×

Habari

NMB Yawafungulia Watoto Akaunti ya Wajibu Tamasha la Watoto

BENKI yenye mtandao mkubwa zaidi nchini ya National Microfinance Bank (NMB) leo imewafungulia watoto mbalimbali Akaunti ya Wajibu bila malipo...

READ MORE

Viongozi wa Ukawa Walivyoipamba Harusi ya Prof. Jay (Video)

(PICHA NA RICHARD BUKOS | GLOBAL PUBLISHERS)

READ MORE

Rais Putin: Nimeimarisha Uhusiano Wangu na Trump

RAIS wa Urusi, Vladmir Putin,  amesema kuwa ameimarisha ushirikiano wake wa kikazi na rais wa Marekani Donald Trump ambapo amesema...

READ MORE

PICHAZ: Sugu, Msigwa Walivyokata Mauno Harusi ya Prof. Jay

  USIKU wa kuamkia leo ilikuwa ni shangwe kwenye Ukumbi wa Mlimani City wakati wa sherehe ya Rapper nguli wa...

READ MORE

Lukaku Kupandishwa Kortini Nchini Marekani

Pamoja na kuwa gumzo kuhusiana na uhamisho wake kwenda Manchester United, ’Romelu Lukaku atapandishwa kizimbani nchini Marekani. Mshambulizi huyo wa...

READ MORE

ZANTEL YAZINDUA ‘APP’ YA SIMU KUHAMASISHA UTALII NCHINI

Dar es Salaam, Tanzania, Juni 29 2017. Kampuni ya simu za mkononi Zantel ambao wanaongoza katika utoaji wa huduma bora...

READ MORE

Majina ya Wagombea Waliopitishwa na ‘Waliochinjwa’ Uchaguzi Mkuu TFF

Kamati mpya ya Uchaguzi wa TFF, imetangaza majina ya wagombea waliopita usaili huku Rais wa TFF, Jamal Malinzi akiondolewa.  ...

READ MORE

Waziri Wa Fedha Na Mipango, Dkt. Philip Mpango Ajiunga Na PSPF

 Waziri Dkt. Mpango (kulia), akipokea fomu ya kujiunga na PSS, kutoka wka Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Msanii...

READ MORE

Wana Chadema 51 Mbaroni Chato

Viongozi na wanachama 51 wa Chadema waliokamatwa jana wakiwa kwenye kikao cha ndani wilayani Chato wanaendelea kushikiliwa na polisi kwa...

READ MORE

Tayari Nahodha wa Zamani wa Everton Ametua Dar

  Mchezaji wa zamani wa Everton, Leon Osman ametua nchini leo na ataendesha mafunzo ya siku moja kwa waandishi na...

READ MORE

Siku Chache Baada ya Kifo cha Mkewe, Mzee Yusuf Aoga Matusi Ukweni

  SIKU chache baada ya aliyekuwa mwanamuziki maarufu wa Taarab Bongo, Alhaj Mzee Yusuf kufiwa na mkewe mdogo, Chiku Khamis,...

READ MORE

Mwanza: Polisi Waua Majambazi 6

  Watu sita wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na polisi katika mtaa wa Fumagila Mashariki Kata ya...

READ MORE

Profesa Jay Afunga Ndoa Kanisa la Mtakatifu Joseph, Dar (Pichaz + Video)

Profesa Jay amefunga ndoa katika Kanisa la Mtakatifu Joseph lililoko Posta jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Julai 08, 2017...

READ MORE

Cloud 112: Nafurahia maisha ya ndoa

  MAMBO vipi shabiki namba moja wa Mpaka Home? Natumai upo poa sana. Kama ilivyo ada ya safu hii ni...

READ MORE

Tecno Dude Ndiyo Simu ya Kijanja Mjini

  Katika kuadhimisha kilele cha Sikukuu ya Sabasaba, Kampuni ya Simu ya Tecno jana Ijumaa iliendelea na promosheni yake kabambe...

READ MORE

NAY WA MITEGO NA WEWE UNATAKA KIKI

  NI True Boy tena, Emmanuel Elibariki maarufu kwa jina la Nay wa Mitego. Safari hii amekuja na kibao chake...

READ MORE

Ngumi za Global TV… Idd Pialali Achimba Mkwara Kibabe!!

    BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Idd Pialali ni mmoja kati mabondia watatu wa Tanzania watakaopanda ulingoni Julai...

READ MORE

Vitabu vya Shigongo Vinapatikana Banda la AIC – Sabasaba, Dar

  WASOMAJI wa Vitabu vya Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo wameombwa kufika katika banda la AIC...

READ MORE

Awania Kuweka Kuweka Rekodi ya ‘HIPS’ Kubwa

MWANAMKE kibonge, Bobbi-Jo Westley (43) wa Pennyslvania, Marekani, mwenye uzito wa kilo 245.8 na kiuno cha sentimita 241.3 ameamua kwamba...

