×

Ijumaa

RAILA ODINGA AMWITA KIBA KENYA, ATUMIWA NDEGE BINAFSI

DAR ES SALAAM: Upepo mwanana bado unaendelea kumpuliza, staa namba moja wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ baada...

READ MORE

Masogange: Najuta Kuwa Staa

VIDEO queen mwenye umbo tata Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa, hakuna jambo analolijutia kama kuwa staa. Masogange aliliambia Ijumaa...

READ MORE

Q Chillah, Snura ‘Live’ Tamasha la Full Dozi Dar Live

KITANUKA! WAKALI wawili wasioshikika kunako gemu ya Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ na Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’ wanatarajiwa kuungana...

READ MORE

KAJALA: Sina Mpango wa Kuolewa Tena

UKITAKA kutaja majina ya mastaa wakali katika kiwanda cha Bongo Muvi, huwezi kuacha jina la muigizaji Kajala Masanja ‘Kay’ ambaye...

READ MORE

Uzinduzi wa Sokabet ni Leo, Endelea Kuvuna Mkwanja

SIKU chache tangu Kampuni ya Sokabet ianze kuwawezesha Watanzania kuvuna mkwanja kutokana na mchezo wa kutabiri matokeo, hatimaye uzinduzi rasmi...

READ MORE

Wema Alamba Dili La Mil. 400

  DAR ES SALAAM: Staa mkali wa sinema za Kibongo asiyechuja Bongo, Wema Isaac Sepetu, anadaiwa kulamba dili nono la...

READ MORE

Mobeto Kuzaa na Bwanake… Zari Atinga Bongo Kupata Ukweli

  BAADA ya maneno mengi kusemwa Bongo kufuatia madai ya bwana’ke kuzaa na mwanamitindo mwenye jina kubwa, Hamisa Hassan Mobetto,...

READ MORE

KISA ‘SEDUCE ME’, KIBA AMPONZA DIMPOZ ISHU YA USHOGA

DAR ES SALAAM: Msanii Grade One Bongo, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ amemponza msanii mwenzake, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ baada ya...

READ MORE

FAIZA KUFANYA UPASUAJI WA MATITI

MSANII mwenye vituko kutoka tasnia ya Bongo Fleva, Faiza Ally amefunguka kuwa akimaliza kunyonyesha tu mtoto wake wa pili aliyejifungua...

READ MORE

PICHA ZA UTUPU: AMBER LULU MIKONONI MWA BASATA

  ZIKIWA zimepita siku chache tangu kuachiwa mtandaoni picha zinazomuonesha msanii wa Bongo Fleva na muuza nyago, Lulu Auggen ‘Amber...

READ MORE

Shaka Ssali wa VOA awaasa vijana kupitia Global TV

MTANGAZAJI wa kimataifa kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika (VOA) ambaye ni mhariri wa idara hiyo na mtangazaji...

READ MORE

MAJIRANI WACHARUKA, WAWAVUA NGUO MASTAA!

  ZAMANI maisha ya mastaa wengi wa kike Bongo yalikuwa ni ya mitoko karibu kila siku, usiku kwenda katika kumbi...

READ MORE

UIGIZAJI WAMKOSESHA DUMA MKE

MWIGIZAJI wa kiume wa sinema za Kibongo, Daud Michael ‘Duma’ ameeleza namna alivyokosa mke, kisa kazi ya uigizaji na kuishia...

READ MORE

NDIKU: ATAKAYEMUOA UWOYA ANAJITAKIA KIFO!

  PICHA linaendelea! Baada ya hivi karibuni gazeti tumbo moja na hili, Risasi Mchanganyiko kufanya mahojiano maalum na staa mkubwa...

READ MORE

Exclusive…Wema, Idris Mahaba Upya!

  Wapendanao ndiyo wapatanao! ndivyo walivyosikika baadhi ya mashabiki wa staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu na Idris...

READ MORE

Aunt Ezekiel: Nitakufa na Moze Iyobo

UKIAMBIWA utaje mastaa ‘grade one’ kunako kiwanda cha filamu Bongo, jina la Aunt Ezekiel Grayson haliwezi kukosa. Ni miongoni mwa...

READ MORE

Johari Adaiwa Kunasa Penzi Jipya

  UBUYU wa Zanzibar upo wa aina nyingi. Kuna uliotiwa hiliki, mwingine unachanganywa na mdalasini. Lakini ubuyu wa leo ni...

READ MORE

Ali Kiba Atupa Jiwe Gizani Kisa Watoto Wake

STAA anayekimbiza na Wimbo wa Seduce Me, Ali Kiba Saleh ‘King Kiba’ ametupa jiwe gizani kwa kusema, hana tabia ya...

READ MORE

UNAHANGAIKA KUTAFUTA ‘WIFE MATERIAL?’ SOMA HAPA (2)

  NI matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa, nakukaribisha tena jamvini, leo tukiwa tunaendelea na mada tuliyoianza wiki iliyopita...

READ MORE

Wema na Mashosti Zake, Nani Big G?

MIAKA ya hivi karibuni mrembo ambaye ni kipenzi cha watu na Mshindi wa Shindano la Miss Tanzania mwaka 2006, Wema...

