×

Kimataifa

Ufunguo wa Jela Alikofungwa Mandela Kuuzwa Kwa Mnada

SERIKALI ya Afrika Kusini imetaka kusitishwa kwa mnada wa kuuza funguo za chumba cha jela alichokuwa akiishi hayati Nelson Mandela...

READ MORE

Mbwa Koko Avamia Duka la Dawa, Ashambulia Wahudumu

Kizaazaa kimeshuhudiwa mjini Thika nchini Kenya baada ya mbwa koko kuruka kwenye duka la dawa, maarufu Chemist kuvamia na kuwashambulia...

READ MORE

Waziri Anusurika Kufa, Aogelea Saa 12 Kujiokoa

WAZIRI wa Ulinzi na Polisi wa Madagascar, Serge Gelle (57) ameogelea kwa saa 12 baharini hadi kufika nchi kavu baada...

READ MORE

Mwanafunzi Afia kwa Dereva Bodaboda

JESHI la Polisi nchini Kenya wanamshikilia Dereva Bodaboda kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule...

READ MORE

Shehena ya Mionzi ya Nyuklia Haijafika Dar

Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) imesema shehena iliyokuwa na viasili vya mionzi ya nyuklia iliyokuwa kwenye meli MV...

READ MORE

Mwanamke Awapigia Simu Polisi Kulalamikia Kutopigwa Busu

Mwanamke mmoja amewapigia polisi simu huko Lincolnshire nchini Uingereza kuripoti kuwa mpenzi wake hakumpiga busu, kwa mujibu wa polisi wa...

READ MORE

Wabunge Wachapana Wakipinga Tozo ya Miamala ya Simu – Video

Mzozo umezuka katika ukumbi wa bunge huko #Ghana Jumatatu jioni wakati wabunge wakijadili mapendekezo ya kodi ya miamala ya kielektroniki...

READ MORE

Ndoa Yavunjwa kwa Talaka ya tsh Tril 1.4

Wakati watu wakiendelea kufunga ndoa za gharama, pia kuna ndoa ambazo zinaendelea kuvunjika kwa gharama kubwa. Huko nchini Uingereza aliyekuwa...

READ MORE

Serikali Kuifuatilia Meli Iliyobeba Taka-Nyuklia

SERIKALI imesema haina taarifa za kushikiliwa kwa meli ya mizigo iliyobeba taka za nyuklia nchini Kenya ambayo iliripotiwa kuwa njiani...

READ MORE

Wafungwa Watatu Wanyongwa Hadi Kufa

LEO Jumanne, Desemba 21, 2021, nchi ya Japan imewanyonga hadi kufa wafungwa watatu ikiwa ni mara ya kwanza kwa hukumu...

READ MORE

Mke Akatwa Mikono Kwa Shoka Na Mumewe, Serikali Yapigwa Faini

Matukio ya ukatili wa jinsia na unyanyasaji, si kwa Waafrika pekee bali ni janga la dunia nzima ambapo mwanamke mmoja...

READ MORE

Kimbunga Chaua Watu 375 Ufilipino

IDADI ya watu waliokufa kutokana na kimbunga kikali kilichoipiga Ufilipino imeongezeka na kufikia watu 375 huku wengine 56 bado hawajulikani...

READ MORE

Wanajeshi 1000 Watimuliwa kwa Kukaidi Agizo la Chanjo

Zaidi ya Wanajeshi Wanamaji 100 wa Marekani wameondolewa jeshini kwa kukataa kupata chanjo dhidi ya UVIKO-19 chini ya agizo la...

READ MORE

China Yapangua Tuhuma za Kutengeneza Silaha Kudhibiti Ubongo

China imelaani uamuzi wa Marekani wa kuorodhesha kampuni na taasisi zake 34 kuwa zinatengeneza silaha za “kudhibiti ubongo” ikitaja madai...

READ MORE

Korea Kaskazini: Marufuku Wananchi Kucheka kwa Siku 11

Serikali ya Korea Kaskazini imepiga marufuku Wananchi wake kucheka, kunywa pombe na kufanya sherehe yoyote kwa muda wa Siku 11...

READ MORE

Mume Amuua Mke na Watoto Wanne Kikatili

Mwanaume mmoja, Paul Murage mkazi wa Gichugu, Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya, anashikiliwa na jeshi la polisi nchini humo akituhumiwa...

READ MORE

Mchungaji Aliyebaka Binti wa Miaka 16 Ajitetea

KASISI wa Kanisa moja huko Abeokuta katika Jimbo la Ogun nchini Nigeria, Peter Taiwo amejitetea kuwa hakumbaka mwanakwaya mwenye umri...

READ MORE

Balozi Mulamula Awasili Uturuki Kumwakilisha Rais Samia

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula leo Desemba 16, 2021 amewasili nchini Uturuki...

READ MORE

Ajali ya Ndege Yaua 9 Santo Domingo

WATU tisa wamefariki papohapo akiwemo mtayarishaji wa Muziki kutoka Puerto Rico, Jose Angel Hernandez ama Flow La Movie baada ya...

READ MORE

Polisi Waua Majambazi Wawili kwa Risasi

Jeshi la Polisi nchini Kenya, limewaua kwa kuwapiga risasi watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, katika majibizano ya risasi yaliyotokea...