READ MORE

Mambo ya kufanya unapokuwa na stress

  SIKITIKO la mahaba lashinda msiba! Umewahi kusikia maneno hayo ya wahenga? Bora usimuliwe lakini usipitie kipindi cha sikitiko la...

READ MORE

Lulu Aweka Rekodi Serikali ya JPM

  IMEVUJA! Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, anatajwa kuwa ndiye staa pekee wa kike Bongo aliyeweka...

READ MORE

Ajibu awatia mzuka Moro

  BAADA ya kumtambulisha rasmi mchezaji wake mpya, Ibrahim Ajibu kutoka Simba, mashabiki wa Yanga mkoani hapa, wamesema wana imani...

READ MORE

VIDEO: Mikanda ya Ubingwa wa Ndondi wa Global TV Afrika Mashariki na Kati Hadharani

  BAADA ya miaka sita kupita bila ya Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem, Dar kutumika katika mch­ezo wa...

READ MORE

Makamu wa Rais Aongoza Waombolezaji Kuuaga Mwili wa Marehemu Shebuge

        Mwili wa Marehemu Karani wa Baraza la Mawaziri, Hassan Rashid Shebuge aliyefariki Julai 06, 2017 katika...

READ MORE

Naibu Waziri wa Kilimo Ampigia Saluti Mrisho Mpoto

  Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi ambaye ndiye mbunge wa Ngorongoro, William Ole Nasha leo alipotembelea banda la...

READ MORE

Dah Inauma Sana! Dogo Bradley Lowery Afariki Dunia

  Shabiki wa klabu ya Sunderland wa umri wa miaka sita Bradley Lowery, ambaye tatizo lake la kiafya liligusa nyoyo...

READ MORE

“Shocking!” Jay Z, Gloria Carter Na Hadithi Iliyoushtua Ulimwengu

SIKU kadhaa zilizopita, nguli wa Muziki wa Hip Hop duniani, Shawn Carter ‘Jay Z’ aliachia albamu yake mpya, 4:44 kupitia...

READ MORE

Mr. Shinda Nyumba Awa Kivutio Sabasaba

  IKIWA ni maadhimisho ya Siku ya Maonyesho ya Biashara Kimataifa maarufu kama Sabasaba, Mr Shinda Nyumba ambaye ni mhamasishaji...

READ MORE

WHO: Ugonjwa wa Kisonono Umeanza Kuwa Sugu, Huenda Usitibike Tena

Shirika la afya Duniani, WHO, limetoa tahadhari kuwa, ugonjwa wa zinaa wa kisonono, umeanza kuwa sugu dhidi ya dawa ya...

READ MORE

Chunga Kauli Zako Siyo Kila Kitu cha Kuzungumzwa-2

  NI Ijumaa nyingine tunapokutana jamvini, nakukaribisha kwa moyo mkunjufu. Wiki iliyopita tulianza kujadiliana kuhusu mada hii, ya kuwa makini...

READ MORE

Serikali Kuyafutia Leseni Maduka Kubadilisha Fedha Sept. 2

  BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa waraka kwa wafanyabiashara wa maduka ya kuuza na kununua fedha za kigeni kuomba...

READ MORE

Pacman: Niko Fiti, Nitashusha Ndonga za Ukweli Dar Live

    BAADA ya miaka sita kupita bila ya Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem, Dar kutumika katika mch­ezo...

READ MORE

Akilimali: Wazee Yanga Tunampigia Dua Ajibu

  KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahim Akilimali, amemtaka mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Ibrahim Ajibu kufanya kazi...

READ MORE

TANZIA: Karani wa Baraza la Mawaziri, Hassan Shebuge afariki dunia leo

  Karani wa Baraza la Mawaziri, Hassan Ramadhani Shebuge (mara nyingi husimama pembeni mwa Rais wakati wa viapo), amefariki dunia....

READ MORE

Pichaz + Video: Mazishi ya Mkongwe wa Muziki, Shaaban Dede

  Mwimbaji mkongwe nchini wa muziki wa dansi, Shaban Dede aliyefariki dunia jana asubuhi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa Julai 7, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Julai 7, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Kijana Shabani Nasoro Apigwa Ndoa Ya Mkeka Msibani

  WATU WEWEEEE! Julai 3, mwaka huu, kijana Shabani Nassoro mkazi wa Tuangoma jijini Dar amejikuta akipigwa ndoa ya mkeka...

READ MORE

Kaburi la Mtu Mashuhuli Lafukuliwa Uganda

    Kaburi la Mtunzi wa Wimbo wa Taifa wa Uganda marehemu, George Kakoma limefukuliwa na watu wasio julikana Jumanne...

READ MORE

Wastara: Heri Nimfuate Sajuki

  KUFUATIA kusumbuliwa na matatizo ya mara kwa mara ya kiafya, mwanamama mkali wa Bongo Muvi, Wastara Juma anaonekana kukata...

READ MORE