×

Kimataifa

Mpinzani wa Putin Asitisha Mgomo wa Chakula Gerezani

KIONGOZI wa upinzani nchini Urusi aliye gerezani Alexei Navalny leo ametangaza kusitisha mgomo wa kula baada ya kupatiwa msaada wa...

READ MORE

Rais wa Chad Azikwa Leo

ALIYEKUWA Rais wa Chad Idris Deby   amezikwa leo Aprili 23 katika mazishi ya kitaifa yaliofanyika  katika mji mkuu wa N’Djamena....

READ MORE

Marekani Kupunguza Nusu ya Gesi Chafu Ifikapo 2030

RAIS wa Marekani Joe Biden ameahidi kupunguza hadi nusu, kiwango cha gesi chafu kinachozalishwa na nchi yake ifikiapo mwaka 2030....

READ MORE

Chad: Waasi Watishia Kumtoa Madarakani Rais wa Mpito

  VYAMA vikuu vya upinzani nchini Chad vinasema uteuzi wa mtoto wa aliyekuwa rais wa taifa hilo Idris Deby, Mahamat...

READ MORE

Marekani: Chauvin Akutwa na Hatia ya Kumuua Floyd

Majaji nchini Marekani wamempata na hatia afisa wa polisi wa zamani kufuatia kifo cha Mmarekani mweusi George Floyd huko Minneapolis...

READ MORE

Jeshi Lavunja Serikali ya Chad, Mtoto wa Deby Kuwa Rais wa Mpito

Kufuatia kifo cha Rais Idriss Deby kilichotangazwa jana Aprili 20, 2021 imeelezwa Jeshi litaongoza Nchi kwa kipindi cha miezi 18,...

READ MORE

Breaking: Rais wa Chad Auawa na Waasi Baada ya Kushinda Uchaguzi

Rais wa Chad, Idriss Deby (68) amefariki dunia saa chache baada ya kutangazwa kushinda uchaguzi wa Urais kwa muhula wa...

READ MORE

Helkopta Yafanikiwa Kupaa Sayari ya Mars

Ndege aina ya helkopta yafanikiwa kupaa juu katika sayari ya Mars. Kwa mujibu wa wanasayansi wa Marekani wa shirika la...

READ MORE

Urusi Yawatimua Wanadiplomasia 20 wa Czech

Urusi imewaamuru wanadiplomasia 20 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Czech na kuwapa muda wa siku moja kuondoka mara moja nchini...

READ MORE

Mkuu wa Shirika la Reli Misri Ajiuzulu Baada ya Ajali Kuua Watu 11

Mkuu wa Shirika la Reli la Misri amejiuzulu baada ya kutokea ajali ya tatu ya treni nchini humo katika kipindi...

READ MORE

Ajali ya Treni Yaua Watu 11

Watu 11 wamefariki dunia na wengine 98 wamejeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea karibu na mji mkuu wa Misri, Cairo....

READ MORE

Waliokufa kwa Covid-19 Wafikia Mil. 3

IDADI ya watu waliokufa duniani kutokana na ugonjwa wa Covid-19 imefikia milioni tatu kufikia jana, licha ya kampeni ya chanjo...

READ MORE

Wanawake Washauriwa Kutoshika Ujauzito

SERIKALI ya Brazil imetoa wito wanawake nchini humo kuacha kupata ujauzito angalau hadi baada ya kushuka kwa viwango vya maambukizo...

READ MORE

Urusi Yatimua Wanadiplomasia 10 wa Marekani

URUSI imewataka wanadiplomasia 10 wa Marekani kuondoka nchini humo katika hatua ya kulipiza kisasi baada ya Marekani kuwafukuza wanadiplomasia 10...

READ MORE

Mkurugenzi Aanguka Baada ya Chanjo ya AstraZeneca Kusitishwa

KIONGOZI wa juu wa Shirika la Dawa nchini Denmark ameanguka na kupoteza fahamu wakati Serikali ikitangaza kusitisha kuwapa wananchi wake...

READ MORE

Wakamatwa kwa Kula Wakati wa Mfungo wa Ramadhani

WATU wanane wamekamatwa na polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini mwa Nigeria Kano kwa madai ya kukataa kufunga Mwezi...

READ MORE

Ruto Ajitetea Kupata Chanjo ya Sputnik-V Badala ya AstraZeneca

Naibu Rais wa Kenya, William Ruto, ametetea uamuzi wake wa kutumia chanjo ya Sputnik-V badala ya AstraZeneca kama serikali yao...

READ MORE

Hawa Ndio Watu 30 tu Watakaomzika Prince Philip

  WATU 30 pekee ndiyo watakaoshiriki mazishi ya aliyekuwa mume wa malkia Elizabeth II wa Uingereza, Mwanamfalme Philip.    ...

READ MORE

Zuma Atakiwa Kuchagua Adhabu kwa Kudharau Mahakama

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa mpaka Jumatano kupendekeza adhabu ambayo mahakama kuu ya nchi hiyo inapaswa...

READ MORE

Mtambo wa Nyuklia Iran Washambuliwa

MAELFU ya mashine zinazotumika kurutubisha nyenzo za nyuklia zimeharibiwa katika shambulio lililotokea kwenye mtambo muhimu, Jumapili, maafisa wa Iran wamesema....