READ MORE

Mastaa Pasua Kichwa Bongo

KIPINDI cha nyuma wauza nyago ‘video queen’ wengi katika video za Kibongo walikuwa hawavumi sana zaidi ya kuonekana kama watu...

READ MORE

Ali Kiba Avutwa Sehemu Nyeti Na Mzungu Laivu

Mwanamuziki anayefanya poa kuliko wasanii wote wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ amekuwa habari kufuatia Mzungu mmoja ambaye...

READ MORE

Mwanaheri Agandwa na Madai ya Kutapeli

MSANII wa filamu Bongo, Mwanaheri Ahmed amefungukia madai ya kutapeli watu kupitia biashara ya lipstiki zake kuwa, hakuwahi kutapeli mtu...

READ MORE

KUTOKA MAN U KWENDA EVERTON, ROONEY ON FIRE!!

WAYNE Rooney, mshambuliaji wa Klabu ya Everton ya England ni kama anamuumbua kocha mwenye maneno mengi wa Manchester United, Jose...

READ MORE

Mobeto: Mimi Na Mwanangu Tunauawa Wakati Wowote

  Sakata la modo ‘grade one’ Bongo, Hamisa Hassan ‘Mobeto’ kudaiwa kuzaa kwa siri na msanii wa Bongo Fleva, limechukua...

READ MORE

MPANGAJI AMSULUBU MTOTO WA MWENYE NYUMBA!

Mwanadada ambaye ni mpangaji aliyetajwa kwa jina la Magdalena Chata, anadaiwa kumsulubu mtoto wa mwenye nyumba, Aidath Ramadhani ambaye aliachiwa...

READ MORE

KAJALA, WEMA VISASI HADI KIFO

Chuki na visasi bado vimetawala kwa mastaa wakubwa wawili waliokuwa marafiki wa sinema za kibongo, kajala Masanja ‘kay’ na Wema...

READ MORE

BOSI ADAIWA KUMZALISHA HAUSIGELI, AMTELEKEZA GESTI

DUNIA uwanja wa fujo! Bosi mmoja aliyejulikana kwa jina la Jackson mkazi wa Mbagala-Mwanamtoti, Dar, anadaiwa kumzalisha mfanyakazi wake wa...

READ MORE

MAJUTO: SITAKI KUFA NA MTU

KOMEDIANI mwenye jina kubwa Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’, amevunja ukimya kuwa, katika umri alionao kwa sasa wa zaidi ya...

READ MORE

UKIMSOMESHA MPENZI ILI MUOANE, TEGEMEA HAYA!

  JENGA tabia ya kumshukuru Mungu kwa kila jambo katika maisha yako, liwe baya au jema. Wakati mwingine kuna mambo...

READ MORE

VITA KUU YA MTOTO, MOBETO KICHEKO, ZARI KILIO

HALI si shwari kati ya mwanamitindo matata wa Bongo, Hamisa Hassan Mobeto na mwanamama mjasiriamali wa Afrika Mashariki ambaye ni...

READ MORE

Steve: Mtaniomba Msamaha Nikiwa Kwenye Jeneza!

Komediani mwenye jina kubwa Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amewafungukia watu wake wa karibu akiwaambia kwamba, siku akifa hawataamini na...

READ MORE

Kim Nana Afunguka Mkwanja Anaolipwa

  LICHA ya mavideo queen wengi Bongo ku’feki mkwanja wanaolipwa kwa video huku wengine wakidai hulipwa hadi milioni tano, kwa...

READ MORE

Uwoya: Filamu za Bei Rahisi Ni Tatizo!

MASHABIKI wengi wa sinema za Kibongo wanaamini kuwa fani hiyo imekosa ubunifu na mwelekeo, hasa baada ya kifo cha nyota...

READ MORE

Tukinawa Mikono Kwa Chid Benz, Nani wa Kutulaumu?

CHID Benz tena. Mwanzo alikataa sana, akafikia kipindi akawa hadi anatukana kila alipoulizwa kuhusu kubwia unga, lakini baada ya matumizi...

READ MORE

TID: SIJARUDIA MADAWA JAMANI

  MKONGWE kunako Muziki wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed ‘TID’ amewajia juu wanaoendelea kumhusisha kurudia matumizi ya madawa ya kulevya...

READ MORE

SANCHI AELEZA SIRI YA KUMFUNIKA WEMA KWA KALIO!

WIKI iliyopita ilikuwa ya kihistoria katika Shindano la Figa Bomba 2017 linaloendeshwa na gazeti hili baada ya kufika kilele na...

READ MORE

SAIDA KAROLI AIBIWA, ATISHIWA KIFO

DAR ES SALAAM: Mwanamama anayefanya vizuri kupitia Muziki wa Asili Bongo, Saida Karoli siku chache zilizopita alivamiwa na watu wasiojulikana...

READ MORE

CHIMBO LA MASTAA WABWIA UNGA LANASWA

HILI ni janga! Miezi kadhaa baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuchimba mkwara mzito kwa...

READ MORE

UCHUMBA WA SHILOLE WACHOKONOLEWA!

RAHA ya ubuyu ni umpate mtu wa kumung’unya naye bwana! Iko hivi, ubuyu wa mjini ‘unaotrendi’ kwa sasa unanyetisha kuwa,...

READ MORE