RAIS John Magufuli, amemshauri mwanamke aliyedai kuwa mume wake alikuwa ni askari magereza na alifukuzwa kazi baada ya kusingiziwa kwamba...
READ MOREMBUNGE wa Makambako (CCM), Deo Sanga, jana Jumatano Februari 3, 2021, amerudia kauli yake ya kutaka Rais John Magufuli aongezewe...
READ MORERais Dkt. John Pombe amesema amefurahishwa na Jeshi la Magereza ambalo alikuwa amezoea kila siku kukuta mambo ya kukuudhi lakini...
READ MOREWAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ametoa agizo kwa wakuu wa mikoa na makatibu tawala wa mikoa kuhakikisha watumishi waliopaswa kuhamia katika...
READ MOREMbunge wa viti maalum wa kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Nusrat Hanje amemuomba Rais Dkt. John Magufuli kuzifuta...
READ MOREMAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza ongezeko la bei ya mafuta ya Petroli na Dizeli...
READ MORETAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU, imemfikisha Mahakamani mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Orkitikiti, Kijiji cha Engong’ongare...
READ MOREWATU wanne wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa mashtaka mawili likiwemo la kukutwa...
READ MOREWakili Mwandamizi Anthony Nasimire katika hotuba yake ndani ya wiki ya Sheria amesema vitendo vya hivi karibuni vya Viongozi kuwatandika...
READ MOREIdara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, imetakiwa kuweka utaratibu Wataalam Wanaume ili kupokea na kusikiliza malalamiko ya Wanaume wanaopigwa na...
READ MOREAkiwa Bungeni Dodoma, Naibu Waziri wa #Kilimo, Hussein Bashe amesema wapo kwenye hatua za mwisho za kuanzisha Kituo cha Huduma...
READ MORESpika Job Ndugai amezitaka Kamati za Kudumu za Bunge kuacha kufanya kazi kwa mazoea na kubweteka huku zikiamini muda bado...
READ MOREJeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia, Shabani Athumani (61) mkazi wa Kwamakocho, Chalinze akituhumiwa kumiliki kiwanda cha kutengenezea...
READ MOREMBUNGE wa Ulyankulu (CCM), Rehema Migila amesema Shule ya Sekondari ya Isike iliyopo kata ya Igombe mkoani Tabora nchini Tanzania...
READ MORETume ya watu saba iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila kuchunguza kifo cha dereva wa lori...
READ MOREKATIBU MKUU Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Prof. Mabula Mchembe amewataka Wananchi kupuuza taarifa...
READ MOREMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mkazi wa Tabata, Lina Muro kwenda jela miaka 30 baada ya kutiwa hatiani kwa...
READ MORETaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemfikisha mahakamani aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Uhasibu katika Chama cha Wafanyakakazi...
READ MOREMSANII mkongwe wa muziki wa taarab nchini, amepata pigo la kuondokewa na baba yake mzazi, Yusuf Mzee, kilichotokea leo, Jumanne...
READ MOREJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawatafuta kwa mahojiano viongozi wa chama cha madereva wa mabasi...
READ MORERAIS John Magufuli ameitaka Wizara ya Katiba na Sheria kuhakikisha Kiswahili kinatumika katika kesi na hukumu za mashauri mbalimbali...
READ MOREWABUNGE 19 wa viti maalumu wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la...
READ MORESerikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA), leo imerejesha furaha na matumaini kwa wakazi wa Mkoa wa Pwani...
READ MOREMahakama Kuu Kanda ya Kigoma, imemuachia huru Boniphace Kachila, mkazi wa Kijiji cha Kiyungwe, Kasulu mkoani humo kwa sharti...
READ MOREUJENZI wa Reli ya Kisasa ya Umeme (SGR) kipande cha kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro, kinatarajiwa kukamilika na...
READ MOREMWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amemweleza Rais John Magufuli kuwa vipo viporo vyote alivyoahidi mwaka 2015...
READ MOREWIZARA ya Afya nchini imesema kufuatia kuwepo taarifa za mlipuko wa pili wa corona katika nchi jirani, imekuwa ikipokea maswali...
READ MORERAIS John Magufuli amepandisha cheo Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Musoma, Zephrine Galeba, aliyeandika hukumu kwa lugha ya Kiswahili...
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Jukwaa la Taasisi ya Wakurugenzi na wamiliki wa makampuni binafsi nchini (CEOrt)...
READ MOREBINTI Maria Sanga (20), mkazi wa kijiji cha Kilingi Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, ameamua kuiangukia Serikali kutengua hukumu kwa...
READ MOREANTONIA JITINDE (62) aliyeishi katika kijiji cha Zawa, Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, hakuwahi kuhisi kuwa ngo’mbe 25 na...
READ MOREMTEGO uliowekwa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMD) Kanda ya Kusini umefanikiwa kumnasa Jamaly Sad na mtoto...
READ MOREShirika la Reli Tanzania (TRC) limethibitisha kutokea kwa ajali ya treni leo alfajiri eneo la Vingunguti, Dar es Salaam...
READ MORERAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewataka wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kote nchini...
READ MOREJESHI la Polisi mkoani Arusha jana jioni lilitumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanawake waliokuwa wakiandamana na kufunga barabara wakizuia kuzikwa...
READ MORETAASISI ya Mico Halal International Bureau imeleta neema mpya kwa walaji wa nyama ambapo sasa itasimamia machinjio yote nchini kuhakikisha...
READ MORETIMU ya Masoko kutoka Kampuni ya Global Group kambao ni wachapishaji wa magazeti namba moja kwa habari za michezo kupitia...
READ MOREMKUTANO wa Kimataifa wa elimu bora unatarajia kufanyika Tanzania jijini Dar es salaam kuanzia Aprili 20 hadi 22, 2021 huku...
READ MOREMwalimu wa shule ya Sekondari Bupandwa iliyoko Halmashauri ya Buchosa Wilaya Sengerema Mkoa wa Mwanza Sara obby anatuhumiwa kumcharaza viboko...
READ MOREIKIWA ni siku chache baada ya kipindi cha GLOBALJAMII kinachoruka kupitia GLOBAL TV ONLINE kufanya kipindi na mama...
READ MORE