READ MORE

Jambazi Akamatwa Akitubu Dhambi Zake Kanisani

  Kijana aitwaye Abraham Nduba, mwenye umri wa miaka 26 kutoka kaunti ya Murang’a nchini Kenya amekamatwa na kutupwa jela...

READ MORE

Mama Atoroka na Mahari ya Binti Yake

Mama mmoja kutoka Tana River nchini Kenya aliyejulikana kwa jina la Ann Maweni, amewashangaza mashemeji wake baada ya kutoroka na...

READ MORE

Mume wa Malkia Kuzikwa Aprili 17, 2021

MAZISHI ya mume wa Malkia Elizabeth II wa Uingereza, Mwanamfalme Philip, yatafanyika wiki ijayo, Aprili 17, majira ya saa nane...

READ MORE

Watu 70 Wafariki Katika Mapigano Yemen

WATU 70 wameuwawa baada ya kutokea mapigano makali kwenye maeneo matatu tofauti katika kipindi cha masaa 24 huko katika mji...

READ MORE

Iran Yadai Kituo Chake cha Nyuklia Kimepigwa na ‘Shambulio la Hujuma’

Kiwanda cha nyuklia nchini Iran kilipigwa na “hujuma ” siku moja baada ya kufichua kifaa kipya cha urutubishaji wa madini...

READ MORE

Rais Kenyatta Azindua Kiwanda cha Bunduki

Rais Uhuru Kenyatta amezindua kiwanda cha utengenezaji bunduki ambacho ni sehemu ya viwanda vya vifaa vya usalama wa kitaifa eneo...

READ MORE

Ugonjwa wa Ajabu Waua Watu Wanane

Ugonjwa wa ajabu umeua watu wanane kwenye kijiji kidogo kilichoko katika Kaunti ya Kakamega nchini Kenya. Mamlaka husika zilithibitisha vifo...

READ MORE

Breaking: Mume wa Malkia Elizabeth, Prince Philip Afariki Dunia

Kasri ya Buckingham imesema mume wa Malkia Elizabeth II wa Uingereza, Prince Philip amefariki dunia leo Ijumaa, Aprili 9, 2021,...

READ MORE

‘Jitu la Kutisha’ Lapata Dili Nono Hollywood

    JAMAA anaitwa Rico “Orc” Ledesma (41) jamaa wa nchini Brazil ambaye alibadili moja kwa moja mwili wake kuwa...

READ MORE

Waliotaka Kumpindua Rais Wafungwa Jela Maisha

MAHAKAMA ya Uturuki imewahukumu wanajeshi 32 wa zamani, kifungo cha maisha jela kwa kuhusika katika jaribio la mapinduzi lililoshindwa la...

READ MORE

Maharusi Wakesha Uwanja wa Mpira kwa Kukiuka Masharti ya Corona

Picha na video za bibi na bwana harusi wakiwa pamoja na familia zao zimepigwa wakiwa wamekesha katika uwanja wa mpira...

READ MORE

Wafungwa 1,800 Watoroka Jela

Mamlaka ya kitaifa ya magereza nchini Nigeria imethibitisha kwamba zaidi ya wafungwa 1,800 wametoroka jela nchini humo kufuatia shambulio la...

READ MORE

Putin Asaini Sheria Kubaki Madarakani Hadi 2036

Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amesaini #Sheria inayomruhusu kugombea kwa mihula mingine miwili baada ya muhula wake unaomalizika mwaka 2024....

READ MORE

Watu 20 Wafariki kwa Corona Kenya, Vifo Vyafikia 2,244

Watu 20 zaidi wamefariki ndani ya saa 24 kutokana na kupata Virusi vya Corona na kufanya idadi ya watu waliofariki...

READ MORE

Putin Ndie Mwanaume Mwenye Mvuto Urusi

Rais wa Urusi, Vladimir Putin amepigiwa kura kwa mara nyingine tena mwaka huu kuwa ndie Mwanaume mwenye mvuto zaidi nchini...

READ MORE

Harusi Yafanyika Bila Chakula

  Imezoeleka kwenye kila sherehe nyingi lazima kuwe na vinogesho kama chakula, vinywaji, muziki na ‘surprise’ zingine lakini hiyo imekuwa...

READ MORE

Mwanamke Amshambulia Polisi na Kumng’oa Sikio

  Afisa mmoja wa Polisi huko nchini Kenya ameshambuliwa na mwanamke kutoka eneo la Lang’ata Jijini Nariobi, kwa kung’atwa hadi...

READ MORE

Kenya Yaijibu Uingereza

SERIKALI ya Kenya imejibu marufuku ya Uingereza kwa kuwawekea raia wa nchi hiyo watakaowasili sharti la kuwa karantini kwa siku...

READ MORE

Watu Saba Wafariki Uingereza Baada ya Kuchanjwa Covid 19

WATU saba wamefariki nchini Uingereza kutokana na damu kuganda mwilini baada ya kupewa chanjo ya Oxford-AstraZeneca, mamlaka ya kudhibiti dawa...

READ MORE

Facebook Yapiga Marufuku ‘Sauti ya Trump’

Mtandao wa Facebook umeondoa video ya aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump kwenye ukurasa wa mkwe wake. Facebook ilimpiga marufuku...

READ MORE