Msanii wa kimataifa kutoka Marekani, Cardi B, amepewa nafasi ya kipekee kwenye jalada la toleo la Septemba 2026 la Vogue...
READ MORENafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...
READ MOREMuda unakwenda kwa kasi na mashindano ya Expanse: Big Wins Start Here yanaelekea ukingoni. Ikiwa imesalia takribani wiki moja kabla...
READ MORENafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...
READ MOREMkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA), John Ratcliffe, ameripotiwa kufanya ziara ya siri mjini Moscow kwa kutumia ndege...
READ MOREShirikisho la Soka Ulaya (UEFA) linajiandaa kuanzisha mchakato wa kisheria nchini Uswisi dhidi ya Rais wa FIFA, Gianni Infantino, kwa...
READ MOREIdadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mafuriko makubwa yaliotokea nchini Nepal imefikia 165, huku wengine 1,300 bado hawajulikani...
READ MOREMONACO – Droo ya hatua ya Ligi ya mabingwa (league phase ya UEFA Champions League) msimu wa 2026/27 imefanyika usiku...
READ MOREKlabu ya Barcelona imekamilisha usajili wa kipa wa kimataifa wa Croatia, Dominik Livaković, kutoka Fenerbahçe kwa mkataba wa miaka minne...
READ MOREDar es Salaam, Agosti 27, 2026 — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi...
READ MORELiverpool imefikia makubaliano ya awali yenye thamani ya takribani Shilingi bilioni 418 (£120 milioni) na Paris Saint-Germain (PSG) kwa ajili...
READ MOREMbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amehoji Bungeni jijini Dodoma kuhusu hatua za Serikali katika kuboresha barabara za mitaa katika eneo...
READ MOREWatoto wachanga 14 wamefariki dunia baada ya moto mkubwa kulipuka katika wodi ya kujifungulia na kuhudumia watoto wachanga katika Hospitali...
READ MOREJe unajua kuwa siku ya leo unaweza ukaondoka na kitita cha mkwanja wa maana ukibashiri mechi zako sasa. Mechi nyingi...
READ MOREMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, leo Jumatano, Agosti 26, 2026, amehitimisha sehemu ya kwanza ya...
READ MOREMsanii mkubwa wa muziki kutoka Colombia, Karol G, ameonyesha mshikamano na wananchi walioathiriwa na tetemeko kubwa la ardhi nchini humo...
READ MOREMuigizaji wa filamu na mwanamitindo Serayah ametangaza kuachana na mchumba wake, rapa Joey Bada$$, huku akidai kuwa msanii huyo alikuwa...
READ MOREMarekani imetangaza zawadi ya hadi dola milioni 10 sawa na TSh bilioni 26.5 kwa taarifa zitakazosaidia kuwabaini au kufichua baadhi...
READ MOREOhio, Marekani — Mmoja wa wamiliki wa klabu za Leeds United na Rangers, Jed York, amehukumiwa kifungo cha siku moja...
READ MORENafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...
READ MOREWASHINGTON — Marekani imeiondoa rasmi Syria kwenye orodha ya nchi zinazofadhili ugaidi, hatua inayowakilisha mabadiliko makubwa katika sera ya Washington...
READ MOREUturuki imetangaza hatua ya kutaka Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, akamatwe kimataifa kufuatia uchunguzi kuhusu shambulio dhidi ya wanaharakati...
READ MOREKama unatafuta kampeni yenye kasi, ushindani na zawadi, Meridianbet imeleta Non-Stop Blasts & Races. Kwa jumla ya TZS 75,000,000,000 katika...
READ MORERais wa Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA), Aleksander Čeferin, amemtaka Rais wa FIFA, Gianni Infantino, kujiuzulu nafasi hiyo, huku akisema...
READ MOREMtangazaji wa Global TV Online na 255 Global Radio, Zali Mapito, yupo nchini Oman kufuatilia hali ya binti mdogo wa...
READ MOREMwanamke mwenye umri wa miaka 18, Devorah Diaz Perez, amekamatwa na kushtakiwa kwa mauaji ya mtoto wake wa kiume mwenye...
READ MOREKiungo wa zamani wa West Bromwich Albion, Quévin Castro, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 25 baada ya kuanguka...
READ MOREKAMPALA, Uganda — Pastor Patience Rwabwogo, binti wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, ametawazwa kuwa Askofu wa Covenant Nations Church...
READ MORENyota wa Inter Miami, Lionel Messi, ameadhibiwa kwa faini na Ligi Kuu ya Soka Marekani (MLS) kufuatia tukio la kumpiga...
READ MORENafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...
READ MOREWASHINGTON: Karoline Leavitt, ambaye anatarajiwa kuondoka katika nafasi yake ya Msemaji wa Ikulu ya Marekani, White House Press Secretary, amefichua...
READ MORELONDON: Meghan Markle anatarajiwa kurejea rasmi kwenye uigizaji kwa mara ya kwanza baada ya karibu muongo mmoja, huku akipokea nafasi...
READ MOREHull City imeanza vyema kurejea kwake katika Ligi Kuu England baada ya kuifunga Manchester United mabao 2-0 katika mchezo wa...
READ MOREMsimu mpya wa soka nchini Ujerumani unaanza kwa mechi kubwa kabisa “Der Klassiker” ya mapema, ambapo timu mbili kubwa zaidi...
READ MOREMANCHESTER: Manchester United imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo wa Brighton, Carlos Baleba, kwa ada ya jumla ya pauni milioni 70...
READ MORERais wa Marekani, Donald Trump, amesema Iran bado haijawa tayari kufikia makubaliano anayoyaona kuwa sahihi, huku Washington ikijiandaa kutangaza vikwazo...
READ MOREOsogbo, Nigeria — Jeshi la Polisi katika Jimbo la Osun limesema mwanamuziki maarufu wa Nigeria, David Adeleke maarufu Davido, alikuwa...
READ MOREWASHINGTON — Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza hatua mpya na kali zaidi za kiuchumi dhidi ya Iran, akisema Washington...
READ MOREMwanzilishi wa kampuni kubwa ya ujenzi wa majengo nchini China, Evergrande, Hui Ka Yan, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada...
READ MORESAMBURU, KENYA: Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa wa Ecuador, Michele Sensi Contugi, na mkewe ni miongoni mwa...
READ MORE