READ MORE

Msako Mkali Kumtafuta Mwizi wa Chatu wa Kifalme

JESHI la Polisi nchini Uingereza limesema linaendesha msako mkali kumtafuta mwizi wa chatu wa kifalme ambao walichukuliwa kutoka katika eneo...

READ MORE

Hata Kama Hawezi Kunyanyuka Nitaishi Nae

MWANAMKE mmoja mkazi wa Benue nchini Nigeria amewaacha wengi vinywa wazi baada ya kuamua kufunga pingu za maisha na mpenzi...

READ MORE

Auawa kwa Kupigwa Pembe na Ng’ombe

MWANAUME mmoja mwenye umri wa miaka 40, Joseph Weremba kutoka Kijiji cha Mtetemo, eneo Bunge la Mumias Mashariki, Kaunti ya...

READ MORE

Elon Musk: Ongezeni Watoto

Mjasiriamali na tajiri namba moja duniani Elon Musk amesema ustaarabu utaisha iwapo watu hawatakuwa na watoto zaidi na kusisitiza kuwa...

READ MORE

Rais Ramaphosa Anatibiwa Corona

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amepimwa na kukutwa na Covid-19 na anatibiwa kwa dalili zisizo kali. Ramaphosa alianza kujisikia...

READ MORE

Mchungaji na Mkewe Mbaroni kwa Kushirkiana Kumbaka Binti wa Miaka 16

JESHI la Polisi Jimbo la Ogun linasema kuwa limemkamata mchungaji mmoja kwa tuhuma za kula njama na mkewe kumbaka msichana...

READ MORE

Wanandoa Watupwa Jela kwa Kutesa Mtoto Wao

MWANAUME mmoja na mke wake wa pili wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia...

READ MORE

Aliyebeti kwa Pesa za Bosi Zikaliwa Yamkuta

KIMEUAMA! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya raia wa Kenya, Robert M’munoru mwenye umri wa miaka 20 kutoka Kaunti ya...

READ MORE

Uswizi Kupitisha Matumizi ya Kifaa cha Kujitoa Uhai

SERIKALI ya Uswizi ipo mbioni kuidhinisha matumizi ya kifaa maalum cha kusaijia kujitoa uhai kinachoitwa “Sarco Capsule”. Kifaa hicho kimetengenezwa...

READ MORE

Watu 53 Wafariki kwa Ajali ya Lori

TAKRIBANI watu 53 wamefariki dunia na wengine 58 kujeruhiwa kufuatia lori walilokuwa wakisafiria kupata ajali mbaya baada ya kugonga daraja...

READ MORE

Boris Johnson na Carrie Wapata Mtoto Mwingine Ndani ya Miezi 20

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson na mkewe Carrie Johnson wametangaza kuzaliwa kwa binti, mtoto wao wa pili tangu awe...

READ MORE

Rais Aidhinisha Waziri Mkuu Ajiuzulu

RAIS wa Burkina Faso Roch Marc Christian Kabore amekubali kujizulu kwa Waziri Mkuu Christophe Dabire na serikali yake. Kujiuzulu kwa...

READ MORE

Afariki Siku 10 tu Baada ya Kuwasili Uarabuni Kufanya Kazi za Ndani

FAMILIA moja Mjini Mombasa nchini Kenya inaomboleza kifo cha binti yao kilichotokea siku 10 tu baada ya kutua nchini Saudi...

READ MORE

Kortini kwa Kutafuna Pesa Alizotumiwa Kimakosa M-Pesa

MWANAMAMA Nancy Chonge Chepkwemoi nchini Kenya ameshtakiwa kwa tuhuma za kuiba pesa alizotumiwa kimakosa kupitia simu kutoka kwa Vincent Maina...

READ MORE

Marais Wanne, Wastaafu Wahudhuria Sherehe za Uhuru

MARAIS wa nchi nne pamoja na marais wastaafu watatu wamehudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru zinazoendelea sasa...

READ MORE

Aliyepata Mafunzo ya Al Shabaab Ajilipua Kenya

Mshukiwa wa Ugaidi nchini Kenya ambaye Polisi wanadai alipewa mafunzo na Al Shabaab, John Odhiambo Ondiek amefariki baada ya kujilipua...

READ MORE

Amuua Mchumba Wake, Naye Ajinyonga

Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Mwango Nzioka mwenye umri wa miaka 30 aliyekuwa akifanya kazi ya kuendesha bodaboda, amemuua...

READ MORE

Scholz Kansela Mpya wa Ujerumani , Aapishwa

Olaf Scholz ameapishwa kama Kansela mpya wa Ujerumani, na kuhitimisha miaka 16 ya kihistoria ya Angela Merkel kama kiongozi. Alipigiwa kura...

READ MORE

Nyumba ya Mchungaji Yachomwa Moto Kisa Maiti Kukutwa Ndani

VIJANA wenye hasira kali wameichoma moto nyumba ya mchungaji wa kanisa mjini Adebun huko Ado-Ekiti nchini Nigeria baada ya mtoto...

READ MORE

Rais wa Zamani Comoro Aomba Msaada Tanzania

Rais wa zamani wa Comoro, Ahmed Abdallah Sambi hivi karibuni alimuandikia barua rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia...

READ MORE