×

Habari

HUSSEIN MWINYI AONGOZA iddi kitaifa dar

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Dk Hussein Mwinyi, leo amewaongoza waumini wa Kiislamu katika kusherehekea Sikukuu...

READ MORE

Breaking News: Bavicha Wahoji Kwa nini Chadema Pekee wanakamatwa?

Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA), wamehoji sababu ya polisi kuwakamata wafuasi na viongozi wa CHADEMA pekee!   Akizungumza na waandishi...

READ MORE

LIVE: Mahakama Kuu Kenya Yafuta Matokeo ya Urais, Yaamuru Urudiwe

UCHAGUZI KENYA: Mahakama Kuu imefuta matokeo ya uchaguzi wa urais wa nchi hiyo yaliyompa ushindi Uhuru Kenyatta. Imeamuru uchaguzi urudiwe...

READ MORE

MSIMCHUKULIE POA ARSENE WENGER

LIGI Kuu England ipo raundi ya tatu tangu ianze msimu huu huku Manchester United, iliyo chini ya Jose Mourinho, ikiwa...

READ MORE

CHIRWA RUKSA LIGI KUU, MSUVA APEWA ONYO

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Obrey Chirwa na kiungo wa Singida United, Deus Kaseke wameruhusiwa kucheza mechi za Ligi Kuu Bara kufuatia...

READ MORE

Shaka Ssali wa VOA awaasa vijana kupitia Global TV

MTANGAZAJI wa kimataifa kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika (VOA) ambaye ni mhariri wa idara hiyo na mtangazaji...

READ MORE

Gari la Aina Yake la Kubebea Maiti Latua Nchini!

Gari la kubebea maiti lenye muonekano wa kipekee limetua nchini Tanzania na kuwa kivutio kwa waombolezaji kila linapopita barabarani au...

READ MORE

TMA yawajengea uwezo wanahabari uandishi wa habari za hali ya hewa

MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini leo imewapa semina baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari juu...

READ MORE

MAJIRANI WACHARUKA, WAWAVUA NGUO MASTAA!

  ZAMANI maisha ya mastaa wengi wa kike Bongo yalikuwa ni ya mitoko karibu kila siku, usiku kwenda katika kumbi...

READ MORE

MWASHIUYA: NILIFUNGA BAO ALIKIBA AKANIPA TSH. 120,000/=

MCHEZAJI wa Klabu ya Yanga, Geofrey Mwashiuya amefunguka kuhusu alivyofunga bao kwenye moja za mechi aliyoitumikia klabu hiyo na kujikuta...

READ MORE

MALIPO KWA NJIA YA ELEKTRONIKI KUFANYIKA MUHIMBILI

Uongozi wa hosptali ya Muhimbili kupitia kwa mkurugenzi mtendaji wa hosptali hiyo Profesa Lawrence Maseru, amezindua mfumo mpya wa malipo...

READ MORE

Harbinder Sethi Awekewa ‘Puto’ Tumboni

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu upande wa utetezi leo umeieleza mahakama hiyo kuwa mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya...

READ MORE

Hakimu Akataa Msokoto wa Bangi Kesi ya Wema

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imekataa kupokea ushahidi wa msokoto wa bangi na vipisi viwili vya madawa hayo ya...

READ MORE

Mpinzani Wa Kagame, Diane Rwigara Apotea Rwanda

Diane Rwigara, aliyekuwa mpinzani wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame kwenye mchakato wa uchaguzi uliopita amepotea. Ndugu zake wamelitupia lawama...

READ MORE

MWALIMU ATIWA MBARONI KISA KUZAA NA MADENTI WAWILI

  DAR ES SALAAM: Mwalimu wa kituo kimoja cha elimu mbadala ya sekondari (QT) kilichopo Mabibo jijini hapa, aliyefahamika kwa...

READ MORE

Maxcom Yazindua Mfumo wa Malipo Kielektroniki Hospitali ya Muhimbili

KAMPUNI ya Maxcom imefanya uzinduzi wa Mfumo wa malipo ya Kielektroniki utakaotumika katika Hospitali ya Muhimbili. Mfumo huo, utapokea malipo...

READ MORE

NYUMBA AWAMU YA PILI NI ZAIDI YA ZAWADI YA KWANZA

ZAWADI ya nyumba ambayo itatolewa kwa mshindi wa kwanza wa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili inayotarajiwa kuchezwa...

READ MORE

Breaking News: Waziri Lukuvi Awaonya Mawakala wa Minada ya Nyumba na Ardhi

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewaonya makampuni ya mawakala wanaoshughulika na kazi za kupiga minada...

READ MORE

ARUSHA: Watoto Waliodaiwa Kutekwa, Wawili Wapatikana

IKIWA ni siku chache baada ya vyombo vya habari kuripoti kuhusu kupotea kwa watoto wanne waliodaiwa kutekwa, Kamanda wa Jeshi...

READ MORE

Tanzania Yatajwa Kwenye Orodha ya Nchi Zenye Mishahara Mikubwa Afrika

Shirika la Numbeo limetoa orodha ya nchi kumi zenye mishahara mikubwa zaidi barani Afrika. Hili ni shirika kubwa zaidi duniani la...

