×

Habari

Mastaa Mwezi Huu Kanzu Kama Kawa, Ushungi Kwa Sana, Swaumu Zinapanda?

IKIWA imefika Ramadhani ya 14 Ijumaa ya leo, wapo mastaa ambao kwa namna moja ama nyingine wamekuwa sambamba na Waislamu...

READ MORE

Kibiti: Watu Wawili Wapigwa Risasi, Wapelekwa na Wahalifu Kusikojulikana

PWANI: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga amesema kuwa, watu wawili wamepigwa risasi katika Kijiji cha Nyamisati, Kibiti,...

READ MORE

Wizi Mpya Helmet za Bodaboda Jijini Dar

STORI NA MWANDISHI WETU | IJUMAA | HABARI WAKATI Jeshi la Polisi kupitia kitengo cha Usalama Barabarani likisisitiza abiria na...

READ MORE

Anna Mghwira Apinga Kuvuliwa Uenyekiti wa ACT Wazalendo

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Elisha Mghwira amepinga uamuzi wa chama hicho...

READ MORE

Mercy Johnson Atamani Kuolewa Tena!

MKONGWE kutoka kiwanda cha filamu, Nollwood, Mercy Johnson ameweka wazi hisia zake kwa mumewe, Prince Okojie kuwa anatamani kuolewa kwa...

READ MORE

Himid Mao: Yanga Leteni Mkwanja Nisaini

Musa Mateja na Wilbert Molandi | CHAMPIONI KIUNGO mkabaji anayesifika kwa kucheza soka la nguvu, Himid Mao ‘Ninja’ ametamka kuwa...

READ MORE

Manji amponza Mkemi, Polisi Wamuokoa Asipigwe

Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge | CHAMPIONI MJUMBE wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Salum Mkemi, jana Alhamisi alikumbana na...

READ MORE

Wolper Ajiweka Kando na Wanaume

STORI: MAYASA MARIWATA, IJUMAA, STAR MIX STAA wa filamu Bongo Jacqueline Wolper amesema kuwa, japo wanaume wengi wenye nazo wamekuwa...

READ MORE

Maunda Zorro ‘Abaniwa’ na Familia!

Na Brighton Masalu, Ijumaa, Star Mix MWANAMUZIKI mwenye sauti ya ‘kusahaulisha kero za baba mwenye nyumba’, Maunda Zorro amesema sababu...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa June 9, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, June 9, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Bajeti: Serikali Yafuta Ushuru wa Gesti, Yapiga Pini Usafirishaji wa Madini

DODOMA   Serikali imetangaza kufuta ushuru wa huduma kwenye nyumba za kulala wageni. Hayo yameelezwa leo (Alhamisi) bungeni na Waziri...

READ MORE

Waziri wa Fedha na Mipango Aifuta Road License

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango ametangaza kufutwa rasmi kwa ada ya mwaka ya leseni ya magari. Amesema...

READ MORE

Exclusive; R.O.M.A Mkatoliki Karudi, Makamuzi Yanaendelea, Sasa Yupo Fiti Kupanda Jukwaani (VIDEO)

RAPA kipenzi cha Watanzania, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ amefunguka kuwa afya yake imeimarika na sasa yupo tayari kupanda jukwaani kukamua...

READ MORE

IKWIRIRI: Mwenyekiti wa Kijiji Atekwa, Mwingine Aokotwa Mtoni Amefariki kwa Risasi

Rufiji/Kibiti: Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Kati, Ikwiriri, Athuman Mtoteka anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake. Mwenyekiti...

READ MORE

LIVE Kutoka Bungeni, Uwasilishwaji wa Bajeti Kuu ya Serikali 2017/2018

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, muda huu anasoma hotuba yake kuhusu mwelekeo wa bajeti ya serikali ya...

READ MORE

RC Mghwira Atembelea Familia ya Ndesamburo na Kutoa Pole

  Mghwira aliyeteuliwa hivi karibuni na Rais John Magufuli amewasili katika eneo lake jipya la kazi ikiwa ni siku mbili...

READ MORE

Yanga 2-4 AFC Leopard Nusu Fainali ya SportPesa Super Cup (Full Match)

SpotiHausi: Live Match Yanga Vs AFC Leopard (SportPesa Super Cup) Yanga wanaondolewa mashindanoni kwa penalti. Leopards wanapata penalti 4, Yanga...

READ MORE

Hotuba ya Waziri wa Fedha Dk. Mpango KuhusuHali ya Uchumi na Mpango wa Maendeleo

Hotuba ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip I. Mpango (Mb), ya hali ya uchumi 2016 na mpango...

