×

Habari

Chivayo na Mke Wake Walivyozikwa Kifahari, Magari ya Bei, Mastaa na Viongozi (Picha +Video)

HARARE, ZIMBABWE: Mfanyabiashara maarufu na mwenye utata nchini Zimbabwe, Wicknell Chivayo, amezikwa katika Makaburi ya Glen Forest siku ya Alhamisi...

READ MORE

Al Nassr Kukutana na Al Diriyah Katika Saudi Pro League

Usiku wa maokoto unarejea kwa mchezo mkubwa kati ya Al Nassr ambapo   itakuwa mwenyeji wa Al Diriyah katika mchezo wa...

READ MORE

Familia ya Urassa Yakataa Ukoo wa Kweka Kufika Nyumbani Kwao Kuaga Mwili wa Jane – Video

HAI, KILIMANJARO: Familia ya Urassa imesema haitaruhusu watu wa ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao katika Kijiji cha Nkuu Sinde,...

READ MORE

TPLB Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Matumizi ya Viwanja vya Mazoezi Kabla ya Mechi

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa ufafanuzi kuhusu matumizi ya viwanja kwa ajili ya mazoezi ya timu siku moja...

READ MORE

Wazazi Wakamatwa Baada Ya Mtoto Wao wa Miezi Mitatu Kufariki

Wazazi wawili nchini Marekani wamekamatwa kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto wao wa kiume mwenye umri wa miezi mitatu,...

READ MORE

Maafa Ukraine: Watu 30 Wauawa Baada ya Mabasi ya Abiria Kushambuliwa

KRAMATORSK, UKRAINE: Zaidi ya watu 30 wameuawa na wengine 18 kujeruhiwa baada ya mashambulizi ya Urusi kulenga mabasi mawili ya...

READ MORE

Morogoro Yatikiswa na Ajali Mbili Usiku Mmoja, Zaidi ya 30 Wadaiwa Kufa, Polisi Wafunguka – Video

Zaidi ya watu 30 wanadaiwa kufariki dunia katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo, Oktoba 9, 2026, mkoani...

READ MORE

Jihan Atwaa Tuzo ya Global Beauties, Mashabiki Wamiminika Kumpongeza

Miss Grand Tanzania, Jihan Dimack, amepokea pongezi kutoka kwa mashabiki wake baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo ya Grand Pageant...

READ MORE

Vocha za Kukwangua Kusitishwa Januari 1, 2027, TCRA Yatoa Maelekezo Mapya

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza mpango wa kusitisha matumizi ya kadi za kukwangua za muda wa maongezi ya simu...

READ MORE

Guinness Kulizungusha Kombe la Ligi Kuu ya England (EPL) Jijini Dar es Salaam

Dar es salaam leo imepokea moja ya kombe lenye mashabiki wengi zaidi wa soka duniani. Kupitia Guinness, Ndoo ya EPL...

READ MORE

Wizara Yapiga Marufuku Simba na Yanga Kufanya Mazoezi Uwanja wa Uhuru Kuelekea Dabi

Dar es Salaam. Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema Uwanja wa Uhuru upo tayari kwa ajili ya kuandaa...

READ MORE

Mahakama Yaahirisha Uamuzi wa Kesi ya Said Issa Dhidi ya Chadema

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi kuhusu maombi ya zuio katika kesi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 9, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Madawati 1,000 na Miradi mbalimbali kuboresha Elimu Kupitia Nyerere Cycling Tour 2026

Vodacom Tanzania Foundation imetoa madawati kwa Shule ya Msingi Makumbusho, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kuboresha mazingira ya kujifunzia...

READ MORE

Puma Energy Yaleta Huduma Za Pris na Elite Card Karibu Zaidi Kwa Wateja

Kampuni ya Puma Energy Tanzania inaendelea kuwafikia wateja wengi zaidi kupitia programu yake ya uaminifu kwa wateja ya PRIS na...

READ MORE

Chivayo na Mkewe Wazikwa Makaburi ya Glen Forest Park Harare, Zimbabwe

Aliyekuwa mfanyabiashara na mfadhili wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, pamoja na mkewe, Lucy “Lulu” Muteke, wamezikwa katika Makaburi ya Sahwira Glen...

READ MORE

Anayedaiwa Kuuawa kwa Risasi na Mumewe Aagwa Mbezi Beach Dar, Kuzikwa Kesho Moshi -Video

Mwili wa Jane Urassa umefikishwa leo, Oktoba 8, 2026, katika Kanisa la KKKT Mbezi Beach, Dar es Salaam, kwa ajili...

READ MORE

Eswatini Yaungana na Familia ya Chivayo Katika Mazishi – Picha

Ujumbe kutoka Eswatini umeungana na familia, ndugu, marafiki na waombolezaji katika shughuli za mazishi ya mfanyabiashara Wicknell Chivayo na mkewe,...

READ MORE

Mwigizaji Nana Patekar Afariki Dunia Akiwa Na Miaka 75

Mwigizaji mkongwe wa India, Nana Patekar, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 75 baada ya kupata mshtuko wa moyo...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu Azungumza na Wawakilishi wa SpaceX na Starlink

Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amezungumza na wawakilishi wa kampuni za SpaceX na Starlink kuhusu uwekezaji wa kampuni...

