwa kwisha...

READ MORE

MSHINDI SHINDA NYUMBA ASEMA: SIJAAMUA NITAISHI WAPI

BAADA ya kazi kubwa ya muda wa zaidi ya miezi sita ya kuendesha Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya...

READ MORE

Chaz Baba Aanika Kilichompoteza

BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu na kutoonekana katika steji ya Bendi ya Mashujaa aliyokuwa akiifanyia kazi, mwanamuziki Charles...

READ MORE

Bulaya: Nafuatiliwa na Watu Waliovaa Kininja

MBUNGE wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ester Amos Bulaya, amesema kuwa...

READ MORE

WAHITIMU FORM IV WAASWA KUJIEPUSHA NA MAKUNDI MABAYA

Diwani wa Kata ya Kongowe, Kibaha mkoani Pwani, Iddy Kanyalu amewaasa wahitimu wa kidato cha nne wa Sekondari ya Mwambisi...

READ MORE

Ghala la Matairi Kampuniu ya Superdoll Lateketea kwa Moto – VIDEO

Ghala la matairi ya magari la kampuni ya Superdoll lililopo Barabara ya Nyerere limeugua kwa moto.   Ghala hilo lililopo...

READ MORE

Mpinzani wa Kagame, Diane Rwigara, Afikishwa Mahakamani Rwanda

  MWANASIASA wa upinzani nchini Rwanda, Diane Rwigara, mama  yake na dada yake,  wamefikishwa mahakamani mjini Kigali kwa mara ya...

READ MORE

Chadema Wahoji Maswali Kibao Sakata La Lissu, Saanane

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimehoji maswali kibao kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba na Inspekta Jenerali...

READ MORE

Manji Aachiwa Huru Kesi ya Madawa ya Kulevya

MFANYABIASHARA maarufu nchini, Yusuf Manji ameachiwa huru katika kesi ya madawa iliyokuwa ikimkabili baada ya mahakama kushindwa kuthibitisha madai hayo....

READ MORE

Kondakta Mshindi wa Nyumba Ageuka Mcharo Dom

KONDAKTA wa basi aliyeshinda zawadi ya nyumba katika Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, George Majaba, ambaye ni...

READ MORE

Ukweli Kuhusu Watu 8 Waliokufa kwa Gongo Kimara, Aliyenusurika Kifo Asimulia!

WATU nane wamefariki dunia maeneo ya Kimara Stop Over jijini Dar es Salaam, kwa kunywa pombe haramu aina ya gongo,...

READ MORE

Lowassa: Waliokatwa CCM Nawakaribisha Ukawa

WAZIRI mkuu mstaafu, Edward Lowassa amesema kuwa anawakaribisha Chadema wale wote waliokatwa CCM. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari...

READ MORE

TECNO SMART HUB KUBWA ZAIDI KUZINDULIWA JUMAMOSI

TECNO imeeendelea kuhakikisha wateja wake wanapata huduma bora Zaidi kuwahi kutokea katika biashara simu kwa kutengeneza duka jipya la kisasa...

READ MORE

GONGO YAUA 10 KIMARA – STOP OVER DAR (VIDEO)

PICHA NA DENIS MTIMA/GPL JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA...

READ MORE

 Meya Mwita: Mafuriko Jiji la Dar es Salaam Kuwa Historia

    MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita, amesema mipango thabiti iko mbioni ili kuboresha miundombinu...

READ MORE

Familia ya Yamjibu Sirro Kuhusu Dereva wa Lissu, Yataka Amfuate Nairobi – Video

FAMILIA ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, imehoji kitendo cha polisi kutokumfuata dereva wa Lissu jijini Nairobi badala yake...

READ MORE