READ MORE

VIDEO: Kocha wa Chelsea, Antonio Conte Ampiga Chini Diego Costa

Kocha wa mabingwa wa Ligi Kuu England, Antonio Conte amemuandikia ujumbe mshambuliaji wake, Diego Costa kuwa hamhitaji. Awali ilionekana Costa...

READ MORE

SpotiHausi Leo, Saa 8:00 Mchana, ni Yanga Vs AFC Leopard LIVE

#SpotiHausi ni kipindi cha #Michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi Wachambuzi wa michezo Wilbert Molandi, Philip Nkini watakuwa wakiichambua LIVE mechi...

READ MORE

RC Anna Mgwhira Avuliwa Uenyekiti wa ACT- Wazalendo

Chama cha ACT Wazalendo  kimesitisha rasmi uenyekiti wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho tangu kuanzishwa kwake, Anna Mghwira, baada ya...

READ MORE

Pichaz + Video: Warriors Yawachapa Cleveland 118 kwa 113 NBA, Usiku wa Kuamkia Leo (Game 3)

ZIKIWA zimebaki sekunde 45.3 kabla ya mchezo kumalizika katika ligi ya mpira wa kikapu (basketball) nchini Marekani, Kevin Durant wa...

READ MORE

VIDEO: Watoto Majeruhi wa Ajali ya Lucky Vincet Waanza Mazoezi ya Viungo

Watoto Sadia, Wilson na Doreen wameendelea na mazoezi ya mwili na viungo chini ya Uangalizi wa Dkt. Elias Mashalla na...

READ MORE

Tundu Lissu Aibeza ACT-Wazalendo

GABRIEL NG’OSHA |AMANI| HABARI DAR ES SALAAM: Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amekibeza Chama...

READ MORE

Waraka wa Dk. Slaa Kufuatia Kifo cha Mzee Ndesamburo

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa amesema kuwa amesikitishwa sana na kifo cha...

READ MORE

LIVE Kutoka Bungeni, Uwasilishwaji wa Bajeti Kuu ya Serikali 2017/2018

Serikali imetoa takwimu ikielezea hali ya ukuaji uchumi katika kipindi cha mwaka 2016 na kueleza kuwa kiwango hicho kimeendelea kukua...

READ MORE

Maamuzi Ya Kikao Cha Kamati Ya Uongozi Juu Ya Uenyekiti Wa Chama Cha ACT

Tarehe 3 Juni, 2017 Mwenyekiti wa chama chetu cha ACT Wazalendo, Mama Anna Elisha Mghwira aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

Kikwete, Mwinyi Waongoza Wawaombolezaji Mazishi ya Balozi Sisco Mtiro

Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mh. Dk. Jakaya Kikwete akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya Marehemu Balozi...

READ MORE

Rayuu Atoa Sababu Za Kutokufunga Mwezi Mtukufu

Stori: Mayasa Mariwata |Amani | Habari MSANII kutoka Bongo Muvi, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amefunguka kuwa ugonjwa wa vidonda vya tumbo...

READ MORE

Nisha Adai Kuwa Na Uhusiano Na Mbwa

 Stori: Gladness Mallya | Amani | Habari WAKATI waumini wa Dini ya Kiislam wakiendelea na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa...

READ MORE

Shehe Mkuu Dar Kumsomea Wema Sepetu Kisomo Kizito!

 STORI: GABRIEL NG’OSHA NA MAYASA MARIWATA | AMANI | HABARI DAR ES SALAAM: Kufuatia mabalaa mbalimbali ambayo yamekuwa yakimuandama Miss...

READ MORE

Simu Ya Mwenza Wako Ya Nini? Unajipa Presha Bure…

KWA wanandoa, uaminifu limekuwa ni jambo la msingi sana ndiyo maana kila siku tunasema, ili udumu na huyo uliyeingia naye...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi June 8, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, June 8, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Zile Sauti za Kimahaba Mtandaoni…Dude la Wema, Mbowe Kimenuka!

MWANDISHI WETU | RISASI MCHANGANYIKO | HABARI DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya kusambaa kwa sauti katika mitandao ya...

READ MORE

Breaking News: Baada ya IGP Sirro Kuzuru Pwani, Askari Mgambo Mwingine Apigwa Risasi Mkuranga

  MKURANGA: Askari mgambo aliyetambulika kwa jina la Nurdin Kisinga amepigwa risasi leo June 7, 2017 majira ya saa 9...

READ MORE

Global TV Online LIVE: Nyani Wanaopatikana Zanzibar Pekee Duniani!

SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1 GLOBAL TV Online, kwa hisani kubwa ya TANZANIA NATIONAL PARKS (TANAPA), inakuletea kipindi cha FAHARI YA TANZANIA...

READ MORE