READ MORE

Mjumbe wa Nyumba 10 Auawa Akisuluhisha Ugomvi

DAR ES SALAAM: Dunia haina huruma! Mwa­naume mmoja ambaye ni mjumbe wa nyumba kumi katika Mtaa wa Kiyombo, Kinyantira-Kitunda, ji­jini...

READ MORE

Nyumba Yateketea kwa Moto Magomeni Dar (Video)

Nyumba moja iliyopo Magomeni Makanya jijini Dar wanayoishi wanafamilia na wapangaji leo imeteketea kwa moto ambapo wenyewe wakidaiwa kuwa kwenye...

READ MORE

Shaka Ssali Awapa Neno Wafanyakazi wa Global

MTANGAZAJI wa kimataifa kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika (VoA) ambaye ni mhariri na mtangazaji wa Kipindi cha...

READ MORE

Mwenyekiti UVCCM Aliyeshtakiwa Kujifanya Usalama wa Taifa Aachiwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha imemwachi huru na kufuta shitaka la aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha,...

READ MORE

SHAKA SSALI AZULU GLOBAL PUBLISHERS

MTANGAZAJI wa kimataifa kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika (VoA) ambaye ni mhariri na mtangazaji wa Kipindi cha...

READ MORE

Mjengo wa Zawadi Homa Kila Kona

ZAWADI ya nyumba ambayo itatolewa kwa mshindi wa kwanza wa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba inayotarajiwa kuchezwa hivi karibuni, imekuwa...

READ MORE

Kesi ya Aveva, ‘Kaburu’ Yasogezwa Mbele

Kesi inayomkabili Rais wa Simba, Evans Aveva na makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’  leo imeendelea katika mahakama ya Hakimu Mkazi...

READ MORE

HESLB Yaongeza Muda wa Uombaji Mikopo Vyuo Vikuu

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeongeza muda wa wanafunzi kuwasilisha maombi ya mikopo. Hatua hiyo...

READ MORE

LIVE: RC Makonda Aibukia Bomoabomoa Nyumba 17,000 Jangwani – Dar

Baada ya kuibuka taarifa za ubomoaji wa zaidi ya nyumba 17,000 Wilaya ya Kinondoni,  Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

READ MORE

AZMA: NILIKACHA CHUO IFM KWA SABABU YA MUZIKI

Kama umeshawahi kusikia au kuiona ngoma ya Astara Vaste na Garagasha, basi jina la Rapa Azma anayewakilisha Jiji la Mbeya,...

READ MORE

Majambazi Yateka Basi na Kupora Fedha Abiria

MAJAMBAZI sita wameteka basi la Kampuni ya Safi na likitokea Kijiji cha Mamba wilayani Chunya kwenda jijini Mbeya na kisha...

READ MORE

Maagizo Mazito ya RC Makonda Bomoabomoa Tuangoma Mbagala

KUFUATIA bomoabomoa inayoendelea katika maeneo tofauti jijini Dar es Salaam, wananchi wameunda kamati ya mazungumzo ili kuiomba serikali isitishe zoezi...

READ MORE

BILIONEA WA FACEBOOK APATA MTOTO WA PILI

MKE wa Bilionea mwanzilishi na mmiliki wa mtandao maarufu duniani wa Facebook, Marc Zuckerberg ambaye ni daktari wa watoto nchini...

READ MORE

Meza ya Wazalendo…. Maria Sarungi, Masha Kupamba Kongamano

WATOA mada mashuhuri nchini, Maria Sarungi Tsehai anatarajiwa kuungana na Lawrence Marsha, Eric Shigongo, Mzee Shaba na Benjamin Fernandes katika...

READ MORE

Msafara wa Mkuu wa Wilaya Washambuliwa

MSAFARA wa Mkuu wa Wilaya ya  Karagwe, Godfrey Mheluka uliokuwa katika operesheni ya kuwaondoa watu wanaodaiwa kuvamia maeneo ya wafugaji...

READ MORE

William Ngeleja: Seduce Me ya Alikiba Sio Level ya Bongo -(VIDEO)

Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja (CCM) ameshindwa kujizuia na kufunguka kuhusu alivyoguswa na wimbo mpya wa Alikiba, ‘Seduce Me’ huku...

READ MORE

RC Makonda Akutana na Kamanda Mpya wa Kanda Maalumu ya Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda leo amefanya Mazungumzo na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar...

READ MORE

Mbunge wa Tunduma Akamatwa na Polisi

MBUNGE wa Tunduma, Frank Mwakajoka amekamatwa na polisi akiwa katika viwanja vya Mahakama ya Wilaya ya Mbozi Mjini Vwawa. Mwakajoka...

READ MORE

Bomoabomoa Yapitia Kanisa la Nabii Bilionea Sinza -(VIDEO)

NABII John Billionaire wa Kanisa la Shalom Tebanacle la Sinza Legho lililobomewa asubuhi ya leo, ameeleza hasara aliyoipata kutokana na kanisa...

READ MORE

HATIMAYE TFF WATOA NGAO MPYA KWA SIMBA

HATIMAYE Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefanya marekebisho katika Ngao ya Jamii ambayo timu ya Simba ilikabidhiwa baada ya kuifunga...

READ MORE