×

Kimataifa

Tanzania Yaanza Kwa Kishindo CAF, Simba na Singida Zang’ara Ugenini

Timu za Tanzania zimeanza kwa matokeo mazuri katika mashindano ya klabu Afrika, huku Simba SC na Singida Black Stars zikirejea nyumbani na ushindi katika...

READ MORE

Vita Kali Serie A, LaLiga na EPL Kitawaka leo Jumapili, Juventus vs Milan, Arsenal vs Chelsea

Je unajua kuwa wikendi iliyopita kuna watu wameweza kubadili maisha yao kwa dau dogo kabisa la shilingi mia tano?. Huenda...

READ MORE

Joheirry Mola Aibuka Mshindi wa Miss World 2026 nchini Vietnam

Mshiriki kutoka Dominican Republic, Joheirry Mola, ametangazwa kuwa mshindi wa mashindano ya Miss World 2026, yaliyofanyika nchini Vietnam na kufikia...

READ MORE

Fahamu Maajabu Ya Israel Historia, Uchumi, Teknolojia Na Nguvu Za Kijeshi

Israel iko Mashariki ya Kati, kwenye mwambao wa Bahari ya Mediterania. Ni nchi yenye eneo dogo ukilinganisha na mataifa mengi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 6, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Yanga Yaondoka Botswana na Sare, Mwalimu Aokoa Jahazi Dakika za Mwisho

Yanga imeanza kampeni ya msimu mpya wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) kwa sare ya 1-1 dhidi ya...

READ MORE

Mechi za kibabe Ulaya Kuamua Hatma ya Pointi Wikendi hii

Je unajua kuwa Wikendi hii unaweza ukaokota mkwanja wa maana kwani tayari mechi za kibabe zipo kwaajili yako. Kule Uingereza,...

READ MORE

Fahamu Kanisa la ajabu Barcelona, Ujenzi wake Wachukua Miaka 140

Ukiambiwa kuna kanisa ambalo ujenzi wake umechukua zaidi ya miaka 140 na bado haujakamilika, huenda ukashangaa. Lakini hali hiyo ipo...

READ MORE

Trump Atishia Kushambulia Eneo la Kimkakati la Pickaxe Mountain nchini Iran

WASHINGTON, Marekani — Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Marekani inaweza kuishambulia Pickaxe Mountain, eneo la Iran lenye ngome kubwa...

READ MORE

Cardi B Atikisa Mitandao, Muonekano Wake Wawateka Mashabiki

Rapa maarufu wa Marekani, Cardi B usiku wa kuamkia leo Septemba 5, 2026 amewavutia mashabiki wake baada ya kushiriki picha...

READ MORE

Tanzania Kupokea Uwenyeji wa Miss World 2027 Nchini Vietnam Leo

Tanzania leo, Septemba 5, 2026, inatarajiwa kukabidhiwa rasmi uwenyeji wa mashindano ya Miss World 2027, baada ya Naibu Waziri wa...

READ MORE

Shigongo Aongoza Timu ya Buchosa Kujifunza Siri ya Mapato Dodoma

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, Septemba 4, 2026 ameongoza jopo la madiwani na wataalamu kutoka Halmashauri ya Buchosa katika ziara...

READ MORE

Beyoncé Atimiza Miaka 45, Aangaza Safari Yake Na Watoto Wake

MWIMBAJI maarufu wa Marekani, Beyoncé,  Septemba 4, 2026, anatimiza miaka 45 huku akisherehekea safari yake ya maisha na familia yake,...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 5, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Tarehe Ya Diddy Kuachiwa Gerezani Yasogezwa Mbele Tena

Mwanamuziki na mfanyabiashara wa Marekani, Sean “Diddy” Combs, anatarajiwa kuachiwa huru Februari 5, 2028, baada ya tarehe yake ya kuachiwa...

READ MORE

Netanyahu Atishia Kuipindua Serikali ya Iran ‘Utawala Wao Upo Dhaifu’

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema kuuangusha utawala wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kunawezekana, akidai kuwa serikali hiyo...

READ MORE

Mtanzania Khalifa Siwa Afariki Dunia Nchini Marekani, Ubalozi Wafunguka

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani umetangaza kifo cha Mtanzania Khalifa H. Siwa, aliyefariki dunia Septemba 2,...

READ MORE

Vodacom Na Bridge For Billions Waingia Ubia Wa Miaka Mitatu Tanzania

Dar es Salaam, Septemba 4, 2026 — Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc imeingia ubia wa miaka mitatu na Bridge for...

READ MORE

Friji Bovu: Libasse Gueye Mmoja ni Sawa na Mawinga Wote – Video

Mchambuzi wa soka, David Pascol, maarufu kama ‘Friji Bovu’, amesema atashangaa endapo kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Libasse Gueye, hatashinda...