READ MORE

Maelfu Wamiminika Kuaga Mwili Chivayo na Mkewe Lucy, Kuzikwa Leo (Picha +Video)

Familia, marafiki, waumini wa dini, viongozi wa serikali na maelfu ya waombolezaji leo, Alhamisi Oktoba 8, 2026, wamekusanyika katika nyumba...

READ MORE

Tanzania na Msumbiji Zasaini Makubaliano ya Ulinzi na Usalama

Mawaziri wa Ulinzi wa Tanzania na Msumbiji wamesaini mikataba ya makubaliano yenye lengo la kuimarisha usalama na ushirikiano wa kiulinzi...

READ MORE

BoT Yaacha Riba Asilimia 6.25 kwa Robo ya Nne ya 2026

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba, amesema kiwango cha riba kwa robo ya nne ya mwaka 2026...

READ MORE

Sombi Kuzindua Wiki ya Vijana wa CCM Wilayani Kalambo, Rukwa

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM, Rehema Sombi Omary (MNEC), anatarajiwa kuzindua Wiki ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) leo, Oktoba...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yazindua Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa Kuchangia Damu

Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania, Harriet Lwakatare, ameshiriki zoezi la uchangiaji damu kwa lengo la kuongeza akiba...

READ MORE

Miss Grand wa Tanzania na Ecuador Waingia Fainali ya “Country’s Power of the Year”

DAR ES SALAAM — Tanzania imeingia katika hatua ya mwisho ya kinyang’anyiro cha “Country’s Power of the Year” kupitia mshiriki...

READ MORE

Chalamila Aonya Machinga Kariakoo, Aweka Kikomo cha Oktoba 24, Awaonya Wazazi Bonyokwa – Video

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wafanyabiashara ndogo maarufu kama Machinga kutumia fursa...

READ MORE

Watatu Wauawa, 36 Kujeruhiwa katika Mashambulizi ya Viwanja vya Ndege Saudi Arabia

RIYADH, Saudi Arabia — Watu watatu wameuawa na wengine 36 kujeruhiwa katika mashambulizi yaliyolenga viwanja viwili vya ndege nchini Saudi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 8, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Polisi Dodoma Yawakamata Watuhumiwa 98 Kwa Makosa Mbalimbali

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kulinda raia na mali zao, ambapo katika kipindi cha...

READ MORE

Umati Mkubwa Wajitokeza Kuaga Mwili wa Chivayo na Mke Wake Harare, Zimbabwe

HARARE, Zimbabwe — Maelfu ya waombolezaji wamejitokeza katika maeneo mbalimbali ya Harare kutoa heshima zao za mwisho kwa mfanyabiashara na mfadhili...

READ MORE

Video: Mwabukusi Amtaka Mutungi Kuvifuta Vyama Visivyofanya Shughuli, Atoa Wito kwa Gen Z

DAR ES SALAAM — Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa...

READ MORE

Kabudi: Msitumie Neno ‘Haramu’ Kuwaita Viongozi Wenzenu – Video

DAR ES SALAAM — Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi,...

READ MORE

Kombe la EPL Kutua Tanzania, Guinness Kuwapa Mashabiki Fursa ya Kulishuhudia Dar

Mashabiki wa Ligi Kuu ya England nchini Tanzania wanajiandaa kushuhudia tukio la kipekee baada ya Kombe la Ligi hiyo kutua...

READ MORE

Mwanamke Mjamzito Afikishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Kuwaua Watoto Wake Wawili -Video

LIMPOPO, Afrika Kusini — Simulizi ya kusikitisha imeibuka katika Jimbo la Limpopo, Afrika Kusini, baada ya mwanamke mwenye umri wa...

READ MORE

Mabaki ya Helikopta ya Chivayo Yahamishwa, Wataalamu wa Kimataifa Watua Zimbabwe 

HARARE, Zimbabwe — Uchunguzi wa ajali ya helikopta iliyosababisha kifo cha mfanyabiashara Wicknell Chivayo, mke wake Lucy Muteke na watu...

READ MORE

Video: Mr Blue Afunga Bangi Ilivyovuruga Maisha Yake Kipindi cha Ujana

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Mr. Blue @mrbluebyser1988, amefika ndani ya Studio za Global TV kwa ajili ya mahojiano maalum katika kipindi cha #Kontena. Katika mahojiano...

READ MORE

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta, Petroli Dar Yapanda

DAR ES SALAAM — Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta ya...

READ MORE

Superheli Inakusubiri! Tumia Beti Zako Za Bure

Msisimko wa kasino unazidi kuwa mkubwa Meridianbet kupitia Superheli, mchezo unaokupa nafasi ya kufurahia burudani huku ukitumia Beti za Bure...

READ MORE

Trump Aishutumu Ufaransa, Asema Uhamiaji na Uislamu Chanzo cha Ghasia

WASHINGTON, Marekani — Rais wa Marekani, Donald Trump, amehusisha maandamano na vurugu zinazoendelea nchini Ufaransa na kile alichokiita uhamiaji wa...

READ MORE