READ MORE

Lucky Loser Yarudisha Matumaini, Ukikosa Zote, Unashinda

Kwenye mchezo wa Win&Go, kila tiketi inaweza kuwa na simulizi yake, lakini sasa hata pale ambapo namba zako zote zinakataa...

READ MORE

Fabrizio Romano Atambulisha Jezi za Ligi ya Mabingwa za Yanga

Klabu ya Yanga imemtumia mwandishi maarufu wa habari za michezo duniani, hususan taarifa za usajili wa wachezaji, Fabrizio Romano, kutambulisha...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 3, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Furaha Kwa Wamiliki Wa Magari, Petroli Yashuka Kwa Shilingi 102 Na Dizeli Shilingi 101 Kila Lita

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za bidhaa za mafuta ya petroli nchini,...

READ MORE

Julián Álvarez Aamua Kubaki Atletico Madrid, Aikataa Arsenal

Mshambuliaji wa Atlético Madrid, Julián Álvarez, ameamua kuendelea kusalia katika klabu hiyo licha ya kuwepo kwa taarifa za kuhusishwa na...

READ MORE

Davido Aongoza Afrimma 2026 Kwa Nominations Tano

Msanii wa Nigeria, Davido, ameibuka kuwa msanii mwenye uteuzi mwingi zaidi katika tuzo za AFRIMMA 2026 baada ya kutajwa katika...

READ MORE

Antonio Rüdiger Afunga Ukurasa wa Ujerumani Baada ya Mechi 86

Beki wa Real Madrid, Antonio Rüdiger, ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka la kimataifa akiwa na timu ya taifa ya Ujerumani....

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 2, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Ebola Yazidi Kusambaa DRC, Vifo Vyakaribia 3,000 Afrika

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) inakabiliwa na ongezeko kubwa la maambukizi ya ugonjwa wa Ebola, huku idadi ya wagonjwa...

READ MORE

Rais Samia Aondoka Nchini Kwenda Zambia Kwa Uapisho Wa Hichilema

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 1, 2026, ameondoka nchini kuelekea Lusaka, Zambia,...

READ MORE

Waamuzi Wanne wa Tanzania Wateuliwa Kusimamia Mechi ya CAF

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limewateua rasmi waamuzi kutoka Tanzania kusimamia mchezo wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Dortmund Yaanza Safari Ya Dfb Cup Dhidi Ya Hebc Hamburg

Leo Jumanne, tarehe 1 Septemba 2026, saa 21:45, uwanja wa Volksparkstadion jijini Hamburg utakuwa jukwaa la mechi ya raundi ya...

READ MORE

Baada Ya Miaka 30; Keefe D Akutwa na Hatia ya Mauaji ya Tupac Shakur

Mahakama nchini Marekani imemkuta na hatia Duane “Keffe D” Davis kwa kosa la mauaji ya mwanamuziki maarufu wa Hip Hop,...

READ MORE

Lionel Richie Alazwa ICU Baada Ya Tamasha, Afanyiwa Vipimo

Mwanamuziki mkongwe wa Marekani, Lionel Richie, amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) mjini St. Louis, Missouri, baada ya kumaliza...

READ MORE

Tanzania Yapata Mwakilishi Algeria, Mabula Asaini Js Kabylie

Kiungo wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Mabula Msanga, ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa klabu ya JS Kabylie ya Algeria....

READ MORE

Tottenham Yapigwa Chenga, Ndiaye Aelekea Man City Kwa Bilioni

Manchester City imefikia makubaliano na Everton kwa ajili ya kumsajili winga wa Senegal, Iliman Ndiaye, katika dili lenye thamani ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 1, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Msichana wa Miaka 14 Auawa Akirekodi Tiktok, Kijana wa Miaka 17 Akamatwa

Washington, D.C. — Kifo cha kutatanisha cha Zytina Mason-Brown, msichana mwenye umri wa miaka 14, kimechukua mwelekeo mpya baada ya...

READ MORE

Marekani Yashambulia Iran, Drone Yaangushwa Mlango wa Hormuz – Video

WASHINGTON — Marekani imetekeleza mashambulizi dhidi ya Iran baada ya vikosi vyake kushambulia vizindua viwili vya roketi katika Kisiwa cha...

READ MORE

Kiongozi Wa Upinzani Akabiliwa Na Mashtaka Ya Uhaini Zambia

LUSAKA, Zambia — Mawakili wa kiongozi wa upinzani nchini Zambia, Brian Mundubile, wamethibitisha kuwa mteja wao amefikishwa mahakamani na kushtakiwa...

READ MORE

Khamenei Azitaka Nchi Za Kiislamu Kuungana Dhidi Ya Marekani Na Israel – Video

Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, amezitaka nchi za Kiislamu kuungana dhidi ya Marekani na Israel, akizitaja nchi hizo mbili...

READ MORE